ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 128
                                               

Sayari

Sayari ni kiolwa kikubwa cha angani linalozunguka jua na kungaa kutokana na nuru ya jua iliyoakisiwa, tofauti na nyota na jua zinazongaa peke yake. Kwa macho inaonekana kama nyota, lakini baada ya kuitazama kwa muda wa mwaka inaonekana inabadilis ...

                                               

Sayari kibete

Sayari kibete ni kiolwa cha angani kinachofanana na sayari ndogo lakini hakitimizi tabia zote za sayari kamili. Masi yake yanatosha kufikia umbo la tufe sawa na sayari kamili, lakini haikusafisha obiti yake kwa kujivutia sehemu kubwa sana za viol ...

                                               

Sayari ya Tisa

Sayari ya Tisa ni jina la muda kwa sayari isiyojulikana bado lakini inayoaminiwa kuwepo kwenye sehemu za nje kabisa za mfumo wa jua letu. Hadi sasa Sayari Tisa haijaonekana moja kwa moja, hivyo ni sayari ya kinadharia tete.

                                               

Shimo jeusi

Shimo jeusi ni jina la eneo kwenye anga ya ulimwengu lenye graviti kubwa, kiasi kwamba hata nuru haiwezi kutoka nje yake. Nadharia ya uhusianifu inatabiri ya kwamba gimba lenye masi kubwa iliyokandamizwa katika eneo dogo litasababisha "shimo jeus ...

                                               

Sifuri halisi

Sifuri halisi katika fizikia ni kiwango cha halijoto ya duni kabisa inayowezekana. Ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya selsiasi au vizio 0° kwenye skeli ya kelvini. Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa maada au molekuli tena. S ...

                                               

Siwa barafu

Siwa barafu ni pande kubwa la barafu linaloelea baharini. Siwa barafu inaweza kusukumwa na mikondo ya baharini hadi kufika kwenye maji vuguvugu inapoyeyuka; kinyume chake inaweza kusukumwa dhidi ya maganda makubwa ya barafu na kuunganika nayo.

                                               

Stronti

Stronti ni elementi na metali ya udongo alikalini yenye namba atomia 38 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 87.62. Alama yake ni Sr. Jina lahusiana na kijiji cha Strontian katika Uskoti ilipotambuliwa mara ya kwamza mwaka 1787.

                                               

Sudusi (kundinyota)

Sudusi iko kati ya makundinyota ya Asadi Leo, pia Simba na Shuja Hydra ikigusana pia na Batiya Crater. Iko karibu na ikweta ya anga. Nyota angavu ya Maliki Junubi ing. Regulus iko jirani.

                                               

Suheli ya Tanga

Nyota ya Suheli katika kundinyota la Tanga ilijulikana na mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka Waarabu wanaoijua kama سهيل المحلف suhail al-muhalaf kwa m ...

                                               

Tabakamwamba

Tabakamwamba ni sehemu thabiti ya nje ya sayari ya Dunia. Hiyo inamaanisha ganda la Dunia, pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti la dunia". Tabakamwamba linakaa juu ya sehemu moto na laini ya ndani zaidi ya koti la Dunia. Kwenye mpaka kati ...

                                               

Tabakastrato

Tabakastrato ni tabaka mojawapo la angahewa ya Dunia. Inaanza takriban kilomita 8 juu ya uso wa ardhi hadi kilomita 50. Katika tabakastrato halijoto inapanda juu pamoja na kimo. Hii inasababishwa na ozoni iliyoko. Ozoni hufyonza mnururisho wa uru ...

                                               

Tairi (nyota)

Kuhusu kifaa kinachotumiwa kwenye gari angalia hapa tairi Tairi ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Ukabu Aquila. Ni pia nyota angavu ya 12 kabisa kwenye anga la usiku. Mwangaza unaoonekana ni mag 0.77. Tairi ni sehemu ya Pembetatu ya Kian ...

                                               

Tako la bara

Tako la bara ni sehemu ya bara iliyoko chini ya maji ya bahari. Sehemu ya bahari hadi ya kina cha maji cha mita 200 huitwa "bahari ya takoni". Kwa wastani lina upana wa 70 – 80 km. Lakini kuna matako yenye upana wa kilomita zaidi ya 1.000 kama hu ...

                                               

Tanuri (kundinyota)

Tanuri lipo jirani na makundinyota ya Nahari Eridanus upande wa mashariki, kaskazini na kusini, ilhali Ketusi Cetus, Najari Sculptor na Zoraki Phoenix ziko upande wa magharibi.

                                               

Tanzanaiti

Tanzanaiti ni kito chenye rangi ya buluu hadi zambarau na kijani. Inachimbwa kaskazini mwa Tanzania tu. Kito hicho kinapendwa sana kimataifa; bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja =milligramu 200. Kikemia ni aina ...

                                               

Tausi (kundinyota)

Tausi lipo karibu na ncha ya anga ya kusini na jirani na makundinyota ya Darubini en:Telescopium upande wa kaskazini, Ndege wa Peponi Apus na Madhabahu en:Ara upande wa magharibi, Thumni en:Octans upande wa kusini na Mhindi en:Indus upande wa mas ...

                                               

Tekineti

Tekineti kutoka Kigiriki τεχνητός teknitos "bandia" ni elementi sintetiki na metali. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Tc na namba atomia 43 katika mfumo radidia.

                                               

Tektoniki ya sahani

Tetoniki ya sahani ni nadharia inayofundisha kwamba sehemu ya nje ya dunia imevunjika vipandevipande vinavyohamahama. Tunaviita vipande hivi sahani. Sahani ni kama vipande vya fumbo. Vipande hivyo vinahama daima ingawa polepole, kiasi cha inchi 0 ...

                                               

Tetemeko la ardhi

Tetemeko la ardhi ni mishtuko ya ghafla ya ardhi. Inatokea mara kwa mara, lakini mara nyingi ni hafifu mno: haisikiki na wanadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu.

                                               

Thumni (kundinyota)

Ilhali Thumni ni kundinyota ambalo lina ncha ya anga ya kusini ndani yake, ukiwa Tanzania au Kenya haiwezekani kuliona kamili kwa wakati mmoja maana nyota zake ziko karibu na upeo wa anga upande wa kusini. Sehemu ya nyota zake ziko chini ya upeo ...

                                               

Tufani

Tufani ni dhoruba yenye mwendo wa kuzunguka. Inasababishwa na eneo la shindikizo duni la hewa ambako upepo umeanza kuzunguka ndani yake. Mzunguko huu hufuata mwendo wa saa katika maeneo ya kusini kwa ikweta na huenda kinyume cha mwendo wa saa kat ...

                                               

Udongo kinamo

Udongo kinamo ni aina ya udongo ambao una chembechembe ndogo sana una tabia ya kushikamana. Udongo wa aina hiyo huwa na uwezo mkubwa wa kushika maji ndani yake. Ganda la udongo kinamo, tofauti na mchanga, haupitiwi na maji kwa urahisi. Udongo kin ...

                                               

Ukanda wa Kuiper

Ukanda wa Kuiper ni eneo la mfumo wa jua letu nje ya obiti ya sayari Neptuni lililopo kwenye umbali wa vizio astronomia) kati ya 30 - 50 kutoka jua. Ukanda huu una umbo la wingu wa mviringo wa magimba ya angani; mengi yao ni madogo, machache maku ...

                                               

Ukanda wa Van Allen

Ukanda wa Van Allen ni eneo linaloviringisha Dunia katika anga-nje. Unafanywa na chembe atomia hasa protoni na elektroni zilizoshikwa na uga sumaku wa Dunia. Jina linatokana na mwanafizikia James Van Allen kutoka Marekani aliyeongoza utafiti wa u ...

                                               

Ulanga (madini)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Ulanga Ulanga kwa Kiingereza: mica ni kundi la madini yanayopatikana kwa umbo la mabapa membamba. Kikemia ni Madini silikati zinazounda fuwele monokliniki; yaani fuwele zinazoungwa kwenye kona na kujipanga ...

                                               

Ulimwengu

Ulimwengu ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha dunia yetu pamoja na kila kitu ndani yake, jua letu, mfumo wa jua, sayari, nyota, galaksi na kila kitu. Ni jumla ya mata, nishati na anga la dunia pamoja na anga-nje.

                                               

Upepo

Upepo ni mwendo wa hewa. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake. Kwa lugha ya metorolojia kuna mwendo kutoka eneo l ...

                                               

Urujuanimno

Urujuanimno ni aina ya nuru isiyoonekana na binadamu ila na wanyama mbalimbali. Kwa lugha nyingine na makini zaidi ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme wenye lukoka baina ya nanomita 400 hadi 10, ambayo ni lukoka fupi kuliko urujuani inayooneka ...

                                               

Utaridi

Jina lake limetokana na Kiarabu عطارد soma "`uTaarid" inayomaanisha "mwendo wa haraka" kwa sababu kasi ya Utaridi inapita mwendo wa sayari nyingine kutokana na njia yake fupi ya kuzunguka Jua katika siku 88 pekee. Majina ya Wagiriki wa Kale "Herm ...

                                               

Uvukizaji

Uvukizaji katika fizikia ni mwendo wa kiowevu kugeuka gesi. Kuna dutu kama maji zinazoanza kuvukiza kabla ya kufikia kiwango cha kuchemka. Viowevu vyote huvukiza vikifikia kiwango maalumu cha kuchemka. Kama molekuli katika kiowevu zinapashwa moto ...

                                               

Vega

Vega au α Alfa Lyrae ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Kinubi na kati ya nyota angavu sana kwenye anga ya usiku. Jina linatokana na Kiarabu ا لنسر الواقع al-nasr al-waqi, hasa kutoka sehemu ya pili واقع ambamo herufi ya ق q ilichukuliwa ...

                                               

Volkeno

Volkeno ni mahali ambako zaha inatoka nje ya uso wa ardhi. Mara nyingi - lakini si kila mahali - volkeno imekuwa mlima. Volkeno huwa na kasoko yaani shimo ambako zaha na gesi zinatoka nje.

                                               

Wanda

Wanda ni kipimo cha urefu kinacholingana na upana wa kidole kimoja au karibu inchi moja. Vipimo vya kufanana vilitumiwa katika nchi na tamaduni mbalimbali kwa kutumia upana wa kidole gumba. Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, si kipimo sanifu ...

                                               

Wati

Wati ni kizio cha kupimia nguvu. Kifupi chake ni W. Fomula yake ni kg m 2 s −3. 1 W = 1 k g m 2 s 3 = 1 J s = 1 V A {\displaystyle \mathrm {1\,W=1\,{\frac {kg\,m^{2}}{s^{3}}}} \mathrm =1\,\mathrm {VA} } Inaelezwa kuwa ni nguvu inayotokea kama jul ...

                                               

Wingu vundevunde

Wingu vundevunde ni wingu la fuwele za barafu linalopatikana kwa kimo kikubwa. Mawingu vundevunde huonekana kama nyuzi nyeupe au kanda nyembamba angani. Mawingu hayo hutokea kwenye kimo cha mita 16.500 hadi 45.000. Kutoka kwenye uso wa Dunia, maw ...

                                               

Zana

Zana ni kifaa chochote ambacho hutumiwa na binadamu ili kuweza kumrahisishia kazi zake za kila siku na kuleta ufanisi katika matokeo ya kazi anayoifanya pamoja na kuhifadhi muda. Mifano ya zana ni jembe la mkono, toroli, mashine ya kufyatua tofal ...

                                               

Zohali

Zohali, pia: Zohari kutoka Kilatini/Kiing. Saturnus) ni sayari ya sita toka kwenye jua katika Mfumo wa Jua. Ni sayari kubwa ya pili baada ya Mshtarii. Inaonekana kwa macho matupu si lazima kutumia darubini. Kwa hiyo imeshajulikana tangu zamani il ...

                                               

Zubani Junubi

Zubani Junubi ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaotumia neno الجنوبي الزبان al-zuban al-janubi kwa maana ya "koleo la k ...

                                               

Zubani Shimali

Zubani Shimali ilijulikana na mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hilo kutoka kwa Waarabu wanaotumia neno الزبان الشمالي al-zuban ash-shamali kwa maana ya "koleo la ...

                                               

Zuhura

Zuhura ni sayari ya pili katika mfumo wa jua na sayari zake. Kati ya sayari zote za jua ndiyo inayofanana zaidi na dunia yetu.

                                               

Homa ya kuvuja damu

Homa ya kuvuja damu ni ugonjwa mkali wa wanadamu na wanyama kama vile tumbili, nyani, sokwe, ambao husababishwa na virusi vya Marburg vya aina mbili. Ugonjwa huo husababishwa na virusi vinavyohusianishwa na Ebola na hata dalili zake hazina tofaut ...

                                               

Homa ya Lassa

Homa ya Lassa, ni aina ya homa inayosababishwa na virusi vya Lassa. Dalili za homa hii huanza kuonekana baada ya muda wa wiki mbili na kuendelea. Wakati dalili zinapoanza kuonekana mambo yafuatayo yanatokea: homa, udhaifu, maumivu ya kichwa, kuta ...

                                               

Kichocho

Kichocho, kisalisali au kisonono cha damu ni ugonjwa ambao minyoo midogo ya aina ya Schistosoma inaingia mwilini na kusababisha mwasho wa ngozi katika viungo mbalimbali, homa, udhaifu na baada ya muda damu katika kinyesi au mkojo na maumivu tumboni.

                                               

Kidingapopo

Kidingapopo kwa Kiingereza ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya kidingapopo. Watu hupata virusi vya kidingapopo kutoka kwa mbu. Homa ya kidingapopo pia inaitwa homa ya kukatika mifupa, kwa sababu inaweza kusababisha maumivu mengi ...

                                               

Kikohozi

Kikohozi ni kitendo cha ghafla na kinachojirudiarudia kama sehemu ya mwili kukabiliana na vitu vigeni na vijidudu vya magonjwa katika njia ya hewa. Tunakohoa ili kuondoa vitu hivyo vitoke kwenye njia ya hewa. Kitendo cha kukohoa kimegawanyika kat ...

                                               

Kikope

Kikope ni ugonjwa wa jicho ambao humpata mtu iwapo konjaktiva ya jicho inakuwa nyekundu. Sababu ya kikope inaweza kuwa maambukizi ya virusi au bakteria.

                                               

Kimeta

Kimeta ni ugonjwa wa kuambukiza. Wanadamu wote na wanyama wanaweza kupata huu ugonjwa. Inasababishwa na bakteria bacthus anthracis. Pia huwapata wanyama wenye kwato kama vile ngamia na twiga. Spora au chembe za bakteria zinaweza kuishi kwa mamia ...

                                               

Kunyanzi

Kunyanzi ni mikunjo inayotokana na uzee hasa katika uso. Kunyanzi pia zaweza kuwepo katika mwili wote. Kunyanzi huonekana kwa wazee waliotimiza umri mkubwa. Husababishwa pia na kulala vibaya, kuchomwa na jua, kukasirika na kukunja sura au ngozi k ...

                                               

Lukemia

Lukemia ni kansa ya seli nyeupe za damu na uboho wa mfupa. Kama mtu akiwa na lukemia, mwili huunda seli nyingi nyeupe za damu. Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya magonjwa makubwa ya damu kwa Kiingereza hematological neoplasms. Lu ...

                                               

Matende

Matende, ni ugonjwa unaosababisha kuvimba kwa viungo vya mwili hasa miguu na viungo vya uzazi. Kuvimba huku kunasababishwa na mishipa ya limfu inayowaka na kutopitisha kiowevu cha limfu. Ugonjwa unatokana na ambukizo la minyoo ya filaria unaoleta ...