ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 106
                                               

Podgorica

Podgorica ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Montenegro mwenye wakazi 140.000. Iko kwa 42°28′12″N, 19°16′48″E pale ambako mito ya Ribnica na Morača inapokutana. Mji uliitwa Titograd kati ya 1946 hadi 1992. Mji umejulikana tangu 1326 ulikuwa sehemu ya ...

                                               

Praha

Praha -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki mwenye wakazi milioni 1.2. Kutokana na uzuri wa majengo yake za kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".

                                               

Rasi ya Iberia

Rasi ya Iberia ni kati ya rasi kubwa za Ulaya ikiwa na eneo la km² 582.860. Iko kusini magharibi mwa Ulaya ikipakana na Bahari Atlantiki upande wa kaskazini na magharibi, halafu Bahari Mediteranea upande wa kusini na mashariki. Milima ya Pirenei ...

                                               

Reykjavík

Reykjavík ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Iceland mwenye wakazi 113.387. Ni mjii mkuu wa dunia ulio kaskazini zaidi kushinda miji mikuu ya nchi zote huria.

                                               

Rhine

Ina chanzo chake katika milima ya Uswisi. Inapita katika Uswisi, Ujerumani na Uholanzi; mwendo wake ni pia mpaka kati ya Uswisi na Liechtenstein, Uswisi na Austria halafu Ujerumani na Ufaransa. Mpakani kati ya Uswisi na Ujerumani mto inapita kati ...

                                               

Romania

Romania kwa Kiromania: România ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Hungaria, Serbia, Ukraine, Moldova na Bulgaria. Ina pwani kwenye Bahari Nyeusi ambako unaishia mto Danube. Mji mkuu na mji mkubwa zaidi ni Bukarest.

                                               

Salzburg

Salzburg ni mji wa jimbo la Austria la Salzburg au Salzburgerland. Idadi ya wakazi imekadiriwa kufikia takriban watu 150.000. Huu ni mji mashuhuri kwa sababu mtunzi wa muziki na opera Wolfgang Amadeus Mozart alizaliwa hapa.

                                               

San Marino

San Marino kwa Kiitalia maana yake ni "Mtakatifu Marino" ni kati ya nchi ndogo kabisa duniani. Eneo lake lote limo ndani ya mipaka ya Italia, kati ya wilaya za Rimini na Pesaro-Urbino, karibu na mwambao wa bahari ya Adria. Eneo lote la km² 61 ni ...

                                               

Sarayevo

Sarayevo ni mji mkuu wa Bosnia na Herzegovina. Mwaka 2003 ilikuwa na wakazi lakhi tatu. Mji uko kando la mto Miljacka kwenye bonde la milima ya Dinari. Sarayevo ina sifa ya ushirikiano mwena wa watu wa dini na madhehebu mbalimbali ndani yake kwa ...

                                               

Serbia

Serbia kwa Kiserbokroatia: Република Србија au Republika Srbija ni nchi ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani. Imepakana na Hungaria, Bulgaria, Romania, Masedonia Kaskazini, Kosovo au Albania, Montenegro, Bosnia na Herzegovina na Kroatia. Mji mkuu ni B ...

                                               

Skopje

Skopje ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Jamhuri ya Masedonia Kaskazini. Zaidi ya robo ya wakazi wote wa nchi hiyo kukaaa hapa. Skopje ni kitovu cha uchumi, utamaduni na siasa wa nchi. Anwani ya kijiografia ni 42°0′N 21°26′E. Mto Vardar hupita katika ...

                                               

Slovakia

Slovakia kwa Kislovakia: Slovensko ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni tano na nusu. Imepakana na Ucheki, Austria, Poland, Ukraine na Hungaria. Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004. Mji mkubwa na mj ...

                                               

Slovenia

Slovenia ni nchi ya Ulaya ya Kati, mashariki kwa milima ya Alpi. Imepakana na Italia, ghuba ya Adria ya bahari ya Mediteranea, Kroatia, Hungaria na Austria. Mji mkuu pia mji mkubwa ni Lyublyana kwa Kislovenia: Ljubljana. Ni mwanachama wa Umoja wa ...

                                               

Sofia

Sofia ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Bulgaria mwenye wakazi 1.246.791. Mji uko upande wa magharibi wa Bulgaria kando la mto Iskar mbele ya milima ya Vitosha inayofikia kimo cha mita 2286. Ni kitovu cha kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni wa nchi. Sof ...

                                               

Tirana

Tirana ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Albania. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa kati ya 350.000 na milioni moja.

                                               

Ucheki

Ucheki au Chekia au Czechia kwa Kicheki: Česko pia Jamhuri ya Kicheki au Jamhuri ya Czech kwa Kicheki: Česká republika ni nchi ya Ulaya ya Kati na mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Imepakana na Poland, Ujerumani, Austria na Slovakia. Mji mkuu ni Prah ...

                                               

Ugiriki

Ugiriki ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya Balkani. Imepakana na Albania, Masedonia Kaskazini, Bulgaria na Uturuki. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Mediteranea. Nchi hiyo ik ...

                                               

Uholanzi

Uholanzi ni nchi ya Ulaya ya Magharibi. Imepakana na Ujerumani upande wa mashariki, Ubelgiji upande wa kusini na Bahari ya Kaskazini upande wa magharibi na kaskazini. Uholanzi ni sehemu ya "Ufalme wa Nchi za Chini" Kingdom of the Netherlands pamo ...

                                               

Ukraine

Ukreni kwa Kiukreni: Україна, Ukrayina ni nchi ya Ulaya ya Mashariki. Imepakana na Urusi, Belarusi, Polandi, Slovakia, Hungaria, Romania na Moldova. Kuna pwani ya Bahari Nyeusi na ghuba ya Azov. Mji mkuu ni Kiev Kyiv.

                                               

Uskoti

Kihistoria Uskoti uliwahi kuwa nchi ya pekee, mpaka ikaunganishwa chini ya Ufalme wa Uingereza tangu mwaka 1603 BK. Tangu mwaka 1707 Uskoti haukuwa tena na bunge la pekee lakini ulikuwa na wawakilishi katika bunge la London. Bunge la Uskoti lilir ...

                                               

Uswidi

Vilele vya juu kwa kila "landskap" ni kama ifuatavyo. Kumbuka kwamba "landskap" katika Uswidi ni sahihi kidogo tu. Basi maoni mengine kuwepo.

                                               

Visiwa vya mfereji wa Kiingereza

Visiwa vya Mfereji wa Kiingereza ni funguvisiwa ya visiwa tisa katika Mfereji wa Kiingereza karibu na pwani la Ufaransa vyenye wakazi 160.000. Visiwa vitano vikubwa ni: Alderney Herm Jersey Sark Guernsey Kiutawala vimegawiwa kwa sehemu mbili: ene ...

                                               

Visiwa vya Shetland

Shetland ni funguvisiwa upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Visiwa vikubwa zaidi huitwa Mainland, Yell, Unst, Fetlar, Whalsay na Bressa ...

                                               

Welisi

Welisi kutoka Kiingereza: Wales ; kwa Kiwelisi: Cymru matamshi?: kimru ni nchi ya Ulaya kwenye kisiwa cha Britania na sehemu ya Ufalme wa Muungano. Welisi ni rasi kubwa inayoingia katika sehemu ya Bahari Atlantiki inayotenganisha Britania na Eire ...

                                               

Zagreb

Zagreb ni mji mkuu wa Kroatia. Ina wakazi 973.667 2005. Iko katika kaskazini ya nchi kando la mto Sava kwenye kimo cha 120 m juu ya UB na anwani ya kijiografia ni 45°48′N 15°58′E.

                                               

Zeland

Zeland ni kisiwa kikubwa cha Denmark kilichopo kwenye mashariki ya nchi hiyo. Inatenganishwa na Uswidi kwa mlangobahari wa Oresund upande wa mashariki. Eneo la Zeland ni kilomita za mraba 7.031. Kuna wakazi wapatao 2.268.000 wanaoishi kisiwani ku ...

                                               

Ziwa Peipus

Ziwa Peipus ni ziwa kubwa la maji safi katika Ulaya ya Kaskazini. Liko kwenye mpaka baina ya Estonia na Urusi. Ziwa Peipus ni ziwa la nne kubwa zaidi Ulaya likiwa na eneo la kilomita za mraba 3.500. Kina cha wastani ni mita 7, sehemu ndefu zaidi ...

                                               

Šiprage

Šiprage ni mji wa Bosnia na Herzegovina. Mwaka 2003 ilikuwa na wakazi lakhi tatu. Mji uko kando ya mto Vrbanje kwenye bonde la milima ya Dinari. Šiprage ina sifa ya ushirikiano mwema kati ya watu wa dini na madhehebu mbalimbali kwa karne nyingi. ...

                                               

Fransi

Fransi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 87 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 223. Alama yake ni Fr. Fransi ni elementi nururifu sana.

                                               

Gigawati

Gigawati ni kizio cha nguvu kinacholingana na wati bilioni moja. Kizio hiki hutumika kutaja uwezo wa vituo vikubwa vya kuzalisha umeme au tabia ya mtandao wa umeme kieneo. Kwa mfano kituo kikubwa cha nyuklia nchini Ubelgiji huwa na uwezo wa kutoa ...

                                               

Mwanga wa jua

Mwanga wa jua ni mionzi isiyoonekana ya umeme ambayo hutolewa na jua. Kwenye dunia, mwanga wa jua huchujwa kupitia anga ya dunia iitwayo ya ozoni na ni dhahiri kwamba mchana, wakati jua lipo juu ya upeo wa macho, mionzi ya jua haitufikii moja kwa ...

                                               

Neptuni (elementi)

Neptuni ni elementi katika mfumo radidia yenye alama Np. Namba atomia ni 93 na uzani atomia ni 237. Jina limechaguliwa kutokana na sayari Neptun. Neptuni ni metali na elementi ya tamburania. Kwa sababu hii haipatikani duniani kiasili isipokuwa kw ...

                                               

Plutoni

Plutoni ni elementi katika mfumo radidia yenye alama Pu. Namba atomia ni 94 na uzani atomia ni 244. Jina limechaguliwa kutokana na sayari kibete Pluto. Plutoni ni metali nururifu. Kiasili inatokea katika viwango vidogo sana penye madini ya urani ...

                                               

Poloni

Poloni kutoka kilatini Polonia kwa nchi ya Poland ni nusumetali au metaloidi nururifu yenye namba atomia 84 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 209. Poloni ni elementi nururifu sana na hatari kwa afya. Isotopi inayopatikana zaidi ni 210 Po yeny ...

                                               

Ubaridi

Ubaridi ni uwepo wa hali ya chini ya halijoto katika kitu fulani au eneo fulani, lakini hasa katika angahewa. Katika hali ya kawaida baridi huwa ni hali ya mtazamo binafsi. Mpaka wa chini kabisa wa baridi ni sifuri halisi ambayo katika skeli ya K ...

                                               

Umemejua

Umemejua ni teknolojia inayobadilisha nishati ya nuru ya jua kuwa umeme. Umemejua ni matumizi ya pekee ya umemenuru yaani mchakato wa kutumia nguvu ya mnururisho wa sumakuumeme. Umemejua ni njia mojawapo ya kutumia nishati ya jua; mbinu nyingine ...

                                               

Umemenuru

Umemenuru ni umeme unaopatikana kutokana na nishati ya nuru hasa au kwa jumla kila aina ya mnururisho wa sumakuumeme. Badiliko hili linatokea katika seli zinazojulikana mara nyingi kama seli za sola. Seli ya umemenuru inatoa mkondo wa takriban nu ...

                                               

Kiwango cha vifo

Kiwango cha vifo ni kipimo. Kinataja idadi ya vifo katika kundi fulani la watu katika kipindi maalum. Mara nyingi hutajwa kama idadi ya vifo katika kundi la watu 1.000 kwa mwaka. Kiwango cha vifo 9 kwa 1.000 kinamaanisha kuna watu 9 waliofariki k ...

                                               

Kumi na mbili

Kumi na mbili ni namba inayoandikwa 12 kwa tarakimu za kawaida na XII kwa namba za Kiroma. Ni namba asilia iliyopo kati ya kumi na moja na kumi na tatu. Kwa Kiswahili cha pwani kuna pia neno "thenashara". Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 ...

                                               

Mcheduara

Mcheduara ni gimba la kijiometri linalofanana na kopo au kipande cha pipa. Hivyo jina lake linaeleza ni mche wenye umbo la duara au mviringo. Gimba la mcheduara linapakanwa na miduara bapa miwili inayokaa sambamba na kuwa vitako vyake. Kihisabati ...

                                               

Namba changamano

Namba changamano ni aina ya namba ambazo zina sehemu mbili, ya kwanza ni namba halisi, na ya pili ni namba ya kufikirika tu. Namba changamano zinatumika katika matawi yote ya hisabati, mengi ya fizikia, pia ya uhandisi, hasa wa kielektroni.

                                               

Nne

Nne ni namba ambayo inafuata tatu na kutangulia tano. Kwa kawaida inaandikwa 4 lakini IV kwa namba za Kiroma na ٤ kwa zile za Kiarabu. Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2.

                                               

Saba (namba)

Saba ni namba ambayo inafuata sita na kutangulia nane. Kwa kawaida inaandikwa 7 lakini VII kwa namba za Kiroma na ٧ kwa zile za Kiarabu. 7 ni namba tasa. Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sabini saba mara kumi.

                                               

Tatu

Tatu ni namba ambayo inafuata mbili na kutangulia nne. Kwa kawaida inaandikwa 3 lakini III kwa namba za Kiroma na ٣ kwa zile za Kiarabu. 3 ni namba tasa.

                                               

Trigonometria

Trigonometria ni sehemu ya jiometria, hivyo ni tawi la hisabati. Inatazama habari za pembetatu na uhusiano kati ya pande na pembe. Uhusiano kati ya urefu wa pande na ukubwa wa pembe hufuata kanuni fulani na kwa kujua kanuni hizo inawezekana kukad ...

                                               

Usawa (hisabati)

Usawa katika hisabati unamaanisha ya kwamba kila namba kamili iko katika moja ya makundi mawili: namba shufwa kama 2, 4, 6, 8 au namba witiri kama 1, 3, 5, 7. Kwa hiyo jumla ya namba kamili hugawiwa katika makundi mawili yenye idadi sawa za namba ...

                                               

Agenti (fedha)

Fedha kwa maana ya malipo au sarafu angalia makala ya pesa Fedha ni elementi na metali yenye kifupi cha Ag na namba atomia 47 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 107.86. Ajenti huyeyuka kwa 1234.93 K na kuchemka kwa 2435 K. Kiasili yatokea kama ...

                                               

Aktini

Aktini actinium ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 89 na alama ya Ac. Uzani atomia wa Aktini ni 227. Aktini ni metali yenye rangi ya fedha. Ni nururifu kiasi cha kungaa kwenye giza. Hata kiwango kidogo cha aktini ni hatari kwa afya ya watu ...

                                               

Ambari

Ambari ni kitu chenye rangi ya majivu. Inafanywa na nyangumi tumboni. Ina harufu ya kiundongo inapofanywa lakini baada ya wakati hupata harufu tamu kama manukato ya alkoholi ethili. Hutumiwa kwa kutengeneza marashi.

                                               

Ameriki

Ameriki ni elementi ya kimetali yenye alama Am na namba atomia 95. Kwenye jedwali la elementi inahesabiwa ndani ya kundi la aktinidi. Ni metali laini yenye rangi ya kijivu-kifedha lakini inaoksidika haraka ikifunikwa na tabaka la oksidi kijivu-ny ...