ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 13
                                               

Kalenda ya jua

Kalenda ya jua ni kalenda inayofuata mwendo wa jua jinsi inavyoonekana angani. Hali halisi tunaona matokeo ya mwendo wa dunia kuzunguka jua. Katika kalenda za jua mwaka unalingana na muda wa mzunguko mmoja wa dunia kwenye mzingo wake kuzunguka ju ...

                                               

Kalenda ya jua-mwezi

Kalenda ya jua-mwezi ni kalenda inayotumia awamu za Mwezi pamoja na mwaka wa jua. Kalenda ya Kiyahudi na ya Kichina ni kalenda za jua-mwezi zinazotumiwa leo.

                                               

Kalenda ya Juliasi

Kalenda ya Juliasi ni kalenda iliyoanzishwa katika Dola la Roma kwa amri ya Julius Caesar mnamo mwaka 46 KK Ilichukua nafasi ya kalenda ya Kirumi iliyotangulia. Kalenda ya Juliasi ilibadilishwa na kalenda ya Gregori kuanzia karne ya 16 BK lakini ...

                                               

Kalenda ya Misri ya Kale

Mwaka uligawiwa kwa majira matatu ya siku 120 kila moja, pamoja na kipindi cha nyongeza cha siku tano kilichotazamwa kuwa nje ya mwaka wenyewe. Majira 3 ya mwaka yalifuata hali ya Mto Naili, yaani majira ya kutokea upya kwa nchi kavu takribani Ok ...

                                               

Machi

Mwezi wa Machi ni mwezi wa tatu katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la mungu wa vita wa Warumi Mars. Tarehe 20, mwezi huo wa Machi, ni siku mlingano au ikwinoksi kutoka Kiingereza equinox ambapo jua huvuka mstari wa ikweta, na ...

                                               

Mwaka wa Kanisa

Mwaka wa Kanisa ni mpangilio wa maadhimisho au kalenda inayoratibu majira na sikukuu za Ukristo katika muda wa mwaka mmoja. Kalenda hii inataja nafasi ya vipindi vya pekee kama vile Majilio Adventi, Krismasi au Noeli, Kwaresima au Pasaka, pamoja ...

                                               

Septemba

Septemba ni mwezi wa tisa katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na neno la Kilatini septem, maana yake ni "saba". Mwaka wa 153 KK, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina lake Septemba ili ...

                                               

Shaka Samvat

Kalenda ilianzishwa mwaka 1957 baada ya uhuru wa Uhindi kwa lengo la kuunda kalenda ya kitaifa inayosaidia kuunganisha nchi hii kubwa. Kalenda ilitungwa na kamati iliyochungulia zaidi ya kalenda 30 tofauti zilizowahi kutumiwa katika sehemu na tam ...

                                               

Sikukuu

Sikukuu ni siku maalumu ya kukumbuka, kusheherekea au kufurahia jambo fulani. Kuna sikukuu za binafsi na sikuu za umma. Sikukuu ya umma mara nyingi huwekwa wakfu kisheria maana yake si siku ya kazi bali ya mapumziko. Kati ya sikuu za umma kuna si ...

                                               

Sikusare machipuo

Sikusare machipuo ni moja ya sikusare mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya ikweta. Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha usiku mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mc ...

                                               

Sikusare otomnia

Sikusare otomnia ni moja ya sikusare mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana na usiku katika maeneo mbali ya kanda ya ikweta. Sikusare otomnia ni sikusare ambako kipindi cha mchana mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza a ...

                                               

Kipindi cha Kiangazi

Kipindi cha Kiangazi ni moja kati ya misimu minne inayotokea duniani nje ya kanda la tropiki. Ni kipindi cha joto kali na ukavu kati ya misimu hiyo minne ya mwaka. Misimu hii minne inapatikana katika sehemu isiyo na joto sana wala baridi sana. Ki ...

                                               

Adamu

Adamu ni jina analopewa mtu wa kwanza katika Biblia. Anatajwa na Kurani pia. Kadiri ya kitabu cha Mwanzo, alizaliana na mke wake Eva watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa binadamu; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe Kai ...

                                               

Agabo

Agabo alikuwa mmojawapo kati ya Wakristo wa kwanza kati ya Palestina na Siria. Anatajwa mara mbili na kitabu cha Matendo ya Mitume kama nabii. Agabo anaheshimiwa kama mtakatifu na madhehebu mbalimbali ya Ukristo. Sikukuu yake inaadhimishwa kila m ...

                                               

Akida Korneli

Akida Korneli alikuwa akida wa kikosi cha Italia katika jeshi la Dola la Roma aliyefanya kazi huko Kaisarea Baharini. Huko alivutiwa na dini ya Uyahudi hata akajitolea kujenga sinagogi, pamoja na kusali. Wongofu wake na wa jamaa zake unasimuliwa ...

                                               

Akwila na Priska

Akwila na Priska walikuwa mume na mke Wayahudi wa Ponto katika karne ya 1 BK. Ni maarufu katika vitabu 4 vya Biblia ya Kikristo kama jozi la Wakristo lililofanya kazi ya umisionari katika miji na nchi mbalimbali, kama vile Korintho na Efeso, baad ...

                                               

Antioko Epifane

Antioko IV wa Syria alijiita Epifane akitaka kujitambulisha kama tokeo la mungu mmojawapo. Lakini watu walimuita Epimane, yaani kichaa, kutokana na madai yake yasiyo na kiasi. Aliishi miaka 215 KK – 164 KK akitawala dola la Waseleuki kuanzia mwak ...

                                               

Apolo (Biblia)

Apolo alikuwa Mkristo wa karne ya 1 aliyetokea Alexandria katika familia ya walowezi Wayahudi. Anatajwa mara kadha katika Agano Jipya kama msomi na msemaji fasaha wa lugha ya Kigiriki aliyefanya kazi ya umisionari wakati mmoja na Mtume Paulo huko ...

                                               

Aristarko wa Thesalonike

Aristarko, alikuwa mkazi wa Thesalonike, Makedonia, anayetajwa mara tano katika Agano Jipya hasa kama mfuasi na mwenzi wa Mtume Paulo. Pamoja na Gaius, Mmakedonia mwingine, Aristarko alishambuliwa na umati mjini Efeso na kupelekwa kwenye kiwanja ...

                                               

Aroni

Aroni alikuwa kaka wa Musa. Dada yao aliitwa Mariamu. Walikuwa watoto wa Amram na wa shangazi yake Jokebed, wote wa kabila la Lawi, taifa la Israeli. Ndiye aliyekuwa kuhani mkuu wa kwanza wa dini yao, na makuhani wote waliofuata walitakiwa kuwa w ...

                                               

Dionysius Mwareopago

Dionysius Mwareopago alikuwa askofu wa kwanza wa Athene, Ugiriki. Umaarufu wake umetokana na Mdo 17:34 kusimulia kwamba alikuwa kati ya wachache waliosadiki hotuba aliyoitoa Mtume Paulo katika Areopago kuhusu Kristo na ufufuko. Umaarufu uliongeze ...

                                               

Dismas Mtakatifu

Dismas Mtakatifu ni jina lisilo na hakika la mhalifu aliyesulubiwa pamoja na mwenzake na Yesu kwa amri ya Ponsyo Pilato. Habari hii inasimuliwa na Injili zote Math 27:38; Mk 15:27-28.32; Lk 23:33; Yoh 19:18 lakini ni Luka tu anayesema kuwa, kati ...

                                               

Domitian

Titus Flavius Domitianus alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 14 Septemba, 81 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake Titus. Domitiano aliimarisha utaratibu wa Dola. Alijitahidi kutafuta maafisa wenye uwezo nje ya familia ya wakubwa wa Senati hiv ...

                                               

Eberi

Eberi ni jina la mhusika katika Biblia anayetajwa katika orodha ya mlango wa 10 wa kitabu cha Mwanzo; alikuwa mwana wa Sela na mjukuu wa Shemu, mwana wa Nuhu. Wana wake walikuwa Pelegi na Yoktani. Kufuatana na Mwa 11:17 Eberi alimzaa Pelegi alipo ...

                                               

Edomu

Edomu au Idumea walikuwa taifa la Kisemiti lililoshi kusini kwa Bahari ya Chumvi katika eneo ambao leo limegawanyika kati ya Israeli na Yordan. Biblia inawataja mara nyingi kama washindani wa taifa la Waisraeliambao walikuwa na undugu kutokana na ...

                                               

Eleazari

Eleazari alikuwa kuhani mkuu wa pili katika Biblia ya Kiebrania baada ya kifo cha baba yake Aroni, kaka wa Musa. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba au 3 ...

                                               

Eli

Eli alikuwa kuhani wa Israeli kwenye hekalu la Shilo kadiri ya Kitabu cha Kwanza cha Samueli. Ndiye aliyemlea Samueli mwenyewe baada ya huyo kuachishwa ziwa na kutolewa na mama yake amtumikie Mungu maisha yake yote. 1Sam 3 inasimulia wito wa mtot ...

                                               

Elisha

Elisha alikuwa nabii anayetajwa katika Biblia na katika Quran. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Juni.

                                               

Elizabeti (Injili)

Elizabeti alikuwa mwanamke wa ukoo wa Haruni aliyeolewa na Zakaria, kuhani mwaminifu wa Israeli katika karne ya 1 KK. Hawakupata mtoto hadi uzeeni kutokana na utasa wa Elizabeti, lakini hatimaye walijaliwa kumzaa Yohane Mbatizaji. Wote wanaheshim ...

                                               

Epafra

Epafra alikuwa mwanafunzi na msaidizi wa Mtume Paulo katika uinjilishaji wa mji wa Efeso na mkoa wa Asia. Inaonekana alikuwa mwenyeji wa Kolosai na alitumwa huko kueneza Ukristo Kol 1:7; 4;12-13. Baada ya muda, yalijitokeza huko matatizo ya kiima ...

                                               

Erasto wa Korintho

Erasto wa Korintho ni Myahudi wa karne ya 1 mwenye cheo kikubwa huko Korintho anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume na Barua za Mtume Paulo kwa sababu ya kujiunga na Ukristo na kushirikiana naye. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya ...

                                               

Esau

Katika Kitabu cha Mwanzo Esau ni mtoto wa kwanza wa Isaka na Rebeka, pacha wa Yakobo Israeli, na babu wa Waedomu. Kadiri ya Mwa 25:19-34, Rebeka alimzalia Isaka watoto pacha wenye sura na silika tofauti, Esau na Yakobo. Wa kwanza analaumiwa hasa ...

                                               

Eunike

Eunike alikuwa mama wa Timotheo, mwandamizi wa Mtume Paulo katika karne ya 1 BK. Binti wa mwanamke Myahudi Loisi, aliolewa na mwanamume wa Kigiriki aliyeishi katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo, aliingia pamoja naye katika Ukristo. Wote wawili ...

                                               

Ezra

Ezra alikuwa kuhani na maandishi aliyefanya kazi kubwa kwa taifa la Israeli katika miaka 480-440 KK. Ezra alikuwa kuhani na mwandishi aliyejua sana sheria ya Mungu Ezra 7:6, 12. Zamani za kale "mwandishi" alikuwa mtu aliyenakili sheria ya Mungu k ...

                                               

Filemoni

Filemoni pamoja na mke wake Afia alikuwa kati ya Wakristo wa kwanza wa mkoa wa Frigia. Ni maarufu hasa kwa kupokea barua ya Mtume Paulo kuhusu mtumwa wake Onesimo ambaye alikuwa amemtoroka na labda kumuibia. Kumbe alipokutana na Paulo aliongokea ...

                                               

Filipo mwinjilisti

Filipo mwinjilisti ni Myahudi wa karne ya 1 anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki na Anglikana tarehe 11 Oktoba, kumbe katika ...

                                               

Nabii Gadi

Habari zake zinapatikana katika Biblia, kuanzia 1Sam 22:5, alipomuambia Daudi arudi nchini Yuda. Habari muhimu zaidi ni utabiri wa adhabu ambao Gadi alimfanyia kutokana na kosa la kupiga sensa ya wanaume wa utawala wake 2Sam 24:11-13. Kwa niaba y ...

                                               

Gamalieli

Gamalieli alikuwa kiongozi wa kabila la Manase anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo, katika kitabu cha Hesabu, sura ya 2, mstari wa 20. Muhimu zaidi ni Gamalieli mwingine, Gamalieli I au Gamalieli mzee, ki ...

                                               

Gideoni

Gideoni alikuwa mwana wa Yoas, wa kabila la Manase. Mungu alimuita awe mwamuzi wa Israeli kwa miaka 40, kisha kukomboa sehemu kubwa ya nchi kutoka mikono ya Wamidiani kama kitabu cha Waamuzi 6-8 kinavyosimulia. Kwa jinsi anavyosifiwa na Waraka kw ...

                                               

Herode Agripa

Herode Agripa, kwa Kigiriki Ἡρώδης Ἀγρίππας, Herodes Agrippas, alikuwa mfalme wa sehemu kubwa ya Palestina katika karne ya 1 kutoka ukoo wa Herode Mkuu, babu yake. Baba yake alikuwa Aristobulo IV na mama yake Berenike. Jina lake la kuzaliwa lilik ...

                                               

Herodia

Herodia alikuwa mwanamke wa ukoo wa Herode huko Uyahudi chini ya himaya ya Dola la Roma. Ni maarufu hasa kwa kufanya mpango wa kumuua Yohane Mbatizaji hata akaufanikisha.

                                               

Hosea

Hosea alikuwa nabii katika ufalme wa Israeli katika miaka 750 - 725 KK hivi. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Oktoba.

                                               

Isaka

Isaka ni jina la mwana wa Abrahamu anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo. Habari zake zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo 21:1-22;1 n.k. na 24;1-28 n.k. Kufuatana na habari za kitabu hicho Abrahamu a ...

                                               

Kleofa

Kleofa alikuwa Mkristo wa karne ya 1, maarufu kwa kutokewa na Yesu Kristo mfufuka akiwa njiani kutoka Yerusalemu kwenda Emau pamoja na mwanafunzi mwingine.

                                               

Koreshi Mkuu

Kwa watu wengine wenye jina la Koreshi, Cyrus, Kyros tazama Koreshi Koreshi Mkuu, pia Koreshi II wa Uajemi alikuwa mwanzilishi wa nasaba ya Akhameni katika Uajemi ya Kale. Aliunganisha kwanza maeneo ya nyanda za juu za Uajemi, akaendelea kutwaa m ...

                                               

Krispo wa Korintho

Krispo wa Korintho alikuwa Myahudi wa Korintho katika karne ya 1. Matendo ya Mitume 18:8 kinamtaja kati ya wale waliomsikiliza kwa imani Mtume Paulo alipohubiri katika sinagogi la mji huo mwaka 50 hivi. Paulo mwenyewe alimbatiza 1Kor 1:14. Kwa ku ...

                                               

Lameki

Lameki ni jina la watu wawili wa Agano la Kale katika Biblia. Kitabu cha Mwanzo katika 4:18-24 kinamtaja mmojawao kama mwana wa Metusala katika kizazi cha tano baada ya Kaini. Ndiye wa kwanza kuoa mitara akiwa na wake wawili, Ada e Zila, waliomza ...

                                               

Lazaro wa Bethania

Lazaro ni mtu anayetajwa katika Injili ya Yohane: aliishi katika karne ya 1 huko Bethania, kijiji karibu na Yerusalemu, pamoja na dada zake Martha na Maria. Yesu Kristo alifurahia urafiki wao wote, hasa alipokuwa akihiji kwenda Yerusalemu. Katika ...

                                               

Loisi

Loisi alikuwa bibi wa Timotheo, mwandamizi wa Mtume Paulo katika karne ya 1 BK. Mwanamke Myahudi aliyeishi katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo, aliingia pamoja na binti yake Eunike, katika Ukristo. Wote wawili wanatajwa kwa sifa katika Barua y ...

                                               

Mwinjili Luka

Mwinjili Luka ni Mkristo wa karne ya 1 ambaye tangu zamani za Mababu wa Kanisa anasadikiwa kuwa mwandishi wa Injili ndefu kuliko zote za Biblia ya Kikristo. Vilevile anasadikiwa kuwa mwandishi wa kitabu cha Matendo ya Mitume kinachoendeleza Injil ...