ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 116
                                               

Historia ya Singapore

Historia ya Singapore inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Singapura. Kisiwa hicho kiliwahi kuwa na makazi mbalimbali katika historia. Mji wa kisasa ulianzishwa mwaka 1819 na Waingereza kama kituo cha biashara ikawa bandari muhimu ya eneo. ...

                                               

Historia ya Slovakia

Historia ya Slovakia inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Slovakia. Kwa sehemu kubwa ya historia yake hadi mwaka 1918 Slovakia ilikuwa chini ya watawala wa ukoo wa Habsburg waliokuwa wafalme na makaisari wa Austria. Baada ya vita vik ...

                                               

Historia ya Slovenia

Historia ya Slovenia inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Slovenia. Waslavi walihamia Slovenia ya leo katika karne ya 6 BK na kuipatia jina hilo. Tangu zamani wakazi waliishi chini ya utawala wa madola mbalimbali kama vile Dola la Ro ...

                                               

Historia ya Somalia

Historia ya Somalia inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Somalia. Nchi iliunganika mwaka 1960, kutokana na makoloni mawiliː ya Waitalia kusini na Waingereza kaskazini. Baada ya mwaka 1991 nchi ya Somalia ili ...

                                               

Historia ya Sudan

Nchi ilikuwa na makazi ya kudumu kuanzia milenia ya 8 KK. Katika milenia ya 5 KK watu walizidi kuhama Sahara ikigeuka jangwa wakasogea katika eneo la Sudan ya sasa bonde la mto Nile. Mchanganyiko wa watu hao uliunda ufalme wa Kush kwenye 1700 KK. ...

                                               

Historia ya Sudan Kusini

Kuna nyaraka chache sana za historia ya mikoa ya kusini mpaka mwanzo wa utawala wa Misri upande wa kaskazini mapema 1820 na baadaye kuendelezwa kwa biashara ya utumwa kuingia kusini. Kabla ya wakati huo, habari zote zinapatikana kwa misingi ya hi ...

                                               

Historia ya Syria

Tangu mwaka 1000 KK hivi kulikuwa na ufalme wa Aramu unaotajwa mara nyingi katika Biblia pia, ukiwa na makao makuu mjini Dameski. Baada ya kushindana mara nyingi na Israeli ulikwisha katika vita dhidi ya Assyria mwaka 732 KK.

                                               

Historia ya Tajikistan

Historia ya Tajikistan inahusu historia ya eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Tajikistan. Eneo hilo lilitawaliwa na madola mbalimbali, hasa na Uajemi. Uislamu ulifika huko mnamo mwaka 800 BK. Mwaka 1868 Tajikistan ilivamiwa na Urusi na kuwa sehe ...

                                               

Historia ya Tanzania

Nchi ina mabaki ya kale sana ya zamadamu kiumbe aliyekaribiana na binadamu kwa umbile. Sehemu ya Bonde la Ufa, kama Bonde la Oltupai zamani Olduvai Gorge lililoko ndani ya hifadhi ya Serengeti, ndiko kulikogunduliwa masalia ya viumbe wa jamii ya ...

                                               

Historia ya Timor Mashariki

Historia ya Timor Mashariki inahusu historia ya eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Timor Mashariki. Kisiwa cha Timor kilikuwa kituo cha biashara cha Wareno tangu karne ya 16. Visiwa vingine vya Indonesia ya leo vilivamiwa na Waholanzi na Timor i ...

                                               

Historia ya Togo

Historia ya Togo inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Togo. Nchi ilianzishwa kama koloni la Togo ya Kijerumani katika pengo kati ya maeneo ya Uingereza na Ufaransa. Baada ya Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia k ...

                                               

Historia ya Turkmenistan

Historia ya Turkmenistan inahusu historia ya eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Turkmenistan. Turkmenistan ilitwaliwa na Urusi tangu mwisho wa karne ya 19 ikaingia hivyo katika Umoja wa Kisovyeti baada ya mwaka 1917 na kuwa jamhuri ndani yake kw ...

                                               

Historia ya Ubelgiji

Historia ya Ubelgiji inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme wa Ubelgiji. Jina la "Belgii" lilikuwa jina la wakazi wa kale wa kaskazini mwa Gallia, na Gallia Belgica ilikuwa jimbo la Dola la Roma. Wakati wa Zama za Kati maeneo yake yalikuwa ...

                                               

Historia ya Ucheki

Historia ya Ucheki inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Ucheki. Katika karne ya 7 nchi ilikuwa ufalme wa Moravia kuu. Historia ya jamhuri ya Ucheki yenyewe si ndefu, tukiangalia tangu nchi hiyo kupokea uhuru kamili mwaka 1993 hadi le ...

                                               

Historia ya Ufilipino

Historia ya Ufilipino inahusu historia ya visiwa ambavyo leo vinaunda jamhuri ya Ufilipino. Wanegritos ni kati ya wakazi asilia ya funguvisiwa hilo, wakifuatwa na Waaustronesia. Baadaye kukawa na athira ya Wachina, Wamalay, Wahindi na Wamori. Mwa ...

                                               

Historia ya Ugiriki

Historia ya Ugiriki inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Ugiriki. Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".

                                               

Historia ya Uholanzi

Historia ya Uholanzi inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme wa Uholanzi. Kisha kutekwa na Julius Caesar katika karne ya 1 KK, kusini mwa nchi ikawa mpaka wa kaskazini wa Dola la Roma hadi lilipokoma karne ya 5. Baadaye nchi ilivamiwa na ma ...

                                               

Historia ya Ukraine

Ukraine ulianza polepole pamoja na Urusi huko makabila ya wasemaji wa Kislavoni cha Mashariki walikoanza kujenga maeneo yao kuanzia karne ya 8 BK. Waviking waliunda dola la kwanza katika eneo la Kiev, wakalitawala kama dola la Kislavoni. Wenyewe ...

                                               

Historia ya Ureno

Katika karne za KK Ureno ilikaliwa na makabila yaleyale ya Wakelti kama Hispania. Waroma walitaja eneo lote la Ureno na Hispania ya leo kwa jina la "Iberia". Tangu mwaka 450 KK sehemu za nchi zilitawaliwa na Wafinisia wa Karthago, na baada ya mwa ...

                                               

Historia ya Uswidi

Wakazi hao walikuwa makabila ya Kigermanik kama wakazi wote waliowafuata. Huko Roma Tacitus aliandika juu yao mwaka 98 BK. Kati ya karne ya 8 hadi ya 11 waliitwa mara nyingi "Waviking" wakiogopwa na wenyeji wa Ulaya bara kwa sababu Waviking waliv ...

                                               

Historia ya Uswisi

Historia ya Uswisi inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Uswisi. Shirikisho la Uswisi lilianza mwaka 1300 hivi kutokana na ushindi vitani dhidi ya Austria na Burgundy. Uhuru wa shirikisho kutoka Dola Takatifu la Kiroma ulitambuliwa ra ...

                                               

Historia ya Uthai

Historia ya Uthai inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Uthai. Uthai ilikuwa nchi pekee ya Asia Kusini Mashariki iliyofaulu kukwepa ukoloni. Nchi iliitwa rasmi Siam สยาม hadi mwaka 1939, tena kati ya 1945 na 1949. Neno Thai ไทย linamaanisha ...

                                               

Historia ya Uzbekistan

Historia ya Uzbekistan inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Uzbekistan. Uzbekistan ni nchi yenye historia ndefu. Ferghana, Tashkent, Bukhara, Khwarezm na Samarkand zilikuwa vitovu vya utamaduni wa binadamu tangu milenia ya 2 KK. Katika kar ...

                                               

Historia ya Vietnam

Vietnam ilitawaliwa kwa karne kadhaa kutoka China kuanzia karne ya 2 KK. Athira ya utamaduni Wa China ilibaki muhimu hata katika uhuru. Katika karne ya 18 nchi iliunganishwa chini ya makaisari wa mji wa Hue.

                                               

Historia ya Wasangu

Historia ya Wasangu inahusu kabila hilo la watu ambao inasemekana wametokana na jamii za Wahehe, Wasafwa, Wabena, Wanyakyusa na kidogo jamii ya Wangoni. Hata hivyo wengine wanasema huo ni upotoshaji mkubwa na kuna tofauti kubwa kati ya Kisangu na ...

                                               

Historia ya Yemen

Historia ya Yemen inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Yemen. Hadi mwaka 1990 palikuwa na nchi mbili za Yemen Kaskazini na Yemen Kusini. Ile ya kaskazini ilikuwa Ufalme wa Yemen baada ya Imamu Yahya Muhamad wa kundi la Zaidiya kuvamia vela ...

                                               

Historia ya Yordani

Historia ya Yordani inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Yordani. Nchi ya sasa ilianzishwa kwa jina la "Transjordan" ngambo ya mto Yordani kama sehemu ya eneo la Palestina lililotawaliwa na Uingereza kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa baada ...

                                               

Historia ya Zambia

Historia ya Zambia inahusu eneo la Kusini mwa Afrika ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Zambia. Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza za milenia ya 1 BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi ...

                                               

Historia ya Zimbabwe

Historia ya Zimbabwe inahusu eneo la Kusini mwa Afrika ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Zimbabwe. Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo n ...

                                               

Inka

Inka ilikuwa cheo cha mfalme mkuu au Kaisari wa Dola la Inka katika Peru na nchi jirani. Jina latumiwa pia kwa taifa la Wainka. Kati ya karne za 13 hadi 16 walitawala dola kubwa upande wa magharibi ya Amerika Kusini. Kutoka mwanzo wake katika mil ...

                                               

Jamhuri ya Roma

Jamhuri ya Roma ilikuwa kipindi cha Roma ya Kale ambako mji na milki yake ilitawaliwa kwa mfumo wa jamhuri. Kipindi hiki kilianzia baada ya kufukuzwa kwa mfalme wa mwisho mwaka 509 KK na kwisha katika mabadiliko ya serikali wakati wa Caesar na Au ...

                                               

1 Januari

1956 - Nchi ya Sudani inapata uhuru kutoka Misri na Uingereza 1993 - Nchi ya Chekoslovakia inagawanywa kuwa nchi huru mbili, Ucheki na Slovakia 1984 - Nchi ya Brunei inapata uhuru kutoka Uingereza

                                               

2 Januari

1967 - Tia Carrere, mwigizaji wa filamu kutoka Hawaii 1909 - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani 869 - Yozei, mfalme mkuu wa Japani 884-887 1837 - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi 1988 - Ruth Bosibori, mwanariadha kutoka Kenya

                                               

3 Januari

1196 - Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani 1198-1210 1970 - Boay Akonay, mwanariadha wa Tanzania 1929 - Sergio Leone, muongozaji wa filamu kutoka Italia 1892 - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete 1911 - John Stu ...

                                               

4 Januari

1963 - May-Britt Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014 1642 - Isaac Newton, mwanasayansi maarufu duniani kutoka Uingereza 1980 - Greg Cipes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1940 - Brian Josephson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya F ...

                                               

5 Januari

1938 - Ngugi wa Thiongo, mwandishi Mkenya 1846 - Rudolf Christoph Eucken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1908 1926 - W. D. Snodgrass, mshairi kutoka Marekani 1874 - Joseph Erlanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944 1928 ...

                                               

6 Januari

1945 - Philip Schultz, mshairi kutoka Marekani 1925 - Kim Tae Jung, Rais wa Korea Kusini 1998-2003 1944 - Rolf Zinkernagel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1996 1650 - Mtakatifu Nikolasi Saggio wa Longobardi, mtawa wa shirika la Waminim ...

                                               

7 Januari

1992 - Mbwana Samatta, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania 1502 - Papa Gregori XIII, papa kati ya miaka 1572 na 1585 † 1585, aliyeanzisha Kalenda ya Gregori 1916 - Fernando Sancho, mwigizaji wa filamu kutoka Hispania 1965 - José Manuel Imbamba, ask ...

                                               

8 Januari

1912 - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC 1198 - Uchaguzi wa Papa Inosenti III

                                               

10 Januari

49 KK - Julius Caesar anavuka mto Rubicone na hivyo kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe katika dola la Roma 1920 - Shirikisho la Mataifa linaanza kazi

                                               

11 Januari

1924 - Roger Guillemin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1977 1987 - Jamie Vardy, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza 1897 – Bernard DeVoto, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948 347 - Theodosius Mkuu, Kaisari ...

                                               

12 Januari

1899 - Paul Hermann Müller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1948 1856 - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani 1916 - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini 1990 - Andrey Marcel Ferreira Countinho, mchezaji wa ...

                                               

13 Januari

1957 - Claudia Emerson, mshairi kutoka Marekani 1864 - Wilhelm Wien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911 1901 - Alfred Bertram Guthrie, mwandishi kutoka Marekani 1927 - Sydney Brenner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002 ...

                                               

14 Januari

1702 - Nakamikado, Mfalme Mkuu wa 114 wa Japani 1709-1735 1969 - Jason Bateman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1875 - Albert Schweitzer, daktari na mwanafalsafa kutoka Ufaransa, mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani m ...

                                               

15 Januari

1811 - Mtakatifu Yosefu Cafasso, padri nchini Italia 1866 - Nathan Söderblom, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930 1941 - Captain Beefheart, mwanamuziki kutoka Marekani 1954 - Saningo Kaika Ole Telele, mwanasiasa wa Tanzania 1909 - Gen ...

                                               

16 Januari

1887 - George Kelly, mwandishi kutoka Marekani 1979 - Aaliyah, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1923 - Anthony Hecht, mshairi kutoka Marekani 1882 - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani 1928 - William Kennedy, mwandishi kutok ...

                                               

17 Januari

1964 - Michelle Obama, mke wa rais wa Marekani tangu 2009 1504 - Mtakatifu Papa Pius V 1962 - Jim Carrey, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1942 - Muhammad Ali - aliyekuwa mwanamasumbwi kutoka nchini Marekani

                                               

18 Januari

1535 - Francisco Pizarro anaunda mji wa Lima Peru 1871 - Mfalme Wilhelm I wa Prussia anatangazwa kuwa Kaisari wa Ujerumani mjini Versailles Ufaransa 1701 - Mtemi Friedrich wa Brandenburg Ujerumani anabarikiwa kuwa na cheo cha mfalme katika Prussia

                                               

20 Januari

2009 - Barack Obama ametawazwa kama Rais wa 44 wa Marekani, akiwa wa kwanza mwenye asili ya Afrika Kenya 250 - Kaisari Decius anaanza dhuluma mpya kali dhidi ya Wakristo wa Dola la Roma

                                               

21 Januari

1821 - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani 1857-1861 1851 - Mwenye heri Yosefu Allamano, padri mwanzilishi nchini Italia 1960 - Job Yustino Ndugai, mwanasiasa wa Tanzania 1912 - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964