ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 163
                                               

Fernando Redondo

Fernando Carlos Redondo Neri ni mchezaji wa soka wa Argentina. Anachukuliwa sana kama mojawapo ya wasomi wenye nguvu zaidi na wa kifahari sana milele. Mwaka 1992 alishinda mpira wa dhahabu kwa mchezaji bora katika Kombe la Confederations la FIFA ...

                                               

Ferran Torres

Ferran Torres ni mchezaji wa soka anayechezea katika klabu ya Valencia CF kama mshambuliaji wa kulia na timu ya taifa ya Hispania.

                                               

Fid Q

Fid Q alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 1990. Fid Q alitoa wimbo wake wa kwanza mwaka 2000 ulioitwa Huyu na Yule ambao huo aliimba na msanii Mr Paul. wimbo huu ulimpa heshima kubwa, ulirekodiwa katika studio za MJ records chini ya usimami ...

                                               

Fikayo Tomori

Kufuatia kumalizika kwa mkopo wake, Tomori alirudi Chelsea ambako alipewa jezi No. 29.Mnamo 31 Agosti 2019, Tomori alicheza kwa mara ya kwanza Chelsea dhidi ya Sheffield United, ambayo ilimaliza sare ya 2-2 huko Stamford Bridge. Alifunga goli lak ...

                                               

Shane Filan

Shane Steven Filan ni msanii wa muziki wa pop kutoka nchini Ireland. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa kundi la Westlife. Filan ni moja ya waimbaji watano wa asili wa kundi la hili, akiwa na wenzake, Kian Egan, Mark Feehily na Nicky Byrne na aliyek ...

                                               

Filip Helander

Filip Viktor Helander ni mshambuliaji wa Uswidi ambaye anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Uswidi na klabu ya Bologna F.C.

                                               

Filipo GaoLubua

Filipo GaoLubua ni mwandishi wa riwaya na mshairi kutoka Tanzania. Aliandika riwaya iitwayo Kilele Kiitwacho Uhuru pamoja na diwani kadha wa kadha za ushairi. Baada ya kuhitimu elimu ya juu ya sekondari mwaka 2006, alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar ...

                                               

Daniel Filmus

Kazi ya sasa: Seneta wa Buenos Aires Aliingia Ofisi:10 Desemba 2007 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia: 25 Mei 2003 – 10 Desemba 2007 Rais wake: Néstor Kirchner Aliyekuwa katika ofisi hiyo awali:Graciela Giannettasio Aliyeingia ofisi:Juan Car ...

                                               

Laurence Fishburne

Laurence John Fishburne III ni mshindi wa tuzo ya Academy na ya Emmy-mwigizaji, mtayarishaji, mwongozaji na mwandikaji bora script wa Kimarekani. Fishburne alianza kujibebea umaarufu tangu mwaka 1979 baada ya kuigiza filamu ya Apocalypse Now, vil ...

                                               

Flora Mvungi

Zifuatazo ni filamu alizowahi kuigiza: Super Family | Jembe Love | Mwaka wa Hasara | Utajiri wa Mashaka | God Promise | Mtandao | Sweet & Scorpion | Last Chance | The Oath | Curse of Marriage | Our School | Haki ya Mke | Undercovers | Total Confu ...

                                               

Florian Thauvin

Florian Thauvin ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama winga wa Ligue 1 klabu ya Olympique de Marseille na timu ya taifa ya Ufaransa. Alifanya kazi yake ya kwanza katiaka klabu ya Grenoble mwaka 2011, akiendelea Bastia ambako alishi ...

                                               

Florin Andone

Florin Andone ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Romania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Uturuki Galatasaray, kwa mkopo kutoka kwa Brighton na Hove Albion. Kimataifa anaiwakilisha timu ya taifa ya Romania. Florin Andone alilelewa ...

                                               

Foby

Frank Ngumbuchi Felix, alizaliwa 2 Desemba 1992, katika Hospitali ya Mbesa Mission kwenye kijiji cha Mbesa, Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. Ni mwanamuziki wa Bongo Flava, lakini pia ni mtunzi wa mashairi na muandaaji wa ala za muziki.

                                               

Harrison Ford

Harrison Ford Ni muigizaji wa filamu kutoka nchini marekani. Anafahamika zaidi kwa ujasili wake kwa kuwa nahodha "Han Solo" katika mfululizo wa filamu ya Star Wars. Na pia kuwa mtafiti wa vitendo, Yaani kila anachojaribu kukitafiti yeye huwa asom ...

                                               

Jodie Foster

Alicia Christian Foster anafahamika zaidi kama Jodie Foster, ni mwigizaji wa filamu wa Kimarekani. Foster ameshiriki katika filamu nyingi tu kama vile Bugsy Malone, Taxi Driver, The Silence of the Lambs na Panic Room. Foster pia ni mwongozaji na ...

                                               

Francois Hollande

François Gérard Georges Nicolas Hollande alikuwa rais wa Ufaransa na mtawala mwenza wa Andorra kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Alikua katika mji wa Neuilly-sur-Seine. Hollande alianza siasa baada ya kuwa mshauri wa Rais François Mitterrand, kabla y ...

                                               

Frank Domayo

Frank Raymond Domayo ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania. Anayecheza kama kiungo wa klabu ya Azam F.C. na timu ya taifa ya Tanzania.

                                               

Frankétienne

Frankétienne ni mshairi, mwandishi wa tamthilia, mchoraji, mwanamuziki, mwimbaji, na mwalimu nchini Haiti. Aliandika tamthilia na hadithi zake kwa Kihaiti. Aliandika zaidi ya vitabu arobaini.

                                               

Frannie Léautier

Frannie Léautier ni mwanamke wa Tanzania, mhandisi, mtaaluma na mshauri wa maendeleo ya nje, anatumikia kama makamu wa Rais katika Africa Development Bank na ni mmoja kati ya wanabodi wa Bank ya Gavana tangu juni 2016. Kwa muda wa miaka sita 2001 ...

                                               

Shelly-Ann Fraser

Shelly-Ann Fraser, OD. Alisoma katika Shule ya Upili ya Wolmers ya Wasichana na akawakilisha shule yake katika mashindano mengi ya riadha.

                                               

Fred Ngajiro

Fred Fabian Ngajiro ni mfanyabiashara na mjasiriamali kutoka Tanzania. Fred ni Mkurugenzi Mkuu na mwanzilishi wa kampuni ya Vunjabei T Group Limited lakini pia ni mwanzilishi na rais wa kampuni ya Too Much Money Limited. Fred ametajwa kuwa mmoja ...

                                               

Freeman Mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa Mtanzania, mwanachama na mwenyekiti wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Alichaguliwa tangu mwaka 2000 kuwa mbunge wa Jimbo la Hai lililopo mkoa wa Kilimanjaro, akarudishwa kwa miaka 2015 ...

                                               

Morgan Freeman

Morgan Freeman ni mshindi wa tuzo ya Oscars kama mwigizaji, mwongozaji na mtunzi bora wa filamu. Morgan alikuja kufahamika zaidi kuanzia miaka ya 1990, baada ya kuonekana katika mfulilizo wa filamu zenye mafanikio huko Hollywood.

                                               

Félix Tshisekedi

Félix Antoine Tshisekedi ni kiongozi wa chama cha Muungano wa Demokrasia na Maendeleo ya Jamii, chama cha zamani na chama cha upinzani cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwishoni mwa mwaka 2008, Tshisekedi alitajwa kuwa Katibu Mkuu wa UDPS wa ...

                                               

Gabe Newell

Gabe Logan Newell ni mfanyabiashara anayejulikana kama mwanzilishi wa programu ya video na kampuni ya usambazaji wa Valve. Mzaliwa wa Colorado, alikwenda Chuo Kikuu cha Harvard miaka ya mapema ya 1980, lakini akaachana na kufanya kazi kwa Microso ...

                                               

Gabi

Gabriel Fernández Arenas ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania kama kiungo mkabaji. Gabi alizaliwa huko Madrid. Kama tunda la chuo cha vijana wa Atletico Madrid, alikuwa mchezaji mzuri katik ...

                                               

Gabi Fernandez

Gabriel Fernández Arenas, anayejulikana kama Gabi, alikuwa mchezaji wa soka wa Hispania ambaye alicheza katika klabu ya Atletico Madrid F.C na sasa anachezea katika klabu ya Qatari Al Sadd SChuko Saudi Arabia kama kiungo mkabaji. Alicheza michezo ...

                                               

Gabriel Costa Heredia

Gabriel Costa Heredia ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza katika klabu ya Colo-Colo na timu ya taifa ya Peru. Ni mzaliwa wa Uruguay na anacheza kama mshambuliaji.

                                               

Gabriel Jesus

Gabriel Fernando Jesus ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa ya Brazil. Gabriel hucheza kama fowadi katika timu zake mbili. Jesus alianza kazi yake huko Palmeiras. Ali ...

                                               

Gabriel Mercado

Gabriel Iván Mercado ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza klabu ya Hispania Sevilla FC. Alianza kazi yake na Racing Club na Estudiantes kabla ya kujiunga na Mto Plate mwaka 2012, kushinda mashindano sita ya nyumbani na ya kimataifa ik ...

                                               

Lady Gaga

Stefani Joanne Angelina Germanotta ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka nchini Marekani. Gaga, alizaliwa mjini Yonkers, New York na kukulia mjini Manhattan, ambako alijiunga na shule ya kulipia ya Convent of the Sacred Heart halafu ...

                                               

Game

Jayceon Terrell Taylor ni rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Game. Game alianza kujipatia umaarufu wake kunako mwaka wa 2005, pale alipotoa albamu yake ya kwanza the documentary" iliyompatia ...

                                               

Danay García

Danay García ni mwigizaji filamu na tamthilia wa Kikuba. Kwa sasa anashiriki katika tamthilia ya Prison Break, na humu anacheza kama Sofia Lugo.

                                               

Danna Garcia

Danna Garcia ni mwigizaji wa tamthilia, filamu na pia mwimbaji. Ni binti wa mwimbaji muziki wa Kikolombia Claudia Osuna. Danna alianza shughuli za muziki na uigizaji toka akiwa na umri wa miaka minne. Mnamo mwaka 1994, akiwa na dada yake Claudia, ...

                                               

Patrick Garcia

Patrick Garcia ni mwigizaji wa Kifilipino, aliyejulikana sana baada ya kuigiza kama Ryan kwenye filamu iliyopata mapokezi ya hali ya juu Ufilipino, Madrasta na Nathaniel Cordero kwenye tamthiliya Darating ang umaga. Baba yake ni mhispania na mama ...

                                               

Gareth Bale

Gareth Frank Bale ni mchezaji anayecheza kama winga katika klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Wales. Ana umaarufu wa kupiga mipira ya mbali, kupita katikati ya mabeki, na spidi kubwa na uwezo wake wa kutumia mguu wa kushoto na nguvu pia. Al ...

                                               

Gianni Garko

Gianni Garko ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Yugoslavia, aliyepatia umaarufu katika western za kiitalia, hasa alivyoigiza kama Sartana, katika filamu yake ya kwanza ilikyokuwa inaitwa If You Meet Sartana Pray for Your Death. Garko pia aliche ...

                                               

Jennifer Garner

Jennifer Anne Affleck, hasa hujulikana kwa jina lake la kuzaliwa kama Jennifer Garner, ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Garner amejipatia umaarufu mkubwa kwa kucheza kwake kama kachero wa CIA, Sydney Bristow, katika kipindi cha mful ...

                                               

Janeane Garofalo

Janeane Garofalo ni mchekeshaji wa wima, mwigizaji, mwanaharakati wa kisiasa, mwandishi, na mtangazaji msaidizi wa zamani wa kipindi cha The Majority Report cha Redio Amerika. Licha ya kuwa na daraja kubwa la umaarufu, Garofalo bado anaendelea ku ...

                                               

Siedah Garrett

Siedah Garrett ni mshindi wa Tuzo ya Oscar na Grammy, akiwa kama mtunzi na mwimbaji bora muziki wa Kimarekani. Huenda akawa maarufu kwa ushirkiano wake baina ya yeye na Michael Jackson katika kibao cha mwaka wa 1987, I Just Cant Stop Loving You.

                                               

Gary Cahill

Gary James Cahill ni mchezaji wa kitaalamu wa Uingereza ambaye anacheza kama kituo cha klabu ya Ligi Kuu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza. Cahill ni nahodha wa Chelsea na makamu wa nahodha wa Uingereza. Cahill alianza kazi yake kucheza kw ...

                                               

Edi Gathegi

Edi Mue Gathegi ni muigizaji wa filamu na jukwaani kutoka Kenya na Marekani. Anatambulika zaidi kama Dr. Jeffrey Cole kwenye maigizo ya televisheni House, vilevile kama Cheese kwenye filamu ya mwaka 2007 Gone Baby Gone na kama Laurent kwenye fila ...

                                               

Gaël Faye

Gael Faye alizaliwa mwaka wa 1982 mjini Bujumbura nchini Burundi. Mama yake ni mrwanda na baba yake ni mfaransa. Mama yake alikwenda kuishi Ufaransa lakini Gael Faye alikaa Burundi na baba yake. Baada ya mwanzo wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya ...

                                               

Gbenga Adeyinka

Gbenga Adeyinka ni mwigizaji, mchekeshaji, mtangazaji wa runinga, muandishi na mshereheshaji wa Nigeria aliyekulia Abeokuta, jimbo la Ogun huku akipenda kujiita kama mchekeshaji kinara wa Nigeria.

                                               

Giuliano Gemma

Giuliano Gemma ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia, aliyewahi kuwika katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti western.

                                               

George Cleopa Mapunjo

Ni mzaliwa wa kwanza katika familia ya Mzee Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Alipata elimu yake ya Msingi katika Shule ya Makugira na Mwembeni kabla ya kuja Dar es Salaam na kujiunga Shule ya Msingi Ilala Ka ...

                                               

Gerard Deulofeu

Gerard Deulofeu ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji na pia kama winga katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Watford F.C na Timu ya taifa ya Hispania.

                                               

Lisa Gerrard

Lisa Gerrard ni mwanamuziki, mwimbaji, na mtunzi kutoka nchini Australia. Alianza kupata umaarufu akiwa moja kati ya kundi la muziki la Dead Can Dance akiwa na mwanamuziki mwenzake wa zamani Brendan Perry. Tangua alivyoanza shughuli zake kunako m ...

                                               

Kieran Gibbs

James Ricardo Kieran Gibbs ni mchezaji wa kandanda wa Uingereza ambaye huchezea timu ya Arsenal kama mchezaji wa nyuma. Yeye alihudhuria Shule ya Upili ya Riddlesdown katika eneo la Purley,Kusini mwa London.

                                               

Mel Gibson

Mel Columcille Gerard Gibson ni mzaliwa wa Marekani-mwigizaji wa filamu, mwongozaji na pia mtayarishaji. Gibson alihamia Australia akiwa na umri wa miaka 12 na baadaye alisomea maswala ya uigizaji katika Taasisi ya Sanaa na Maigizo ya Taifa iliyo ...