ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 146
                                               

Meridiani

Meridiani ni mstari wa kudhaniwa kwenye uso wa ardhi kutoka ncha ya kaskazini hadi ncha ya kusini ya dunia. Kwa lugha nyingine ni nusuduara kwenye uso wa ardhi. Kuna mstari unaopita Greenwich Uingereza uliokubaliwa kuwa meridiani ya sifuri sanifu ...

                                               

Meridiani ya sifuri

Meridiani ya sifuri ni mstari wa meridiani unaokubaliwa kuwa mstari wa rejeo kwa kutaja longitudo za mahali duniani. Tangu mwaka 1884 meridiani hiyo ni mstari unaopita kutoka ncha ya Kaskazini hadi ncha ya Kusini kupitia paoneaanga pa Greenwich m ...

                                               

Mwelekeo mkuu wa dira

Mwelekeo mkuu wa dira ni nukta nne zinazoonekana kwenye dira: Kaskazini, Mashariki, Kusini na Magharibi.

                                               

Ncha ya kaskazini

Ncha ya kaskazini ni mahali pa kaskazini kabisa duniani. Neno hili hutaja ama ncha ya kijiografia ya kaskazini au ncha sumaku ya kaskazini. Duniani iko kinyume ncha ya kusini.

                                               

Ncha ya kusini

Ncha ya kusini ni mahali pa kusini kabisa duniani. Neno hili hutaja ama ncha sumaku ya kusini. ncha ya kijiografia ya kusini au Duniani iko kinyume ncha ya kaskazini.

                                               

Nchi za visiwa

Nchi za visiwa ni nchi zilizopo kabisa kwenye eneo la kisiwa au visiwa mbalimbali bila kuwa na eneo barani. Kuna nchi 47 za aina hii duniani ambazo ni robo za nchi zote za dunia. Nchi nyingi za aina hii ni ndogo sana. Kuna nchi za aina hii zilizo ...

                                               

Nyanda za juu

Nyanda za juu ni maeneo yaliyoinuliwa juu, ama juu ya maeneo yaliyo jirani au kwa kiwango fulani juu ya usawa wa bahari. Kimataifa hakuna ufafanuzi makini ya istilahi hii. Mara nyingi inataja milima midogo au pia tambarare iliyopo mnamo mita 500 ...

                                               

Shingo ya nchi

Shingo ya nchi ni kanda nyembamba ya nchi kavu yenye maji kila upande inayounganisha sehemu mbili kubwa zaidi ya nchi. Mfano bora ni shingo ya nchi ya Panama inayounganisha Amerika ya Kati na Amerika ya Kusini. Mifano mengine mashihuri ni shingo ...

                                               

Tengamaji

Tengamaji ni sehemu za juu zinazotenganisha beseni za mito inayokusanya maji ya eneo fulani. Kila upande wa tengamaji maji yote hutirikika kuelekea mto mkubwa unaobeba maji hadi baharini, au kwenda ziwa fulani mfano Ziwa Chad, Bahari ya Kaspi lis ...

                                               

Tuta la mchanga

Tuta la mchanga ni kilima cha mchanga kilichojengwa na upepo kwa kupuliza na kusukuma punje za mchanga. Kama halishikwi na mimea inaweza kuhamahama. Matuta ya mchanga hutokea penye mchanga usiofunikwa na udongo au mimea ya kutosha. Mifano ni: Kan ...

                                               

Wangwa

Wangwa ni eneo la maji lililotengwa na bahari lakini kuna njia kwa maji kuingia na kutoka. Kama wangwa uko kwenye pwani na mito inaishia humo maji yake ni mchanganyiko wa maji ya chumvi na maji matamu. Kama wangwa haupokei maji ya mto na pia kuna ...

                                               

Alkoholi

Alkoholi ni jina kwa kundi la viowevu visivyo na rangi. Neno latumiwa mara nyingi kutaja aina yoyote ya pombe; hali halisi hii ni aina moja kati ya alkoholi mbalimbali ambayo ni alkoholi ethili iliyopo ndani ya aina zote za pombe na kusababisha u ...

                                               

Aloi

Aloi ni mchanganyiko wa elementi mbili au zaidi mwenye tabia ya kimetali; angalau elementi moja ndani yake ni metali pia. Zatengenezwa kwa njia ya: 1) Kuyeyusha metali 2) Kuichanganya katika hali ya kiowevu pamoja nyongeza zote 3) Kupoza yote had ...

                                               

Asidi

Asidi ni kampaundi ya kikemia yenye uwezo wa kutoa protoni ya hidrojeni kwa kampaundi nyingine inayoitwa besi na tokeo la mmenyuko huo kuwa chumvi pamoja na maji.

                                               

Chuma cha pua

Chuma cha pua ni aloi wa chuma pamoja na gredi mbalimbali za kaboni ambayo imekuwa uti wa mgongo wa mapinduzi ya viwandani. Hadi leo ni msingi wa mashine na vifaa vingi, pia silaha zinazounda uwezo wa kijeshi wa mataifa. Pia ujenzi wa kisasa hauw ...

                                               

Chumvi (kemia)

Chumvi kwa maana ya kemia ni kampaundi inayofanywa na ioni yaani anioni yenye chaji hasi na kationi yenye chaji chanya baada ya bezi kuunganika na asidi au metali yoyote. Chumvi inayojulikana zaidi ni chumvi ya kawaida ya NaCl kloridi ya natiri i ...

                                               

Ethanoli

Ethanoli ni dawa lililopo ndani ya aina zote za vinywaji vya pombe. Kikemia ni kampaundi ogania inayopatikana kama kiowevu kisicho na rangi. Ikiwa ni dawa safi inawaka haraka lakini mara nyingi hupatikana kama mchanganyiko pamoja na maji katika a ...

                                               

Feleji isiopatadoa

Feleji isiopatadoa ni aloi ya feleji yenye kiwango cha chromi ambayo ni kinga dhidi ya kutu inayosaidia kutoshika kutu haraka.

                                               

Gesi adimu

Gesi adimu ni mfulizo wa kikemia katika mfumo radidia unaounganisha elementi za kundi la 18 yaani Heli, Neoni, Arigoni, Kriptoni, Xenoni na Radoni. Elementi hizi zote zapatikana kama gesi kwa hali sanifu; hazina rangi wala harufu; haziwaki. Zinap ...

                                               

Gesi ya machozi

Gesi ya machozi ni silaha ya kikemia inayosababisha maumivu kwenye macho na pia kwenye njia ya pumzi. Inatumiwa kama silaha isiyoua lakini kwa viwango vikubwa inaweza kuleta madhara makubwa zaidi, hadi kusababisha kifo. Kwenye jicho inakera neva ...

                                               

Halogeni

Halogeni, katika kemia, ni simetali za kundi la 17 katika mfumo wa IUPAC katika jedwali la elementi zinazohusiana kwa karibu sana – fluorine, chlorine, bromine, iodine na astatine. Jina la halogeni, au mzalisha chumvi, linaelekeza katika tabia ya ...

                                               

Hidrati kabonia

Hidrati kabonia ni kampaundi ya kikemia inayojengwa kwa oksijeni, hidrojeni na kaboni. Katika kemia huitwa kwa jumla kwa jina "sukari" hata kama sukari kwa lugha ya kawaida ni sehemu tu ya kabohidrati. Hidrati kabonia ni kati ya molekyuli muhimu ...

                                               

Ioni

Ioni ni neno la fani ya kemia kwa ajili ya atomi au molekuli yenye chaji ya umeme. Hali hii inatokea kama atomi au molekuli imepokea au kupotewa na elektroni kwa hiyo kuwa na ziada au upungufu wa elektroni kulingana na hali yake ya kawaida.

                                               

Kampaundi

Kampaundi ni dutu iliyoundwa kwa kuungana kwa elementi mbili au zaidi za kikemia katika hali thabiti kati ya masi au atomi zake. Atomi zake zashikwa kwa muungo kemia kuwa molekuli za dutu hiyo.

                                               

Kemia isiyokaboni

Kemia isiyokaboni ni tawi la kemia linalochunguza yote ambayo si kemia kaboni yaani lisilotazama kampaundi za kaboni. Kwa hiyo inaangalia michakato ya elementi zote isipokuwa kaboni na kampaundi zao yaani isiyo kampaundi ogania. Asili ya kugawa k ...

                                               

Kemikali

Kemikali ni dutu yenye tabia za kikemia za kudumu iliyoundwa na viwango maalumu vya elementi za kikemia. Elementi hizi haziwezi kutenganishwa bila kuvunja muungo wa kikemia. Kemikali inaweza kupatikana kama mchanganyiko wa dutu kama asidi hidrokl ...

                                               

Khitini

Khitini ni dutu ngumu nusu angavu inayofanya kiunzi nje ya wadudu na arithropodi wengine. Inapatikana pia katika kuta ya seli za fungi. Kikemia ni aina ya polisakaridi yaani molekuli ndefu ya kabohidrati ya C 8 H 13 O 5 N n.

                                               

Kilipukaji

Kilipukaji ni kemikali au dawa lenye sifa ya kumenyuka haraka na ghafla kwa umbo la mlipuko. Mmenyuko huu unatoa joto na gesi inayopanuka na kusababisha mshtuko. Kilipukaji kinachojulikana zaidi ni baruti iliyotumiwa katika silaha lakini leo nafa ...

                                               

Kioo

Kioo ni dutu imara na ngumu inayopatikana kwa umbo lolote. Kwa kawaida ni kiangavu na wazi maana yake kinaruhusu kuona yale yaliyopo nyuma yake. Inatengenezwa pia kwa rangi mbalimbali kwa mfano kwa ajili ya madirisha ya makanisa. Kioo ni dutu hob ...

                                               

Magadi (kemikali)

Magadi ni kampaundi ya kemikali yenye fomula NaHCO 3. Vitu vilivyomo ndani yake ni sodiamu, hidrojeni, kaboni, oksijeni. Ni unga mweupe wa fuwele isiyo na asidi: katika siku za nyuma ilitumika kupunguza kiungulia, ugonjwa unaosababishwa na asidi ...

                                               

Metali ya mpito

Metali za mpito ni kundi la metali inayopatikana katikati ya jedwali la mfumo radidia wa elementi za kikemia. Zina tabia za kufanana. Ni elementi namba 21 hadi 30, 39 hadi 48, 57 hadi 80 na 89 hadi 112. Zaitwa pia elementi za mpito lakini kwa sab ...

                                               

Metali za udongo alikalini

Metali za udongo alikalini ni mfulizo wa kikemia katika mfumo radidia unaounganisha elementi za kundi la pili yaani elementi thabiti Berili, Magnesi, Kalisi, Stronti na Bari pamoja na elementi nunurifu ya radi ambayo ni tokeo la mbunguo wa elemen ...

                                               

Molekuli

Molekuli ni maungano ya kudumu ya angalau atomi mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila dutu. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza. Molekuli ni ndogo sana haionekani kwa macho.

                                               

Monoksidi kabonia

Monoksidi kabonia ni kampaundi inayounganisha atomi moja ya oksijeni na atomi moja ya kaboni katika molekuli. Fomula yake ya kikemia ni CO. Inatokea wakati wa kuchoma kaboni, yaani mata ogania, kama kuna oksijeni kidogo tu; katika mchakato wa kaw ...

                                               

Moshi (wingu)

Kwa matumizi mengine ya jina moshi tazama makala ya maana moshi "Picha: Moshi kwa lugha ya kawaida ni wingu linalotokea pale ambako moto inawaka. Ni mchanganyiko wa vipande vidogo vya mata mango, matone ya kiowevu -hasa maji- na gesi mbalimbali p ...

                                               

Muungo kemia

Muungo kemia ni kani inayoshikiza atomu, ioni na molekuli na hivyo kuwa msingi wa kutokea kwa kampaundi. Kani hiyo inaweza kutokana na kani umemetuamo electrostatic force katika muungo ionia au na muungo kovalensi ambapo atomu zinashirikiana elek ...

                                               

Muungo metali

Muungo metali ni jinsi atomi za metali zinavyoshikana. Kani hii yatokana na elektroni huria zinazotembea kati ya atomi na kuvutwa na ioni za kiini. Kwa metali elektroni za mzingo elektroni wa nje hazishikwi sana na kiini, hivyo ni rahisi kuachana ...

                                               

Ozoni

Inaonekana kama gesi ya buluu yenye harufu kali. Inatokea katika matabaka ya juu ya angahewa ambako mnururisho wa urujuanimno unapasua molekuli za O 2. 3 O 2 ⟶ 2 O 3 {\displaystyle \mathrm {3\;O_{2}\longrightarrow 2\;O_{3}} } Inatokea pia katika ...

                                               

Petroli

Petroli ni aina ya fueli inayopatikana kwa kawaida kwa mwevusho wa mafuta ya petroli. Kikemia ni mchanganyiko wa hidrokaboni zaidi ya 100. Matumizi ya petroli ni hasa fueli za injini za motokaa, pikipiki na eropleni.

                                               

PH

pH ni kipimo cha kutaja kiwango cha asidi. Kuna skeli kuanzia 0 hadi 14. 0 ni asidi kali kabisa, 14 ni kinyume magadi matupu. Asidi kali zaidi huwa na pH ndogo, myeyusho alikali zaidi huwa na pH ndogo. Dutu au mimumunyo zisizo kiasidi wala kialka ...

                                               

Polima

Polima ni molekuli ndefu iliyotengenezwa kwa kuungana pamoja vizio vingi vidogo vya kemikali. Jina polima linatokana na neno ambalo ni la Kigiriki cha kisayansi lililopatikana kwa kuunganisha πολύ poli nyingi na μέρος meros sehemu, kizio kwa hiyo ...

                                               

Shura

Shura ni kundi la chumvi za nitrati zinazotokea kiasili. Kikemia ni nitrati zifuatazo zilizoitwa shura au saltpeter: Nitrati ya kalisi CaNO 3 Nitrati ya kalisi KNO 3 Nitrati ya sodiamu NaNO 3

                                               

Steroidi

Steroidi ni kiwanja kikaboni na pete nne zilizopangwa katika konfigaresheni maalum ya Masi. Mifano ni pamoja na malaria ya lipid kolesterol, homoni za ngono estradioli na testosteroni na dexamethasone ya kupambana na uchochezi ya dawa. Steroidi i ...

                                               

Trinitrotoluene

Trinitrotoluene au kifupi TNT ni kampaundi ya kikemia inayotumiwa hasa kama kilipukaji cha kijeshi. TNT si kilipukaji kikali zaidi kushinda vingine lakini inapendelewa kwa sababu matumizi yake ni salama kushinda dainamiti au nitrogliserini. Gramu ...

                                               

Tuzo ya Nobel ya Kemia

Tuzo ya Nobeli ya Kemia hutolewa kila mwaka kufuatana na wasia wa Alfred Nobel na Kamati ya Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden. Tangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na wataalamu wafuatao: 1901 Jacobus Henricus van’t Hoff 1902 Hermann Emil Fisch ...

                                               

Ufuaji metali

Ufuaji metali inamaanisha jumla ya mbinu za kushughulikia metali na elimu yake. Inahusika pia na aloi ambazo ni mchanganyiko wa metali mbalimbali. Ufuaji metali inaanza kwenye kushuhulikia mtapo yaani mawe yenye madini ya metali na namna ya kutoa ...

                                               

Alfred Nobel

Alfred Nobel alikuwa mhandisi na mwenye viwanda wa nchi ya Sweden. Mwaka wa 1867 aligundua jinsi ya kutengeneza baruti kali. Pia aliboresha utoneshaji wa mafuta. Akafaulu kiuchumi akawa tajiri na wakati uleule mwenye wasiwasi kuhusu matumizi ya b ...

                                               

Ampea

Ampere ni kipimo cha SI kwa mkondo wa umeme. Alama yake ni A. Jina limetokana na mtaalamu Mfaransa André-Marie Ampère aliyegundua sumakumeme 1 A = 1 C / s = 1 C s-1 = 1 W / V = 1 W V-1

                                               

Bar (shinikizo)

Bar, pamoja na sehemu zake za desibar milibar ni vizio vya shinikizo. Si vipimo vya SI lakini hunatumiwa kandokando na kizio cha SI cha paskali, hasa kwa taarifa za hali ya hewa na pia kwa kupima hewa ndani ya matairi.

                                               

Dakika ya tao

Dakika ya tao ni kipimo cha pembe. Inataja sehemu ya 60 ya nyuzi moja. Dakika 60 za tao zinalingana na nyuzi moja. Nyuzi 360 ni sawa na duara kamili. Kifupi chake ni arcmin au alama ya. Katika upimaji kuna migawanyo midogo zaidi ya dakika ya tao: ...