ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 108
                                               

Uhusika milikishi

Uhusika milikishi ni istilahi ya sarufi za lugha za Kihindi-Kiulaya na nyinginezo inayotaja hali ya neno, hasa nomino, kuwa na nomino nyingine. Katika Kiswahili hali kama hii inatajwa kwa kutumia -a kama kiunganishi, kwa mfano "nyumba ya baba"; k ...

                                               

Kiulau-Suain

Kiulau-Suain ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasuain. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiulau-Suain imehesabiwa kuwa watu 2800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulau-Suain iko katika kundi ...

                                               

Kiuma-Lasan

Kiuma-Lasan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wauma kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiuma-Lasan nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 1500. Pia kuna wasemaji 1250 nchini Mal ...

                                               

Kiumanakaina

Kiumanakaina ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waumanakaina. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiumanakaina imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiumanakaina iko ka ...

                                               

Kiumbindhamu

Kiumbindhamu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waumbindhamu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiumbindhamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndan ...

                                               

Kiunggaranggu

Kiunggaranggu kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Waunggaranggu katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiunggaranggu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa ...

                                               

Kiurak-Lawoi

Kiurak-Lawoi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Uthai inayozungumzwa na Waurak-Lawoi. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiurak-Lawoi imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiurak-Lawoi iko katika kundi la Kim ...

                                               

Kiuripiv-Wala-Rano-Atchin

Kiuripiv-Wala-Rano-Atchin ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wauripiv-Wala-Rano na Waatchin kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiuripiv-Wala-Rano-Atchin imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na ...

                                               

Kiurningangg

Kiurningangg kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Waurningangg katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiurningangg ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ...

                                               

Kiuruangnirin

Kiuruangnirin ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauruangnirin kwenye kisiwa cha Karas. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiuruangnirin imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiu ...

                                               

Kiuyghur

Kiuyghur ni lugha ya Kiturki nchini Uchina, Kazakhstan, Uzbekistan, Mongolia na Uturuki inayozungumzwa na Wauyghur. Ni lugha rasmi katika jimbo la Xinjiang, nchini Uchina. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiuyghur nchini Uchina imehesabiwa kuwa ...

                                               

Kivenen-Taut

Kivenen-Taut ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wavenen-Taut kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kivenen-Taut imehesabiwa kuwa watu 3350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivenen ...

                                               

Kivaagri-Booli

Kivaagri-Booli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavaagri-Booli. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kivaagri-Booli imehesabiwa kuwa watu 9300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivaagri-Booli iko katika kundi la Kiaryan.

                                               

Kivaeakau-Taumako

Kivaeakau-Taumako ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wavaeakau-Taumako kwenye kisiwa cha Matema, Taumako, Nupani, Nukapu, Pileni na Nifiloli. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kivaeakau-Taumako imehesabiwa kuwa ...

                                               

Kivarhadi-Nagpuri

Kivarhadi-Nagpuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavarhadi-Nagpuri. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kivarhadi-Nagpuri imehesabiwa kuwa watu 6.970.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivarhadi-Nagpuri iko katika ...

                                               

Kivemgo-Mabas

Kivemgo-Mabas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wavemgo-Mabas. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kivemgo-Mabas nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 10.000; pia kuna wasemaji 5000 nchini Kamerun. Kufuatana na ...

                                               

Kivietnam

Kivietnam ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam, Kamboja na Uchina inayozungumzwa na Wavietnam. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kivietnam imehesabiwa kuwa watu milioni 65.8 nchini Vietnam na 7200 nchini Uchina. Pia kuna wasemaji 72.800 ...

                                               

Kiwahgi-Kaskazini

Kiwahgi ya Kaskazini ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawahgi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwahgi ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 47.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwahg ...

                                               

Kiwalmajarri

Kiwalmajarri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawalmajarri katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwalmajarri 510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, K ...

                                               

Kidogon, Walo Kumbe

Kiwalo-Kumbe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiwalo-Kumbe imehesabiwa kuwa watu 2.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwalo-Kumbe iko katika kundi la Kidogon.

                                               

Kiwanggamala

Kiwanggamala kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawanggamala katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwanggamala ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa ...

                                               

Kiwangganguru

Kiwangganguru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawangganguru katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwangganguru ilitoweka. Kufuatana na uainishaji ...

                                               

Kiwangkumara

Kiwangkumara ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawangkumara katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2004, shirika la AUSTLANG lilitoa ripoti kudai kwamba idadi ya wasemaji wa Kiwangkumara ni watu 100, wote wazee, yaani lu ...

                                               

Kiwar-Jaintia

Kiwar-Jaintia ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wawar-Jaintia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiwar-Jaintia nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 25.900. Pia kuna wasemaji 16.000 nchini Bangladesh. Kufu ...

                                               

Kiwaray-Waray

Kiwaray-Waray ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wawaray-Waray. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwaray-Waray imehesabiwa kuwa watu 2.560.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaray-Waray iko katika ...

                                               

Kiwariyangga

Kiwariyangga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawariyangga katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwariyangga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa ...

                                               

Kiwarkay-Bipim

Kiwarkay-Bipim ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawarkay-Bipim. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwarkay-Bipim imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarkay-Bipim iko kat ...

                                               

Kiwarwar-Feni

Kiwarwar-Feni ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawarwar kwenye visiwani vya Feni. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwarwar-Feni imehesabiwa kuwa watu 2100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, K ...

                                               

Kiwatakataui

Kiwatakataui ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawatakataui. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiwatakataui imehesabiwa kuwa watu 350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwatakataui iko katika kundi l ...

                                               

Kiwathawurrung

Kiwathawurrung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawathawurrung katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwathawurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugh ...

                                               

Kiwatut-Kaskazini

Kiwatut ya Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawatut. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiwatut ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 630. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwatut ya Kas ...

                                               

Kiwatut-Kati

Kiwatut ya Kati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawatut. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiwatut ya Kati imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwatut ya Kati iko kat ...

                                               

Kiwatut-Kusini

Kiwatut ya Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawatut. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiwatut ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 890. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwatut ya Kusini ik ...

                                               

Kiwaxianghua

Kiwaxianghua ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiwaxianghua imehesabiwa kuwa watu laki tatu. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani. Wengine huiangalia kuhusiana na Kimiao ...

                                               

Kiwemba-Wemba

Kiwemba-Wemba kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawemba-Wemba katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwemba-Wemba, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa nda ...

                                               

Kiwik-Iiyanh

Kiwik-Iiyanh ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 1981, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Iiyanh ilihesabiwa kuwa watu 40 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na ...

                                               

Kiwik-Keyangan

Kiwik-Keyangan kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwik-Keyangan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani z ...

                                               

Kiwik-Meanha

Kiwik-Meanha ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 1981, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Meanha ilihesabiwa kuwa watu 12 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na ...

                                               

Kiwik-Mungkan

Kiwik-Mungkan ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Mungkan ilihesabiwa kuwa watu 1060. Tena kuna watu 500 ambao hutumia Kimungkan ka ...

                                               

Kiwik-Ngathana

Kiwik-Ngathana ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Ngathana ilihesabiwa kuwa watu 100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-N ...

                                               

Kiwikngenchera

Kiwikngenchera ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, idadi ya wasemaji wa Kiwikngenchera ilihesabiwa kuwa watu 30 tu, na wasemaji wengi wameacha lugha yao ya kwanza na kutum ...

                                               

Kiwoiwurrung

Kiwoiwurrung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawurundjeri katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwoiwurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ...

                                               

Kiwolofu

Kiwolofu ni lugha iongewayo nchini Senegal, Gambia, na Mauritania. Ni lugha rasmi kwa Wawolofu. Lugha hii ipo kama lugha jirani ya Fula inayohesabiwa kati ya lugha za Kiatlantiki cha familia ya lugha za Niger-Kongo. Kiwolofu ni lugha inayoongelew ...

                                               

Kiworodougou

Kiworodougou ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote dIvoire inayozungumzwa na Waworodougou. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiworodougou imehesabiwa kuwa watu 80.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiworodougou iko katika kun ...

                                               

Kiwotjobaluk

Kiwotjobaluk kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawotjobaluk katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwotjobaluk ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ...

                                               

Kiwuvula-Aua

Kiwuvulu-Aua ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawuvulu na Waaua kwenye visiwa vya Wuvulu, Aua, Durour na Maty. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiwuvulu-Aua imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji ...

                                               

Kiwe-Magharibi

Kiwè-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote dIvoire inayozungumzwa na Wawè. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiwè-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 25.200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwè-Magharibi iko katika kundi ...

                                               

Kimiao cha Xiangxi ya Magharibi

Kixiangxi ya Magharibi ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kixiangxi ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 820.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kixiangxi ya Magharibi iko katika k ...

                                               

Kimiao cha Xiangxi ya Mashariki

Kixiangxi ya Mashariki ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kixiangxi ya Mashariki imehesabiwa kuwa watu 80.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kixiangxi ya Mashariki iko katika ku ...

                                               

Kiyabula-Yabula

Kiyabula-Yabula kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayabula-Yabula katika majimbo ya New South Wales na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyabula-Yabula, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na ...