ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 107
                                               

Rodi

Rhodi pia: Rodi - kutoka Kigiriki rhodeos, "nyekundu kama waridi" kwa sababu kampaundi zake mara nyingi huwa na rangi nyekundu ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Rh na namba atomia 45 katika mfumo ra ...

                                               

Rubidi

Kali potasiamu ni metali laini sana inayochemka kwa sentigredi 39 tayari. Rangi yake ni nyeupe-fedha. Haipatikana kiasili kama metali tupu kwa sababu humenyuka haraka na kuoksidika hewani. Inamenyuka vikali sana na oksijeni na kuwaka peke yake ik ...

                                               

Rutheni

Hutokea katika mitapo ya platini au pamoja na madini mengine ya elementi za kundi ya 10 katika mfumo radidia. Rutheni ni metali ngumu na kechu yenye rangi nyeupe-kijivu inayopatikana kama fuwele.

                                               

Seaborgi

Seaborgi kwa Kiingereza: seaborgium ni elementi sintetiki iliyo na alama Sg na namba atomia 106. Imepokea jina lake kwa heshima ya mwanakemia wa Marekani Glenn T. Seaborg. Ilhali ni elementi sintetiki, haitokei kiasili katika mazingira yetu lakin ...

                                               

Seleni

Seleni ni elementi simetali yenye namba atomia 34 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 78.96. Alama yake ni Se. Kwenye hali sanifu ni imara. Ni haba sana duniani lakini imo ndani ya seli za mada hai. Hupatikana kwa maumbo mbalimbali yenye tabia t ...

                                               

Skeli ya ugumu ya Mohs

Skeli ya ugumu ya Mohs ni skeli ya kupima ugumu wa madini iliyobuniwa na Friedrich Mohs, mtaalamu wa madini kutoka Ujerumani. Mohs alibuni skeli yake inayofafanua ugumu wa madini ikilinganisha jinsi madini ya aina moja yanavyoweza kukwaruza mengi ...

                                               

Stibi

Antimon au Stibi kutoka kigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 51 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 121.760.

                                               

Sulfuri

Sulfuri pia salfa au kibiriti, ing. sulfur ni elementi simetali yenye namba atomia 16 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 32.065. Alama yake ni S. Kwenye hali sanifu ni imara kuwa fuwele zenye rangi ya njano.

                                               

Tali

Tali ni elementi. Namba atomia yake ni 81 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 204.3833. Jina limepatikana kutoka kwa Kigiriki θαλλος thallos "chipuko bichi" au "chipuko chenye rangi ya kijani" kutokana na rangi ya kijani ya moto kama tali imo.

                                               

Tantali

Tantali ni metali ngumu yenye rangi ya buluu-kijivu. Tabia zake zafanana sana na Niobi. Tantali tupu inayokaa hewani inapata ganda la oksidi lenye rangi ya kijivu-buluu. Metali haimenyuki haraka. Chini ya sentigredi 150 haiathiriwi sana hata na a ...

                                               

Teluri

Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.

                                               

Terbi

Terbi terbium, pia taribi ni elementi ya kimetali yenye alama Tb na namba atomia 65, maana yake kiini cha Terbi kina protoni 65 ndani yake. Uzani atomia ni 158.925. Katika jedwali la elementi inahesabiwa kati ya lanthanidi na metali za ardhi adim ...

                                               

Thori

Thori thorium ni elementi ya kimetali yenye alama Th na namba atomia 90. Thori safi ni metali laini yenye rangi ya kifedha-kijivu; baada ya kukaa hewani inaelekea polepole kuwa nyeusinyeusi. Iligunduliwa Norwei na kupewa jina lake Uswidi mwaka 18 ...

                                               

Titani

Titani ni elementi na metali yenye namba atomia 22 na alama Ti katika mfumo radidia wa elementi. Ni elementi mpito inayotafutwa sana kwa sababu ni nyepesi na imara sana na haiathiriwi rahisi kikemia, yaani haishikwi na kutu. Kwa hiyo inatumiwa ka ...

                                               

Topazi

Topazi ni madini ambayo kikemia fomula yake ni Al 2 SiO 4 2. Ni kati ya madini magumu zaidi 8/10. Kutokana na ugumu na uangavu wake, pamoja na rangi zake mbalimbali, imetumika sana kama kito. Inatajwa na Biblia pia.

                                               

Ununheksi

Ununhexi ni elementi sintetiki yenye namba atomia 116 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni takriban 289 - 302. Alama yake ni Uuh. Si rahisi kutaja tabia zalke kwa sababu imetengenezwa mara mbili tu katika maabara kama atomi moja-moja.

                                               

Urani

Urani kwa Kiingereza uranium ni elementi katika mfumo radidia yenye alama U. Namba atomia ni 92 na uzani atomia ni 238. Atomi yake ina protoni 92 na elektroni 92. Jina limechaguliwa kutokana na sayari iliyoitwa Uranus kwa kumbukumbu ya mungu mmoj ...

                                               

Wolframi

Wolframi ni metali yenye namba atomia 74 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 189.84. Alama yake ni W. Wolframi ina kiwango cha kuyeyuka cha juu kabisa kati ya metali zote. Matumizi yake ni hasa kwa taa pia katika aloi za feleji.

                                               

Ytri

Yttri ni elementi na metali yenye kifupi Y na namba atomia 39 katika mfumo radidia. Kiasili haipatikani kama elementi peke yake ila tu katika hali ya kampaundi na elementi mbalimbali. Baada ya kutolewa katika mchanganyiko na kusafishwa rangi yake ...

                                               

Zebaki

Kwa Zebaki kama jina la sayari angalia Utaridi Zebaki jina la kisayansi: hidragiri ni elementi na metali duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Hg na namba atomia 80 katika mfumo radidia.

                                               

Zinki

Zinki ni elementi yenye namba atomia 30 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 65.409. Alama yake ni Zi. Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi ya buluu-nyeupe. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1.180 C°. Hupatikana ndani ya madini, haitoke ...

                                               

Zirikoni

Zirikoni ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 40 katika mfumo radidia. Hutokea ndani ya mitapo na rangi yake ni nyeupe-kijivu ikisafishwa.

                                               

Zumaridi

Zumaridi ni kito adimu chenye rangi ya kijani kilichokoza na thamani kubwa. Inatumiwa kwa mapambo ya kila aina. Kikemia ni umbo la fuwele la madini ya berili. Ugumu wake kwenye skeli ya Mohs ni 7.5–8.

                                               

Giriama

Wagiriama ni mojawapo ya makabila tisa ya Wamijikenda. Wamijikenda ni wakazi wa ukanda wa pwani ya Kenya kutoka Lamu, mji ulio kaskazini mwa Kenya, hadi kusini mpaka wa Kenya na Tanzania, na wastani wa kilomita 30 ufuoni. Wamijikenda huzungumza l ...

                                               

Waidakho

Waidakho ni miongoni mwa makundi madogo ya kabila la Abaluhya wanaokalia eneo la rutuba nyingi la Kaunti ya Kakamega, Magharibi mwa Kenya. Eneo wanalokalia Waidakho linajulikana kiutawala kama Ikolomani, ambalo ndilo jimbo la uchaguzi pekee katik ...

                                               

Wakalenjin

Wakalenjin ni kundi la makabila ya magharibi mwa Kenya, hasa katika uliokuwa mkoa wa Bonde la Ufa, wanaoongea lugha za Kiniloti zilizo karibu. Wasemaji wa lugha hizo wako pia Tanzania na Uganda. Kati ya vikundi hivi ni Waelgeyo, Wakipsigis, Wamar ...

                                               

Kamatimu

Kamatimu kati ya Wagikuyu ni jina la wanaume ambao bado hawajajiunga na jamii ya wazee, adhuri. Sherehe maarufu ya "Mburi ya Kiama" huwa fursa ya Kamatimu kuoredheshwa kama mzee. Katika sherehe hizi mbuzi wawili huchinjwa kama ishara ya ombi na k ...

                                               

Wakamba

Wakamba ni kabila la watu wa Kenya wakikalia eneo la Ukambani kati ya Nairobi, Voi na kati ya mlima Kenya na mlima Kilimanjaro. Wakamba ni kabila kubwa la nne nchini Kenya. Hutumia lugha ya Kikamba ambacho ni lugha ya Kibantu karibu na Kigikuyu, ...

                                               

Wakisii

Wakisii ni kabila la Kibantu ambao hukaa katika kaunti ya Kisii, magharibi mwa Kenya. Mji wa Kisii - unaojulikana na wakazi wake kama Bosongo au Getembe - uko kusini magharibi mwa Kenya na ni nyumbani kwa watu wa asili ya Gusii. Jina Bosongo lili ...

                                               

Abakuria

Abakuria ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika kaunti ya Migori katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005, idadi ya Abakuria ilikadiriwa k ...

                                               

Waluo

Waluo ni kabila kutoka Sudan Kusini. Wako hasa magharibi mwa Kenya, kaskazini mwa Uganda na mashariki mwa Tanzania katika Mikoa ya Mara na Mwanza. Nchini Kenya ni kabila la nne kwa wingi wa watu. Inawezekana katika nchi hizo kwa jumla wamezidi mi ...

                                               

Waogiek

Waogiek, ni kabila la Waniloti linalopatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania, kusini mwa Kenya, na magharibi mwa Kenya. Mnamo mwaka wa 2000 idadi ya Waogiek ilikadiriwa kuwa 36.869, ingawa waongeaji wa lugha ya Kiakiek, mojawapo ya lugha za Kin ...

                                               

Wasuba (Kenya)

Wasuba ni kabila la watu nchini Kenya wanaoongea lugha ya Kisuba japo wengi wao huongea Kijaluo. Kwa hakika jina Suba nchini Kenya hutumika kurejelea makundi matatu tofauti ya watu wanaoishi kusini magharibi mwa Kenya katika eneo la Nyanza Kusini ...

                                               

Waswahili

Waswahili ni jina la kutaja wakazi wa miji ya pwani ya Bahari Hindi katika Afrika ya Mashariki, hasa Tanzania na Kenya, ambao ni wasemaji asili wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya kwanza. Neno "Swahili" linatokana na Kiarabu "سواحل" sawahil yaani ...

                                               

Wataita

Wataita ni kabila nchini Kenya wanaokaa katika kaunti ya Taita-Taveta. Wao huongea Kitaita ambacho ni miongoni mwa lugha za Bantu. Wakiwa Bantu wa Magharibi walihamia wilaya hiyo kwa mara ya kwanza miaka ya 1000-1300 BK Wataita walihamia Kenya ku ...

                                               

Waata

Waata ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale pwani ya Kenya. Wanakadiriwa kuwa 13.000. Lugha mama yao ni Kiwaata, mojawapo kati ya lugha za Kikushi. Wana undugu wa asili na Waaweer na Wadahalo nao wote wanaitwa Wasanye.

                                               

Waaweer

Waaweer ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale misitu ya pwani ya Kenya na Somalia kusini. Wanakadiriwa kuwa 8.000 Lugha mama yao ni Kiaweer, mojawapo kati ya lugha za Kikushi. Wengi wao ni Waislamu. Wana undugu wa asili na Wad ...

                                               

Waborana

Waborana Oromo ni kabila lipatikanalo Kusini mwa Ethiopia, Oromia na Kaskazini mwa Kenya ambao wanajulikana kuwa wafugaji. Wao ni kundi dogo la Waoromo. Wanawakilisha nusu ya makundi mawili ya Waoromo asili, nusu nyingine ikiwa Wabarentu. Takriba ...

                                               

Wabukusu

Wabukusu ni kati ya koo kubwa za Waluhya katika magharibi ya Kenya na mashariki-kusini ya Uganda kwenye mitelemko ya mlima Elgon. Eneo lao katika Kenya ni hasa kaunti ya Bungoma. Wako pia Kitale huko Bonde la Ufa. Idadi yao ilikadiriwa kuwa karib ...

                                               

Waburji

Waburji ni kabila la watu ambao wanaishi nchini Ethiopia na Kenya na kuzungumzwa Kiburji, mojawapo kati ya lugha za Kikushi. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiburji nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 35.700. Pia kuna wasemaji 10.400 nchini ...

                                               

Wachonyi

Wachonyi ni mojawapo kati ya makabila tisa ya pwani ya Kenya. Hupatikana katika maeneo ya Mtwapa hadi kupakana na Wagiryama upande wa Kaloleni na upande wa Kilifi. Wachonyi ni watu ambao huishi kwa pamoja kama familia na pia hukubali wanaume kuoa ...

                                               

Wachuka

Wachuka ni kabila la watu wa Kenya wanaoongea Kichuka, lahaja ya Kimeru. Wanaishi upande wa kusini mashariki wa Mlima Kenya, kati ya mto Thuci na mto Nithi kaunti ya Tharaka-Nithi.

                                               

Wadaasanach

Wadaasanach ni kabila la watu wa jamii ya Waniloti wanaoishi karibu na ziwa Turkana katika nchi tatu: Ethiopia, Kenya na Sudan Kusini. Lugha yao ni Kidaasanach, mojawapo kati ya lugha za Kikushi. Pamoja na kuendeleza desturi ya ufugaji, siku hizi ...

                                               

Wadahalo

Wadahalo ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale pwani ya Kenya. Wanakadiriwa kuwa chini ya 1.000. Lugha mama yao ni Kidahalo, mojawapo kati ya lugha za Kikushi ambayo ina sifa za pekee kabisa katika ya lugha zote duniani. Wana ...

                                               

Wadorobo

Wadorobo au Wandorobo ni wawindaji-wakusanyaji wenye asili ya kuishi porini nchini Kenya na Tanzania. Jina hilo linatokana na Kimasai likimaanisha "wawindaji", yaani watu wanaoishi bila kumiliki mifugo. Wengi wao wanaishi kwa kushirikiana na Wama ...

                                               

Wakabras

Wakabras ni kati ya koo kubwa za Waluhya katika magharibi ya Kenya na mashariki ya Uganda. Wakabaras ni watu wanaoongea lugha ya kabila la Bantu. Wakabaras wanakaa zaidi katika kaunti ya Kakamega katika magharibi ya Kenya, lakini wanaishi katika ...

                                               

Wakauma

Wakauma ni mojawapo kati ya makabila tisa ya pwani ya Kenya. Wakauma wanapakana na Wachonyi na lugha zao zinakaribiana sana ukilinganisha na Wamijikenda wengine.

                                               

Wakore

Wakore ni kabila dogo la jamii ya Wamasai wanaoishi kaskazini mwa Kenya katika kisiwa cha Lamu. Lugha yao ni Kisomali, mojawapo kati ya lugha za Kikushi.

                                               

Waluhya

Waluhya ni kabila kubwa la pili katika Kenya wakikalia hasa upande wa Magharibi. Wako pia Uganda na Tanzania. Jumla yao inakadiriwa kuwa milioni 5.3. Katika Kenya kuna koo 18, Uganda koo 4 na Tanzania ukoo mmoja wa Kiluhya. Koo kubwa zaidi ni Wab ...

                                               

Wamalakote

Wamalakote ni kabila la watu wa jamii ya Wabantu wanaoishi nchini Kenya, katika kaunti ya Tana River. Lugha yao ni Kiilwana, mojawapo kati ya lugha za Bantu ila iliathiriwa na Kioromo ambacho ni lugha ya Kikushi.