ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 12
                                               

Uyoga

Kwa kundi la muziki nchini Kenya tazama Uyoga Uyoga ni sehemu ya kuvu inayotokea juu ya ardhi na kukuza vibufu vinavyofanana na mbegu ya mimea. Uyoga mara nyingi huitwa mimea lakini si mimea, ni sehemu ndogo ya kuvu kwa Kilatini: fungi. Kazi ya u ...

                                               

Virutubishi

Virutubishi ni sehemu ya vyakula ambavyo viumbehai huishi na kukua. Virutubishi hutoa nishati kwa wingi kwa viumbe hai wanaohitaji kwa kufanya kazi. Virutubisho huwapa ufadhili muhimu wa kimetaboli. Aina zote za virutubisho zinaweza kupatikana ku ...

                                               

Vyakula vya Ethiopia

Vyakula vya Ethiopia kwa kawaida vina milo ya mboga ambayo ina manukato na nyama, na kwa kawaida huwa katika fomu ya wat, kitoweo ambacho ni nzito, kinachopakuliwa juu ya Injera, mkate mkubwa wa kinyunga, ambao wapata sentimita 50 katika kipenyo ...

                                               

Wanga

Wanga ni dutu ogania inayojengwa ndani ya seli za mimea. Kwa matumizi ya kibinadamu ni sehemu muhimu ya chakula katika vyakula kama ugali, ndizi, viazi, pasta na mkate. Kikemia wanga ni kabohidrati aina ya polisakaridi yenye fomula C 6 H 10 O 5 n ...

                                               

Glavu

Glavu au glovu ni kivazi kinachofunika mkono. Kazi yake ni hasa kukinga mkono dhidi ya athira za kudhuru kama baridi, joto, pembe kali au kemikali. Wakati mwingine kazi ya glavu ni pia kukinga mazingira dhidi ya athira inayotokana na mkono wenyew ...

                                               

Paliumu

Paliumu ni vazi linalotumika katika Kanisa la Kilatini. Kwanza lilitumiwa na Papa wa Roma tu, lakini baadaye lilianza kutolewa naye kwa maaskofu wakuu kuonyesha mamlaka waliyonayo juu ya maaskofu kwa kushirikishwa na Ukulu mtakatifu. Vazi lenyewe ...

                                               

Rocawear

Rocawear ni kiwanda cha nguo kilichoanzishwa katika 1999 na Shawn "Jay-Z" Carter na Damon Dash. Rocawear ina mauzo ya kila mwaka ya Uro milioni 700. Rocawear ilipanuka kupitia leseni ya mwito wa kuendeleza mistari kwa watoto na vijana; "sokisi na ...

                                               

Basilika la Mt. Petro

Basilika la Mt. Petro mjini Roma ni kanisa kubwa kuliko yote duniani na linatumiwa sana na Papa, ingawa si Kanisa kuu la jimbo lake. Basilika hilo lote liko ndani ya eneo la Vatikani ambalo ni dola au nchi huru ndogo iliyoko ndani ya mji wa Roma ...

                                               

Kibonzo

Kibonzo, pia Katuni au Komiki ni namna ya kueleza hadithi au habari kwa kutumia picha. Picha hizi mara nyingi zimechorwa ama moja-moja au mfululizo na kueleza habari kwa namna ya kuchekesha. Majadiliano ya wahusika kwenye kibonzo huonyeshwa kwa n ...

                                               

Yesu katika sanaa

Picha za Yesu Kristo zilitokeza mapema kwa namna nyingine jinsi Ukristo ulivyosogea mbali na Uyahudi uliopinga uchoraji wa Mungu na viumbe vyake kwa jumla. Kwanza Yesu hakuchorwa, ila aliwakilishwa na ishara mbalimbali, kama vile samaki kwa Kigir ...

                                               

Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi

Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi ni tuzo ya fasihi ya Kibrazili ambayo hutolewa kwa ajili ya riwaya zilizotungwa kwa lugha ya Kireno na kuchapishwa nchini Brazil. Tuzo hii ilianzishwa mnamo mwaka wa 2008 na Waziri wa Utamaduni wa Jimbo la São Paulo. I ...

                                               

Tuzo za Akademi

The Academy Awards inafahamika zaidi kama Oscars. Huwakilishwa kila mwaka na kampuni ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences Kifupi: AMPAS kwa lengo la kutambulisha taaluma ya tasnia ya filamu, wakiwemo waongozaji, waigizaji, na watunzi wa ...

                                               

Assisi

Assisi ni mji wa Italia, mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia. Wakazi wake ni 26.946. Ni maarufu hasa kwa kuwa ndiko alikozaliwa mtakatifu Fransisko 1182-1226, shemasi aliyeanzisha utawa wenye matawi mbalimbali ambao ni mkubwa kuliko mashirika yote ...

                                               

Baku

Baku Kiazeri: Bakı ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Azerbaijan. Iko kando la Bahari Kaspi kwenye rasi ya Apsheron kwa 40°23′N 49°52′E. Rundiko la mji lina wakazi milioni tatu pamoja na wakimbizi wengi kutokana na vita katika Kaukazi. Mji una pande t ...

                                               

Bauhaus

Staatliches Bauhaus ilikuwa chuo cha sanaa nchini Ujerumani. Ilianzishwa katika mwaka wa 1919 na Walter Gropius mjini Weimar na kuishi hadi mwaka 1933. Kulingana na vyuo vyingine vya wakati huo, Bauhaus ilikuwa kitu kipya kabisa, tangu iliunganis ...

                                               

Dameski

Dameski ni mji mkuu wa Syria, pia ni mji mkubwa wa nchi hiyo wenye wakazi milioni 2, wanaofikia 5 pamoja na miji jirani. Dameski ni kati ya miji ya kale kabisa duniani iliyoendelea kukaliwa mahali palepale: inaaminiwa imekaliwa tangu miaka 8.000 ...

                                               

Dolomiti

Dolomiti ni safu ya milima iliyo sehemu ya Alpi. Milima hiyo inapatikana Italia Kaskazini katika wilaya za Belluno, Trento na Bolzano/Bozen. Ni maarufu kwa madini yake lakini hasa kwa uzuri wake unaovutia watalii wengi. Mnamo Agosti 2009, UNESCO ...

                                               

Firenze

Firenze ni mji katika Italia na makao makuu ya mkoa wa Toscana. Kati ya 1865 hadi 1870 ilikuwa pia mji mkuu wa Ufalme wa Italia. Mji uko juu ya mto Arno. Idadi ya wakazi ni mnano 400.000 na pamoja na rundiko la mji ni takriban 600.000. Katika kar ...

                                               

Ghat ya Magharibi

Milima ya Ghat ya Magharibi ni eneo la milima inayoenea katika urefu wa km 1.600 sambamba na pwani ya magharibi ya Bara Hindi, kupitia majimbo ya Kerala, Tamil Nadu, Karnataka, Goa, Maharashtra na Gujarat. Ni eneo lililoandikishwa na UNESCO kama ...

                                               

Grand Canyon

Grand Canyon ni korongo maarufu huko Arizona nchini Marekani. Linaundwa na Mto Colorado uliochimba tangu miaka milioni kadhaa bonde lenye kina kirefu katika miamba ya nyanda za juu za Colorado. Grand Canyon huwa na urefu wa km 446 na upana hadi k ...

                                               

Hierapoli

Hierapoli ilikuwa mji wa ustaarabu wa Ugiriki ya Kale katika Asia Ndogo. Maghofu yake yako karibu na maji ya moto ya Pamukkale. Hierapoli pamoja na Pamukkale huhesabiwa kati ya mahali pa urithi wa dunia.

                                               

Hifadhi ya Taifa ya Phong Nha-Ke Bang

Phong Nha-Ke Bang ni hifadhi ya taifa ya katika Jimbo la Quang Binh, Vietnam, km 50 kutoka kaskazini mwa mji wa Dồng Hới, km 44 kutoka kaskazini mwa Uwanja wa Ndege wa Dong Hoi, na km 450 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Hifadhi ina mapango zaidi ...

                                               

Krak des Chevaliers

Krak des Chevaliers ni ngome ya kihistoria nchini Syria ambayo imeandikishwa katika orodha ya urithi wa dunia. Inapatikana juu ya mlima kwa kimo cha mita 600, takriban katikati ya mji wa Homs na pwani ya Bahari Mediteranea. Ilijengwa wakati wa vi ...

                                               

Lamu

Lamu ni mji mkubwa wa kisiwa cha Lamu kwenye pwani ya Kenya wenye wakazi 10.000 hivi. Mji ni pia makao makuu ya Kaunti ya Lamu. Mji upo upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa kando ya mfereji unaotenganisha visiwa vya Lamu na Manda. Mfereji huo ...

                                               

Lyon

Lyon ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Rhône-Alpes na wa tatu katika Ufaransa nzima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2007, mji huu pamoja na vitongoji vyake una wakazi wapatao milioni 4.4. Mji upo mita 162-312 juu ya usawa wa bahari.

                                               

Meroë

Meroe ni jina la mji wa kale. Mabaki ya majengo yake yanapatikana kwenye ukingo wa mashariki wa mto Nile karibu kilomita 6 kaskazini mashariki mwa Kabushiya karibu na Shendi, nchini Sudan. Meroe iko mnamo kilomita 200 kaskazini mashariki mwa Khar ...

                                               

Milima ya Altai

Milima ya Altai ni safu ya milima katika Asia ya Kati na ya Mashariki. Milima mirefu zadi hufikia kimo cha mita 4.500. Urusi, China, Mongolia, na Kazakhstan zinakutana katika milima hii, ambayo ni chanzo cha mito ya Irtysh na Ob. Safu hiyo imeung ...

                                               

Napoli

Napoli ni mji wa bandari kando ya bahari ya Mediteranea katika Italia ya kusini. Idadi ya wakazi inakaribia milioni 1. Mwaka 2015 lilianzishwa jiji la Napoli lenye watu 3.114.053 katika eneo dogo lenye msongamano mkubwa 2672 wakazi kwa kilometa m ...

                                               

Nyumba za wakulima wa Hälsingland

Wakulima wa eneo hilo walishindana kujenga nyumba kubwa, mara nyingi za ghorofa mbili, na kuzipamba. Ujenzi ulikuwa wa mbao zinazopatikana kwa wingi katika mazingira hayo yenye misitu minene. Ni nyumba imara maana zinahitaji kudumu katika mazingi ...

                                               

Paramaribo

Paramaribo ni mji mkuu wa Surinam. Iko kando ya mto Surinam takriban km 20 kutoka mwambao wa Bahari ya Karibi. Anwani ya kijiografia ni 5°52 N, 55°10 W. Ina wakazi 250.000, karibu nusu ya wakazi wa nchi. Kiini cha mji huo kimeorodheshwa na UNESCO ...

                                               

Persepolis

Persepolis ilikuwa mmoja kati ya miji mikuu minne katika Uajemi ya Kale wakati wa nasaba ya Waakhameni. Waajemi wa kale waliiita Parsa, maana "Pars" ilikuwa moja ya majimbo makuu ya milki yao na Uajemi yenyewe. Kwa hiyo jina lilimaanisha mji wa W ...

                                               

Pompei

Pompei ilikuwa mji wa Roma ya Kale uliopo katika Italia ya kusini karibu na mji wa Napoli ya leo. Mji ulianzishwa mnamo karne ya 9 KK: ndipo jamii zilipoanza kuishi katika huko na kuanzisha makazi na kufanya kazi kwa bidii na kuujenga mji. Mlipuk ...

                                               

Ravenna

Ravenna ni mji wa Italia katika mkoa wa Emilia-Romagna. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 135.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 4 juu ya usawa wa bahari. Ravenna ni mashuhuri duniani kwa majengo yake ...

                                               

Roma

Roma ndio mji mkuu wa Jamhuri ya Italia. Uko katika makutano ya mito ya Tiber na Aniene karibu na Bahari ya Mediteranea. Roma una wakazi milioni 2.860.009 katika eneo la km² 1.285. Ndani ya mji wa Roma lipo eneo la mji wa Vatikano ambao ni nchi y ...

                                               

Samos

Samos ni kisiwa cha Ugiriki kilichopo kilomita 1.3 mbele ya pwani ya Uturuki. Ni pia moja ya wilaya 51 za Ugiriki. Samos ina urefu wa km 44 na upana wa km 19; eneo lake ni km² 477. Sehemu kubwa ni milima inayofikia kimo cha mita 1.153 juu ya usaw ...

                                               

Siracusa

Sirakusa ni mji wa Italia uliopo kwenye pwani ya mashariki ya kisiwa cha Sisilia. Kwa karne nyingi tangu zamani za Ugiriki wa Kale Sirakusa ilikuwa mji mkuu wa Sisilia ikahesabiwa pia kati ya miji muhimu na yenye enzi ya dunia. Tangu 2005 Sirakus ...

                                               

Tiro

Tiro au Turo ni mji wa Lebanoni kusini maarufu katika historia ya kale hasa kwa utajiri uliotokana na biashara yake ya kupitia baharini. Hata leo unategemea sana bandari yake. Jina la mji linamaanisha "mwamba" na kutokana na mwamba ambao mji umej ...

                                               

Valletta

Valetta ni mji mkuu wa Malta mwenye wakazi 7.100. Mji ulijengwa kama mji-boma kwenye ncha ya rasi ndogo inayozungukwa na maji ya bahari pande tatu.

                                               

Vatikani

Mji wa Vatikani ni dola-mji lenye eneo la kilomita za mraba 0.44 tu. Hivyo ni nchi ndogo kuliko zote duniani. Pande zote inazungukwa na Italia. Idadi ya wakazi ni 791; raia ni 565 tu mnamo Oktoba 2008. Ni nchi ya Papa ambaye ni askofu wa Roma na ...

                                               

Venezia

Venezia ni mji wa Italia na makao makuu ya mkoa wa Veneto, kaskazini-mashariki mwa nchi. Venezia ni mji wa pwani uliojengwa kwenye visiwa vidogo 117 ndani wa wamba la Venezia. Visiwa hivi vinakaa karibu kiasi kwamba madaraja 400 yanaunganisha mif ...

                                               

Mapouka

Mapouka ni ngoma ya dansi ya kimila ambayo inatokea katika eneo la Dabou huko mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Côte dIvoire. Wakati mwingine ngoma hii huchezwa pia wakati wa sherehe za kidini. Pia inajulikana kwa jina "La danse du fessier" au " ...

                                               

Ab urbe condita

Ab Urbe condita ilikuwa namna ya Waroma wa Kale kuhesabu miaka. Maneno hayo ni ya Kilatini na yanamaanisha "tangu kuundwa kwa mji". Kwa hiyo Waroma wa Kale walihesabu miaka tangu kuundwa kwa mji wa Roma. Tendo hili liliaminiwa kutokea mwaka 753 K ...

                                               

Agosti

Mwezi wa Agosti ni mwezi wa nane katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la Kaisari Augustus wa Warumi. Kwa asili, mwezi huo wa Agosti ulikuwa mwezi wa sita katika kalenda ya Warumi, na jina lake lilikuwa Sextilis kulingana na nen ...

                                               

Alhamisi

Alhamisi ni siku ya tano katika juma ya siku saba yenye asili ya kiyahudi-kikristo. Iko kati ya siku za Jumatano na Ijumaa. Katika hesabu ya kimataifa ya ISO 8601 ni siku ya nne.

                                               

Dionysius Exiguus

Dionysius Exiguus ni jina la mmonaki Mkristo aliyeishi mjini Roma mnamo mwaka 500 BK. Anajulikana zaidi kama mtaalamu aliyeanzisha hesabu ya miaka "baada ya Kristo". Dionysio alikuwa mwenyeji wa Scythia Romania ya leo akawa mmonaki na kuhamia Rom ...

                                               

Februari

Mwezi wa Februari ni mwezi wa pili katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na neno la Kilatini februare, maana yake ni "kusafisha". Mwanzoni ilikuwa mwezi wa mwisho katika kalenda ya Warumi, na kalenda hiyo ni asili ya kuongeza siku kwa m ...

                                               

Julai

Mwezi wa Julai ni mwezi wa saba katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la Julius Caesar wa Warumi. Kwa asili, mwezi huo wa Julai ulikuwa mwezi wa tano katika kalenda ya Warumi, na jina lake lilikuwa Quintilis kulingana na neno la ...

                                               

Jumamosi

Jumamosi ni siku ya saba katika juma ya siku saba yenye asili ya kiyahudi-kikristo. Iko kati ya siku za Ijumaa na Jumapili. Katika hesabu ya kimataifa ya ISO 8601 ni siku ya sita. Katika kawaida ya utamaduni wa magharibi Jumamosi imekuwa siku ya ...

                                               

Jumapili

Jumapili ni siku ya kwanza katika juma ya siku saba yenye asili ya Kiyahudi-Kikristo. Iko kati ya siku za Jumamosi na Jumatatu. Kwa Wakristo walio wengi ni siku ya sala za pamoja kanisani.

                                               

Jumatatu

Kuna nchi zilizobadilisha hesabu kufuatana na kawaida ya "wikendi" kwenye siku za Jumamosi/Jumapili ambako Jumatatu ni siku ya kwanza katika juma ya kazi hivyo inahesabiwa kama siku namba "1" ya wiki katika kalenda rasmi za serikali hata kama jum ...