ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 142
                                               

Darubini (kundinyota)

Darubini iko jirani na makundinyota ya Tausi Pavo upande wa kusini, Madhabahu Ara upande wa mashariki, Kobe Corona Australis na Kausi Mshale upande wa kaskazini halafu Mhindi Indus upande wa magharibi. Mshale zamani Kausi, lat. Sagittarius ipo ka ...

                                               

Dhanabu ya Dajaja

Dhanabu ya Dajaja ni nyota angavu ya tatu katika kundinyota ya Dajaja Cygnus. Pia ni nyota angavu ya 25 kwenye anga ya usiku. Dhanabu ya Dajaja ni sehemu ya Pembetatu ya Kiangazi kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia.

                                               

Dhibu (kundinyota)

Dhibu Lupus linapatikana angani kati ya nyota angavu za Antara Antares na Rijili Kantori Rigil Kentaurus. Linapakana na makundinyota jirani ya Akarabu Nge Scorpius, Pembemraba Norma, Bikari Circinus, Mizani Libra na Kantarusi Centaurus.

                                               

Dira (kundinyota)

Dira ipo jirani na makundinyota ya Tanga Vela upande wa kusini, halafu Shetri Puppis, Shuja Hydra na Pampu Antlia. Haipo mbali na nyota angavu sana ya Shira Sirius.

                                               

Dubu Mkubwa (kundinyota)

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa Dubu Mkubwa Dubu Mkubwa kwa Kilatini na Kiingereza Ursa Major ni jina la kundinyota kubwa kwenye angakaskazi ya Dunia yetu.

                                               

Edwin Hubble

Edwin Powell Hubble alikuwa mwanaastronomia wa Marekani. Matokeo ya Hubble yalibadilisha mwono wa kisayansi wa ulimwengu. Mnamo 1926 alionyesha kwamba mawingu angavu kwenye anga zilizoitwa tu "nebula" hadi wakati ule hali halisi ni galaksi kama h ...

                                               

Ekliptiki

Ekliptiki haionekani kirahisi kwa macho kwa sababu tunaona Jua wakati wa mchana ambako nyota hazionekani. Lakini wakati wa mapambazuko na machweo nyota zinaanza kuonekana tukiweza kutambua ni karibu na nyota gani ya kwamba jua linapambazuka na ku ...

                                               

Eris (sayari kibete)

Njia yake ya kuzunguka jua ni nje ya njia ya Pluto. Eros inaonekana ina angalau mwezi mmoja unaoitwa Dysnomia. Makadirio ya kipenyo chake ni 2400 km ambacho ni kikubwa kidogo kuliko Pluto. Inazunguka jua katika muda wa miaka 556.7 ya dunia. Umbal ...

                                               

Fahidhi

Fahidhi ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu waliosema فخذى fakhidhi ingawa leo wanatumia zaidi الفخذة al-fakh-dha ambayo yot ...

                                               

Faka

Faka ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Kasi ya Masakini. Ni pia nyota angavu ya 14 kwenye anga ya usiku. Mwangaza unaoonekana unacheza kati ya mag 0.75 na 0.95.

                                               

Farasi (kundinyota)

Kwa habari kuhusu mnyama angalia Farasi Farasi Pegasus kwa Kilatini na Kiingereza ni jina la kundinyota kubwa kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia.

                                               

Faridi

Faridi ni nyota angavu zaidi katika makundinyota ya Shuja na nyota angavu ya 49 kwenye anga ya usiku.

                                               

Galaksi

Galaksi ni kundi la nyota nyingi zinazoshikamana pamoja katika anga ya ulimwengu kutokana na graviti yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa ...

                                               

Ghurabu (kundinyota)

Ghurabu lipo jirani na kundinyota la Mashuke Virgo na nyota yake angavu Sumbula Spica. Makundinyota jirani mengine ni Shuja en:Hydra na Batiya en:Crater. Nyota zake angavu zaidi zina umbo la pembenne.

                                               

Globu ya nyota

Globu ya nyota ni tufe inayoonyesha michoro ya nyota na kundinyota usoni wake. Kwa hiyo ni kama ramani ya nyota iliyochorwa juu ya tufe au globu. Ramani za aina hii zilitengenezwa tangu zamani na mfano wa kale iliyohifadhiwa ni globu ya Farnese y ...

                                               

Mae Jemison

Mae Carol Jemison ni mwanakemia, tabibu na mwanaanga wa Marekani. Pia ni Mmarekani mweusi wa kike wa kwanza aliyefika kwenye anga-nje. Mwaka 1987 alijiunga na NASA akateuliwa kushiriki katika safari ya 50 ya mradi wa space shuttle kwenye mwaka 19 ...

                                               

Kasoko ya Chicxulub

Kasoko ya Chicxulub ni kasoko kubwa kwenye pwani ya rasi ya Yucatan iliyosababishwa na pigo la asteroidi miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminiwa ya kwamba tukio hilo lilisababisha kuangamia kwa dinosauri pamoja na spishi nyingine nyingi Duniani. K ...

                                               

Kimondo cha Chelyabinsk

Kimondo cha Chelyabinsk kilianguka tar. 13 Februari 2013 katika eneo la Chelyabinsk, Urusi mnamo saa tatu za asubuhi. Hiki kimondo kikubwa au asteroidi ndogo kilipasuka takriban 15 - 25 km juu ya uso wa dunia na nguvu ya mlipuko wake ilidhuru seh ...

                                               

Kimondo cha Mbozi

Majiranukta kwenye ramani: 9°06′28″S 33°02′14″E Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kilianguka kutoka anga-nje karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa takriban tani 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mko ...

                                               

Kinywa cha Hutu

Kinywa cha Hutu ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Hutu Junubi Piscis Austrinus. Ni pia nyota angavu ya 19 kwenye anga ya usiku.

                                               

Kiolwa cha kukaribia dunia

Kiolwa cha kukaribia Dunia ni kiolwa cha angani kama vile asteroidi, kometi, kimondo kinachoweza kukaribia Dunia yaani sayari yetu tunapoishi. Hali halisi violwa hivi hufuata obiti za kuzunguka Jua zinazokaribia Dunia yetu. Hapa kuna uwezekano wa ...

                                               

Kizio astronomia

Kizio astronomia ni kipimo cha umbali katika elimu ya astronomia. Kinalingana na umbali wa wastani kati ya dunia na jua. Urefu wake ni mita 149.597.870.691 au kwa kifupi takriban kilomita milioni 150. Umbali huu ni sawa na wastani wa umbali kutok ...

                                               

Kondoo (kundinyota)

Kwa maana tofauti wa jina hili angalia kondoo. Kwa maana tofauti ya Hamali angalia hapa Mpagazi Kondoo ni kundinyota ya zodiaki linalojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la Aries. Hamali pia ni jina la kimataifa kwa nyota angavu zaidi kati ...

                                               

Kuruki (kundinyota)

Kuruki linapakana na kundinyota Hutu Junubi Piscis Austrinus upande wa kaskazini, Hadubini en: Microscopium na Mhindi Indus upande wa mashariki, Tukani Tucana upande wa kusini na Zoraki Phoenix upande wa magharibi.

                                               

Madoa ya Jua

Madoa ya Jua ni sehemu kwenye uso wa Jua zinazoonekana nyeusi-nyeusi katika darubini ya mtazamaji. Madoa makubwa yanaweza kutazamiwa pia wakati wa machweo kwa macho matupu. Sehemu hizi huwa na jotoridi duni kulingana na maeneo mengine kwenye uso ...

                                               

Majina ya nyota

Majina ya nyota yanapatikana kwa nyota mia kadhaa zinazoonekana vema kwa macho matupu. Majina hayo yanaweza kuwa tofauti katika tamaduni mbalimbali duniani. Katika matumizi ya kisasa ni hasa majina kutoka urithi wa Ugiriki ya Kale, Roma ya Kale n ...

                                               

Makundinyota 88 ya UKIA

Kuhusu makundinyota kwa jumla na historia yao tazama makala Kundinyota Makundinyota 88 ya UKIA ni jinsi gani Umoja wa Kimataifa ya Astronomia UKIA uliamua kupanga tufe la anga kwa kusudi la kutaja mahali pa nyota jinsi inayoonekana kwenye anga. K ...

                                               

Maliki Junubi

Maliki Junubi ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Simba pia Asadi, lat. Leo.

                                               

Mara (kundinyota)

Kwa matumizi tofauti ya jina Mara angalia hapa Mara Mara ni kundinyota linalojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la Andromeda. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Jinsi ilivyo kwenye makundinyota yote ...

                                               

Marikabu

Kwa chombo cha maji angalia hapa merikebu Marikabu ni kati ya nyota angavu katika kundinyota la Farasi Pegasus.

                                               

Mashuke (kundinyota)

Mashuke pia: Nadhifa ni kundinyota la zodiaki inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la en:Virgo. Nyota za Mashuke huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko m ...

                                               

Masi ya Jua

Masi ya Jua inataja masi ya Jua letu ambayo ni takriban kilogramu 1.99 × 10 30. Hii inalingana na masi ya Dunia yetu mara 332.946. Kiwango hiki hutumiwa kama kizio katika sayansi ya astronomia kwa kutaja masi ya magimba kwenye anga ya nje hasa ny ...

                                               

Mawingu ya Magellan

Mawingu ya Magellan ni galaksi mbili ndogo zinazoonekana kwa macho matupu kama doa angavu angani kwa watazamaji kwenye angakusi ya Dunia. Hazionekani kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia. Mawingu ya Magellan ni sehemu ya kundi janibu la galaksi ...

                                               

Mbuzi (kundinyota)

Mbuzi ni kundinyota la zodiaki inayojulikana kimataifa kwa jina lake la kimagharibi la Capricornus. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Nyota za Mbuzi huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile ...

                                               

Mbwa Mdogo (kundinyota)

Mbwa Mdogo - Canis Minor lipo angani si mbali na nyota angavu sana ya Shira Sirius. Linapakana na kundinyota jirani za Mapacha) pia Jauza, lat. Gemini, Kaa pia Saratani, lat. Cancer, Shuja Hydra na Monukero Monoceros. Haipakani moja kwa moja na M ...

                                               

Mbwa wawindaji (kundinyota)

Mbwa Wawindaji linapakana na makundinyota yaa Nywele za Berenike Coma Berenices, Bakari Boötes na Dubu Mkubwa Ursa Major. Nyota angavu ya Simaki ing. Arcturus iko jirani.

                                               

Mbweha (kundinyota)

Mbweha lipo kwenye Njia Nyeupe likipakana na kundinyota la Farasi Pegasus, Dalufnin Delphinus, Sagita Sagitta, Rakisi Hercules, Kinubi Lyra na Dajaja Cygnus. Mbweha – Vulpecula lipo katikati ya nyota angavu za Vega, Dhanabu ya Ukabu ing. Deneb na ...

                                               

MESSENGER

MESSENGER ilikuwa kipimaanga kutoka nchini Marekani chenye kazi ya kuzunguka sayari Utaridi na kukusanya data juu yake. Kiliingia katika obiti ya sayari hii tarehe 18 Machi 2011 kikaendelea kutekeleza kazi zake hadi kuanguka kwenye uso wa sayari ...

                                               

Charles Messier

Charles Messier alikuwa mwanaastronomia kutoka nchini Ufaransa anayekumbukwa kwa kutunga orodha ya magimba ya angani iliyojulikana kwa jina la "Orodha ya Messier". Namba za orodha yake zinatumiwa hadi leo kwa kutaja magimba ya angani mbalimbali, ...

                                               

Mhindi (kundinyota)

Kwa maana tofauti ya jina hili tazama Muhindi na Uhindi Mhindi kwa Kilatini na Kiingereza Indus ni jina la kundinyota linaloonekana katika angakusi ya Dunia yetu.

                                               

Mirihi

Mirihi ni sayari ya nne katika mfumo wa Jua. Hivyo ni sayari jirani ya Dunia iliyo sayari ya tatu. Sura ya Mirihi inafanana zaidi na ile ya Dunia yetu kati ya sayari zote ilhali haina joto wala baridi kali mno. Kutokana na rangi yake, iliyosababi ...

                                               

Mizari

Mizari ni kati ya nyota angavu katika kundinyota ya Dubu Mkubwa. Ina umaarufu kama nyota maradufu inayoonekana kwa macho matupu.

                                               

Mjusi (kundinyota)

Mjusi linapakana na makundinyota ya Cepheus, Mke wa Kurusi Cassiopeia, Mara Andromeda, Farasi Pegasus na Dajaja Cygnus. Nyota angavu ya Dhanabu ya Dajaja ing. Deneb iko jirani.

                                               

Mkuku (kundinyota)

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa Mkuku Mkuku kwa Kilatini na Kiingereza Carina. ni jina la kundinyota kwenye nusutufe ya kusini ya dunia yetu.

                                               

Mpito wa Utaridi

Mpito wa Utaridi mbele ya Jua unatokea wakati sayari Utaridi inapita katika mstari baina ya jua na dunia. Hii inalingana na kupatwa kwa jua kiasi. Ilihali Utaridi iko mbali inaonekana ndogo na kufunika sehemu ndogo ya jua tu kwa mtazamaji duniani ...

                                               

Mpito wa Zuhura

Mpito wa Zuhura mbele ya jua unatokea wakati sayari Zuhura inapita katika mstari baina ya jua na dunia. Hii inalingana na kupatwa kwa jua kiasi. Ilihali Zuhura iko mbali inaonekana ndogo na kufunika sehemu ndogo ya jua tu kwa mtazamaji duniani. S ...

                                               

Mrifaki

Mrifaki ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Farisi na nyota angavu ya 24 kwenye anga la usiku.

                                               

Mshale (kundinyota)

Kwa habari za sayari angalia hapa Neptun; kwa matumizi mengine ya jina "Sagittarius" angalia hapa Sagittarius Mshale pia Kausi au Sagittarius kwa Kilatini/Kiingereza ni jina la kundinyota kwenye zodiaki. Nyota za Mshale huwa haziko pamoja kihalis ...

                                               

Munukero (kundinyota)

Munukero lipo karibu na ikweta ya anga na katika kanda ya Njia Nyeupe. Linapakana na makundinyota Shuja Hydra upande wa kaskazini, Mbwa Mdogo Canis Minor, Jauza Gemini, Jabari Orion, Arinabu Lepus, Mbwa Mkubwa Canis Maior na Shetri Puppis.

                                               

Mwakanuru

Mwakanuru ni kizio cha umbali kinachotumiwa katika fani ya astronomia. Ni kipimo cha umbali ambao mwanga umeusafiri kwa mwaka mmoja wa dunia yaani siku 365.25. Msingi wa kipimo hiki ni kasi ya nuru. Nuru inatembea takriban kilomita 300.000 kwa se ...