ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 135
                                               

Leo Fender

Clarence Leonidas Fender alikuwa mtengenezaji wa ala za muziki wa Amerika. Alianzisha kampuni inayoitwa Fender Electric Instrument Manufacturing Company. Inafanya gitaa za umeme, gita za besi za umeme, na amplifaya za gitaa. Leo Fender alitengene ...

                                               

Leo Tolstoy

Lev Nikolayevich Tolstoy alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Huhesabiwa kati ya wanariwaya bora wa fasihi duniani. Kati ya masimulizi yake makuu kuna Vita na Amani pamoja na Anna Karenina.

                                               

Leonard Mbotela

Leonard "Mambo" Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Amejulikana kwa huduma yake ya zaidi ya miaka 40 tangu mwaka 1964. Alikuwa mtangazaji wa habari na michezo, haswa soka. Tangu mwaka 1966 amekuwa hewani na kipindi chake "Je, H ...

                                               

Leopold II wa Ubelgiji

Leopold II alikuwa mfalme wa Ubelgiji tangu 10 Desemba 1865 hadi 17 Desemba 1909. Alimfuata babake Leopold I aliyekuwa mfalme wa kwanza wa nchi baada ya kuanzishwa kwa taifa hili.

                                               

Lev Yashin

Lev Ivanovich Yashin maarufu kama "Black spider" au "Black Panther" alikuwa golikipa kutoka nchini Urusi,wachambuzi wengi wa soka wamesema kwamba huyo ndiye golikipa bora kwa mchezo wa soka kwa kutumia mbinu zake za kuwatisha washambuliaji akiwa ...

                                               

George Lilanga

George Lilanga 1934 - 27 Juni 2005 alikuwa msanii Mmakonde kutoka Tanzania. Alipokuwa bado kijana alijifunza kuchonga sanamu jinsi ya Kimakonde. Lakini baadaye alianza kuchora pia akitumia hasa rangi za mafuta. Aliishi Dar es Salaam. Mwaka wa 197 ...

                                               

Benjamin Limo

Benjamin Kipkoech Limo ni mkimbiajiwa umbali ya katikati kutoka Kenya. Yeye hukimbia kila umbali kutoka mita 1500 hadi mitA 10.000, lakini hasa hushiriki katika mbio za umbali wa mita 5000, ambapo yeye ameshinda medali za kimataifa. Limo alienda ...

                                               

Elvira Lindo

1998: Manolito on the road. 2012: Mejor Manolo. 1996: ¡Cómo molo!: otra de Manolito Gafotas. 1999: Yo y el imbécil. 1995: Pobre Manolito. 1994: Manolito Gafotas. 2001: Manolito tiene un secreto. 1997: Los trapos sucios de Manolito Gafotas. Insha ...

                                               

Louis Lombardi

Louis Lombardi ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Lombardi alizaliwa mjini The Bronx, New York City, akiwa kama mtoto wa Louis Lombardi, Sr. Kwa upande wa televisheni, Lombardi alipata uhusika katika mfululizo wa The Sopr ...

                                               

Louis Braille

Louis Braille alikuwa mvumbuzi wa Ufaransa aliyebuni alfabeti ya Braille, ambayo huwasaidia watu wasioona kusoma. Braille husomwa na vipofu kwa kupitisha vidole juu ya karatasi. Alichomwa kwa bahati mbaya na msharasi kwenye jicho lake moja wakati ...

                                               

Louis XIV wa Ufaransa

Louis XIV alikuwa mfalme wa Ufaransa tangu 14 Mei 1643 hadi kifo chake. Alikuwa mfalme kwa umri wa miaka minne akakabidhiwa madaraka alipotimiza miaka 21. Louis alilenga kuunganisha mamlaka yote mkononi mwake. Alisimamia shughuli za serikali na m ...

                                               

Ludwig Draxler

Ludwig Draxler alikuwa mwanasheria na mwanasiasa wa Austria. Draxler alikuwa mzee aliyepambana Vita Kuu ya Kwanza na aliwahi kuwa Katibu wa Fedha wa Austria kutoka 1935-1936. Mwaka 1938 Chama cha Nazi kilimkamata kwa kukataa Austria kuingizwa kat ...

                                               

Wolfgang Lukschy

Wolfgang Lukschy alikuwa mwigizaji wa filamu na muundaji wa rekodi za muziki wa filamu kutoka nchini Ujerumani. Huyu, alishawahi kutumbuiza katika maukumbi, filamu, na vipindi vya televisheni. Amecheza zaidi ya filamu 75 pamoja na kuonekana katik ...

                                               

Lulu Ngwanakilala

Lulu Ng’wanakilala ni mwanamke Mtanzania aliyetumia, kwa jumla, zaidi ya miaka 15 akifanya kazi katika mipango ya Afya na Maendeleo ya Umma. Lulu ameongoza timu mbalimbali katika kubuni na kusimamia mipango ya ubunifu inayozingatia haki za binada ...

                                               

Madeleine Albright

Madeleine Korbel Albright. Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuwa Katibu wa Taifa wa nchi ya Marekani. Alichaguliwa na Rais Bill Clinton wa Marekani mnamo tarehe 5 Desemba mwaka wa 1996, na alikubaliwa bila pingamizi na Bunge la Marekani. Matokeo ya ...

                                               

Madeline Kimei

Madeline Kimei ni mwanamke mwanasheria kutoka nchini Tanzania na mwanamke wa kwanza kuanzisha jukwaa la kidijitali la kisheria ili kusuluhisha migogoro ya kisheria, jukwaa hilo linaitwa iResolve. Ni mwanasheria wa kujitegemea aliye na uzoefu kati ...

                                               

Christophe Maé

Christophe Maé ni mwimbaji kutoka Ufaransa ambaye amecheza nafasi ya Monsieur katika musiki wa Le Roi Soleil tangu mwaka wa 2005. Anajulikana kwa nyimbo kama "Ça marche" na "Et makamu wa Versailles".

                                               

Malaika Mihambo

Malaika Mihambo ni mwanariadha kutoka nchini Ujerumani aliyeshinda mashindano ya kilimwengu ya kuruka chini mwaka 2019.

                                               

Mammito Eunice

Eunice Wanjiru Njoki ni Mkenya anayejihusisha na shughuli za uigizaji, uandishi, utangazaji na uchekeshaji.

                                               

Julie Manning

Julie Manning alikuwa mwanasheria, hakimu na mwanasiasa wa Tanzania. Alikuwa mwanamke wa kwanza kusoma sheria Tanzania, akawa Jaji wa Mahakama Kuu kabla ya kutumikia kama Waziri wa Sheria kutoka mwaka 1975 mpaka 1983.

                                               

Mansa Musa

Mansa Musa alikuwa mtawala tajiri wa Mali ya Magharibi. Ufalme wa Mali ulikuwa na eneo la zamani la Ufalme wa Ghana kusini mwa Mauritania na Melle Mali na maeneo yaliyo karibu. Jina lake pia linaonekana kama Kankou Musa, Kankan Musa, na Kanku Mus ...

                                               

Manuel Uribe

Manuel Uribe Garza alikuwa mtu wa huko Mexico, mgonjwa wa utapiamlo, mwenye unene wa kupindukia. Alikuwa mwanadamu mnene kuliko wote duniani. Baada ya kufikia karibu kilo 597 lb 1.316 na hakuwa na uwezo wa kuondoka kitandani tangu 2001, Uribe ali ...

                                               

Rose Mapendo

Rose Mapendo ni mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Alianzisha Rose Mapendo Foundation akiwa na dhamira ya kuwawezesha wanawake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, na Burundi kuinuka juu ya hali zao ...

                                               

Martial Papy Mukeba

Martial Papy Mukeba, kwa jina lake kamili Mukeba wa Mukeba Martial Papy, ni mwandishi wa habari wa Kongo anayefanya kazi kwenye Radio Okapi na mwandishi wa zamani wa Deutsche Welle mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

                                               

Matsuo Bashō

Matsuo Munefusa anayejulikana pia kama Matsuo Bashō alikuwa mshairi nchini Japani. Husifiwa kama mshairi mashuhuri wa kipindi cha nasaba ya Edo. Amesifiwa hasa kwa ajili ya mashairi yake aina ya haiku ambayo ni mashairi mafupi yenye silabi 5-7-5. ...

                                               

Meena Ally

Alianza kujihusisha na kazi za utangazaji wa vipindi kadhaa vya TV katika kituo cha Televisheni ya Afrika Mashariki EATV jijini Dar Es salaam kutoka 2011 hadi 2014. Alianzisha kipindi kiitwacho Uswazi katika Televisheni ya Afrika Mashariki EATV, ...

                                               

Jacqueline Ntuyabaliwe

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ni mjasiriamali nchini Tanzania aliyeanzisha kampuni ya Amorette Ltd, inayotengeneza samani bora alizobuni mwenyewe na kushinda tuzo. Jacqueline vilevile ni mwanzilishi na mwenyekiti wa taasisi ya Dr Ntuyabaliwe inayo ...

                                               

Reginald Mengi

Reginald Abraham Mengi alikuwa mfanyabiashara wa Tanzania aliyehesabiwa kati ya matajiri wakuu wa Afrika. Alikuwa mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda vya Tanzania, IPP Gold Ltd., Media Owners Association of Tanzania, mmiliki wa IPP Ltd. Tanzania ...

                                               

Mercy Nenelwa

Mercy Nenelwa ni mfanyabiashara wa Kiafrika na mjasiriamali kutoka nchini Tanzania. Kwa sasa ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Nelwa inayojishughulisha na utengenezaji wa Ice cream. Jina lake la kazi anaitwa Nelwas Gelato ambalo limetokana na ...

                                               

Michael Gbinije

Michael Patrick Gbinije ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya mchanganyiko kati ya Marekani na Nigeria. Michael ni mchezaji wa timu ya Mitteldeutscher BC katika ligi ya Bundesliga ya mpira wa kikapu. Alicheza kwenye msimu mmoja katika ma ...

                                               

Michael Jordan

Michael Jeffrey Jordan ni mchezaji mstaafu wa mpira wa kikapu wa Marekani, mfanyabiashara, na mmiliki mkuu na mwenyekiti wa Hornet Charlotte wa Chama cha Taifa cha Mpira wa Kikapu. Jordan ilicheza misimu 15 katika NBA akiwa Chicago Bulls na Washi ...

                                               

Michel Lotito

Michel Lotito alikuwa msanii wa Kifaransa aliyekuwa maarufu kwa kula kwa makusudi vitu visivyofaa. Alijulikana kama Mheshimiwa Mangetout.

                                               

Michelangelo

Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni alikuwa msanii nchini Italia aliye maarufu kama mchongaji, mchoraji, msanifuujenzi na mshairi. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko. Kati ya kazi zake maarufu zaidi ni sanamu ya kija ...

                                               

Milena Markovna Kunis

Milena Markovna Kunis Mama yake, Elvira, ni mwalimu wa fizikia ambaye ana duka la dawa, na baba yake, Mark Kunis, ni mhandisi wa mitambo anayefanya kazi kama dereva wa teksi. Kunis ana kaka yake mkubwa, Michael. Lugha ya mama yake na lugha ya kaw ...

                                               

Mimar Sinan

Mimar Sinan alikuwa msanifuujenzi maarufu wa Milki ya Osmani kwa muda wa miaka 50. Alijenga zaidi ya majengo muhimu 360 kama misikiti, shule, hamamu bafu, vyuo na kadhalika. Staili yake ya msikiti inarudiwa kama mfano kwa misikiti ya Kituruki had ...

                                               

Miranda Naiman

Miranda Naiman ni mjasiriamali Mtanzania, mmiliki na mwanzilishi wa kampuni iitwayo Empower na mmoja wa waanzilishi wa mgahawa ujulikanao kama Inspire cafe. Aliwahi kutajwa kama mmoja kati ya wanawake 20 wenye nguvu na waliofanikiwa nchini Tanzan ...

                                               

Rhona Mitra

Rhona Natasha Mitra ni mwigizaji wa filamu, mwanamitindo, na mwimbaji kutoka nchini Uingereza. Jina lake la kisanii pia kuna kipindi hujiita kama Rona Mitra.

                                               

Mministranti

Mministranti ni Mkristo mlei) anayehudumia askofu au padri, hasa altareni, wakati wa Misa na ibada nyingine. Mtaguso wa pili wa Vatikano ulitaja huduma hiyo katika hati "Sacrosanctum Concilium", namba 29, pamoja na zile za wasomaji, watangazaji n ...

                                               

Mohamed Chande Othman

Mohamed Chande Othman ni wakili wa Tanzania na Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania. Kimataifa anaheshimiwa sana kwa uelewa wake wa kina wa siasa, sheria na vipimo vingine vinavyohusiana na Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu, Sheria kuhusu Wakimbizi, S ...

                                               

Mohamed Farah

Mohamed Muktar Jama Farah (alizaliwa Mogadishu, Somalia, 23 Machi 1983 ni mwanariadha kutoka Uingereza. Alishinda medali mbili za dhahabu za Olimpiki mwaka 2012 na 2016. Alishinda mbio za mita 5.000 na 10.000.

                                               

Rosenda Monteros

Rosenda Monteros ni mwigizaji wa filamu wa Kimexiko. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Petra, yule msichana aliyekutwa na Chico katika msitu, katika filamu ya The Magnificent Seven.

                                               

Mtemi Mirambo

Mtemi Mirambo alikuwa mtemi wa Wanyamwezi katika magharibi ya Tanzania ya leo. Jina lake la awali lilikuwa "Mteyla Kasanda", lakini alikuwa maarufu zaidi kama Mirambo yaani "maiti nyingi". Alizaliwa kama mwana wa mtemi wa Uyowa, moja kati ya maen ...

                                               

Rwekaza Mukandala

Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Bukoba, na elimu ya sekondari katika shule za Tabora na Musoma. Baadae alijiunga na chuo cha Dar es Salaam 1973 - 1976, ambapo alipata Shahada ya Sanaa Hons. juu ya Uhusiano wa Kimataifa na Utaw ...

                                               

Walter Murch

Walter Scott Murch ni mhariri wa filamu na msanifu sauti kutoka nchini Marekai. Huyu ni mtoto wa mchoraji Walter Tandy Murch.

                                               

Mwamvita Makamba

Mwamvita Makamba ni mwanamke Mtanzania aliye na ujuzi mkubwa katika sekta ya mawasiliano ya simu katika masoko na amepata ufahamu wa karibu kabisa unaohitajika kuongoza kampuni katika ustawi na pia kudumisha uwajibikaji wake kwa jamii.

                                               

Mwanahamisi Salim Singano

Mwanahamisi Salim Singano ni mwanamke wa Kitanzania, mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Mkakati Action na Sasasha Consulting company. Pia anajulikana kama Mishy Singano. Mwanahamisi Salim Singano ni mtalaam wa maendeleo ya kimsimu mwenye uzoefu wa k ...

                                               

Mwanaidi Mayowela

Mwanaidi Mayowela ni mwanamke mjasiriamali ambaye hapo awali alikuwa anaombaomba maeneo ya posta kulingana na changamoto ya viungo vya mwili wake. Kwa kuona ni kwa jinsi gani anaweza kujikwamua kimaisha kwa kutumia mikono yake, mwanamke huyu ndip ...

                                               

Mwaozi Tumbe

Mwaozi Tumbe ni jina la mwanamke maarufu katika historia ya pwani ya kusini ya Kenya. Habari zake zimesimuliwa kwa zaidi ya karne tatu, hivyo hakuna uhakika kuhusu sehemu kadhaa za hadithi zinazosimuliwa. Inaonekana alikuwa binti Guo Kuu Mwatumbe ...

                                               

Naomi Osaka

Naomi Osaka ni mchezaji wa mpira wa tenisi kutoka Japani na Marekani mwenye asili ya Haiti ambaye hivi sasa ndiye bingwa wa US Open kwa upande wa wanawake.

                                               

Nassir Nuh Abdi

Nassir Nuh Abdi ni mwanasiasa kutoka Kenya. Yeye ni mwananchama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Bura katika Bunge la Kumi la Kenya katika uchaguzi uliofanyika mwaka wa 2007. Amezaliwa katika eneo la bangale ...