ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 138
                                               

Verdiana Masanja

Verdiana Grace Masanja ni mwanahisabati na mwanamke wa kwanza Mtanzania kupata shahada ya uzamivu katika Hisabati. Tangu mwaka 2018 ni profesa wa hisabati kwenye Taasisi ya Kiafrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela huko Arusha, Tanzania ...

                                               

Vicensia Shule

Vicensia Shule ni mhadhiri katika kitivo cha Sanaa ya Ubunifu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam pia ni mbunifu wa kutumia vitu ambavyo vilishatumika mara ya kwanza, msomi wa ngazi ya juu, mwanaharakati wa haki na jinsia na mwandaaji wa filamu.

                                               

Victoria Heilman

Dkt. Victoria Heilman ni msanifu majengo na mwalimu kutoka Tanzania. Yeye ana PhD katika Usanifu majengo kutoka Chuo Kikuu cha Stuttgart, Ujerumani shahada ya daraja ya pili ya Usanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Amerika, Washing ...

                                               

Victoria Inyama

Inyama alizaliwa katika jimbo la Enugu, ambapo ni Kusini Mashariki mwa Nigeria ambayo ilitawaliwa na wazungumzaji wa Igbo wa nchini Nigeria. Alipata shahada ya kwanza kutoka chuo kikuu cha shirikisho kilichoitwa Chuo Kikuu cha Lagos ndani ya Nige ...

                                               

Viktoria wa Uingereza

Malkia Viktoria wa Uingereza alikuwa malkia wa Ufalme wa Muungano wa Britania na Ueire tangu 1837 hadi 1901. Hakukuwa na mfalme au malkia mwingine aliyeshika nafasi ya mkuu wa dola kwa muda mrefu zaidi hadi alipopitwa na Elizabeti II. Alipewa had ...

                                               

Vitus Bering

Vitus Jonassen Bering alikuwa baharia na mpelelezi kutoka nchini Denmark aliyejiunga na jeshi la majini la Urusi mnamo mwaka 1704. Wakati wa Vita Vikuu vya Kaskazini alijipatia sifa na kupandishwa cheo kuwa kamanda.

                                               

Gian Maria Volonté

Gian Maria Volonté alikuwa mwigizaji wa filamu wa Kiitalia. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama adui mkubwa wa katika mkusanyiko wa filamu za mwongozaji Sergio Leone - A Fistful of Dollars kacheza kama "Johnny Wels" na vilevile For a ...

                                               

Mark Wahlberg

Mark Robert Michael Wahlberg ni mwigizaji wa filamu na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Alikuwa akifahamika kama Marky Mark katika siku zake za awali, na pia alipata umaarufu sana akiwa kama mwanamuziki wa rap katik ...

                                               

Walter Hudson

Walter Hudson wa Hempstead, New York, ndiye mmiliki wa Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kiuno kikubwa. Kilikuwa na kipimo cha inchi 109 mwaka 1987 wakati alipokuwa na uzito wa paundi 978. Hudson alielezea mlo wake wa kila siku wa chakula kama vile ...

                                               

Mary Wambui

Mary Wambui ni mfanyibiashara mwanamke wa Kenya na kuna madai kuwa yeye ni mke wa pili wa Rais wa Kenya Mwai Kibaki. Familia ya Wambui inadai kuwa Mwai alimwoa Maria mwaka 1972 chini ya sheria za kimila za Kikuyu na kuwa wana binti, Wangui Mwai. ...

                                               

Ryan White

Ryan Wayne White alikuwa kijana wa Kiamerika kutoka mjini Kokomo, Indiana ambaye amekuwa maarufu baada ya kuwekwa picha yake kwenye kijarida cha kuombea misaada ya wagonjwa watoto wenye HIV/UKIMWI huko nchini Marekani, baada ya kufukuzwa shule ya ...

                                               

Whitey Bulger

James Joseph "Whitey" Bulger Jr alikuwa mwendeshaji wa uhalifu wa Ireland na Marekani, mjumbe wa kikundi cha kijeshi na FBI, ambaye aliongoza Winter Hill Gang katika wilaya ya Winter Hill ya Somerville, Massachusetts. Bulger alikuwa ndugu wa Will ...

                                               

Wijerd Jelckama

Wijerd Jelckama alikuwa kamanda wa kijeshi wa Frisiki, na mwanachama wa Arumer Zwarte Hoop. Alikuwa Luteni wa Pier Gerlofs Donia na akapigana na wavamizi wa Saxon na Uholanzi. Jelckama alichukua nafasi ya Donia kama mpiganaji wa uhuru baada ya Do ...

                                               

Winnie Mpanju-Shumbusho

Winnie Mpanju-Shumbusho ni Mtanzania na ni kiongozi wa Afya ya umma. Mpaka tarehe 31 Desemba 2015 alifanya kazi kama Mkurugenzi msaidizi kitengo cha VVU/UKIMWI. TB, Malaria na magonjwa mengine ya kitropiki huko Geneva, Uswizi. Kuanzia mwaka 2016 ...

                                               

Frank Lloyd Wright

Frank Lloyd Wright alikuwa msanifu majengo nchini Marekani aliyekuwa maarufu mwanzoni wa karne ya 20. Alilenga kubuni majengo kulingana na mazingira asilia ya mahali. Alisoma usanifu majengio kwenye chuo kikuu cha Wisconsin lakini aliondoka 1887 ...

                                               

Zera Yakobu

Ukurasa huu unamhusu Zera Yakobu, mwanafalsafa wa karne ya 17. Kuhusu mwanamfalme, tazama Zera Yakobu Amha Selassie. Kuhusu negus, tazama Zara Yaqob. Zera Yakobu alikuwa mwanafalsafa wa Ethiopia. Kitabu chake cha mwaka 1667, Hatata, kilitokea wak ...

                                               

Ally Yakuti

Ally Yakuti ni mwandishi wa miswada ya filamu nchini Tanzania. Ni mmoja wa waandishi mahiri na wenye heshima kubwa Tanzania na ukanda wote wa Afrika Mashariki. Ameshaandika miswaada mingi ambayo imeigizwa na waigizaji mahiri nchini Tanzania na se ...

                                               

Yasuhiro Yamashita

Yasuhiro Yamashita ni mshindani wa Judo kutoka nchi ya Japani. Tena ni mmoja wa wanajudo aliyekuwa na mafanikio makubwa kabisa duniani. Alipokea Tuzo ya Heshima ya Kijapani tarehe 9 Oktoba 1984. Alistaafu kutoka ushindani wa judo tarehe 17 Juni 1 ...

                                               

Samwel Yellah Black

Samwel Yellah ni mkufunzi wa soka wa timu ya kandanda ya Costa mwaka 2008 na sasa ni meneja wa klabu ya Black Leopard Fc Under20

                                               

Donnie Yen

Donnie Yen Chi-Tan ni mwigizaji, martial artist, mwongozaji, mkoreografia, na mtayarishaji wa filamu kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Anafahamika sana kwa kucheza filamu na vipindi vya televisheni vya Hong Kong. Hivi karibuni amepata kushirikiana ...

                                               

Yinka Dare

Yinka Dare alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa Nigeria. Alicheza misimu minne katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu.

                                               

Yosefu Flavius

Yosefu Flavius alikuwa kuhani Myahudi mwenye kujua Kiaramu, Kiebrania na Kigiriki, aliyejipatia umaarufu kama mwanahistoria.

                                               

Zaituni Njovu

Zaituni Njovu ni mwanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali liitwalo Zaina Foundation lililoanzishwa mwaka 2017. Makao makuu ya shirika hilo yapo Dar es Salaam. Lengo kuu la kuanzishwa shirika hili ni kuwawezesha wanawake katika teknolojia haswa ...

                                               

Zamaradi Mketema

Zamaradi Mketema amezaliwa tarehe 4 Oktoba 1985 ni mtangazaji wa redio na televisheni kutoka Tanzania aliyepata umaarufu kwa utangazaji wake kwenye kipindi cha Take One kilichokuwa kikirushwa na kituo cha televisheni cha Clouds Tv.

                                               

Zephania Mothopeng

Zephania Lekoame Mothopeng alikuwa mwanaharakati wa siasa na mwanachama wa Bunge la Muungano wa Afrika nchini Afrika Kusini.

                                               

Zuhura Yunus

Licha ya kuwa mtangazaji Zuhura Yunus alikuwa na ndoto ya kuwa daktari, lakini aliachana na ndoto yake hiyo na kujiunga na utangazaji wa redioni mwaka 2000 nchini Tanzania. Kabla ya kujiunga na BBC alifanya kazi ya utanzangaji katika vipindi mbal ...

                                               

Orodha ya nchi za Afrika

Orodha ya nchi huru na maeneo barani Afrika inafuata kanda za Afrika jinsi zilivyopangwa na Umoja wa Mataifa. Majina ya nchi hutajwa pamoja na maeneo yanayotawaliwa na nchi nje ya Afrika au ambayo yamekuwa sehemu kamili ya nchi nje ya Afrika. Mpa ...

                                               

Madola

Katika mabara, lile lenye nchi nyingi zaidi ni Afrika likiwa na nchi au madola 54, likifuatiwa na bara la Ulaya likiwa na madola 48, kisha Asia likiwa na madola 44, halafu Amerika ya Kaskazini pamoja na Amerika ya Kati likiwa na madola 23, na baa ...

                                               

Mito ya Kenya

Mito ya Kenya ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto: kadiri ya kaunti inapoanzia au inapopatikana. kadiri ya alfabeti. kulingana na beseni lake

                                               

Orodha ya nchi kufuatana na wakazi

Hii ni orodha ya nchi huru zote, maeneo ya kujitegemea na maeneo mengine yanayotambuliwa na UM na pia Taiwan kufuatana na idadi ya wakazi. Namba zinazotajwa zimenakiliwa kutoka en:wikipedia List of countries by population United Nations) mnamo Ok ...

                                               

Orodha ya mito ya Nigeria

Mto Oueme Mto Okpara Mto Ogun Mto Oyan Mto Ofiki Mto Ogunpa Mto Ona Mto Awna Mto Otin Mto Erinle Mto Osun Mto Oba Mto Omi Osun Mto Nun distributary Mto New Calabar distributary Mto Benue Mto Osse Mto Niger Mto Okwa Mto Escravos distributary Mto C ...

                                               

Orodha ya miji ya Hispania

Hii ni orodha ya miji ya Hispania yenye angalau idadi ya wakazi 100.000. { |- | 1 | Madrid | | | |- | 2 | Barcelona | 1.615.908 | Barcelona | Cataluña |- | 3 | Valencia | 807.200 | Valencia | Comunidad Valenciana |- | 4 | Sevilla | 699.759 | Sevi ...

                                               

Orodha ya milima mirefu duniani

Urefu wa mlima au kimo chake unaweza kukadiriwa kwa njia mbalimbali. Mbinu inayotumika mara nyingi ni kutaja tofauti kati ya usawa wa bahari na kimo cha kilele cha mlima. Lakini inawezekana pia kutumia mbinu tofauti zitakazoleta matokeo tofauti.

                                               

Orodha ya milima ya Afrika

Hii orodha ya milima ya Afrika inataja baadhi tu, hasa ile mirefu zaidi katika bara hilo. Mlima Kilimanjaro m 5.895 - volikano, Tanzania - mlima wa juu kabisa katika Afrika Milima Cederberg m 2.026, Afrika ya Kusini Piton des Neiges – volikano m ...

                                               

Orodha ya milima ya Alpi

Hii orodha ya milima ya Alpi inataja baadhi tu ya milima mirefu zaidi. Bietschhorn m 3.934, Uswisi Zugspitze m 2.962, Austria, wa juu kabisa katika Ujerumani Schneeberg m 2.076, Austria Aletschhorn m 4.193, Uswisi Fiescherhorn m 4.049, Uswisi Cri ...

                                               

Orodha ya milima ya Andes

Orodha ya milima ya Andes inataja baadhi ya milima mirefu zaidi katika safu ya milima ya Andes. Orodha inakwenda toka kaskazini hasi kusini mwa bara la Amerika Kusini.

                                               

Orodha ya milima ya Balkani

Hii Orodha ya milima ya Balkani inataja baadhi yake tu. Olympus m 2.919, wa juu katika Ugiriki - makao ya miungu kadiri ya hadithi za Wagiriki Prokletije m 2.694, Dinaridi, Albania, Montenegro Rila Musala, m 2.925, wa juu katika Bulgaria na Balka ...

                                               

Orodha ya milima ya Marekani

Hii orodha ya milima ya Marekani inatajwa kwa kufuata alfabeti baadhi yake tu. Mlima Adams - Milima White, New Hampshire Mlima Adams - Cascades, Washington Mlima Alyeska - Alaska Mlima Bridge - Red Rock Canyon National Conservation Area, Nevada M ...

                                               

Orodha ya milima ya mkoa wa Arusha

Orodha ya milima ya mkoa wa Arusha inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya milima ya eneo hilo la Tanzania Kaskazini. Mlima Losimingur Mlima Great Domberg Mlima Oldeani Mlima Gelai Mlima Loliondo Mlima Loiyogaz Mlima Malanya Mlima Satiman ...

                                               

Orodha ya milima ya mkoa wa Kagera

Orodha ya milima ya mkoa wa Kagera inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya milima ya eneo hilo la Tanzania kaskazini magharibi. Milima ya Omuchwekano Milima ya Omubuhembe Milima ya Mabare Milima ya Kashanda Milima ya Mashule Milima ya Nyab ...

                                               

Orodha ya milima ya mkoa wa Rukwa

Orodha ya milima ya mkoa wa Rukwa inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya milima ya eneo hilo la Tanzania magharibi. Milima ya Misansa Milima ya Mantala Milima ya Milungu Milima ya Makos Milima ya Ulua Milima ya Thombe Milima ya Maula Mili ...

                                               

Orodha ya milima ya New Zealand

Orodha ya milima ya New Zealand inataja baadhi yake tu. Milima mirefu zaidi iko yote katika kisiwa cha kusini, nayo ni: Mlima Hicks – m 3.198 Torres Peak – m 3.160 Mlima Vancouver – m 3.309 Mlima Silberhorn – m 3.300 Mlima Dixon – m 3.004 Mlima L ...

                                               

Orodha ya milima ya Tanzania

Hii orodha ya milima ya Tanzania inataja tu baadhi yake: Milima ya Ufa Mashariki Mlima Loiwilokwin Milima ya Nyaburuma Mlima Ngaiyaki Milima ya Ragata Milima ya Kijumbura Mlima Samuda Milima ya Upare Mlima Madambasi Mlima Umari Mlima Nantare Mili ...

                                               

Orodha ya milima ya Uganda

Hii orodha ya milima ya Uganda inataja tu baadhi yake: Mlima Moroto m 3.083 Mlima Zulia m 2.149 Ruwenzori m 5.109 Mlima Luigi di Savoia m 4.627, mpakani mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mlima Stanley m 5.119, mpakani mwa Jamhuri ya Kidemokras ...

                                               

Orodha ya milima ya Ulaya

Angalia pia: Alpi, Orodha ya milima ya Alpi Lagginhorn m 4.010, Uswisi Liskamm m 4.527, Uswisi Piz Corvatsch m 3.451, Uswisi Signalkuppe m 4.554, Italia - Uswisi Rheinwaldhorn m 3.402, Uswisi Klein Matterhorn m 3.883, Uswisi Balmhorn m 3.699, Usw ...

                                               

Orodha ya mito ya Afrika Kusini

Hii Orodha ya mito ya Afrika Kusini inataja baadhi yake. Mto Hartbees Mto Olifants Limpopo Mto Buffels Mto Orange Mto Brak Mto Berg Mto Birha Mto Riet Mto Vaal Mto Harts Mto Kei Mweusi Mto Nossob Mto Bloukrans KwaZulu-Natal Mto Bushman Mto Sand M ...

                                               

Orodha ya mito ya Algeria

Mito ya Algeria ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto: kadiri ya mikoa inapoanzia au inapopatikana. kulingana na beseni lake kadiri ya alfabeti.

                                               

Orodha ya mito ya Benin

Mito ya Benin ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto: kulingana na beseni lake kadiri ya mikoa inapoanzia au inapopatikana. kadiri ya alfabeti.

                                               

Orodha ya mito ya Botswana

Mito ya Botswana ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto: kadiri ya mikoa inapoanzia au inapopatikana. kulingana na beseni lake kadiri ya alfabeti.

                                               

Orodha ya mito ya Burkina Faso

Mito ya Burkina Faso ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto: kadiri ya alfabeti. kulingana na beseni lake kadiri ya mikoa inapoanzia au inapopatikana.