ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 17
                                               

Dario Argento

Dario Argento ni mwongozaji wa filamu, mtaarishaji na mtunzi kutoka nchini Italia. Argento alifahamika sana kwa umahili wake wa kutengeneza filamu za kutisha. Dario pia aliwahi kutunga na kuongoza baadhi ya Filamu za Western ya Italia, maarufu ka ...

                                               

Arjen Robben

Arjen Robben"; alizaliwa 23 Januari 1984) ni nguli wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza katika klabu ya Ujerumani Bayern Munich. Yeye ni mshambuliaji ambaye kwa kawaida anacheza kama winga wa kushoto au wa kulia, anayejulikana kwa ujuzi wake wa ku ...

                                               

Ila Arun

Ila Arun ni mwigizaji wa filamu za Kihindi, mtangazaji katika televisheni, mwimbaji, Mwimbaji wa ufatilizi ambaye anafahamikaa kwa kazi zake katika sinema za Kihindi. Ameonekana katika sinema nyingi maarufu za Bollywood kama vile Lamhe, Jodhaa Ak ...

                                               

Asher Angel

Asher Dov Angel (amezaliwa 6 Septemba 2002 ni mwigizaji wa filamu kutoka Marekani. Alianza kazi yake kama muigizaji wa mtoto katika filamu ya 2008 Jolene, akiwa na nyota Jessica Chastain. Anajulikana kwa jukumu lake kama Yona Beck katika mfululiz ...

                                               

Ashley Young

Ashley Young ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama winga, nyuma ya mrengo au kamili kwa klabu ya Ligi Kuu ya Manchester United na timu ya taifa ya Kiingereza. Alizaliwa na kukulia huko Hertfordshire. Young alianza kazi yake huko W ...

                                               

Aslay Isihaka Nassoro

Alianza kufahamika kuanzia mwaka 2011 baada ya kutoa kibao chake cha Nakusemea alichokitoa akiwa chini ya Mkubwa Fella. Kabla ya hapo, alitoa wimbo mwingine uitwao Niwe Nawe akiwa amemshirikisha Temba. Baadaye akatoa nyimbo nyingine kadhaa kabla ...

                                               

Assimi Goïta

Kanali Assimi Goïta ni afisa wa jeshi la Mali na kiongozi wa Kamati ya Kitaifa ya Wokovu wa Watu, mamlaka ya kijeshi ambayo ilichukua madaraka kutoka kwa Rais wa zamani Ibrahim Boubacar Keïta katika mapinduzi ya Mali ya mwaka 2020.

                                               

Taiwo Atieno

Taiwo Leo Awuonda Atieno ni Mkenya aliyekuwa mchezaji wa kimataifa wa soka. Awali alicheza katika ligi ya Kandanda ya Walsall, Rochdale, mjini Chester na Darlington, na katika Tawi la Kwanza la USL Kwanza akichezea Puerto Rico Islanders. Alicheze ...

                                               

Audax Kahendaguza Vedasto

Audax Kahendaguza Vedasto ni mwanasheria msomi aliyejikita katika tasnia ya uandishi wa vitabu vya sheria na diwani za mashairi. Kama ilivyo kwa washairi wengine, Audax hujulikana kwa lakabu ya ushairi kama "Mwana wa Kahenda".

                                               

Augustine Mulenga

Augustine Kabaso Mulenga ni mchezaji wa soka wa Zambia ambaye anacheza katika klabu iliyopo nchini Afrika Kusini iitwayo Orlando Pirates na timu ya taifa ya Zambia.

                                               

Raimond Aumann

Raimond Aumann alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa golikipa wa Bundesliga kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa FC Bayern Munich. Mnamo mwaka wa 1984 akaja kuwa namba m ...

                                               

Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel ni mwigizaji wa Kitanzania aliyejulikana kwenye uigizaji wa filamu Prison Revenge’, Pumba Jungu La Urithi’ na Eyes on Me’. Baba yake alijulikana kama Ezekiel Grayson ambae alikuwa mchezaji bora wa timu ya mpira wa miguu Simba.

                                               

Awilo Longomba

Awilo Longomba ni mwanamuziki wa Kongo ambaye alikuwa mpiga ngoma katika bendi za Viva la Musica, Stukas, Nouvelle Generation na Loketo. Mwaka wa 1995, hatimaye aliacha kupiga ngoma na kuamua kuimba na alitoa albamu yake ya kwanza, Moto Pamba, ba ...

                                               

Moody Awori

Arthur Moody Awori, anajulikana kama "Uncle Moody", alikuwa Makamu wa Rais wa 9 wa Kenya kutoka 25 Septemba 2003 hadi 9 Januari 2008.

                                               

Jackie Aygemang

Jackie Agyemang ni mwigizaji kutoka Ghana. Amewahi kuchaguliwa mara mbili kwa tuzo la mwigazaji bora wa kike katika uhusika na mwigizaji chipukuzi bora katika tuzo la Afrika Kisasa Academy Awards la mwaka 2008.

                                               

Aymeric Laporte

Aymeric Gerard Alphonse Laporte ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Manchester City. Alianza kazi yake na klabu ya Athletic Bilbao mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 16, alikuwa mchezaji wa pili wa Kifaran ...

                                               

Ayo

Ayo ni mwimbaji nchini Ujerumani. Ana asili mchanganyiko: yeye ni binti wa baba Mnigeria na mama anayetokea Romania.

                                               

Ayo & Teo

Ayleo na Mateo Bowles ni kundi la wachezaji wa densi na wanamuziki kutoka Ann Arbor, Michigan huko Marekani. Wameonekana kwenye video za muziki za Ushers "No Limit" na "Party" nyimbo ya Chris Brown.

                                               

AZ (rapa)

Anthony Cruz ni rapa wa Kimarekani mwenye asili ya Dominika. anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama AZ. Pia, hujulikana zaidi na zaidi kwa kuwa rafiki mkubwa wa kitambo wa rapa mwenzi - Nas na kuwa mmoja kati ya wanachama wa kundi bab-kubwa l ...

                                               

Azad

Azad Azadpour ni rapa kutoka nchini Ujerumani. Ana asili ya Kikurdi, lakini shughuli zake anafanyia mjini Frankfurt am Main. Aliwasili nchini Ujerumani akiwa bwana mdogo wa umri wa miaka 10 - akitokea Iran, alipenda sana hip hop, rap, beatboxing ...

                                               

Azziad Nasenya

Azziad Nasenya ni mwigizaji, muandaaji wa filamu, na mhusika wa mitandao ya kijamii kutoka Kenya. Ni maarufu sana kwa jina la East Africa’s TikTok Queen. Amekuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2018.

                                               

Baba Rahman

Abdul Rahman Baba ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa kushoto kwa Ligue 1 akiwa na klabu ya Reims, kwa mkopo kutoka katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Ghana.

                                               

Ibrahim Babangida

Jenerali Ibrahim Badamasi Babangida, kiumaarufu anajulikana kama IBB, Alikuwa rais wa 8 pia alikuwa kiongozi wa kijeshi wa nchini Nigeria kuanzia mwezi wa Agosti mwaka 1985 hadi safari yake ilipofika ya kutoka ofisini kinguvu, Kutokana na msukumo ...

                                               

Baby Madaha

Baby Madaha ni mwanamke aliyejikita katika tasnia ya filamu za Kitanzania pamoja na muziki. Mwanadada huyu alijishindia tuzo maarufu nchini Tanzania ya BSS- Bongo Star Search mwaka 2007. Baby Madaha ametamba zaidi na kibao chake cha Amore. Mwaka ...

                                               

Babyface

Kenneth Brian Edmonds, anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama Babyface, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na myatarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Ametunga na kutayarisha zaidi ya vibao 26 vilivyoshika nafasi ya kwanza tangu kuanza k ...

                                               

Aleen Bailey

Aleen Bailey ni mwanariadha spesheli wa kushindana wa kimataifa wa nchi ya Jamaica. Alishirika katika Olimpiki ya 2004 na akashinda medali ya dhahabu kama mwanachama wa timu ya mbio ya 4 x 100m. Bailey hufanya mazoezi katika Columbia, South Carol ...

                                               

Bakary NDiaye

Bakary Moussa NDiaye ni mchezaji wa soka wa Mauritania ambaye anacheza katika klabu ya Difaâ Hassani El Jadidi, kama beki.

                                               

Christiaan Bakkes

Krokodil aan my skouer – Stoffel toe en nou 2014 Bushveld, desert and dogs: a game ranger’s life 2012 Stoffel se veldnotas 2007 Hadithi za safari ya Stoffel Die Lang Pad van Stoffel Mathysen 1998 Safari ndefu ya Stoffel Mathysen In Bushveld and D ...

                                               

Michael Ballack

Michael Ballack alikuwa mchezaji mashuhuri duniani wa mpira wa miguu wa Ujerumani na pia kiongozi wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani. Alichezea katikati uwanjani. Klabu ya mwanzo kabisa inaitwa Chemnitz,Klabu zingine mashuhuri aliche ...

                                               

Mario Balotelli

Mario Barwuah Balotelli ni mwanakandanda wa Kiitalia. Anajulikana sana kwa kasi yake na uwezo wa kiufundi. Balotelli, wakati mwingine hupewa jina Super Mario na watangazaji, anaweza kucheza sehemu yoyote katika safu ya kushambulia, lakini sanasan ...

                                               

Lloyd Banks

Christopher Charles Lloyd, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lloyd Banks, ni rapa wa kimarekani na mmoja wa kundi la G-Unit.

                                               

Nacer Barazite

Nacer Barazite ni mchezaji wa kandanda wa Uholanzi mwenye asili ya Moroko. Hivi sasa, anachezea timu ya Arsenal katika ligi kuu ya Uingereza. Yeye anaweza kucheza kama mchezaji wa kati ya uwanja anayeshambulia kama mshambulizi msaidizi.

                                               

Brigitte Bardot

Brigitte Bardot ni mwigizaji wa filamu, mwanamitindo, mwimbaji na mwanaharakati wa haki za wanyama wa Kifaransa. Bardot pia ni miongoni mwa waigizaji-waimbaji waliokuwa na wapenzi zaidi kwa miaka ya 1950 na 1960. Pia ni mmoja kati waigizaji wacha ...

                                               

Barkhad Abdi

Barkhad Abdi ni mwigizaji na mwongoza-sinema kutoka Somalia. Yeye alifanya uigizaji wake wa kwanza na muigizaji Tom Hank katika filamu ya Captain Phillips mwaka 2013. Yeye alipata umaarufu na heshima kwa filamu hii na hata alipata tuzo ya Muigiza ...

                                               

Errol Barnett

Errol Barnett ni mtangazaji na mwanahabari wa CNN International anayefanya kazi katika Makao Makuu ya CNN jijini Atlanta, Georgia. Yeye hutangaza habari za World Report na pia ni mtangazaji mkuu wa iReport for CNN, ambacho ni kipindi cha CNN kina ...

                                               

Barrett Brown

Barrett Lancaster Brown ni mwandishi wa habari wa nchini Marekani, mwandishi wa insha na satirist. Alianzisha mradi wa PM, utafiti shirikishi na wiki, kuwezesha uchambuzi wa majarida ya barua pepe zilizodukuliwa na habari nyingine zilizovuja juu ...

                                               

Barry Cunliffe

Sir Barrington Windsor Cunliffe, ni mwanaakiolojia wa Uingereza. Alikuwa Profesa wa Akiolojia katika Chuo Kikuu cha Oxford kutoka mwaka 1972 hadi 2007. Tangu 2007, amekuwa profesa mstaafu. Uamuzi wa Cunliffe wa kuwa mwanaakiolojia ulianza wakati ...

                                               

Bartosz Kurek

Bartosz Kamil Kurek ni mchezaji wa mpira wa wavu huko Poland.Ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Poland na klabu ya mpira wa wavu ya Kipolishi, ONICO Warszawa.

                                               

Bas

Abbas Hamad ni mwanamuziki mwenye asili ya Sudani, anayetoka mji wa Queens, jimbo la New York. Bas amesainiwa kwa lebo ya J Cole, Dreamville Records na Interscope Records. Albamu yake ya kwanza ya studio, Last Winter, ilitolewa tarehe 29 April, 2 ...

                                               

Omar al-Bashir

Omar Hasan al-Bashir alikuwa rais wa nchi ya Sudan tangu mwaka 1993 hadi alipopinduliwa mnamo Aprili 2019. Alitangulia kushika mamlaka nchini baada ya kuwa kiongozi wa uasi wa kijeshi uliopindua serikali ya waziri mkuu Sadiq al-Mahdi mwaka 1989. ...

                                               

Angela Bassett

Angela Evelyn Bassett ni mshindi wa Tuzo ya Emmy na Academy, vilevile Tuzo ya Golden Globe akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kutoka nchini Marekani.

                                               

Basshunter

"Fest i hela huset" 2011 "Vifta med händerna" 2006 "Dream on the Dancefloor" 2012 "Northern Light" 2012 "I Promised Myself" 2009 "Home" 2019 "Elinor" 2013 "Walk on Water" 2009 "Please Dont Go" 2008 "Vi sitter i Ventrilo och spelar DotA" 2006 "Sat ...

                                               

Bastian Schweinsteiger

Bastian Schweinsteiger ni mchezaji wa soka ya Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Major League Soccer Chicago Fire. Mchezaji wa mguu ya kulia, mara nyingi anacheza kama kiungo wa kati. Alitumia msimu wa 17 huko Bayern Munich, akiche ...

                                               

Batilda Salha Burian

Batilda Salha Burian) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania. Aliingia 2005 kwa kiti cha wanawake kupitia chama cha CCM. Alisoma shahada ya uhasibu kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akaajiriwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kama naibu ...

                                               

Michael Bay

Michael Benjamin Bay ni mwongozaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Bay amejibebea heshima-sifa na mafanikio makubwa baada ya kuongoza filamu kama vile Transformers, Armageddon, The Rock, Pearl Harbor, Bad Boys, na Bad Boys II. Bay pia ni mm ...

                                               

Filbert Bayi

Filbert Bayi ni mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1980 kule Urusi upande wa mbio za masafa marefu ya kati na kushinda nishani ya fedha katika mbio ya mita 3000. Mwaka wa 1974 alikuwa ameboresha rekodi ...

                                               

Sean Bean

Shaun Mark Bean ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Uingereza. Bean amecheza vipindi kadhaa vya television na vilevile kuigiza sauti za katika gemu za kompyuta na matangazo ya television. Bean amecheza safu za juu kabisa katika fila ...

                                               

Bebe Rexha

Bleta Rexha ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani. Baada ya kusaini na Warner Bros Records mnamo mwaka 2013, Bebe Rexha alipokea sifa za utunzi wa wimbo kwenye wimbo wa Eminem "Monster" ambao badaye ulipokea Tuzo ya Grammy ya Utendaji Bora ...

                                               

Bebeto

José Roberto Gama de Oliveira ni mchezaji wa soka wa zamani wa Brazil ambaye alicheza kama mshambuliaji. Aliingia katika siasa katika uchaguzi mkuu wa 2010 wa Brazili na alichaguliwa kwa Bunge la Sheria la Rio de Janeiro akiwakilisha Chama cha Ka ...

                                               

Victoria Beckham

Victoria Caroline Beckham ni mwimbaji na msanifu mavazi kutoka nchini Uingereza. Anafahamika sana kwa kuwa mmoja kati ya wanakundi la wasichana waimbao muziki wa pop la Spice Girls. Pia, anafahamika zaidi kwa vile kaolewa na mchezaji mashuhuri wa ...