ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 125
                                               

Daraja Mbili

Daraja Mbili ni kata ya Jiji la Arushakatika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23108. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19.491 walioishi humo.

                                               

Dareda

Dareda ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27205. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22.880 waishio humo.

                                               

Destiny Etiko

Etiko alizaliwa katika kijiji cha Udi, kilichipo jimbo la Enugu, kusini mashariki mwa nchi ya Nigeria. Etiko alipata elimu ya msingi na sekondari katika jimbo la Enugu. Alipata shahada ya kwanza ya Sanaa ya maonyesho katika chuo kikuu cha Nnamdi ...

                                               

Didia

Didia ni kata ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania yenye msimbo wa posta 37212. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10.666 waishio humo.

                                               

Digodigo

Digodigo ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23710. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8.195 walioishi humo.

                                               

Dimani (Rufiji)

Dimani ni jina la kata ya Wilaya ya Kibiti katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61815. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 5.445 waishio humo. Msimbo wa Posta ni 61611.

                                               

Dindira

Dindira ni jina la kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 12.086 waishio humo.

                                               

Discografia ya 50 Cent

Albamu zisizozinduliwa Power of the Dollar Studio: BCD Music Group Ilitoka: 31 Oktoba 2006

                                               

Dodoma Makulu

Dodoma Makulu ni jina la kata ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye msimbo wa posta 41107. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17097 waishio humo.

                                               

Dodoma vijijini

Dodoma Vijijini ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma wenye msimbo wa posta 41200. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Vijijini ilihesabiwa kuwa 440.565. Tangu mwaka 2007 imegawiwa kuwa wilaya 2 mpya za wilaya ya Bahi ...

                                               

Donati Salla

Alisoma Elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Mkomongo Mnamo Mwaka 1996 - 2002.Alisoma Elimu ya Sekondari ya Kawaida katika Shule ya Sekondari Uru Mnamo Mwaka 2004 - 2007.↵Alisoma Elimu ya Juu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Mwakaleli Mna ...

                                               

Dubai Cares

Dubai Cares ni mpango wa maslahi ya kibinadamu ambao unataka kutoa elimu kwa watoto katika sehemu maskini duniani. Ilizinduliwa Septemba 2007 na Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu, na ...

                                               

Dublin

Dublin ni mji mkuu wa Jamhuri ya Eire pia mji mkuu kwenye kisiwa cha Eire mwenye wakazi milioni 1.6 kwenye rundiko la jiji.

                                               

Dule "B"

Dule B ni kata ya Wilaya ya Bumbuli katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 7.971 waishio humo.

                                               

Dule "M"

Dule "M" ni jina la kata ya Wilaya ya Lushoto katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 8.834 waishio humo.

                                               

Dunda

Dunda ni kata ya Wilaya ya Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61301. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14.559 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 61301.

                                               

Dungunyi

Dungunyi ni jina la kata ya Wilaya ya Ikungi katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43617. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10158 waishio humo.

                                               

Duru

Duru ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27219. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11.526 waishio humo.

                                               

Dutumi

Dutumi ni jina la kata ya Wilaya ya Kibaha Vijijini katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61209. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 1.812 waishio humo.

                                               

East African Breweries

East African Breweries ni kampuni kubwa ya Afrika Mashariki inayotengeneza pombe ambayo inamiliki 80% ya Kenya Breweries, 98.2% ya Uganda Breweries, 100% ya Central Glass -kampuni yakutengeneza glasi, 100% ya Kenya Maltings na 46% ya United Disti ...

                                               

Ebele Okaro

Okaro alilelewa Nigeria katika Jimbo la Enugu. Alianza kuigiza alipokua akisoma katika shule ya msingi Santa Maria na aliendeleza uigizaji wake katika shule ya sekondari iitwayo Nsukkas Queen of the Holy Rosary. Baada ya kuanza masomo yake ya eli ...

                                               

Sergei Eisenstein

Sergei Mikhailovich Eisenstein alikuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu katika Umoja wa Kisovyeti. Alikuwa kati ya waongozaji filamu wa kwanza walioandika juu ya nadharia ya filamu na hivyo kuweka msingi kwa sanaa changa ya filamu. Mtindo ali ...

                                               

Elektroniki

Uhandisi wa vifaa vya umeme, au uhandisi wa umeme, ni nidhamu ya uhandisi wa Umeme ambayohuzingatia vipengele vya umeme vya non linear na vyenye nguvu kuunda nyaya za umeme, vifaa, microprocessors, microcontrollers na mifumo mingine. Nidhamu pia ...

                                               

Elerai

Elerai ni kata ya Jiji la Arusha katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23106. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 40.749 walioishi humo.

                                               

Edward Elgar

Baba wa Elgar alikuwa akimiliki duka la kuuza vyombo vya muziki. Mbali na kusomea mambo ya kupiga zeze la kizungu, yaani "violin", Elgar pia alijifunza mwenyewe namna ya kufanya muziki. Pia alijifunza namna ya kuchapisha-kuandika muziki katika du ...

                                               

Endabash

Endabash ni kata ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23608. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14.358 walioishi humo.

                                               

Endakiso

Endakiso ni kata ya Wilaya ya Babati Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27211. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9.246 waishio humo.

                                               

Endamaghang

Endamaghang ni kata ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23614. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16.267 walioishi humo.

                                               

Endamarariek

Endamarariek ni kata ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23605. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 24.996 walioishi humo.

                                               

Enduleni

Enduleni ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23720. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13.537 walioishi humo.

                                               

Eneka

"Eneka" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 10 Julai, 2017 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na wa sita kutolewa kama single kutoka katika albamu ...

                                               

Eneo Bunge la Embakasi

Eneo Bunge la Embakasi ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya maeneo bunge nane katika Mkoa wa Nairobi. Linajumuisha vitongojo vya mashariki na kusini mashariki vya Nairobi. Ikiwa na wapiga kura waliosajiliwa takribani 164.227, n ...

                                               

Eneo Bunge la Kandara

Eneo Bunge la Kandara ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matatu katika Wilaya ya Maragua, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Kieni

Eneo Bunge la Kieni ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo bungehili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Kigumo

Eneo Bunge la Kigumo eeneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matatu katika Wilaya ya Maragua, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Kinangop

Eneo Bunge la Kinangop ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi tano, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa ...

                                               

Eneo Bunge la Kipipiri

Eneo Bunmge la Kipipiri ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi nne, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa ...

                                               

Eneo Bunge la Kipkelion

Eneo bunge la Kipkelion ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge tatu katika Wilaya ya Kericho. Eneo Bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Maragua

Eneo Bunge la Maragua ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matatu katika Wilaya ya Maragua, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Mathira

Eneo Bunge la Mathira ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Mukurweini

Eneo Bunge la Mukurweini ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo Bunge la Mukurweini linajumuisha taarafa ya Mukurweini katika Wilaya ya Nyeri. Eneo bunge la Mukurweini l ...

                                               

Eneo Bunge la Ndaragwa

Eneo Bunge la Ndaragwa ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi nne, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa ...

                                               

Eneo Bunge la Nyeri Town

Eneo Bunge la Nyeri Town ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Ol Kalou

Eneo Bunge la Ol Kalou ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge nne katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Sabatia

Eneo Bunge la Sabatia ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge nne katika Wilaya ya Vihiga. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Eneo Bunge la Tetu

Eneo Bunge la Tetu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo Bunge la Tetu linajumuisha Taarafa ya Tetu katika Wilaya ya Nyeri. Eneo Bunge la Tetu lote liko katika eneo la ...

                                               

Engarenaibor

Engarenaibor ni kata ya Wilaya ya Longido katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23511. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11.607 walioishi humo.

                                               

Engikaret

Engikaret ni kata ya Wilaya ya Longido katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23507. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.527 walioishi humo.

                                               

Enguserosambu

Enguserosambu ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23704. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 1.521 walioishi humo.

                                               

Engutoto

Kwa maana tofauti ya jina hili tazama Engutoto Engutoto ni kata ya Jiji la Arusha katika Mkoa wa Arusha, Tanzaniayenye postikodi namba 23402. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7.426 walioishi humo.