ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 134
                                               

James Naismith

John Naismith ni mwanzilishi wa mpira wa kikapu. Naismith alikuwa mwalimu wa malezi ya mwili wa Canada na Marekani. Aliondoka Canada kwenda Springfield, Massachusetts, aligundua mchezo wa mpira wa magongo.Aliandika kitabu cha asili cha sheria ya ...

                                               

James O. McKinsey

James Oscar McKinsey alikuwa Mmarekani maarafu kama mhasibu, mshauri wa masuala ya usimamizi, profesa wa uhasibu katika Chuo Kikuu cha Chicago na mwanzilishi wa kampuni ya McKinsey & Company.

                                               

James Rodriguez

." James David Rodriguez Rubio amezaliwa 12 Julai 1991, mtaalamu wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kiungo na mshambuliaji au winga kwa klabu ya Ujerumani Bayern Munich kwa mkopo akitokea Real Madrid, Yeye kama mmoja ya wachezaji bora wa kiza ...

                                               

Jan Koum

Jan Koum ni mtaalamu wa kompyuta Mmarekani mwenye asili ya Ukraine. Ni mmoja wa waanzilishi na alikuwa Mkurugenzi wa WhatsApp, ambayo ilinunuliwa na Facebook Inc. mnamo Februari 2014 kwa dola za Kimarekani bilioni 19.3. Mwaka 2014, aliingia kweny ...

                                               

JaVale McGee

JaVale Lindy McGee ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Los Angeles Lakers katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Alichaguliwa kama chaguo la 18 na timu ya Washington Wizards mnamo mwaka 2008 katika uchaguzi w ...

                                               

Javi martinez

Javier "Javi" Martínez Aginaga ni mshambuliaji wa Hispania ambaye anacheza Ligi ya Ujerumani katika klabu ya FC Bayern Munich kama kiungo mkabaji. Alianzia kucheza klabu ya Athletic Bilbao mwaka 2006, kabla ya kjulikana kwake 18, haraka kufunga m ...

                                               

Jean-Claude Van Damme

Jean-Claude Van Damme ni msanii wa kijeshi wa Ubelgiji, mwigizaji, na mkurugenzi. Anajulikana kwa majukumu yake katika The Expendables 2, JCVD, Bloodsport, Kickboxer, Hard Traget, Timecop, Kifo cha Ghafla, Askari wa Universal, Cyborg na Siku ya J ...

                                               

Jeff Bezos

Jeffrey Preston Bezos ni mjasiriamali wa teknolojia, mwekezaji, na mfadhili wa Marekani. Yeye ndiye mwanzilishi, mwenyekiti, Mkurugenzi Mtendaji, na rais wa kampuni ya Amazon.com, Inc. Bezos alizaliwa huko Albuquerque, New Mexico, na alikulia kul ...

                                               

Jennifer J. Kayombo

Jennifer J. Kayombo ni binti mwenye umri wa miaka 21, anasoma chuo kikuu akichukua masomo ya stashahada ya mipango ya miradi, usimamizi na maendeleo ya jamii, pia ni kiongozi wa vijana, mwanaharakati wa mambo ya wanawake; kwa sasa amethibitishwa ...

                                               

Jennifer Kyaka

Jennifer Kyaka ni mwigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu nchini Tanzania. Mwaka 2010 alianzisha kampuni ya filamu itwayo J-film ambayo malengo yake makuu ni kuzalisha filamu zenye ubora wa kimataifa na kukidhi mahitaji ya watazamaji.

                                               

Jennifer Mgendi

Jennifer Mgendi ni mwimbaji wa nyimbo za Injili na pia ni mwigizaji. Baba yake anaitwa Fanuel Mgendi na mama yake anaitwa Mwendapelu Nalaila. Pia ana ndugu zake wa damu watatu ambao ni Mao Mgendi, Mlenge Mgendi na Noel Mgendi. Amefunga ndoa na Dr ...

                                               

Jerry Sadowitz

Sadowitz alizaliwa New Jersey na baba Myahudi wa Marekani aliyefanya kazi kama mfanyabiashara wa vyuma chakavu na mama yake Mskoti, Roslyn. Wazazi wake waliachana wakati alipokuwa na umri wa miaka mitatu 3, na akiongozwa na mama yake kurudi Glasg ...

                                               

Jesse Owens

Jesse Owens alikuwa Mnegro wa huko Marekani. Alipenda sana riadha na ndoto yake ilikuwa kuja kuwa mwanariadha mkubwa sana na maarufu pia. Mwaka 1936 alikwenda kujisajiri katika mashindano ya kukimbia masafa marefu. Katika shindano lake la kwanza ...

                                               

Jimmy Butler

Jimmy Butler ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Miami Heat katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Baada ya kuichezea timu ya Chuo cha Tyler Junior, alihamia kwenda Chuo Kikuu cha Marquette. Alichaguliwa kama ...

                                               

John Logie Baird

John Logie Baird alikuwa mhandisi wa Scotland na mvumbuzi wa mfumo wa kwanza wa televisheni duniani, na wa mirija ya televisheni

                                               

John Speke

John Speke alikuwa mpelelezi kutoka Uingereza aliyefaulu kuwa Mzungu wa kwanza kuona ziwa Viktoria katika kutafuta chanzo cha mto Naili. Speke alizaliwa tarehe 4 Mei 1827 katika Orleigh Court, Buckland Brewer, karibu na Bideford, North Devon. Mna ...

                                               

Jon Moxley

Jon Moxley ni mpiganaji wa mieleka na muigizaji wa Marekani ambaye amesainiwa na All Elite Wrestling na New Japan Pro-Wrestling. Katika NJPW, yeye ni bingwa wa sasa wa United States wa IWG. Alijulikana sana akiwa kwenye kampuni ya WWE, ambapo ali ...

                                               

Jonathan Tabu

Jonathan Tabu ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Ubelgiji ambaye anacheza katika klabu ya ESSM Le Portel ya Ufaransa LNB Pro A. Tabu pia anaiwakilisha Ubelgiji katika mashindano ya kimataifa.

                                               

Joseph Francis Shea

Joseph Francis Shea alikuwa mhandisi wa vyombo vya anga na msimamizi wa NASA. Alizaliwa huko Bronx, New York, alifundishwa Chuo Kikuu cha Michigan, akipokea Ph.D. ya uhandisi mwaka 1955. Baada ya kufanya kazi huko Bell Labs kwenye mfumo wa uongoz ...

                                               

Oscar Fanuel Joshua

Oscar Fanuel Joshua ni mchezaji wa kandanda kutoka Tanzania akicheza nafasi ya beki wa kushoto. Pia anaichezea klabu mashuhuri nchini Tanzania Yanga F.C.

                                               

Joyce Msuya

Joyce Msuya ni mwanabiolojia na mtaalamu wa mazingira kutoka Tanzania ni Kaimu Mkurugenzi Tekelezi wa Mradi wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Mazingira tangu mwaka 2018. Joyce Msuya pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

                                               

João Havelange

João Havelange alikuwa mwanasheria wa Brazil, mfanyabiashara na mwanamichezo ambaye aliwahi kuwa Rais wa saba wa FIFA kuanzia 1974 hadi 1998. Msimamo wake kama Rais ni wa pili kwa urefu zaidi katika historia ya FIFA, nyuma ya Jules Rimet. Alipoke ...

                                               

Jules Bernard Luys

Jules Bernard Luys alikuwa Mfaransa mchunguzi wa neva aliyetoa michango muhimu katika maeneo ya nyuroanatomia na nyurosaikolojia.

                                               

Jumanne Rajabu Mtambalike

Jumanne Rajabu Mtambalike ni Mtanzania mwenye asili kutokea mkoa wa Morogoro, Tanzania lakini alikulia katika wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

                                               

Frida Kahlo

Magdalena Carmen Frida Kahlo y Calderón alikuwa mchoraji nchini Mexiko. Amejulikana kwa picha zake zinazotumia rangi zenye nguvu na maumbo ya sanaa ya kienyeji ya Mexiko. Frieda alizaliwa kama binti wa Mjerumani aliyehamia Mexiko na mama mwenye a ...

                                               

Chamanlal Kamani

Chamanlal Vrajlal Kamani ni mfanyabiashara mkubwa wa familia ya Kamani nchini Kenya, iliyo na maslahi katika mahoteli, mashamba ya maua, miundombinu, mawasiliano ya simu, pamba, pamoja na Diani Reef Beach Resort Whitesands Mombasa na Radisson Res ...

                                               

Adam Kuambiana

Adam Philipo Kuambiana alikuwa msanii wa maigizo na mtayarishaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu ya Fake Pastors, Mr. Kadamanja, Chaguo Langu, vilevile katika Aliyemchokoza Kaja, Dan ...

                                               

Steven Kanumba

Steven Charles Kanumba alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania,Baba yake alikuwa anaitwa Charles Kanumba and mama yake aliitwa Flora Mutegoa.Alikuwa anauwezo wa kuongea lugha 3: kiswahili, kisukuma na kiingereza. Ni mmoja wa wa ...

                                               

Karim Benzema

Karim Mostafa Benzema ni mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa. Anajulikana kama straika mwenye kipaji na mwenye nguvu. Benzema alizaliwa mji wa Lyon na alianza uchezaji kwenye klabu ya Terraillon. Mwaka 1996 alijiunga na klabu ya ...

                                               

Katrina Kaif

Katrina Kaif ni mwigizaji wa filamu na mwana mitindo kutoka Uingereza. Ana umaarufu kwa ajili ya kazi yake katika filamu za Kihindi. Alionekana hasa katika filamu za Bollywood kwa lugha kama vile Kitelugu na Kimalayalam. Mbali na kuwa moja ya wai ...

                                               

Kawaka Nzige

Kawaka Nzige amezaliwa na kukulia Bagamoyo nchini Tanzania, Afrika Mashariki ni msanii ambaye yupo tayari kutumia ujuzi wake kuleta manufaa katika jamii na pia kwa sasa yupo nchini Australia kutokana na upendo na kutaka kupanua ujuzi wake juu ya ...

                                               

Kawhi Leonard

Kawhi Leonard ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Los Angeles Clippers katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Kawhi alicheza misimu miwili ya mashindano ya kikapu akiwa chuoni na chuo cha San Diego State Azte ...

                                               

Kawira Mwirichia

Kawira Mwiricha alikuwa msanii mwenye ujuzi mbalimbali, mtunzaji wa kazi za sanaa na mtetezi wa ushoga aliyeishi Athi River nchini Kenya. Ni msanii aliyefahamika kimataifa kwa kuchora kanga pamoja na uchoraji na uchongaji.

                                               

Keith Lee

Keith Lee ni mpambanaji wa kitaalam wa Marekani ambaye amesainiwa sasa kwa WWE, ambapo hufanya kwenye chapa Raw. Anajulikana kwa kazi yake katika Gonga la Heshima ROH, na pia kwenye mzunguko huru, ambapo alishindana kwa kupandishwa vyeo kama Evol ...

                                               

Ron Kenoly

Ron Kenoly ni kiongozi wa ibada ya Kikristo, mwimbaji na mtunzi ambaye tume yake ni "kujenga mazingira ya kuweka wazi uwepo wa Mungu". Mtindo wa muziki wake ni wa sifa za kufurahisha na umahiri katika utumizi wa ala. Ingawa Kenoly hucheza mwenyew ...

                                               

Kerry Washington

Kerry Marisa Washington ni mwigizaji wa Marekani. Tangu mwaka 2012, Washington amepata umaarufu kutokana na kuwa nyota katika mchezo wa ABC uitwao scandal, tamthilia ya Shonda Rhimes ambayo huchezwa na Olivia Pope, mtaalamu wa utatuzi wa migogoro ...

                                               

Kevin Hassett

Kevin Allen Hassett ni mchumi wa Marekani ambaye alikuwa Mshauri Mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Washauri wa Kiuchumi katika utawala wa Donald Trump kutoka mwaka 2017 hadi 2019. Ameandika vitabu kadhaa kikiwemo Dow 36.000, kiliyochapishwa ...

                                               

Kevin Spacey

Spacey alizaliwa Kusini mwa Orange, New Jersey. Alihamia Kusini mwa California akiwa na miaka minne. Jina "Spacey" lilikuwa jina la bibi yake, aliiita kama jina hilo kuigizia akiwa shuleni.Alifanya kazi kama mwigizaji katika ukumbi wa michezo kab ...

                                               

Kevin Tumba

Kevin Tumba ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Ubelgiji-Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa UCAM Murcia. Yeye kawaida hucheza kwenye nafasi ya katikati.

                                               

Khalila Mbowe

Khalila Kellz Mbowe ni mkoreografia kutoka nchini Tanzania, msanii, mwanzilishi na afisa mtendaji mkuu wa Unleashed African Company Limited, taasisi inayofundisha vijana wenye vipaji husika katika sanaa za jukwaani na kuwashauri katika matumizi y ...

                                               

Farah Khan

Farah Khan Kunder ni mwongozaji wa filamu na mwanakoregrafia kutoka nchini India. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za kikoregrafia katika filamu kadha wa kadha za Bollywood. Khan amefanya kazi za koregrafia kwenye zaidi ya nyimbo mia moja katika f ...

                                               

Kida Burns

Leon "Kida" Burns ni mchezaji wa densi na muigizaji wa hip hop wa Amerika. Alipata kutambuliwa kupitia video zake za densi za Instagram za nyimbo maarufu za hip-hop kama "Dont Sleep" na Dorian na "Cut It" na O.T. Jenasi.

                                               

Klaus Kinski

Klaus Kinski alikuwa mwigizaji wa filamu wa kutoka nchini Ujerumani. Alifahamika sana kwa uwezo wake mkubwa wa kiigizaji katika kiwambo, na ukemeaji wake wa kiukali. Kinski ameigiza zaidi ya filamu 180. Kinski pia aliwahi kushiriki katika filamu ...

                                               

Eluid Kipchoge

Yeye ndiye wa mwisho kati ya watoto wanne. Alilelewa na mama tu. Alikimbia maili mbili kila siku kwenda shule. Alihitimu kutoka shule ya sekondari ya Kaptel katika mwaka 1999. Kipchoge hukutana na mkufunzi wake, Patrick Sang, katika mwaka 2000 wa ...

                                               

Severino Kiwango

Severino Kiwango ni mwongozaji wa filamu za kiTanzania. Ikiwa ni Mpenzi wa kuangalia vipindi vya Luninga lazima uta mfahamu huyu Bwana Severino kiwango amewahi kuongoza michezo mingi sana katika Televisheni ya ITV hasa ile ya kizamani wakina Mzee ...

                                               

Klay Thompson

Klay Alexander Thompson ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Golden State Warriors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Inasemekana kwamba Klay ni mmoja kati ya wafungaji bora kwenye kurusha mpira kapuni kat ...

                                               

Marianne Koch

Marianne Koch ni daktari wa tiba na mwigizaji filamu mstaafu wa Ujerumani, aliyecheza filamu kati ya miaka ya 1950 na 1960, anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti westerns, na filamu za kip ...

                                               

Fabrice Kwizera

Fabrice Patient Kwizera ni msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Burundi. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Burundi, Kwizera anajulikana kua ameigiza katika filamu fupi kutoka inchini Congo inayo itwa Viva Riva!.

                                               

Kyrie Irving

Kyrie Andrew Irving ni mchezaji wa mpira wa kikapu katika timu ya Brooklyn Nets katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu nchini Marekani. Alipewa jina la mchezaji bora mgeni katika mashindano ya mpira wa kikapu baada ya kuchaguliwa na timu ya C ...

                                               

Leah Mwendamseka

Lamata alipata elimu yake katika shule ya msingi Ikuti kuanzia darasa la kwanza hadi la tano. Alimaliza elimu yake ya msingi katika shule iitwayo Kalobe shule ya Msingi ambapo alisoma kuanzia darasa la sita mpaka darasa la saba. Alisoma elimu yak ...