ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 121
                                               

22 Oktoba

1967 - Carlos Mencia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1870 - Ivan Bunin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1933 1919 - Doris Lessing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2007 1811 - Franz Liszt, mtunzi na mpiga kinanda kutok ...

                                               

23 Oktoba

1905 - Felix Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952 1844 - Sarah Bernhardt, mwigizaji wa tamthilia kutoka Ufaransa 1835 - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani 1893-1897 1908 - Ilya Frank, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia m ...

                                               

24 Oktoba

1954 - Wahome Mutahi, mwandishi kutoka Kenya 1948 - Mike Laizer, mwanasiasa wa Tanzania 1986 - Aubrey Drake Graham, mwanamuziki kutoka Kanada 1943 - Joseph James Mungai, mwanasiasa wa Tanzania 1980 - Lucy Komba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzani ...

                                               

25 Oktoba

1241 - Uchaguzi wa Papa Celestino IV 1187 - Uchaguzi wa Papa Gregori VIII 1971 - Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa unaamua ya kuwa Jamhuri ya Watu wa China ni mwakilishi halisi wa China kwenye UM, na hivyo Jamhuri ya China inafukuzwa

                                               

26 Oktoba

1483 - Hans Buchner, mtunzi wa muziki Mjerumani) 1947 - Hillary Clinton, seneta wa jimbo la New York, Marekani 1959 - Evo Morales, rais wa Bolivia 1842 - Vasili Vereshchagin, msanii mchoraji kutoka Urusi 1961 - Uhuru Kenyatta, rais wa Kenya 1973 ...

                                               

27 Oktoba

1932 - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani 1728 - James Cook, mpelelezi kutoka Uingereza 1943 - George Cain, mwandishi wa Marekani 1978 - Mrisho Mpoto, mwanamuziki kutoka Tanzania 1858 - Theodore Roosevelt, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya N ...

                                               

28 Oktoba

1946 - Anthony Banzi, askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga, Tanzania 1985 - Wayne Rooney, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza 1966 - Andy Richter, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1957 - Roza Rymbayeva, mwanamuziki kutoka Kazakhstan 1948 - Telma H ...

                                               

29 Oktoba

1959 - John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania tangu 2015 1958 - Stefan Dennis 1990 - Amarna Miller 1971 - Winona Ryder 1920 - Baruj Benacerraf, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980

                                               

30 Oktoba

1218 - Chukyo, mfalme mkuu wa Japani 1221 1895 - Dickinson Richards,(shindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956 1981 - Muna Lee, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani 1735 - John Adams, Rais wa Marekani 1797-1801 1676 - Mtakatifu Teofilo wa ...

                                               

31 Oktoba

1919 - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki 1517 - Martin Luther anatolea "Hoja 95 dhidi ya madekezo": ndio mwanzo wa Matengenezo ya Kiprotestanti

                                               

Milki ya Osmani

Milki ya Osmani ilikuwa dola kubwa lililotawala upande wa mashariki wa Mediteranea pamoja na nchi nyingi za Mashariki ya kati ya karne ya 14 na mwaka 1922. Milki ilianzishwa na Waturuki Waosmani ikachukua nafasi ya ukhalifa wa Waabbasi na Milki y ...

                                               

Parthenon

Parthenon ni hekalu kwenye Akropolis mjini Athens iliyojengwa wakati wa Ugiriki ya Kale. Ni kati ya majengo mashuhuri duniani na kielelezo wa sanaa na usanifu wa Ugiriki ya Kale. Ilikuwa hekalu ya mungu wa kike Pallas Athena aliyeabudiwa kama mun ...

                                               

Piramidi

Piramidi ni kati ya majengo makubwa kujengwa na binadamu tangu zamani. Kwa jumla piramidi ni jengo lenye msingi wa mraba na kuta zake nne zina umbo la pembetatu zikikutana juu katikati kwenye kilele. Ingawa jamii za kale katika maeneo mbalimbali ...

                                               

Piramidi za Giza

Majiranukta kwenye ramani: 29°58′45″N 31°8′4″W Piramidi za Giza ni kati ya majengo yanayojulikana zaidi duniani. Pamoja na mava mengine ni sehemu ya makaburi ya Giza yaliyokuwa mahali pa kuzika wafalme wa Misri na wakubwa wa milki yao kwa muda wa ...

                                               

Ponto

Ponto kwa Kigiriki: Πόντος, Pontos ilikuwa eneo la kaskazini mashariki mwa rasi ya Anatolia leo nchini Uturuki kwenye Bahari Nyeusi. Inatajwa na Biblia ya Kikristo katika Waraka wa kwanza wa Petro 1:1 na katika Matendo ya Mitume 2:9 na 18.2.

                                               

Posta ya Kijerumani Lamu

Posta ya Kijerumani katika mji wa Lamu, Kenya ni jengo la kihistoria na makumbusho ya kipindi cha ukoloni wa Kijerumani kwenye pwani ya Kenya. Jengo hili likasimikwa kama posta ya Dola la Ujerumani tarehe 22 Novemba 1888. Lamu haikuwa eneo la Kij ...

                                               

Nasaba ya Qing

Nasaba ya Qing ilitawala China kati ya 1644 na 1912. Watawala wa Qing walichukua nafasi ya makaisari wa nasaba ya Ming. Familia ya Qing ilitoka Manchuria na kwa sababu hii huitwa pia "Nasaba ya Manchu".

                                               

Renaissance

Renaissance ni kipindi cha historia ya Ulaya kilichoanza kunako miaka ya 1400, mwishoni mwa kipindi cha Zama za Kati, hadi miaka ya 1500, mwanzoni mwa nyakati zetu. "Renaissance" ni neno la Kifaransa lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizop ...

                                               

Dola la Roma Magharibi

Dola la Roma Magharibi ni sehemu ya Dola la Roma upande wa Magharibi iliyo na mji mkuu wa Roma. Kuanzia mwaka wa 285 Dola la Roma lilikuwa na makaisari wawili ili kurahisisha utawala wa en eneo lililokuwa kubwa mno. Chini ya Konstantin Mkuu, mji ...

                                               

Salvatore Riina

Salvatore "Totò" Riina, ambaye pia aliitwa Totò u Curtu, alikuwa jangili wa Kiitaliano na mkuu wa kundi la Mafia la Sisilia, lililojulikana kwa kampeni ya mauaji ya ukatili ambayo yalifikia kilele katika miaka ya 90, wakati vifo vya waendesha mas ...

                                               

Sanamu ya Uhuru

Sanamu ya Uhuru ni sanamu kubwa inayosimama katika bandari ya jiji la New York. Ilifika Marekani mwaka 1885 kutoka Ulaya kama zawadi ya watu wa Ufaransa kwa watu wa Marekani ikasimamishwa na kuzimikwa rasmi 1886. Sanamu lina kimo cha mita 46.5 na ...

                                               

1 Septemba

1969 - Muammar al-Gaddafi anapindua serikali ya mfalme Idris I na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya 1939 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza 1181 - Uchaguzi wa Papa Lucius III 1923 - Tetemeko la ardhi katika mji wa Kanto, Ujapani linaua watu ...

                                               

2 Septemba

1938 - Giuliano Gemma, mwigizaji filamu kutoka Italia 1853 - Wilhelm Ostwald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909 1924 - Daniel Arap Moi, Rais wa pili wa Kenya 1918 - Allen Drury, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mw ...

                                               

3 Septemba

1914 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XV 1783 - Kufuatana na Mkataba wa Paris, nchi ya Marekani inapata uhuru rasmi kutoka Uingereza 1540 - Gelawdewos anatangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kwa jina la Asnaf Sagad I

                                               

4 Septemba

1981 - Beyoncé, mwimbaji kutoka Marekani 1824 - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria 1962 - Shinya Yamanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012 1862 - Carl Velten, mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili) 1906 - Max Delbruck, ms ...

                                               

5 Septemba

1997 - Mtakatifu Mama Teresa wa Kolkata Agnes Bojaxhiu, bikira, mmisionari na mwanzilishi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1979 1569 - Pieter Brueghel Mzee, mchoraji kutoka Uholanzi 1165 - Nijo, mfalme mkuu wa Japani 1158-1165 2010 - Lewi ...

                                               

6 Septemba

1906 - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970 1876 - John Macleod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923 1939 - Susumu Tonegawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1987 1987 - Marie Fuema, mwanamitindo kutoka ...

                                               

7 Septemba

1917 - John Cornforth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975 923 - Suzaku, mfalme mkuu wa Japani 930-946 1962 - Jennifer Egan, mwandishi kutoka Marekani 1964 - Eazy-E, mwanamuziki kutoka Marekani 1940 - Dario Argento, mwongozaji wa fila ...

                                               

8 Septemba

1946 - Aziz Sancar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015 1971 - Richie Spice, mwanamuziki kutoka Jamaika 1947 - Amos Biwott, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya 1830 - Frederic Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904 ...

                                               

9 Septemba

214 - Aurelian, Kaisari wa Dola la Roma 1966 - Adam Sandler, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1923 - Carleton Gajdusek, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1976 1922 - Hans Georg Dehmelt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989 ...

                                               

10 Septemba

1935 - Mary Oliver, mshairi kutoka Marekani 1487 - Papa Julius III 1892 - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927 1917 - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani 1885 - Carl Van Doren, mwandishi kutoka Marekani

                                               

11 Septemba

1971 - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti 1953-1964 1680 - Go-Mizunoo, mfalme mkuu wa Japani 1611-1629 1950 - Jan Christian Smuts 1987 - Peter Tosh, mwanamuziki wa Rege

                                               

12 Septemba

1930 - Akira Suzuki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2010 1797 - Mtakatifu Emilia wa Vialar, bikira wa Ufaransa 1902 - Marya Zaturenska, mshairi kutoka Marekani 1960 - Musalia Mudavadi, mwanasiasa wa Kenya 1949 - Jeremy Cronin, mwandis ...

                                               

13 Septemba

1860 - John J. Pershing, jenerali kutoka Marekani 1960 - Greg Baldwin, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1939 - Richard Kiel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1887 - Leopold Ruzicka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939 1886 - Rob ...

                                               

14 Septemba

1981 - Patrick Garcia, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino 1980 - Ayo, mwimbaji kutoka Ujerumani 1936 - Ferid Murad, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998 1957 - François Asselineau, mwanasiasa kutoka Ufaransa 1978 - Silvia Navarro, mwigiz ...

                                               

15 Septemba

1929 - Murray Gell-Mann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1969 1857 - William Howard Taft, Rais wa Marekani 1909-1913 1254 - Marco Polo, mfanyabiashara na mpelelezi kutoka Italia

                                               

16 Septemba

1942 - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1893 - Albert Szent-Györgyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1937 1987 - Smosh, yaani Anthony Padilla, mchekeshaji wa mtandaoni kutoka Marekani 1964 - Molly Shannon, mwigizaji ...

                                               

17 Septemba

1869 - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921 1971 - Ian Whyte, mwigizaji filamu kutoka Welisi 1883 - William Carlos Williams, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1963 ...

                                               

18 Septemba

96 - Nerva anatangazwa kuwa Kaisari wa Dola la Roma hadi 98 1961 - Dag Hammarskjöld, Katibu Mkuu wa UM, anakufa katika ajali ya ndege nchini Kongo-Kinshasa akijaribu kuleta amani jimboni Katanga 1502 - Kristoforo Columbus anafika Costa Rica kweny ...

                                               

19 Septemba

1967 - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi 1971 - Sanaa Lathan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1931 - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani 1911 - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1983 1933 - Ingrid Jo ...

                                               

20 Septemba

1878 - Upton Sinclair, mwandishi kutoka Marekani 1947 - Juma Jamaldin Akukweti, mwanasiasa wa Tanzania 1943 - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria 1993-1998 1833 - Ernesto Teodoro Moneta, mwandishi Mwitalia, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwa ...

                                               

21 Septemba

1979 - Serikali ya Jean Bedel Bokassa, Kaisari wa Afrika ya Kati, inapinduliwa 1991 - Nchi ya Armenia inapata uhuru wake rasmi kutoka Umoja wa Kisovyeti 1676 - Uchaguzi wa Papa Innocent XI 1981 - Nchi ya Belize inapata uhuru kutoka Uingereza

                                               

22 Septemba

1901 - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966 1946 - King Sunny Adé, mwanamuziki wa Nigeria 1993 - Carlos Knight, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1922 - Chen Ning Yang, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 195 ...

                                               

23 Septemba

Tarehe 23 Septemba ni siku ya 266 ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 99. Kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku k ...

                                               

24 Septemba

1905 - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959 1912 - Robert Lewis Taylor, mwandishi kutoka Marekani 1943 - Randall Duk Kim, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1961 - Fiona Corke 1898 - Howard Walter Florey, mshindi wa Tuzo ...

                                               

25 Septemba

1143 - Uchaguzi wa Papa Celestino II 1066 - Mapigano ya daraja la Stamford Uingereza: Mfalme Harold wa Uingereza anazuia jaribio la Wanorway la kuvamia Uingereza. Jeshi la Uingereza linaelekea mbio kusini dhidi ya Wanormani

                                               

26 Septemba

1976 - Michael Ballack, mchezaji mpira kutoka Ujerumani 1898 - George Gershwin, mtunzi wa muziki Mmarekani 1849 - Ivan Pavlov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1904 1897 - Mtakatifu Papa Paulo VI kwa jina la Giovanni Battista Montini 193 ...

                                               

27 Septemba

1967 - Debi Derryberry, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1976 - Francesco Totti, mchezaji wa kandanda kutoka Italia 1918 - Martin Ryle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974 808 - Ninmyo, mfalme mkuu wa Japani 833-850 1696 - Mtakat ...

                                               

28 Septemba

1852 - Henri Moissan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906 1934 - Brigitte Bardot, mwigizaji wa filamu kutoka Ufaransa 1892 - Elmer Rice, mwandishi kutoka Marekani 1988 - Wema Sepetu, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2006 1990 - Kirsten Pro ...

                                               

29 Septemba

1547 - Miguel de Cervantes, mwandishi Mhispania 1931 - James Cronin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980 1948 - Theo Jörgensmann, mwanamuziki kutoka Ujerumani 1920 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978 18 ...