ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 104
                                               

Kingbaka-Mabo

Kingbaka-Mabo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbaka. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kingbaka-Mabo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabi ...

                                               

Kingbaka-Manza

Kingbaka-Manza ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangbaka-Manza. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiali. Kwa vyovyote isichangaywe na Kingbaka wala na Kimanza; lugha hizo hufanana lakini ni lu ...

                                               

Kingbandi-Kaskazini

Kingbandi-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbandi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingbandi-Kaskazini nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 250.000. Pia kuna wasemaji wachache nchin ...

                                               

Kingbandi-Kusini

Kingbandi-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbandi. Idadi ya wasemaji wa Kingbandi-Kusini imehesabiwa kuwa watu 105.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingbandi-Kusin ...

                                               

Kinikobari cha Car

Kinicobar ya Car ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanicobar katika kisiwa cha Car. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kinicobar ya Car imehesabiwa kuwa watu 37.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinicobar ya Car i ...

                                               

Kinikobari cha Kati

Kinicobar ya Kati ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanicobar katika visiwa vya Katchal, Nancowry na Trinket. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinicobar ya Kati imehesabiwa kuwa watu 10.100. Kufuatana na uainishaji w ...

                                               

Kinikobari-Kusini

Kinicobar ya Kusini ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanicobar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinicobar ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 7500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinicobar ya Kusini iko katika kundi ...

                                               

Kinisu cha Kaskazini

Kinisu ya Kaskazini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Idadi ya wasemaji wa Kinisu ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 160.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisu ya Kaskazini iko katika kundi la Kingwi.

                                               

Kinisu cha Kaskazini-Magharibi

Kinisu ya Kaskazini-Magharibi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kinisu ya Kaskazini-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 24.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisu ya Kaskazini-Mag ...

                                               

Kinisu cha Kusini

Kinisu ya Kusini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinisu ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 210.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisu ya Kusini iko katika kundi la Kingwi.

                                               

Kinisu cha Kusini-Magharibi

Kinisu ya Kusini-Magharibi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinisu ya Kusini-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 15.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisu ya Kusini-Magharibi ik ...

                                               

Kinisu cha Mashariki

Kinisu ya Mashariki ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kinisu ya Mashariki imehesabiwa kuwa watu 75.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinisu ya Mashariki iko katika kundi la Kingwi.

                                               

Kinjalgulgule

Kinjalgulgule ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wanjalgulgule. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kinjalgulgule imehesabiwa kuwa watu 900 tu. Kwa hiyo inawezekana lugha ya Kinjalgulgule imekaribia kutoweka. Kufuatana ...

                                               

Kinuaulu-Kaskazini

Kinuaulu-Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanuaulu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kinuaulu-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi ...

                                               

Kinuaulu-Kusini

Kinuaulu-Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanuaulu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kinuaulu-Kusini imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinuau ...

                                               

Kinumanggang

Kinumanggang ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanumanggang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinumanggang imehesabiwa kuwa watu 2300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinumanggang iko ka ...

                                               

Kinunggubuyu

Kinunggubuyu ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wanunggubuyu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kinunggubuyu ilihesabiwa kuwa watu 110 tu, yaani lugha iko hatarini mwa ku ...

                                               

Kinyabwa

Kinyabwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote dIvoire inayozungumzwa na Wanyabwa. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinyabwa imehesabiwa kuwa watu 42.700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyabwa iko katika kundi la Kikru.

                                               

Kinyamusa-Molo

Kinyamusa-Molo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wanyamusa na Wamolo, makabila mawili wanaoongea lugha moja. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kimorokodo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinyamusa-Molo i ...

                                               

Kinyangumarta

Kinyangumarta ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyangumarta katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyangumarta 310. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi ...

                                               

Kinyeng

Kinyeng ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanyeng. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinyeng imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyeng iko katika kundi la Plateau.

                                               

Kinyiha cha Malawi

Kinyiha cha Malawi ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Wanyiha. Isichanganywe na Kinyiha cha Tanzania wala na Kinyika. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinyiha cha Malawi imehesabiwa kuwa watu 10.000. Kufuatana na uainishaji wa ...

                                               

Kinyika

Kinyika ni lugha ya Kibantu nchini Malawi na Zambia inayozungumzwa na Wanyika. Isichanganywe na Kinyiha wala na Kinyiha cha Malawi ambacho kinafanana nacho. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinyika imehesabiwa kuwa watu 10.000, yaani 5000 nchin ...

                                               

Kinyiyaparli

Kinyiyaparli ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyiyaparli katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyiyaparli watatu tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuata ...

                                               

Kiochichi

Kiochichi ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria iliyozungumzwa na Waochichi. Hakuna wasemaji wa Kiochichi siku hizi, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiochichi iko katika kundi la Cross ...

                                               

Kiogbronuagum

Kiogbronuagum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waogbronuagum. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiogbronuagum imehesabiwa kuwa watu 12.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiogbronuagum iko katika kund ...

                                               

Kione cha Inebu

Kione ya Inebu ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Inebu imehesabiwa kuwa watu 1300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Inebu iko katika ku ...

                                               

Kione cha Kabore

Kione ya Kabore ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Kabore imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Kabore iko katika ...

                                               

Kione-Kaskazini

Kione ya Kaskazini ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Kaskazini i ...

                                               

Kione-Kusini

Kione ya Kusini ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Kusini iko katika ...

                                               

Kione cha Kwamtim

Kione ya Kwamtim ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Kwamtim imehesabiwa kuwa watu 150 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Kwamtim iko k ...

                                               

Kione cha Molmo

Kione ya Molmo ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Molmo imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Molmo iko katika kun ...

                                               

Kiontong-Java

Kiontong-Java ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waontong-Java kwenye kisiwa cha Lord Howe. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiontong-Java imehesabiwa kuwa watu 2370. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani ...

                                               

Kiorang-Kanaq

Kiorang-Kanaq ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Waorang-Kanaq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiorang-Kanaq imehesabiwa kuwa watu 160 tu; maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainis ...

                                               

Kiorang-Seletar

Kiorang-Seletar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Singapuri inayozungumzwa na Waseletar. Mwaka wa 1986, Waseletar walihamishwa kutoka kisiwa chao cha Seletar; wanaishi katika rasi ya Malaysia siku hizi. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji ...

                                               

Kioriya cha Adivasi

Kioriya ya Adivasi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waoriya. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kioriya ya Adivasi imehesabiwa kuwa watu 200.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kioriya ya Adivasi iko katika kundi la ...

                                               

Kipahari-Kullu

Kipahari ya Kullu ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kipahari ya Kullu imehesabiwa kuwa watu 109.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari ya Kullu iko katika kundi la Ki ...

                                               

Kipahari-Mahasu

Kipahari ya Mahasu ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipahari ya Mahasu imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari ya Mahasu iko katika kun ...

                                               

Kipahari-Potwari

Kipahari-Kipotwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipahari-Kipotwari nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu milioni mbili na nusu. ia kuna wasemaji 1.020.000 nch ...

                                               

Kipalaung cha Pale

Kipalaung ya Pale ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar, China na Uthai inayozungumzwa na Wapalaung. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipalaung ya Pale imehesabiwa kuwa watu 258.000 nchini Myanmar na 9000 nchini China. Pia kuna wasemaji ...

                                               

Kipalaung cha Rumai

Kipalaung ya Rumai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wadeang. Idadi ya wasemaji wa Kipalaung ya Rumai nchini Mynamar imehesabiwa kuwa watu 137.000. Pia kuna wasemaji 3600 nchini Uchina. Kufuatana na uainisha ...

                                               

Kipalaung cha Shwe

Kipalaung ya Shwe ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wadeang. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kipalaung ya Shwe nchini Mynamar imehesabiwa kuwa watu 148.000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Uchina. Kufuatana ...

                                               

Kipalawano cha Brookes Point

Kipalawano ya Brookes Point ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapalawano. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipalawano ya Brookes Point imehesabiwa kuwa watu 14.400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Ki ...

                                               

Kipalawano cha Kati

Kipalawano ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapalawano. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipalawano ya Katikati imehesabiwa kuwa watu 12.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalawano y ...

                                               

Kipalawano-Kusini-Magharibi

Kipalawano ya Kusini-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapalawano. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kipalawano ya Kusini-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 12.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zai ...

                                               

Kipallanganmiddang

Kipallanganmiddang kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapallanganmiddang katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kipallanganmiddang, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji w ...

                                               

Kipanchpargania

Kipanchpargania ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapanchpargania. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipanchpargania imehesabiwa kuwa watu 194.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipanchpargania iko katika kundi la K ...

                                               

Kipangasinan

Kipangasinan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapangasinan. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kipangasinan nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 1.160.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipangasin ...

                                               

Kipantar-Magharibi

Kipantar-Magharibi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapantar. Idadi ya wasemaji wa Kipantar-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 10.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipantar-Magharibi iko katika k ...

                                               

Kipapora-Hoanya

Kipapora-Hoanya ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wapapora-Hoanya. Hakuna Wapapora-Hoanya siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kipapora-Hoanya, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha ...