ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 14
                                               

Malaki

Malaki alikuwa nabii aliyetoa ujumbe unaopatikana katika kitabu cha mwisho kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh, yaani Biblia ya Kiebrania. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika Biblia ya Ki ...

                                               

Malko

Malko ni mwanamume wa karne ya 1 ambaye alikuwa mtumishi wa kuhani mkuu wa Israeli. Ni maarufu kwa sababu anatajwa katika Injili kama mmojawapo kati ya watu waliokwenda katika bustani ya Gethsemane usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ili kumkamata Yesu K ...

                                               

Manaeni

Manaeni alikuwa nabii na kiongozi mmojawapo wa Kanisa la kwanza huko Antiokia, jiji la Siria katika Dola la Roma. Katika kutoa taarifa hiyo, Luka mwinjili Mdo 13:1 anaeleza kwamba alikuwa ndugu wa kunyonya wa Herode Antipa, mtawala wa Galilaya na ...

                                               

Maria wa Bethania

Maria wa Bethania alikuwa mwanamke wa Bethania, kitongoji cha Yerusalemu, katika karne ya 1. Ndugu zake walikuwa Martha na Lazaro wa Bethania, ambao wote Yesu alifurahia urafiki wao hasa alipohiji kwenda Yerusalemu. Anaheshimiwa na Wakristo wengi ...

                                               

Mtakatifu Marko

Mtakatifu Marko aliishi katika karne ya 1 BK. Alikuwa Myahudi wa Yerusalemu aliyeongokea mapema Ukristo pamoja na Maria mama yake. Kanisa la kwanza lilikuwa linakusanyika nyumbani mwao. Alifanya kazi na mitume Paulo na Barnaba katika kuhubiri Inj ...

                                               

Martha wa Bethania

Martha wa Bethania alikuwa mwanamke wa Bethania, kitongoji cha Yerusalemu, katika karne ya 1. Ndugu zake walikuwa Maria na Lazaro wa Bethania, ambao wote Yesu alifurahia urafiki wao alipokuwa akihiji kwenda Yerusalemu. Anaheshimiwa na Wakristo we ...

                                               

Mfalme Sauli

. Mfalme Sauli 1079 KK hivi hadi 1007 KK anajulikana na Biblia na Kurani kama mfalme wa kwanza wa Israeli labda kuanzia 1049 KK hadi kifo chake, yaani kwa muda wa miaka 42. Baba yake alikuwa Kish wa kabila la Benyamini. Sauli, alipakwa mafuta na ...

                                               

Mfalme Yekonia

Mfalme Yekonia alikuwa mtawala wa ufalme wa Yuda kutoka ukoo wa Daudi. Alitawala miezi mitatu tu 9 Desemba 598 KK - 15 Machi 597 KK baada ya baba yake mfalme Yehoyakimu huku mji wa Yerusalemu ukiwa umezingirwa na jeshi la mfalme Nebukadneza II ku ...

                                               

Moabu

Moabu ni jina la kihistoria la eneo la milimani upande wa mashariki wa Bahari ya Chumvi ndani ya nchi ya kisasa ya Yordani. Ilikuwako kati ya Edomu upande wa kusini na Amoni upande wa kaskazini. Zamani eneo hilo lilikuwa ufalme wa Wamoabu. Mji wa ...

                                               

Mtume Mathia

Mtume Mathia kadiri ya Matendo ya Mitume 1:21-22 alikuwa mfuasi wa Yesu Kristo tangu alipobatizwa na Yohane Mbatizaji hadi alipopaa mbinguni mwaka 30. Kabla ya Pentekoste wa mwaka huo, Mtume Petro alipendekeza kwamba mmoja kati ya wafuasi wa kwan ...

                                               

Mzee Simeoni

Mzee Simeoni alikuwa mwanamume mwadilifu wa Yerusalemu katika karne ya 1 KK. Ni maarufu hasa kwa kumpakata mtoto Yesu alipoletwa na wazee wake katika hekalu la Yerusalemu siku 40 tu baada ya kuzaliwa Bethlehemu. Kadiri ya Injili ya Luka 2:25-35 a ...

                                               

Nabii Ahiya

Nabii Ahiya alikuwa nabii wa kabila la Lawi kutoka Shilo wakati wa mfalme Solomoni, inavyoelezwa na Biblia ya Kiebrania. Ahiya ni maarufu hasa kwa kuwa alimtabiri Yeroboamu kwamba atakuwa mfalme wa makabila kumi wa Israeli Kaskazini 1Fal 11:29-39 ...

                                               

Nabii Mika

Nabii Mika, ambaye jina lake la Kiebrania מיכה linamaanisha "Nani kama Mungu?", alifanya kazi wakati mmoja na nabii Isaya. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 21 Desemba na 14 Agosti, lakini pia 14 Januari, 18 Januari na 31 Julai.

                                               

Nabii Yona

Yona ni jina la nabii wa Israeli aliyeishi katika karne ya 8 KK. Pia ni jina la mhusika mkuu wa kitabu cha Yona katika Biblia ya Kiebrania Tanakh na hivyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo. Kutokana na hadithi hiyo, Yona anazungumziw ...

                                               

Nabii Nahumu

Nabii Nahumu alikuwa nabii mjini Yerusalemu katika karne ya 7 KK, wakati wa mfalme Yosia, aliyetawala Yuda kati ya mwaka 640 KK na 609 KK. Mahubiri yake yanatunzwa katika Kitabu cha Nahumu ambacho ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la Mana ...

                                               

Nabii Nathani

Nabii Nathani aliishi nchini Israeli kwenye mwaka 1000 hivi KK na habari zake zinasimuliwa katika Biblia, hasa 2Sam, 1Fal, 1Nya na 2Nya.

                                               

Ndugu wa Yesu

Ndugu wa Yesu ni watu wa Israeli wa karne ya 1 wanaotajwa na Agano Jipya, mara nyingi kama wapinzani wa Yesu. Hata hivyo baadaye baadhi yao walishika nafasi muhimu katika Kanisa. Kati yao wanaotajwa kwa jina ni Yakobo, Yose, Yuda na Simoni Math 1 ...

                                               

Nehemia

Alikuwa mwana wa Hachaliah Nehemia 1:1, na familia yake ilikuwa inaishi Yerusalemu Nehemia 2:3 wakati ambapo mji huo ulikuwa chini ya dola la Waajemi. Nehemia, kisha kuwa afisa wa Kiyahudi katika nyumba ya mfalme, alipandishwa cheo kuwa mnyweshaj ...

                                               

Nikanori mwinjilisti

Nikanori mwinjilisti ni Myahudi wa karne ya 1 anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki na Anglikana tarehe 28 Julai.

                                               

Nikodemo

Nikodemo alikuwa mwalimu wa Torati wa madhehebu ya Mafarisayo tena mwanabaraza wa Baraza la Israeli katika karne ya 1 BK.

                                               

Nikola wa Antiokia

Nikola wa Antiokia ni Mkristo wa karne ya 1 anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki na Anglikana tarehe 28 Julai.

                                               

Nuhu

Nuhu anajulikana na kuheshimiwa katika dini ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu kama mfano wa mwadilifu aliyeokolewa na Mungu katika safina wakati wa gharika kuu. Kadiri ya Biblia aliishi huko Mesopotamia. Jina lake kwa Kiebrania נח Noah, kwa Kiarabu ...

                                               

Ogu

Ogu ni jina la mfalme wa Waamori aliyetawala sehemu za Bashani. Ogu anatajwa katika Biblia kwenye vitabu vya Hesabu 21 na Kumbukumbu la Torati 3, kwa kifupi pia katika Zaburi 135:11 na 136:20. Inawezekana ya kwamba kutajwa kwa "Mwamori" katika Am ...

                                               

Onesiforo

Onesiforo alikuwa mwanamume Mkristo wa karne ya 1 aliyetajwa na Mtume Paulo kwa shukrani katika Waraka wa pili kwa Timotheo 1:16-18. Sababu ni kwamba alimsaidia sana alipokuwa Efeso, halafu akamfuata hadi Roma mpaka akafaulu kumuona na kumfariji ...

                                               

Onesimo

Onesimo, alikuwa mtumwa wa Filemoni, Mkristo tajiri wa Kolosai, leo nchini Uturuki. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 au 16 au 28 Februari, au tarehe 22 Novemba.

                                               

Parmena mwinjilisti

Parmena mwinjilisti ni Myahudi wa karne ya 1 anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki na Anglikana tarehe 28 Julai.

                                               

Ponsyo Pilato

Ponsyo Pilato (kwa Kilatini Pontius Pilatus ; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; alikuwa liwali wa kiroma katika Palestina kwenye miaka 26-36. Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya Injili kumtaj ...

                                               

Prokoro mwinjilisti

Prokoro mwinjilisti ni Myahudi wa karne ya 1 anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki na Anglikana tarehe 28 Julai.

                                               

Rahabu

Rahabu alikuwa mwanamke wa Yeriko wakati ambapo Waisraeli, wakiongozwa na Yoshua, walivamia nchi ya Kanaani katika karne ya 13 KK. Kitabu cha Yoshua 2:1-7 kinasimulia jinsi huyo kahaba alivyokaribisha wapelelezi wawili wa Israeli, alivyowaficha w ...

                                               

Rebeka

Rebeka alikuwa binamu na mke wa Isaka ambaye, baada ya utasa wa muda mrefu, hatimaye alimzalia watoto pacha Esau na Yakobo Israeli. Kwa ujanja wake alifaulu kumfanya mume wake atoe baraka iliyokuwa haki ya mtoto wa kwanza kwa mdogo wake. Anaheshi ...

                                               

Rehoboamu

Rehoboam alikuwa mfalme wa nne wa Israeli. Habari zake zinapatikana katika Biblia Kitabu cha Kwanza cha Wafalme na kitabu cha Pili cha Mambo ya Nyakati. Alikuwa mtoto na mrithi wa Solomoni, lakini alisababisha uasi wa makabila ya kaskazini yakion ...

                                               

Ruthu

Ruthu ni mmojawapo kati ya wanawake wachache ambao ni wahusika wakuu wa kitabu kimojawapo cha Biblia, kiasi cha kukipa jina. Katika fujo ya miaka ya Waamuzi inayosimuliwa na Kitabu cha Waamuzi, habari ya kitabu hiki kifupi inatujenga: inahusu Rut ...

                                               

Samweli

Samweli ni mtu muhimu wa Historia ya wokovu ya Agano la Kale. Katika Biblia anatajwa kama mwamuzi na kama nabii, naye ndiye mwanzilishi wa ufalme wa Israeli. Habari zake zinasimuliwa katika Vitabu vya Samweli. Kanisa Katoliki na madhehebu mbalimb ...

                                               

Sara

Sara katika Biblia anajulikana kama mke tasa wa Abrahamu ambaye kwa imani katika ukongwe wake alijaliwa kumzaa Isaka, baba wa Israeli, taifa teule la Mungu. Habari hizo zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo. Jina lake linamaanisha mwanamke w ...

                                               

Sedekia

Sedekia, alikuwa mfalme wa mwisho wa Yuda. Alikuwa mwana wa mfalme Yosia na kuitwa awali Matania. Kisha kuwekwa madarakani na Nebukadneza II, mfalme wa Babuloni, kwa kiapo cha kuwa mwaminifu kwake, aliasi na kusababisha Yerusalem izingirwe tena n ...

                                               

Sefania

Nabii Sefania, alikuwa mwana wa Kushi, mtu wa Yerusalemu aliyehubiri kwa nguvu miaka 640-625 hivi KK yaani mwanzoni mwa utawala wa mfalme Yosia, kabla huyo hajaanza urekebisho wake wa kidini uliofuata kuvumbua hekaluni maandiko ya Kumbukumbu la S ...

                                               

Sila

Mtakatifu Sila au Siluano ni mmojawapo kati ya viongozi muhimu zaidi wa Kanisa la mwanzo huko Yerusalemu. Kutoka huko alitumwa mara nyingi kushughulikia matatizo mbalimbali kuanzia Mdo 15:22 akawa mwenzi wa Mtume Paulo katika safari za kimisionar ...

                                               

Simeoni Mweusi

Simeoni Mweusi alikuwa nabii na kiongozi mmojawapo wa Kanisa la kwanza huko Antiokia, jiji la Siria katika Dola la Roma. Katika kutoa taarifa hiyo, Luka mwinjili Mdo 13:1 anaeleza kwamba alikuwa mmoja kati ya watano, wakiwemo Barnaba na Paulo. Ka ...

                                               

Stefano

Stefano ni mfiadini wa kwanza wa Kanisa la Yesu Kristo. Habari zake zinapatikana katika kitabu cha Matendo ya Mitume kuanzia sura ya 6. Myahudi mwenye kutumia zaidi lugha ya Kigiriki, ni kati ya wanaume 7 wa kwanza kuwekewa mikono na Mitume wa Ye ...

                                               

Timone mwinjilisti

Timone mwinjilisti ni Myahudi wa karne ya 1 anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki na Anglikana tarehe 28 Julai.

                                               

Tito

Tito ni mmojawapo kati ya viongozi wa kwanzakwanza wa Kanisa, akiwa mwenzi na mwandamizi wa Mtume Paulo, anayetajwa katika Nyaraka zake mbalimbali. Alikuwa naye huko Antiokia akaongozana naye kwenye Mtaguso wa Yerusalemu, ingawa jina lake halitaj ...

                                               

Trofimo wa Efeso

Trofimo wa Efeso alikuwa Mkristo kutoka mji huo wa Asia Ndogo aliyeongozana na Mtume Paulo na wenzake wengine katika sehemu ya safari yake ya tatu ya kimisionari hadi Yerusalemu. Kwa kuwa alikuwa mtu wa mataifa Mdo 21, Wayahudi walidhani kwamba P ...

                                               

Usi (Biblia)

Usi ni jina la nchi linalotajwa katika Biblia ya Kiebrania na eneo alipoishi Ayubu. Pamoja na hayo kuna watu wanne wanaotajwa katika Biblia wenye jina la Usi.

                                               

Watoto wa Bethlehemu

Watoto wa Bethlehemu ni watoto wa kiume wa chini ya miaka 2 waliopatikana Bethlehemu na kuuawa kwa agizo la mfalme Herode Mkuu. Sababu ni kwamba mamajusi kutoka mashariki walikuwa wamefika Yerusalemu ili kumtafuta mfalme wa Wayahudi aliyezaliwa n ...

                                               

Yakobo Israeli

Yakobo au Israeli katika Biblia ni mwana mdogo wa Isaka na Rebeka, hivyo ni mjukuu wa Abrahamu na Sara. Ndiye aliyezaa watoto wa kiume 12 ambao ndio mababu wa makabila 12 ya taifa la Israeli. Habari zake zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo ...

                                               

Yese

Yese au Yishai ni mtu anayetajwa na Biblia kama baba wa mfalme Daudi wa Israeli. Huyu pengine anatajwa tu kama "Mwana wa Yese". Hivyo anatajwa pia katika orodha ya vizazi vya Yesu. Baba yake alikuwa Obedi, mwana wa Boazi na Ruthu. Kama hao wote a ...

                                               

Yezebeli

Yezebeli alikuwa malkia wa Israeli kama mke wa Mfalme Ahabu katika karne ya 9 KK. Binti wa mfalme Ethbaal wa Tiro, Finisia, alimhimiza mumewe kuachana na imani ya taifa lake katika Mungu pekee, YHWH akaangamiza manabii wake 1Fal 16:21-31. Aliyeok ...

                                               

Yosefu Barsaba

Yosefu Barsaba alikuwa mmojawapo kati ya wafuasi wa kwanza wa Yesu. Kwa msingi huo, baada ya kifo cha Yuda Iskarioti, akawa mmoja kati ya wawili waliopendekezwa kushika nafasi yake kama mtume, lakini kura ilimuangukia Mathia Mdo 1:21-26. Mapokeo ...

                                               

Yosefu wa Arimataya

Yosefu wa Arimataya alikuwa Myahudi mwanamume wa karne ya 1, maarufu hasa kutokana na habari zake zinazopatikana katika Injili. Habari za ziada, lakini si za kuaminika, zinapatikana katika vitabu ambavyo havimo katika Biblia ya Kikristo, hasa Inj ...

                                               

Yuda Iskarioti

Yuda Iskarioti, Myahudi wa karne ya 1, alikuwa mmojawapo wa Mitume wa Yesu, maarufu kwa kuwa alimsaliti mwalimu wake apate vipande thelathini vya fedha. Ni tofauti na mtume mwenzake Yuda Tadei.