ⓘ Free online encyclopedia. Did you know?
                                               

Katekisimu

Vitabu vya namna hiyo vinatumika toka karne za kwanza za Kanisa la Magharibi hasa kwa kuandaa watu kupokea ubatizo na sakramenti nyingine. Mara nyingi mafundisho hayo yanatolewa kwa namna ya majibizano, yaani maswali yakifuatwa na majibu ambayo y ...

                                               

Katekista

Katekista ni Mkristo anayetoa katekesi, yaani ufafanuzi wa mpango wa imani, akitumia kwa kawaida kitabu rasmi maalumu kinachoitwa katekisimu, mbali ya Biblia ya Kikristo. Majina hayo yanatokana na kitenzi cha Kigiriki κατηχεῖν maana yake "kufundi ...

                                               

Kuhani mkuu

Kuhani mkuu ni cheo kikuu cha kuhani katika dini zenye ngazi mbalimbali ya ukuhani. Kwenye mahekalu makubwa yenye makuhani wengi, mmoja aliweza kuwa na nafasi ya kiongozi na kuitwa kuhani mkuu. Katika dini za Sumeri, Babeli na Misri ya Kale walik ...

                                               

Kutangaza watakatifu

Kutangaza watakatifu ni tendo ambalo baadhi ya madhehebu ya Ukristo yanatambua rasmi kwamba muumini aliyefariki dunia alikuwa mtakatifu. Hapo jina lale linandikwa katika orodha maalumu.

                                               

Liturgia

Liturgia ni utaratibu wa ibada hasa katika Kanisa la Kikristo. Wakati mwingine neno hili linatumika pia kwa muundo au utaratibu wa sala katika dini mbalimbali. Kwa kawaida liturgia inamaanisha utaratibu maalumu unaoweka mpangilio wa sala, nyimbo, ...

                                               

Liturujia ya Ugiriki

Liturujia ya Ugiriki, iliyoenea kutoka Konstantinopoli, sasa Istanbul ni liturujia ambayo lugha yake asili ni Kigiriki, lakini siku hizi inaadhimishwa katika lugha nyingine nyingi kukiwa na tofauti ndogondogo duniani kote. Wanaoitumia hasa ni Wao ...

                                               

Makanisa ya Kikelti

Makanisa wa Kikelti yalikuweko katika visiwa vya Britania kuanzia karne ya 3 hadi mwanzo wa Karne za kati.

                                               

Matendo ya Mitume

Matendo ya Mitume ni kitabu cha Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo chenye sura 28. Katika orodha ya vitabu 27 vya Agano Jipya kinashika nafasi ya tano baada ya Injili nne. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katik ...

                                               

Mfumokleri

Mfumokleri ni mazoea au utamaduni wa kuwaachia wakleri kuanzisha na kufanya karibu kila kitu katika Kanisa na hata katika siasa bila kushirikisha vya kutosha waumini wenzao, yaani watawa na hasa walei. Jambo hilo linapingana na mtazamo sahihi una ...

                                               

Mitaguso ya kiekumene

Mitaguso ya kiekumene ni jina la mikutano saba ya maaskofu wa kanisa la karne za kwanza wakati wa Mababu wa Kanisa iliyofanyika kati ya mwaka 325 hadi 787. Mikutano hiyo ilitoa maamuzi ya kudumu juu ya mafundisho ya imani ya Kikristo yaliyokuwa m ...

                                               

Mitume wa Yesu

Mtume wa Yesu Kristo, kadiri ya Agano Jipya, ni mmojawapo kati ya wale wanaume 12 ambao Yesu aliwateua mapema akawatuma kuhubiri Ufalme wa Mungu kwanza kwa taifa la Israeli, halafu kwa mataifa yote duniani. Baada ya kifo na ufufuko wake, hao waka ...

                                               

Mlei

Mlei ni jina la kisheria la Mkristo wa kawaida, yaani yule asiye na daraja takatifu wala si mtawa. Jina hilo linatokana na neno la Kigiriki λαϊκός laikós, "mmoja wa umma", ambalo shina lake ni λαός laós, "umma". Msingi wa hadhi, wajibu na haki za ...

                                               

Mtaguso

Mtaguso ni mkutano wa viongozi wa Kanisa hasa maaskofu pamoja na Wakristo wengine kadhaa. Wa kwanza ulikuwa ule wa Mitume uliofanyika Yerusalemu ili kujadili suala la waongofu wa mataifa, kama walazimishwe kutahiriwa na kufuata Torati yote au siv ...

                                               

Mtaguso Mkuu

Mitaguso ya kiekumene kutoka Kigiriki oικουμένη oikumene yaani dunia inayokaliwa na watu ni jina linalotumika hasa kwa mikutano saba ya namna hiyo iliyofanyika kati ya mwaka 325 hadi 787 upande wa mashariki wa Dola la Roma ulioendelea baadaye kam ...

                                               

Orodha ya Watakatifu Wakristo

Hapa chini wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha pia kila mtakatifu huheshimiwa katika madhehebu gani. Kanisa Katoliki li ...

                                               

Pasaka ya Kikristo

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Pasaka, pia Pasaka ya Kiyahudi na Kipindi cha Pasaka Pasaka ya Kikristo ni sikukuu ambayo Wakristo karibu wote hufanya kila mwaka ukumbusho wa kufufuka kwake Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa, ...

                                               

Patriarki

Patriarki ni cheo cha juu kati ya maaskofu wa Makanisa ya Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na wa mapokeo ya Mashariki ya Kanisa Katoliki. Chini yake wako maaskofu wakuu na maaskofu wote wa mapokeo fulani au wa nchi fulani pamoja na waamini ...

                                               

Sabato

Sabato ni siku ya pumziko ya kila juma katika Uyahudi kwa ujumla na hasa katika nchi ya Israeli. Msingi wa desturi hii ni masimulizi ya Biblia jinsi Mungu alivyomaliza kuumba mbingu na nchi akaona vema kupumzika siku ya saba. Wayahudi tangu kale ...

                                               

Sakramenti

Sakramenti katika mapokeo na imani ya Ukristo ni ishara na chombo cha neema ya Mungu. Jina hilo linatokana na neno la Kilatini "sacramentum" linalofanana na lile la Kigiriki "mysterion" fumbo. Ni mafumbo kwa kuwa ishara ya nje vitendo na vitu vin ...

                                               

Sanaa ya Kikristo

Sanaa ya Kikristo ni sanaa iliyokusudiwa kutokeza imani ya Ukristo katika uzuri wake. Mara nyingi hiyo inafanyika kuhusiana na ibada na majengo yanayotumika kwa ajili hiyo. Kwa ajili hiyo inatumia mada na mifano ya Injili au vitabu vitakatifu vin ...

                                               

Siku ya Bwana

Siku ya Bwana ni jina ambalo Wakristo wa lugha mbalimbali wanalitumia kutaja Jumapili. Jina linapatikana katika kitabu cha mwisho cha Biblia ya Kikristo, Ufunuo 1:10. Chanzo chake ni kwamba ndiyo siku ya juma ambayo wanasadiki Yesu alifufuka kuto ...

                                               

Simon Kimbangu

Simon Kimbangu alikuwa mwinjilisti wa Kibaptisti Kongo ya Kibelgiji aliyeonekana kuwa na karama ya uponyaji. Watu wengi walimwendea kutafuta nafuu wakasikia mahubiri yake, lakini serikali ya kikoloni ya Ubelgiji iliogopa mikutano mikubwa ya Waafr ...

                                               

Thenashara

Thenashara ni Kiswahili cha pwani kwa ajili ya namba kumi na mbili. Asili ni Kiarabu "اثنا عشر" ithnayn `ashara - ithnashara. Kwa Kiswahili sanifu "kumi na mbili" imechukua nafasi yake lakini bado hutumika.

                                               

Toharani

Toharani kadiri ya imani ya Kanisa Katoliki ni hali ya muda ambayo huruma ya Mungu inawatakasa marehemu waliofariki dunia katika urafiki naye lakini bila usafi kamili unaotakiwa kwa kuingia mbinguni. Sisi tuliobaki duniani tunaweza kuharakisha ut ...

                                               

Ufufuko wa Yesu

Ufufuko wa Yesu ndio tukio kuu lililotangazwa daima na Kanisa lake lote kuhusu mwanzilishi wake, Yesu Kristo, kuanzia ushuhuda wa Mitume wa Yesu na maandiko ya Agano Jipya, hususan Injili, hadi leo. Kadiri ya imani hiyo, siku ya tatu baada ya kuu ...

                                               

Uinjilishaji

Uinjilishaji ni msamiati wa teolojia ya Kikristo ambao unajumlisha kazi mbili tofauti: kutangaza Injili kwa wasio Wakristo ili wamuamini Yesu Kristo, na kurekebisha jamii nzima ili isiishi kinyume na maadili yanayodaiwa na Mungu bali imani ipenye ...

                                               

Ukristo barani Amerika

Ukristo barani Amerika uliingia mara Wazungu walipofikia huko. Kabla ya hapo wakazi walifuata dini za jadi, zikiheshimu roho na uasilia, lakini pengine zikidai pia binadamu atolewe kama kafara. Kati ya Wazungu walioongozana na Kristofa Columbus k ...

                                               

Ukristo wa Mashariki

Ukristo wa Mashariki ni jina linalojumlisha madhehebu yote ya Ukristo yaliyotokea upande wa mashariki wa Bahari ya Kati na nje ya Dola la Roma yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya Kanisa la Magharibi, ambalo ndilo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi ...

                                               

Ukumbusho (liturujia)

Ukumbusho ni neno zito katika teolojia na liturujia ya dini ya Uyahudi na Ukristo vilevile. Ni tendo ambalo linataka kumfanya Mungu na watu kukumbuka tukio la historia ya wokovu. Tena, kwa wenye imani hiyo, si kama kukumbuka tukio lingine la zama ...

                                               

Ukuta wa picha

Ukuta wa picha ni ukuta ambao umejaa picha takatifu na unatenganisha patakatifu na sehemu kubwa ya kanisa hasa katika madhehebu ya Waorthodoksi. Kwa Kigiriki unaitwa εἰκονοστάσι-ον, eikonostasion, eidonostasis, yaani panapowekewa picha, kutokana ...

                                               

Uprotestanti

Uprotestanti ni aina ya Ukristo iliyotokana na Kanisa Katoliki huko Ulaya Kaskazini katika karne XVI kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "Matengenezo ya Kiprotestanti". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni Martin Luther na Yoh ...

                                               

Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko

Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya familia ya kiroho ya Wafransisko. Kiasili walikuwa Wakristo wa kawaida waliopenda kujiunga na Fransisko wa Asizi na harakati aliyoianzisha. Wengi wao walikuwa watu wenye ndoa na h ...

                                               

Utetezi wa Ukristo

Utetezi wa Ukristo ni sehemu ya teolojia ya Ukristo inayolenga kutoa hoja za kutetea imani kwa Yesu Kristo dhidi ya zile za watu wa dini nyingine na za wale wasio na dini yoyote. Kwa utetezi wa namna hiyo katika lugha nyingi limetoholewa neno la ...

                                               

Utume wa Yesu

Utume wa Yesu katika Injili, unaanza na ubatizo wake kwa mkono wa Yohane Mbatizaji katika mto Yordani na unakamilika katika mji mtakatifu wa Yerusalemu kwa kifo chake msalabani. Injili ya Luka 3:23 inasema Yesu Kristo alipoanza utume wake alikuwa ...

                                               

Vulgata

Vulgata ni tafsiri maarufu zaidi ya Biblia ya Kikristo katika lugha ya Kilatini. Ilitolewa kuanzia mwaka 382 hadi 405 na Hieronimo kwa agizo la Papa Damaso I ili ichukue nafasi ya tafsiri mbalimbali zilizotangulia ambazo hazikuridhisha. Kuanzia k ...

                                               

Waadventista Wasabato

Waadventista Wasabato ni Wakristo Waadventisti wa madhehebu yanayosisitiza ujio wa pili wa Yesu yakisema uko jirani kutokea na kwamba utawahi wafuasi wake wakishika Sabato, si Jumapili. Kati ya makundi yaliyoanzishwa Marekani baada ya utabiri wa ...

                                               

Waadventisti

Waadventisti ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali yanayosisitiza ujio wa pili wa Yesu yakisema uko jirani kutokea. Ingawa sisitizo hilo lilijitokeza mara kadhaa katika historia ya Kanisa, lilipata nguvu mpya huko Marekani katika karne ya 19. Willi ...

                                               

Waanglikana

Waanglikana ni Wakristo wa madhehebu yenye asili ya Uingereza. Katika karne ya 16 mfalme Henry VIII alitenga Kanisa la nchi hiyo na Kanisa Katoliki. Baada ya farakano hilo, yalifanyika mabadiliko mbalimbali upande wa imani, ibada na sheria kuelek ...

                                               

Wafransisko

Mwanzilishi mwenyewe katika karne XIII alivuta umati wa waamini wa Ukristo katika njia ya toba. Wanaume wengi walimfuata utawani kama Ndugu Wadogo, wanawake wengi pia walikusanyika monasterini kama Mabibi Fukara Waklara, wengine tena wa jinsia zo ...

                                               

Wainjili

Wainjili ni waandishi wa vitabu vya Injili vinavyoleta matendo na maneno ya Yesu Kristo. Wakristo wanakubali kama Neno la Mungu vitabu vinne tu vya namna hiyo, yaani vile vilivyoandikwa wakati wa Mitume wa Yesu karne ya 1 B.K. Waandishi wa vitabu ...

                                               

Wakalvini

Wakalvini ni Wakristo Waprotestanti wanaofuata kimsingi mafundisho yaliyotolewa awali na Uldrik Zwingli na hasa John Calvin katika karne ya 16. Tofauti na Luther, Zwingli na Calvin walijaribu moja kwa moja kujenga kanisa jipya kwenye msingi wa Bi ...

                                               

Wakatoliki wa Kale

Wakatoliki wa Kale ni jina linalotumika kujumlisha Wakristo wa Magharibi ambao wametengana na Askofu wa Roma hasa baada ya Mtaguso wa kwanza wa Vatikano kutangaza dogma ya Papa kutoweza kukosea anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudum ...

                                               

Wakopti

Wakopti ni Wakristo asili wa Misri, ambao wanafuata madhehebu ya pekee katika kundi la Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki na wanaunda kundi kubwa zaidi la wakazi wasio Waislamu katika nchi hiyo. Patriarki wao ni Papa Tawadros II, akiwa na maka ...

                                               

Walutheri

Madhehebu ya Kilutheri yalienea nje ya Ulaya Kaskazini kule ambako Wajerumani na Waskandinavia walihamia, kama vile Marekani. Barani Afrika Walutheri wako hasa katika nchi zilizokuwa makoloni ya Ujerumani, kama vile Tanzania, Namibia na Kamerun, ...

                                               

Wamethodisti

Wamethodisti ni wafuasi wa Yesu Kristo wanaozingatia mafundisho ya John Wesley ambaye katikati ya karne ya 18 alianzisha uamsho katika ushirika wa Anglikana akisaidiana na mdogo wake Charles na George Whitefield. Mapema wakleri wengi wa Anglikana ...

                                               

Waorthodoksi

Waorthodoksi ni Wakristo wanaofuata mapokeo ya Mitume wa Yesu jinsi yalivyostawi kihistoria katika Ukristo wa Mashariki upande wa mashariki wa Dola la Roma iliyoitwa pia Bizanti na nje ya mipaka yake. Leo hii ni nchi za Ulaya ya Mashariki pamoja ...

                                               

Waorthodoksi wa Mashariki

Waorthodoksi wa Mashariki ni jina linalotumika pengine kuhusu Wakristo wa Makanisa ya Mashariki ambayo katika karne ya 5 yalitengana na Wakatoliki na Waorthodoksi kwa kutokubali uamuzi wa mojawapo kati ya Mitaguso ya kiekumeni, hasa ile ya Efeso ...

                                               

Waraka wa kwanza wa Klementi

Waraka wa kwanza wa Klementi ni andiko lililoandikwa na askofu wa Roma Klementi wa Roma mnamo mwaka 96 BK kwa kanisa la Kikristo mjini Korintho. Ni kati ya maandiko ya kwanza ya kikristo nje ya Biblia Agano Jipya yaliyohifadhiwa na kujulikana had ...

                                               

Wasabato

Wasabato ni Wakristo wanaomuabudu Mungu hasa siku ya Sabato, kama ilivyo kwa Wayahudi, tofauti na Wakristo walio wengi wanaoadhimisha tangu kale Jumapili kama siku ya ufufuko wa Yesu ambayo umeanza uumbaji mpya utakaofanya viumbehai kushiriki utu ...

                                               

Watubu

Tangu mwanzo Kanisa liliona kufanya dhambi na toba si jambo la binafsi tu, bali linaathiri wengine pia. Ndiyo sababu liliwadai waamini malipizi ili kuwapa msamaha wa Mungu, na waliopaswa kuyafanya waliandikishwa katika orodha rasmi ya Watubu Ordo ...