ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 162
                                               

Edinson Cavani

Edinson Cavani ni mchezaji wa soka wa Uruguay ambaye anacheza katika Ligi kuu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Uruguay. Cavani alianza kazi yake kwa kucheza Danubio huko Montevideo, ambako alicheza kwa miaka miwili, kabla ya kuh ...

                                               

Edson Álvarez

Edson Álvarez ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Mexico. Hasa ni kiungo mshambuliaji, pia anaweza kucheza kama beki au kama kiungo mkabaji.

                                               

Edwin Gyasi

Edwin Gyasi ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye sasa anacheza katika klabu ya Bulgaria CSKA Sofia na timu ya taifa ya Ghana. Alicheza katika klabu mbalimbali kama vile Aalesund, Telstar, De Graafschap, FC Twente na Heracles Almelo.Yeye ni ndugu w ...

                                               

Edwin van der Sar

Edwin van der Sar ni mchezaji wa soka wa zamani wa Uholanzi ambaye alicheza kama kipa. Wakati wa kazi yake alichezea Ajax, Juventus, Fulham na Manchester United. Kwa sasa anafanya kazi kama afisa mkuu wa Ajax. Alianza kazi yake mwandamizi huko Aj ...

                                               

Omotola Jalade Ekeinde

Omotola Jalade Ekeinde ni mwigizaji wa filamu wa Nollywood huko nchini Nigeria. Ameolewa na Capt. Matthew Ekeinde ana watoto 4. Mbali ya kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wenye mafanikio makubwa kabisa wa Nollywood, pia ni mwimbaji na hujishughu ...

                                               

El Weezya Fantastikoh

Bayongwa Olivier Mutawala ni msanii, mwanamuziki, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na uhisani kutoka mji wa Goma huko Kivu KaskaziniKongo.

                                               

Eliaquim Mangala

Eliaquim Hans Mangala ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anachezea klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Ufaransa kama mlinzi wa kati. Alizaliwa nchini Ufaransa, alihamia Ubelgiji akiwa mtoto na kuanza kazi yake huko Standard Liège, ak ...

                                               

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael ni mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania. Mwaka wa 2013 alishinda tuzo ya Zanzibar International Film Festival kama msanii bora wa kike kupitia filamu "Foolish Age". Mwaka 2017 alitajwa na Tuzo za Vijana Afrika zifanyikazo nchini ...

                                               

Ellen White

Ellen Toni White ni mchezaji wa soka Timu ya taifa ya Uingereza ambaye anacheza kam mshambuliaji wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza.

                                               

Elvis Kamsoba

Elvis Kamsoba ni mchezaji wa soka wa Burundi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Melbourne na timu ya taifa ya Burundi.

                                               

Philip Emeagwali

Philip Emeagwali ni mhandisi, mwanasayansi wa kompyuta na mwanajiolojia wa kabila la Igbo kutoka Nigeria ambaye alikuwa mmoja wa washindi wawili wa Tuzo la mwaka wa 1989 la Gordon Bell, zawadi kutoka IEEE, kwa matumizi yake ya kompyuta yenye nguv ...

                                               

Emelda Mwamanga

Emelda Mwamanga ni mjasiriamali, mhariri, mchapishaji na mmiliki wa kampuni ya RELIM Entertainment inayoshughulikia uchapishaji wa majarida BANG MAGAZINE na BANG STAR linalohusika na mtindo wa maishatoka mwaka 2014. Pia alikuwa kiongozi wa Rasili ...

                                               

Eminem

Marshall Bruce Mathers III anafahamika zaidi kama Eminem na Slim Shady, ni mshindi wa tuzo ya Academy na tuzo nyinginyingi za Grammy-msanii bora wa muziki wa rap wa Kimarekani. Amewahi kuuza albamu zake zaidi ya milioni sabini kwa hesabu ya dunia ...

                                               

Emmanuel Boateng

Emmanuel Okyere Boateng ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Hispania iitwayo Levante UD.

                                               

Emmanuel Bodjollé

Emmanuel Bodjollé alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ushawishi ya washiriki tisa ambayo ilipindua serikali ya Rais wa Togo Sylvanus Olympio mnamo 13 Januari 1963. Bodjollé, mjeshi mkuu wa zamani wa jeshi la Ufaransa, alikuwa miongoni mwa askari kari ...

                                               

Emmanuel Myamba

Emmanuel Peter Myamba ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa kucheza kama mchungaji katika filamu ya Sikitiko Langu ambayo alifanya vizuri na hatimaye kuja kucheza tena uhusika huohuo katik ...

                                               

Emmanuel Okwi

Emmanuel Okwi ni mchezaji wa soka na anacheza klabu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Uganda. Taifa lake ni Uganda na anacheza kama kiungo. Timu yake ya kwanza kucheza ni St. Henry kitovu College alipokuwa Uganda alikuwa anaichezea klabu ya SC Vi ...

                                               

Enzo Perez

Enzo Perez ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya River iiliyopo nchini Argentina na timu ya taifa ya Argentina.

                                               

Paul Ereng

Ereng alifuzu kutoka Virginia katika mwaka wa 1993 akiwa na shahada ya digrii ya ukapera katika masomo ya kidini na shahada ndogo ya elimu ya jamiisociolojia. Yeye anamiliki shamba la ekari 50 Kitale. Mkewe, Fatima,alikuwa mkuu wa mauzo katika Ku ...

                                               

Eric Abidal

Eric Abidal ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ufaransa na timu za klabu za Lile, Monaco na Barcelona F.C. ambaye aLIcheza katika nafasi ya beki. Abidal alisajiliwa na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania mwaka 2007 kuto ...

                                               

Eric Bailly

Eric Bertrand Bailly ni mchezaji wa soka wa Ivory Coast ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Manchester United FC na timu ya taifa ya Ivory Coast. Hasa ni kiungo wa kati; pia anaweza kucheza kama beki wa kati. Bailly alianza kazi yake katika ...

                                               

Eric Balfour

Eric Salter Balfour ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa bendi ya Born As Ghosts, zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la Fredalba. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kam ...

                                               

Eric Dier

Eric Jeremy Edgar Dier ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza klabu ya Ligi Kuu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Uingereza. Mchezaji mwenye manufaa anayetimiza wajibu pia mwenye ujasiri, Dier ametumika kama kiungo mlinzi, beki w ...

                                               

Eric Shigongo

Eric James Shigongo mkoani Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mjasiriamali wa Tanzania ambaye amejikita zaidi katika uandishi wa hadithi na vitabu. Mpaka sasa ana vitabu vingi kamaː Malkia wa Masokwe, Damu na Machozi, Raisi Anampenda Mke Wangu, Siri Iliy ...

                                               

Erik Lamela

Erik Manuel Lamela ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama kiungo mshashambulia au winga kwa klabu ya Tottenham Hotspurs na timu ya taifa ya Argentina.

                                               

Erling Braut Håland

Erling Braut Haaland ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Norway ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Norway. Håland alianza kazi yake katika klabu ya nyumbani kwake Bryne FK mnamo 2016, na ali ...

                                               

Ernesto Valverde

Ernesto Valverde Tejedor ni mchezaji wa zamani wa Hispania ambaye alicheza nafasi ya mbele, na ndiye meneja wa sasa wa klabu ya Barcelona F.C. Zaidi ya kipindi cha misimu kumi, alikusanya jumla ya makombe ya La Liga 264 na mabao 68, akiongeza mec ...

                                               

Esteri Tebandeke

Esteri Tebandeke ni mwigizaji wa filamu, mwanamuziki na msanii aliyejulikana nchini Uganda. Alihitimu katika shule ya Margret Trowell ya viwanda na sanaa katika chuo cha Makerere. Alishiriki katikafilamu zilizojulikana kwa majina ya Sins of the p ...

                                               

Ethan Ampadu

Ethan Ampadu ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo wa kati au kiungo mkabaji wa klabu ya Chelsea ya Ligi Kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Wales.

                                               

Ever Banega

Ever Maximiliano David Banega ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anachezea klabu ya Hispania Sevilla FC na timu ya taifa ya Argentina kama kiungo wa kati. Alianza kazi yake na Boca Juniors, na akajiunga na Valencia mwaka 2008 ambapo alibakia ...

                                               

Patrice Evra

Patrice Latyr Evra ni mchezaji wa mpira kutoka nchi ya Ufaransa, ambaye anaisakatia kabumbu timu ya Uingereza ya Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa. Yeye ni mlinzi wa kushoto ambaye anaweza pia kucheza upande wa kushoto wa uwanja. Mwa ...

                                               

Fabian Delph

Fabian Delph ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo au beki wa kushoto wa klabu ya Manchester City FC na timu ya taifa ya Uingereza. Alizaliwa huko Bradford, Delph alianza kazi yake ya soka katika chuo cha vijana cha Bradfor ...

                                               

Fabien Barthez

Fabien Alain Barthez ni mshambuliaji wa zamani wa Ufaransa. Katika ngazi ya klabu, alicheza soka katika nchi kadhaa na baadhi ya hizo ni Ufaransa na Uingereza pamoja na Toulouse, Marseille, AS Monaco, Manchester United, na Nantes. Katika ngazi ya ...

                                               

Fabián Ruiz

Fabián Ruiz Peña ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Hispania anayechezea Klabu ya Italia S.S.C. Napoli na timu ya taifa ya Hispania. Tangu Juni 2019, Fabian pia ni mchezaji wa kikosi cha kwanza cha Hispania. Yeye kama kiungo wa kati anayetumia mguu ...

                                               

Fabolous

John David Jackson ni msanii wa rekodi za hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Fabolous. Alikulia mjini Brooklyn huko New York City, alikuwa mmoja kati marapa wa East Coast ambao waliathiriwa na muziki wa Sou ...

                                               

Fackson Kapumbu

Fackson Kapumbu ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Zambia ambaye anacheza katika klabu ya ZESCO United kama beki wa kushoto.

                                               

Khalilou Fadiga

Khalilou Fadiga ni mwanakandanda wa Senegal na Ufaransa ambaye mwisho alicheza katika kiungo cha kati kwa klabu ya Germinal Beerschot Antwerpen ya Ubelgiji. Pia ana pasipoti ya Ubelgiji.

                                               

Fally Ipupa

Fally Ipupa Nsimba ni mwimbaji, mchezaji, mfadhili, mpiga gitaa na mtayarishaji wa muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kuanzia 1999 hadi 2006, alikuwa mwanachama wa Quartier Latin International, bendi ya muziki iliyoundwa na Koffi Olo ...

                                               

Farid Mussa

Farid Mussa ni mchezaji wa mpira wa miguu. Alianza katika klabu ya Azam akichukuliwa katika mazoezi ya kuchukua vipaji katika mwaka 2013. Baada ya hapo alikwenda katika mechi ya Azam na CF Union Viera ambayo Farid Mussa alikuwa mchezaji aliyefany ...

                                               

Farouk Ben Mustapha

Farouk Ben Mustapha ni mchezaji wa soka timu ya taifa ya Tunisia ambaye anacheza kama kipa. Yeye anacheza katika klabu ya Al-Shabab na aliitwa kuchezea timu yake ya taifa ya Tunisia katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2010 lakini hakuweza kucheza k ...

                                               

Bobby Farrell

Bobby Farrell alikuwa mwimbaji wa kiume wa bendi ya muziki wa pop na disco-Boney M., kunako miaka ya 1970. Farrell aliondoka mjini Aruba akiwa na umri wa miaka 15 na baada ya hapo akaja kuwa baharia. Farrel pia aliwahi kuishi nchini Norway na Uho ...

                                               

Fat Joe

Joseph Antonio Cartagena ni rapa wa Kimarekani mwenyewe asili ya Puerto Rico na Kikuba. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Fat Joe. Fat Joe amesaini mkataba wa kurekodi na studio ya Imperial Records. Fat Joe pia anaendesha studio yak ...

                                               

Fatma Hassan Toufiq

Fatma Hassan Toufiq ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Mtekelezo 1967-1973 na elimu ya se ...

                                               

Fatou Bensouda

Fatou Bom Bensouda ni mwanasheria kutoka nchini Gambia. Alikuwa Waziri wa Sheria wa Gambia na tangu mwaka 2012 ni mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai. Bensouda alisoma sheria nchini Nigeria na sheria za bahari nchini Malta. Baada ...

                                               

Anthony Fauci

Anthony Stephen Fauci ni daktari wa Marekani na mtaalam wa kinga, ambaye ni mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Mizio na Magonjwa ya Kuambukiza tangu 1950 mpaka sasa. Tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, yeye ni mtu muhimu katika kikosi kazi cha kupamb ...

                                               

Faure Gnassingbé

Faure Gnassingbé Essozimna Eyadéma ni mwanasiasa wa Togo ambaye amekuwa Rais wa Togo tangu mwaka 2005. Kabla ya kuchukua urais, aliteuliwa na baba yake, Rais Gnassingbé Eyadéma, kama Waziri wa Vifaa, Migodi, Machapisho na Mawasiliano ya simu, aki ...

                                               

Fausta Shakiwa Mosha

Fausta Shakiwa Mosha ni Mtanzania aliye mshauri mwandamizi wa maabara wa chama cha maabara ya afya ya umma ya Afrika mashariki kwa nchi za mashariki na kusini mwa Afrika. Amewahi kuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Uhakiki wa Maabara ya Afya ...

                                               

Feisal Salum

Feisal Salum ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania. Ameanza kucheza mpira akiwa na miaka 17. alianza kuchezea timu ya mtaani katika michuano ya Ramadhan Cup; baada ya michuano alifanikiwa kwenda kuchezea katika timu ya Young Africans S.C. ...

                                               

Felicien Kabuga

Felicien Kabuga ni mfanyabiashara wa Rwanda, anayeshtumiwa kwa kugharamia na kushiriki katika mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994.

                                               

Fatma Abdulhabib Fereji

Fatma Abdulhabib Fereji ni mbunge katika baraza la wawakilishi la Zanzibar, Tanzania. kupitia chama cha Civic United Front. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Darajani kuanzia mwaka 1967 hadi 1973 na elimu ya sekondari katika shu ...