ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 118
                                               

12 Juni

1910 - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria 1899 - Fritz Lipmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953 1924 - George H. Bush, Rais wa Marekani 1989-1993 1941 - Chick Corea, mwanamuziki kutoka Marekani 950 - Reizei, mfalme mkuu wa Japani ...

                                               

13 Juni

313 - Kaisari Licinius anatangaza upande wa mashariki hati ya Milano inayohakikisha uhuru wa dini katika Dola la Roma baada ya miaka 250 hivi ya dhuluma pengine kali dhidi ya Wakristo

                                               

14 Juni

1924 - James Black, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988 1993 - Thomas Ulimwengu, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania 1946 - Donald Trump, mfanyabiashara na Rais wa Marekani 1868 - Karl Landsteiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka ...

                                               

15 Juni

1856 - Edward Channing, mwanahistoria kutoka Marekani 1979 - Lady Jay Dee, mwanamuziki kutoka Tanzania 1917 - John Fenn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002 1915 - Thomas Weller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954 1933 - G ...

                                               

16 Juni

1971 - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1723 - Adam Smith, mwanafalsafa kutoka Uskoti 1139 - Konoe, mfalme mkuu wa Japani 1142-1155 1897 - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979 1902 - Barbara McClintock, m ...

                                               

17 Juni

1914 – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945 1958 - Mohamed A. Abdulaziz, mwanasiasa wa Tanzania 1920 - Francois Jacob, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965 1603 - Mtakatifu Yosefu wa Kopertino, ...

                                               

18 Juni

1845 - Alphonse Laveran, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907 1987 - Semra Kebede, mwigizaji wa filamu kutoka Ethiopia 1517 - Ogimachi, mfalme mkuu wa Japani 1557-1586 1942 - Roger Ebert, mwandishi wa habari kutoka Marekani 1918 - Jerom ...

                                               

19 Juni

1919 - Placidus Gervasius Nkalanga, askofu Mkatoliki nchini Tanzania 1962 - Paula Abdul, mwanamuziki kutoka Marekani 1945 - Aung San Suu Kyi, mwanasiasa wa Myanmar na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1991 1897 - Cyril Hinshelwood, mshin ...

                                               

20 Juni

1909 - Errol Flynn, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1910 - Josephine Johnson, mwandishi kutoka Marekani 1951 - Paul Muldoon, mshairi kutoka Marekani 1983 - Sylvia Bahame, mrembo wa Tanzania, mwaka wa 2003 1967 - Nicole Kidman 1978 - Frank Lam ...

                                               

21 Juni

1953 - Benazir Bhutto, mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu nchini Pakistan 1973 - Juliette Lewis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1945 - Aloysius Balina, askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania 1905 - Jean-Paul Sartre, mwanafalsafa, mshindi ...

                                               

22 Juni

1939 - Ada Yonath, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2009 1887 - Julian Huxley, mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO 1965 - Uwe Boll, mtayarishaji wa filamu kutoka Ujerumani

                                               

24 Juni

1927 - Martin Perl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995 1883 - Victor Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936 1983 - John Lloyd Cruz, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino 1960 - Siedah Garrett, mwanamuziki kutoka Mar ...

                                               

25 Juni

1911 - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972 1864 - Walther Nernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920 1852 - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania 1913 - Aime Cesaire, mwandishi kutoka Martinique 1907 - ...

                                               

26 Juni

1960 - Kisiwa cha Madagaska kinapata uhuru kutoka Ufaransa 1960 - Somalia ya Kiingereza inapata uhuru kutoka Uingereza 1945 - Umoja wa Mataifa unaanzishwa mjini San Francisco na kuchukua nafasi ya Shirikisho la Mataifa

                                               

27 Juni

1869 - Hans Spemann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935 1880 - Helen Keller, mwandishi asiyeona wala kusikia kutoka nchini Marekani 1930 - Ross Perot, mfanyabiashara na mwanasiasa kutoka Marekani 1869 - Emma Goldman, mwanaharakati wa ...

                                               

28 Juni

1243 - Uchaguzi wa Papa Inosenti IV 1914 - Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria kuuawa mjini Sarajevo - kusababisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia 1919 - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza kati ya Ujerumani na washindi

                                               

29 Juni

1900 - Antoine de Saint-Exupery, mshairi kutoka Ufaransa 1914 - Ellen Kuzwayo, mwandishi kutoka Afrika Kusini 1596 - Go-Mizunoo, mfalme mkuu wa Japani 1611-1629 1832 - Mtakatifu Rafka Petra, mmonaki wa kike wa Lebanon 1910 - Frank Loesser, mtunzi ...

                                               

30 Juni

1951 - Stanley Clarke, mwanamuziki kutoka Marekani 1941 - Otto Sander, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani 1926 - Paul Berg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980 1819 - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani 1877-1881 1966 - Mike Tys ...

                                               

Kambi ya Auschwitz

Kambi ya Auschwitz ilikuwa idadi ya kambi za KZ zilizoanzishwa na serikali ya Ujerumani katika sehemu ya Poland iliyotawaliwa nayo tangu ushindi juu ya Poland katika mwanzo wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Kulikuwa na kambi tatu kubwa pamoja na kamb ...

                                               

Kambi za KZ

Kambi za KZ ni jina la kutaja kambi za wafungwa yaliyotumiwa hasa na Ujerumani wakati wa utawala wa Wanazi miaka 1933 hadi 1945. "KZ" ni kifupi cha neno la Kijerumani "Konzentrationslager". Maana yake ni "Kambi ya kukusanya wafungwa". Wanazi wali ...

                                               

Kamerun ya Kiingereza

Kamerun ya Kiingereza ilikuwa sehemu ya magharibi ya koloni ya awali ya Ujerumani iliendelea kama eneo la kudhaminiwa chini ya Uingereza kuanzia mwaka 1922 hadi 1961. Wakati wa mwisho wa ukoloni wananchi wa sehemu ya kaskazini walipiga kura ya ku ...

                                               

Karne ya 1 KK

Karne hii iliona matukio yaliyoendelea kuwa muhimu katika kipindi kilichofuata. Mamlaka ya Nasaba ya Han katika China yaanza kuporomoka Yesu alizaliwa na Bikira Maria takriban 7-5 KK huko Bethlehemu Palestina Dola la Roma lilipata kipaumbele kati ...

                                               

Karne ya 13 KK

1200 KK hivi: Dola la Wahiti huko Anatolia linasambaratika kutokana na maangamizi ya mji mkuu, Hattusa. 1207 KK: Farao Merneptah anadai kushinda taifa la Israeli. 1200 KK hivi: Mataifa mbalimbali kandokando ya bahari ya Mediteranea na kwenye Mash ...

                                               

Karne ya 17 KK

1700 KK hivi: ustaarabu wa bonde la Indus mto unakoma lakini unaendelezwa na ustaarabu wa Cemetery H 1700 KK: Belu-bani anakuwa mfalme wa Assyria. 1700 KK hivi: mwanzo wa ustaarabu wa mwisho wa Minoa kisiwani Krete leo Ugiriki. 1700 KK hivi: maso ...

                                               

Karne ya 5 KK

Karne V KK inahesabiwa na wengi kuwa muhimu sana katika historia ambapo waliishi wanafalsafa mbalimbali na waanzilishi wa dini kubwa 487 KK: Misri inaasi utawala wa Waajemi. 447 KK: Athens inaanza ujenzi wa Parthenoni kwa himizo la Perikle. 490 K ...

                                               

Karne ya 6 KK

Mashariki ya Kati inatawaliwa kwanza na Babuloni Mpya ya Wakaldayo, halafu na Uajemi uliozidi kuenea hadi kuwa dola kubwa kuliko yote yaliyotangulia. Falsafa ya Kichina inakubalika nchini China; Ukonfusio na Utao. Zama za chuma barani Ulaya, wana ...

                                               

Karne ya 7 KK

668 KK: Misri inaasi utawala wa Waashuru. Ujenzi wa Ukuta Mkubwa wa China unaanza utakaoendelea kwa karibu miaka 2000 604 KK: Nebukadreza II aanza utawala wake kama mfalme wa Babeli akimfuata baba yake Nabopolassar. 687 KK: Manase anashika nafasi ...

                                               

Kifo Cheusi Uingereza

Kifo Cheusi ilikuwa jina la pandemia ya ugonjwa wa tauni ambao uliwahi kuingia nchini Uingereza mnamo mwezi Juni 1348. Ilikuwa miongoni mwa dalili za awali za pandemia ya pili, iliyosababishwa na bakteria wa Yersinia pestis. Istilahi Kifo Cheusi ...

                                               

Lysippo

Lysippo alikuwa mchoraji wa Kigiriki wa karne ya 4 KK. Pamoja na wachongaji wengine Scopas na Praxiteles, anahesabiwa kuwa mmoja wa wachongaji wakubwa wa Ugiriki ya Kale. Ni vigumu kutafiti kazi za Lysippos na kutambua mtindo wake kutoka kwenye n ...

                                               

1 Machi

1917 - Robert Lowell, mshairi kutoka Marekani 1910 - A.J.P. Martin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952 1981 - Párvusz, msanii mchoraji kutoka Hungaria 1653 - Mtakatifu Pasifiko wa San Severino, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka ...

                                               

2 Machi

1876 - Papa Pius XII 1998 - Tua Tagovailoa 1988 - Vito Mannone, mchezaji mpira kutoka Italia 1962 - Jon Bon Jovi 1810 - Papa Leo XIII 1950 - Karen Carpenter 1937 - Abdelaziz Bouteflika, Rais wa Algeria 1904 - Theodor Seuss Geisel anajulikana hasa ...

                                               

3 Machi

1918 - Arthur Kornberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959 1955 - Marijani Rajab, mwanamuziki kutoka Tanzania 1957 - William Pascal Kikoti, askofu Mkatoliki nchini Tanzania 1926 - James Merrill, mshairi kutoka Marekani 1847 - Alexande ...

                                               

4 Machi

1932 - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini 1881 - Thomas Sigismund Stribling, mwandishi kutoka Marekani 1678 - Antonio Vivaldi, mtunzi wa muziki kutoka Italia 1949 - Hans van der Pluijm, meneja wa Yanga Sc nchini Tanzania

                                               

5 Machi

1953 - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti tangu mwaka 1924 254 - Mtakatifu Papa Lucius I 1971 - Allan Nevins, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani 1941 - Ludwig Quidde, mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, m ...

                                               

6 Machi

1949 - Benn Haidari, mpishi wa kiZanzibar nchini Ufini 1475 - Michelangelo, msanii kutoka Italia 1942 - Flora Purim, mwimbaji kutoka Brazil 1928 - Gabriel Garcia Marquez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982 1968 - Moira Kelly

                                               

7 Machi

1857 - Julius Wagner-Jauregg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1927 1934 - Willard Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1938 - David Baltimore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975 1693 - Papa Klementi XIII 1970 - Rachel ...

                                               

8 Machi

1886 - Edward Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950 1960 - Jeffrey Eugenides, mwandishi kutoka Marekani 1929 - Hebe Camargo, mwimbaji wa Brazil 1879 - Otto Hahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944 1495 - Mtakatifu Y ...

                                               

9 Machi

1959 - Takaaki Kajita, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2015 1568 - Mtakatifu Aloysius Gonzaga, mtawa kutoka Italia 1451 - Amerigo Vespucci, mpelelezi kutoka Hispania 1923 - Walter Kohn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998 ...

                                               

10 Machi

1971 - Timbaland, mwanamuziki kutoka Marekani 1957 - Osama bin Laden, mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaida 1983 - Lashinda Demus, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani 1923 - Val Fitch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwa ...

                                               

11 Machi

1986 - Evans Wadongo, mhandisi wa Kenya 1866 - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa 1936 - Harald zur Hausen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008 1978 - Didier Drogba, mchezaji mpira wa Cote dIvoire 1920 - Nicolaas Bloembergen, msh ...

                                               

12 Machi

1974 - Scarlet Ortiz, muigizaji wa filamu kutoka Venezuela 1890 - Mfalme Idris I wa Libya 1947 - Mitt Romney, mwanasiasa kutoka Marekani 1685 - Askofu George Berkeley, mwanafalsafa wa Uingereza 1925 - Leo Esaki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fiziki ...

                                               

13 Machi

1860 - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria 1971 - Viet Thanh Nguyen, mwandishi kutoka Marekani 1986 - Nina Sky, wanamuziki pacha kutoka Marekani 1615 - Papa Innocent XII 1900 - Giorgos Seferis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 19 ...

                                               

14 Machi

1854 - Thomas Marshall, Kaimu Rais wa Marekani 1990 - Zakaria Kibona, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania 1854 - Paul Ehrlich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908 1905 - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa 1879 - Albert Einstein, msh ...

                                               

15 Machi

1975 - Eva Longoria, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1767 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani 1829-1837 1713 - Nicolas-Louis de Lacaille, mwanaastronomia kutoka Ufaransa 1760 - Mtakatifu Yohane wa Triora, padre Mfransisko, mmisionari na mfiadi ...

                                               

16 Machi

1975 - Sienna Guillory, mwigizaji wa filamu wa Kimarekani kutoka Uingereza 1751 - James Madison, Rais wa Marekani 1809-1817 1800 - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani 1817-1846 1839 - Sully Prudhomme, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1 ...

                                               

17 Machi

1834 - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani 1894 - Paul Green, mwandishi wa tamthiliya kutoka Marekani 1231 - Shijo, mfalme mkuu wa Japani 1232-1242 1881 - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949 1919 - Nat King Cole, m ...

                                               

18 Machi

1987 - Selemani Ndikumana, mchezaji mpira wa Kibelgiji kutoka Burundi 1954 - John Damiano Komba, mwanasiasa kutoka Tanzania 1950 - Brad Dourif, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1953 - Franz Wright, mshairi kutoka Marekani 1837 - Grover Clevela ...

                                               

19 Machi

1933 - Philip Roth, mwandishi kutoka Marekani 1943 - Mario Molina mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995 1955 - Bruce Willis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1949 - Valery Leontiev, mwanamuziki na mwimbaji kutoka Urusi 1883 - Norman ...

                                               

20 Machi

1922 - Carl Reiner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1957 - Chris Wedge, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1870 - Paul von Lettow-Vorbeck, mwanajeshi wa Dola la Ujerumani, hasa nchini Tanzania 1948 - John de Lancie, mwigizaji wa filamu kutok ...

                                               

21 Machi

Tarehe 21 Machi ni siku ya 80 ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 285. Kimapokeo ni sikusare machipuo, ingawa katika karne ya 21 imekuwa kweli mara mbili tu: miaka mingine yote imekuwa au itakuwa tarehe 19 Machi au 20 Machi.