ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 167
                                               

Richard Wagner

Richard Wagner alikuwa mtunzi wa sanaa mbalimbali za muziki na mizhezo kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa miziki ya mapenzi kwa kipindi cha karne ya 18-19. Mbali na miziki aliyotunga akiwa kama mwanafunzi vilevile am ...

                                               

Galileo Galilei

Galileo Galilei alikuwa mtaalamu wa fizikia, hisabati na astronomia kutoka nchini Italia. Anakumbukwa kwa sababu aliweka misingi ya mbinu mpya za sayansi zinazoendelea kutumika hadi leo. Akiwa mtaalamu wa kwanza aliyetumia darubini kwa kutazama n ...

                                               

Noam Chomsky

Noam Chomsky ni mtaalamu wa isimu nchini Marekani. Tangu 1955 amekuwa profesa kwenye chuo cha Massachusetts Institute of Technology. Amekuwa maarufu kwa michango yake katika isimu na pia kwa kama mwanaharakati aliyepigania mara nyingi siasa zisiz ...

                                               

Eratosthenes

Eratosthenes wa Kirene alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia, historia na lugha tena mkurugenzi wa maktaba ya Aleksandria katika Misri. Anakumbukwa hasa kama mtu wa kwanza aliyekadiria mzingo wa dunia. Anasemekana aliibuni neno "jiografia".

                                               

René Descartes

René Descartes alikuwa mwanafalsafa, mwanahisabati na mwanafizikia mashuhuri katika Ufaransa. Katika falsafa ajulikana kwa tamko lake "cogito ergo sum" Kilatini: Ninafikiri hivyo niko; au: Nina hakika ya kwamba niko kwa sababu najikuta nikitafaka ...

                                               

Christiaan Huygens

Christiaan Huygens alikuwa mtaalamu wa fizikia, hisabati na astronomia kutoka nchini Uholanzi aliyezaliwa mjini Den Haag. Alizaliwa kama mtoto wa Constantijn Huygens aliyekuwa mshairi mashuhuri wa Uholanzi. Hivyo kupitia babake alipata kujua watu ...

                                               

James Prescott Joule

James Prescott Joule alikuwa mwanafizikia kutoka nchini Uingereza aliyejipatia ridhiki za maisha yake kwa kuendesha kiwanda cha bia. Alichangia mengi kuhusu elimu ya umeme na fizikia ya joto. Kuanzia 1840 alifanya majaribio alimotambua ya kwamba ...

                                               

Daniel Gabriel Fahrenheit

Daniel Gabriel Fahrenheit, + 16 Septemba 1736 mjini Den Haag) alikuwa mwanafizikia Mjerumani. Alipokuwa kijana alihamia mjini Amsterdam Uholanzi. Alijifunza ufundi wa kioo akatengeneza vifaa vya vipimo vya kisayansi akaanza kujishughulisha mwenye ...

                                               

Johann Wolfgang von Goethe

Johann Wolfgang von Goethe alikuwa mwandishi, mshairi, mwanasiasa, mwanafalsafa na mwanasayansi Mjerumani anayekumbukwa kama mwandishi mkuu katika fasihi ya Ujerumani. Alizaliwa mjini Frankfurt am Main tar. 28 Agosti 1749 akafa Weimar 22 Machi 18 ...

                                               

Johannes Kepler

Johannes Kepler alikuwa mtaalamu wa astronomia, hisabati, theolojia na muziki kutoka nchini Ujerumani. Amekuwa maarafu hasa kwa sababu alitambua kanuni za mwendo wa sayari zikilizunguka Jua.

                                               

Wernher von Braun

Wernher Magnus Maximilian von Braun alikuwa mhandisi na mwanasayansi kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa mbuni wa roketi kuanzia miaka ya 1930 hadi 1972. Ametajwa kama mhandisi muhimu zaidi wa roketi katika karne ya 20. Alifanya kazi kwa serikali na ...

                                               

Joseph Fourier

Alionekana kuwa na vipaji vikubwa alipokuwa mwanafunzi shuleni huko Auxerre. Alipofikia umri wa miaka 18 alipewa kazi ya profesa palepale. Mwaka 1705 alihamia Paris akawa profesa wa hisabati. Pamoja na Napoleon Bonaparte alikwenda Misri mwaka 179 ...

                                               

James Clerk Maxwell

James Clerk Maxwell alikuwa mtaalamu wa hisabati na fizikia kutoka nchini Uskoti. Anakumbukwa kwa sababu alifaulu kubuni nadharia iliyoeleza vizuri tabia za umeme, hasa sumakuumeme.

                                               

Blaise Pascal

Alizaliwa huko Clermont-Ferrand, mkoa wa Auvergne. Alipokuwa na umri wa miaka 3 alifiwa na mama, Antoinette Begon. Hapo baba yake, Étienne Pascal 1588 - 1651, wakili na mwanahisabati, alishughulikia mwenyewe malezi yake. Mtoto Blaise alionyesha m ...

                                               

Alan Turing

Alan Mathison Turing alikuwa mtaalamu wa hisabati na kompyuta nchini Uingereza. Alikuwa kati ya watu wa kwanza walioshughulika na kompyuta tarakimu. Alielewa ya kwamba kompyuta inaweza kutumiwa hata kwa shughuli nje ya hisabati kama lugha ya prog ...

                                               

Carl Friedrich Gauss

Alizaliwa mjini Braunschweig katika Ujerumani ya kaskazini leo hii jimbo la Saksonia ya chini. Akili zake zilionekana alipokuwa bado moto mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka mitatu alimwonyesha babake kosa wakati huyu alipopiga hesabu ya mshahara w ...

                                               

Fibonacci

Fibonacci alikuwa mtaalamu wa hisabati kutoka nchini Italia. Anakumbukwa kama mwanahisabati muhimu zaidi wa Ulaya wakati ya zama za kati. Jina lake la kiraia ilikuwa Leonardo wa Pisa lakini aliitwa kwa jina la baba yake Bonacci.

                                               

John Newlands

John Newlands alikuwa mwanakemia wa Uingereza ambaye sheria yake ya "octaves" ilibainisha muundo katika muundo wa atomiki wa vipengele vinavyofanana na kemikali vilivyochangia kwa njia muhimu maendeleo ya Jedwali la Elementi. Newlands alisoma kat ...

                                               

Gerard Kuiper

Kuiper alizaliwa kwenye familia ya fundi cherahani katika kijiji cha Uholanzi ya kaskazini. Tangu 1924 alisoma astronomia kwenye Chuo Kikuu cha Leiden. Jan Oort alikuwa kati ya walimu wake. Baada ya kumaliza shahada ya uzamivu kwa tasnia kuhusu n ...

                                               

Hipparchos wa Nikaia

Hipparchos alikuwa mtaalamu wa astronomia, jiografia na hisabati wa Ugiriki ya Kale. Alizaliwa mjini Nikaia leo: Iznik katika Uturuki akafariki kwenye kisiwa cha Rhodos. Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale. Aliorodhesh ...

                                               

Jan Oort

Jan Hendrik Oort alikuwa mwanaastronomia kutoka nchini Uholanzi aliyeweka misingi muhimu ya kuelewa galaksi yetu. Alitajwa kuwa mmoja wa wanaastronomia muhimu zaidi wa karne ya 20. Wingu la Oort, kwenye sehemu za nje za mfumo wa Jua, lilipewa jin ...

                                               

Edmond Halley

Edmond Halley alikuwa mwanaastronomia kutoka nchini Uingereza. Alikuwa pia mtaalamu wa hisabati, wa metorolojia na wa fizikia. Halley anajulikana zaidi kwa kukadiria obiti ya nyotamkia iliyopata jina lake, yaani Nyotamkia ya Halley.

                                               

2012 DA14

Astroidi hii ilitazamiwa mara ya kwanza mwaka 2012 na wanaastronomia kwenye paoneaanga pa La Sagra. Hapo mwanzoni kulikuwa na hofu ya kwamba asteroidi hii inaweza kuwa na hatari maana kama ingegongana na dunia ingesababisha hasara nyingi sawa na ...

                                               

Kallisto (Mshtarii)

Kallisto ni mwezi unaozunguka Mshtarii. Ni mwezi mkubwa wa pili baada ya Ganimedi unaozunguka sayari hiyo. Kipenyo chake kinalingana na kile cha sayari Utaridi. Kati ya miezi minne mikubwa ya Mshtarii, Kallisto iko mbali zaidi na sayari hiyo ukiw ...

                                               

Nyotabadilifu

Nyotabadilifu ni nyota ambayo inaonekana huku mwangaza wake unabadilika-badilika; yaani kuna mabadiliko ya kurudiarudia jinsi mwangaza wake unavyoonekana na mtazamaji. Mabadiliko hayo ya mwangaza yanaweza kutokea katika muda wa saa, siku, miaka h ...

                                               

Hadubini (kundinyota)

Hadubini lipo jirani na makundinyota ya Mhindi Indus upande wa kusini, Mshale pia Kausi au lat. Sagittarius upande wa mashariki, Mbuzi zamani Jadi au lat. Capricornus upande wa kaskazini halafu Hutu Junubi Piscis Austrinus na Kuruki Grus upande w ...

                                               

Hawaa (kundinyota)

Hawaa - Ophiuchus lipo kwenye ikweta ya anga likionekana karibu na kanda ya Njia Nyeupe. Linapakana na makundinyota jirani ya Hayya mkia Serpens, Ukabu Aquila, Rakisi Hercules, tena Hayya kichwa, Mizani Libra, Akarabu Scorpius na Kausi Mshale Sag ...

                                               

Hayya (kundinyota)

Hayya - Serpens iko katika ukanda wa Njia Nyeupe. Hili ni kundinyota la pekee linalopatikana angani kwa sehemu mbili za pekee zinazotengwa na kundinyota la Hawaa Ophiuchus. Sehemu mbili zinaitwa Serpens Caput kichwa cha Hayya au nyoka upande wa m ...

                                               

Hutu Junubi (kundinyota)

. Hutu Junubi kwa Kilatini na Kiingereza Piscis Austrinus ni jina la kundinyota ndogo kwenye angakusi ya Dunia yetu. Ni tofauti na kundinyota Hutu au Samaki, Piscis.

                                               

Kinyonga (kundinyota)

Kinyonga lipo karibu na ncha ya anga ya kusini. Linapakana na kundinyota Nzi Musca, Mkuku en:Carina na Panzimaji en:Volans upande wa kaskazini, Meza en:Mensa upande wa mashariki, Thumni Octans upande wa kusini na Ndege wa Peponi Apus upande wa ma ...

                                               

Nyoka Maji (kundinyota)

Nyoka Maji lipo karibu ncha ya anga ya kusini. Inapakana na kundinyota la Meza Mesa, Nahari Eridanus, Saa Horologium, Nyavu Reticulum, Zoraki Phoenix, Tukani Tucana, Thumni Octans.

                                               

Nywele za Berenike

Nywele za Berenike Coma Berenices inapatikana angani karibu na nyota angavu za Simaki Arcturus na Sumbula Spica. Inapakana na kundinyota jirani za Nadhifa Mashuke Virgo, Bakari Bootes, Mbwa wawindaji Canes Venatici, Dubu Mkubwa Ursus Major na Asa ...

                                               

Cassini–Huygens

Cassini–Huygens ni chombo cha angani kilichotumwa na NASA na ESA kufanya utafiti wa sayari Zohali na miezi yake hasa Titan. Chombo kina sehemu mbili: Huygens ni chombo cha kufikia kwenye uso wa Titan. Cassini ni sehemu inayoendelea kuzunguka saya ...

                                               

Ghuba ya Guinea

Ghuba ya Guinea ni kidaka kikubwa cha bahari ya Atlantiki kwenye pwani ya magharibi mwa Afrika. Eneo lake linahesabiwa kuanza nchini Liberia kwenye rasi ya Palmas na kwisha kwenye rasi Lopez nchini Gabon. Jina la "Guinea" limetokana na jina la ka ...

                                               

Mgongo wa bahari ya Pasifiki-Antaktiki

Mgongo wa bahari ya Pasifiki-Antaktiki ni mgongo kati wa bahari katika Bahari ya Pasifiki ya kusini na pia kwenye Bahari ya Kusini. Ni kama safu ya milima ya volkeno kwenye sakafu ya bahari. Unatenganisha Bamba la Pasifiki na Bamba la Antaktiki. ...

                                               

Mkondo wa Ghuba

Mkondo wa Ghuba ni mkondo wa bahari unaopita katika Atlantiki kuelekea kaskazini. Mkondo wa Ghuba ni sehemu ya utaratibu wa mikondo ya bahari inayozunguka dunia yote.

                                               

Orodha ya milima ya Australia

Hii ni orodha ya milima ya Australia, ingawa si yote. Mlima Wellington m 1.271 - Tasmania Falls Creek m 1.842 - Viktoria Mlima Bogong m 1.986 katika Alpi za Viktoria - mlima wa juu katika Viktoria Mlima Keira m 464 - katika Illawarra Escarpment k ...

                                               

Orodha ya milima ya Kanada

Hii orodha ya milima ya Kanada inataja baadhi yake tu kama ifuatavyo: Mlima Razorback m 3.183 - British Columbia Mlima Fryatt m 3.361 - Alberta Mlima Ball m 3.294 - Alberta / British Columbia Mlima Lyell m 3.498 - Alberta / British Columbia Mlima ...

                                               

Hori Kuu ya Australia

Hori Kuu ya Australia ni hori kubwa iliyopo upande wa kusini wa Bara la Australia. Kuna namna tofauti za kuangalia sehemu hii ya bahari kati ya wataalamu wa Australia na wataalamu wa kimataifa. Taasisi ya Hidrografia ya Autralia inafafanulia hivi ...

                                               

Mlangobahari wa Bass

Mlangobahari wa Bass ni sehemu nyembamba ya Bahari Pasifiki inayotenganisha Tasmania na bara la Australia. Mlangobahari huo una upana wa kilomita 240 na maji huwa na kina cha mita 50 kwa wastani. Kuna visiwa vingi ndani yake pamoja na visiwa vya ...

                                               

Mlangobahari wa Torres

Mlangobahari wa Torres ni sehemu nyembamba ya bahari kati ya Australia na Guinea Mpya. Unaunganisha Bahari ya Matumbawe upande wa mashariki na Bahari ya Arafura upande wa magharibi. Upana wake ni km 150 ukiwa na visiwa vingi na miamba tumbawe nda ...

                                               

Mlangobahari wa Taiwan

Mlangobahari wa Taiwan ni sehemu ya bahari iliyopo kati ya China bara na kisiwa cha Taiwan. Huu ni mlangobahari unaounganisha Bahari ya Mashariki ya China na Bahari ya Kusini ya China. Upana wake ni kilomita 180, sehemu nyembamba kabisa km 131. N ...

                                               

Bahari ya Liguria

ã Bahari ya Liguria ni sehemu ya Bahari Mediteranea iliyoko upande wa magharibi wa rasi ya Italia. Umbo lake ni kama pembetatu kuanzia mpaka wa Italia na Ufaransa, hadi rasi ya kaskazini ya kisiwa cha Korsika na tena hadi rasi ya San Pietro 44°03 ...

                                               

Jiografia ya Jibuti

11°30′N 43°00′E Jibuti ni nchi yiliyo Mashariki mwa Afrika, ikipakana na Gulf of Aden na Red Sea, katikati ya Eritrea na Somalia. ’’Jiografia ya Jibuti’’’ inalingana kwa karibu na ile ya mataifa mengine katika Mashariki ya Afrika

                                               

Bahari ya Java

Bahari ya Java ni sehemu ya bahari iliyopo kati ya visiwa vya Indonesia vya Borneo upande wa kaskazini, Java upande wa kusini, Sumatra upande wa magharibi, na Sulawesi upande wa mashariki. Mlangobahari wa Karimata upo kwenye kaskazini magharibi n ...

                                               

Maporomoko ya Niagara

Maporomoko ya Niagara ni mfululizo wa maporomoko ya maji kwenye mto Niagara yaliyopo mpakani mwa Kanada na Marekani kati ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini. Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu Maporomok ...

                                               

Delta ya Nile

Majiranukta kwenye ramani: 30°54′N 31°7′E Delta ya Nile Kiarabu: دلتا النيل ‎ ni delta ya mto Nile iliyopo upande wa Kaskazini mwa nchi ya Misri ambapo ndipo mto Nile unapoanza kusambaa na hatimaye kuishia katika Bahari ya Mediteranea. Delta hii ...

                                               

Mfereji wa Msumbiji

Mfereji wa Msumbiji ni sehemu ya Bahari Hindi iliyopo kati ya kisiwa cha Madagaska na bara la Afrika, hasa nchi ya Msumbiji. Sehemu yake nyembamba yenye upana wa kilomita 460 iko kati ya Angoche, Msumbiji na Tambohorano, Madagaska. Urefu wake ni ...

                                               

Wangwa wa Lagos

Wangwa wa Lagos uko nchini Nigeria ukiwa mmojawapo kati ya nyangwa kubwa kwenye pwani ya ghuba ya Guinea. Eneo lake ni takriban km² 6.354.7 Ni gimba la maji lenye urefu wa kilomita 60 na upana hadi km 15. Kina cha wastani ni mita 2 pekee. Maji ya ...

                                               

Mkondo wa Benguela

Mkondo wa Benguela ni mkondo wa bahari katika Atlantiki ya Kusini unaotoka katika bahari baridi karibu na Antaktika na kuelekea kaskazini ukipita kwenye pwani la magharibi la Afrika. Mkondo una upana wa 200-3000 km. Mkondo husukuma maji baridi kw ...