ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 181
                                               

Tutu

Pugi au huji ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Columbidae. Mgongo wao una rangi ya jivu au kahawa na kidari na tumbo zina rangi ya pinki na/au nyeupe. Mabawa ya spishi nyingi, pamoja na spishi za Afrika, yana mabaka kwa rangi ingaayo. ...

                                               

Chigi

Chiriku ni ndege wadogo wa familia Fringillidae. Spishi bila rangi kali kama njano na nyekundu huitwa mpasuambegu pia na spishi yenye domo nene huitwa yombeyombe. Spishi nyingi zina rangi ya kahawa pamoja na nyeupe na pengine njano au nyekundu na ...

                                               

Chozi (ndege)

Chozi ni ndege wadogo wa familia Nectariniidae. Spishi za jenasi kadhaa zinaitwa neli. Spishi nyingi sana zina rangi kali zinazongaa juani kama metali. Manyoya ya kati ya mkia ni marefu sana katika spishi nyingine. Domo lao limepindika na hutumik ...

                                               

Fumbwe

Fumbwe ni ndege wadogo wa jenasi Vidua katika familia Viduidae ambao wanatokea Afrika tu. Spishi bila mkia mrefu na yenye rangi ya nili wanaitwa kinili pia. Wakati wa kuzaa madume wana rangi ya nyeusi na nyeupe na pengine rangi nyingine au rangi ...

                                               

Bendera (ndege)

Vibarabara au bendera ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika. ...

                                               

Kinili

Vinili ni ndege wadogo wa jenasi Vidua katika familia Viduidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanaitwa fumbwe pia pamoja na spishi nyingine za Vidua. Wakati wa kuzaa madume wana rangi ya nili, lakini wakati wengine wana rangi za majike, kahawia na ny ...

                                               

Mnaana

Vipimanjia au minaana ni ndege wadogo wa jenasi Anthus na Madanga katika familia ya Motacillidae. Zamani jenasi Madanga iliainishwa katika familia Zosteropidae. Ndege hawa wana rangi za kamafleji: nyeupe au njano chini na kijivu au kahawia juu. M ...

                                               

Tuju

Vipozamataza ni ndege wadogo wa familia Alaudidae; spishi nyingine zinaitwa tuju au kindoro. Takriban spishi zote zina rangi ya kahawa na michirizi myeusi. Hawa ni ndege wa nyanda, spishi kadhaa tu zinapatikana misituni. Wanatokea mabara yote isi ...

                                               

Kitenduli

Vitenduli ni ndege wadogo wa jenasi Uraeginthus katika familia ya Estrildidae ambao wana rangi buluu. Kuna spishi mbili zingine kwa jenasi hii ambazo zinaitwa tunguhina na zina rangi kahawianyekundu, lakini wataalamu wengine wanaziweka katika jen ...

                                               

Korobindo (Passeridae)

Korobindo ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Passeridae. Kuna ndege wengine ambao wanaitwa korobindo katika familia Ploceidae. Spishi za ukurasa huu zinatokea Afrika isipokuwa ambaye anatokea Asia. Korobindo-mawe anatokea Ulaya p ...

                                               

Korobindo (Ploceidae)

Korobindo ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Ploceidae. Kuna ndege wengine ambao wanaitwa korobindo katika familia Passeridae. Spishi hizi zinatokea Afrika tu. Ndege hawa wanafanana na shomoro lakini wana mwenendo kama kwera. Wan ...

                                               

Kucha (Hyliota)

Kucha wa jenasi Hyliota ni ndege wadogo ambao zamani waliainishwa katika Sylviidae, familia ya kucha wengine. Sasa wataalamu wanakubaliana kwamba ndege hawa hawana mnasaba na Sylviidae. Labda wana mnasaba na familia Promeropidae. Hadhi yao haijaa ...

                                               

Fire (ndege)

Kweche ni ndege wadogo wa jenasi Euplectes katika familia Ploceidae ambao wanatokea Afrika. Kuna makundi mawili ya kweche. Ndege wa kundi moja ni wadogo kwa kulinganisha na madume wana mkia mfupi wakati wa kuzaa. Wakati huo rangi za madume ni nye ...

                                               

Kwelea

Kwelea ni ndege wadogo wa jenasi Quelea katika familia Ploceidae ambao wanatokea Afrika. Wanafanana na kwera lakini hawana rangi ya manjano. Rangi zao ni kahawia na michirizi myeusi juu na nyeupe au pinki chini na wana kichwa, kidari na/au domo n ...

                                               

Chambogo

Kwera ni ndege wadogo wa jenasi Anaplectes, Brachycope na Ploceus katika familia Ploceidae. Takriban spishi zote zinatokea Afrika, lakini spishi tano zinatokea Asia. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa kwera kichwa-chekundu, kwera michiri ...

                                               

Manofi

Manofi ni ndege wadogo kiasi wa jenasi Bubalornis na Dinemellia katika familia Ploceidae ambao wanatokea Afrika tu. Ndege hawa wana mwendo kama kwera lakini ni wakubwa zaidi na hujenga matago yao kwa makundi. Spishi mbili ni nyeusi na spishi moja ...

                                               

Mkesha (Modulatricidae)

Mikesha wa familia ya Modulatricidae ni spishi tatu zilizowekwa pamoja kwa muda katika familia yao. Zamani ziliainishwa katika Timaliidae, Pycnonotidae, Turdidae na Muscicapidae lakini utafiti wa hivi karibuni imeonyesha kwamba spishi hizi zina a ...

                                               

Mnana

Minana ni ndege wadogo wa jenasi Ploceus katika familia Ploceidae ambao wanatokea Afrika. Wanafanana na kwera lakini hawana nyeusi kichwani. Ndege hawa hula mbegu hasa lakini wadudu pia, hususa makinda. Hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na ...

                                               

Mpasuambegu

Wapasuambegu ni ndege wadogo wa jenasi Crithagra katika familia Fringillidae. Spishi nyingine za Crithagra ambazo zina rangi njano na/au nyekundu huitwa chiriku. Wapasuambegu wana rangi ya kahawa, kijivu na nyeupe na pengine njano kidogo na wana ...

                                               

Mshigi

Mishigi ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika, Asia na Australia. Takriban spishi zote za Afrika ni ndege weusi au kahawia na weupe wenye pengine sehemu za rangi kali kama nyekundu, machungwa na nj ...

                                               

Mtolondo

Mitolondo au bwerenda ni ndege wadogo wa jenasi Lagonosticta katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanafana na mishigi lakini madume wana rangi za nyekundu, kahawa na kijivu, pengine pamoja na madoa meupe madogo. Majike wana rangi ...

                                               

Tararita

Mitolondo-kanga ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanafana na mitolondo lakini ndege hawa wana madoa meupe mengi tumboni. Wana rangi mbalimbali kama nyekundu, machungwa, kijani, kahawia, ki ...

                                               

Mtolondo-misitu

Mitolondo-misitu ni ndege wadogo wa jenasi Cryptospiza katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanafana na mitolondo lakini ndege hawa ni wekundu juu na kijivu chini na kichwani. Hula mbegu hasa na wadudu pia, hususa makinda. Tago l ...

                                               

Neli

Neli ni ndege wadogo wa jenasi kadhaa katika familia Nectariniidae. Spishi hizi ni kama chozi lakini kubwa kuliko spishi nyingi za chozi. Takriban spishi zote zina rangi ya majani. Manyoya ya kati ya mkia ni marefu sana katika spishi za Nectarini ...

                                               

Neli gunda

Neli gunda ni spishi ya ndege ya familia ya Nectariniidae. Anapatikana nchini Afrika Kusini, Angola, Benini, Botswana, Burkinafaso, Burundi, Chadi, Eritrea, Gambia, Ghana, Gine, Ginebisau, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kon ...

                                               

Njiri

Njiri ni ndege wadogo wa jenasi Nesocharis, Nigrita na Parmoptila katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanafana na mishigi wenye rangi za nyeusi, kijivu na kahawia, pengine nyekundu au buluu. Hula wadudu, matunda madogo na mbegu. ...

                                               

Pasha

Pasha ni ndege wadogo wa jenasi Malimbus katika familia Ploceidae ambao wanatokea Afrika tu. Ndege hawa wana mwenendo kama kwera. Rangi zao ni nyeusi na nyekundu au nyeusi na njano. Hula wadudu hasa. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya ma ...

                                               

Kibikula

Matikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla, Amaurocichla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae. Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata wadudu ...

                                               

Shani

Tokeeo ni ndege wa jenasi Macronyx na Tmetothylacus katika familia ya Motacillidae. Wanafanana na matikisa lakini tokeeo ni wakubwa zaidi na makucha ya nyuma ni marefu sana, marefu hata kuliko yale ya vipimanjia. Mgongo wao una michirizi kahawia ...

                                               

Odontospiza

Tongo ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika na Asia. Wanafanana na mishigi lakini rangi zao ni nyeusi, kijivu, kahawia na nyeupe tu. Hula mbegu hasa, lakini wadudu pia, hususa makinda. Tago lao ni ...

                                               

Tunguhina

Tunguhina ni ndege wadogo wa jenasi Uraeginthus katika familia ya Estrildidae ambao wana rangi kahawianyekundu na viraka buluu au zambarau. Kuna spishi tatu zingine kwa jenasi hii ambazo zinaitwa vitenduli na zina rangi buluu. Wataalamu wengine w ...

                                               

Tunguridi

Tunguridi ni ndege wadogo wa jenasi Pytilia katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanafana na mishigi na wana rangi mbalimbali kama nyekundu, machungwa, njano na/au kijani. Hula mbegu hasa lakini wadudu pia, hususa makinda. Tago l ...

                                               

Yombeyombe

Yombeyombe au yombiyombi ni ndege wadogo wa familia mbalimbali. Spishi moja iko katika Ploceidae, moja katika Viduidae na 24 katika Fringillidae. Hawa ni ndege wanene yenye domo nene na rangi mbalimbali kama nyeusi, kahawia, njano na nyekundu kuf ...

                                               

Zuwanende

Zuwanende ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia ya Muscicapidae. Ndege hawa wana mnasaba na kurumbiza lakini mkia wao ni mfupi zaidi na domo ni jembamba. Wana rangi ya kahawa au zaituni mgongoni na koo na kidari ina rangi ya machung ...

                                               

Chatimwamba

Chatimwamba ni ndege wa jenasi Monticola katika familia Muscicapidae. Spishi kadhaa ziliainishwa katika jenasi Pseudocossyphus. Ndege hawa wana mgongo kahawia, mweusi au buluu, kichwa buluu, buluukijivu au kijivu na tumbo jekundu. Wanatokea Afrik ...

                                               

Kidaku

Vidaku ni ndege wadogo wa jenasi Melaenornis katika familia Muscicapidae. Spishi kadhaa ziliainishwa katika jenasi Bradornis na Dioptrornis lakina jenasi hizi zimeunganishwa na Melaenornis sasa. Spishi moja inaitwa chekiro. Ndege hawa wana rangi ...

                                               

Kizole

Vizole ni ndege wadogo kiasi wa jenasi Onychognathus katika familia Sturnidae. Wanatokea Afrika tu isipokuwa kizole Somali na kizole Arabu ambao wanatokea nchi za kiarabu pia. Wanapenda kuwa kwa makundi. Ndege hawa wana mabawa mekundu yaonekanayo ...

                                               

Kurumbiza

Kurumbiza ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia ya Muscicapidae. Spishi nyingine zinaitwa madende. Zamani waliainishwa katika familia ya mikesha. Mkia wao ni mrefu kuliko ule wa zuwanende. Wana rangi ya kijivu, nyeusi, buluu au kahawa mgon ...

                                               

Kuzi

Kwenzi au kuzi ni ndege wadogo kiasi wa familia Sturnidae. Spishi nyingine zinaitwa kizole au nyangala. Wanatokea Ulaya, Afrika, Asia na Australia. Baadhi ya spishi zimewasilishwa katika Amerika ya Kaskazini, Nyuzilandi na Afrika. Wanapenda kuwa ...

                                               

Madende

Madende ni ndege wa jenasi Cichladusa katika familia ya Muscicapidae. Zamani waliainishwa katika familia ya mikesha. Wana mnasaba na kurumbiza na wanafanana nao. Wana rangi ya kahawa mgongoni na nyeupe chini; madende madoadoa ana madoa meusi kida ...

                                               

Mhozo

Mihozo ni ndege wa jenasi Oenanthe, Saxicola na Campicoloides. Zamani wataalamu waliwaweka katika familia ya mikesha, lakini siku hizi mihozo huainiwa baina ya shore. Mihozo wana mabaka maalum meusi na meupe au mekundu na meupe kwa kiuno na mkia ...

                                               

Mhozo mweusi

Mhozo mweusi ni jina la ndege wa familia Muscicapidae. Linahusu: Oenanthe leucura Mhozo mweusi Oenanthe): jina linalostahabiwa. Myrmecocichla nigra Mhozo mweusi Myrmecocichla): jina lisilostahabiwa.

                                               

Mkesha-maji

Mikesha-maji ni ndege wadogo kiasi wa familia Cinclidae wafananao na mikesha wadogo. Katika Afrika wanatokea Milima ya Atlas huko Maroko. Wana mkia mfupi na mabawa mafupi yenye nguvu. Ndege hawa hutafuta chakula majini na waweza kuingia maji waki ...

                                               

Mkeshamsitu

Mikeshamsitu ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Turdidae. Spishi za Afrika zinafanana na chati na zina rangi ya kahawa mgongoni na nyeupe chini. Spishi za Asia zina rangi kali zaidi. Mwenendo wa ndege hawa ni kama ule wa mikesha. Wanato ...

                                               

Mdondoakupe

Shashi au wadondoakupe ni ndege wadogo kiasi wa jenasi Buphagus, jenasi pekee katika familia Buphagidae. Wanatokea Afrika tu. Ndege hawa wana rangi ya kijivu au kahawa juu na nyeupe au njano kahawia chini. Hula kupe na vidusia wengine kwa ngozi y ...

                                               

Shesiafu

Shesiafu ni ndege wa jenasi Neocossyphus na Stizorhina katika familia ya Turdidae. Ndege hawa ni aina ya mikesha na waitwa pengine jina hili. Wanatokea Afrika tu. Rangi yao kuu ni rangi ya kahawia na kwa kawaida tumbo lao ni jekundu au kahawiache ...

                                               

Gongo shaba

Shore, shorwe au sholwe ni ndege wadogo wa nusufamilia Muscicapinae katika familia Muscicapidae. Spishi nyingine zinaitwa chekiro, kidaku au gongo shaba. Spishi kadhaa za familia Pycnonotidae zinaitwa shore pia. Wale wa Muscicapinae wana rangi ya ...

                                               

Gowee

Gowee au kore ni ndege wa jenasi Corythaixoides katika familia Musophagidae. Jina lako linatoka sauti yao inayosikika kama" gwee” au" gowee”. Huitwa shorobo pia kama spishi nyingine za Musophagidae. Ndege hawa wana rangi ya kijivu na nyeupe na wa ...

                                               

Huruvi

Shorobo, dura au huruvi ni ndege wa familia Musophagidae. Spishi za jenasi Corythaixoides zinaitwa gowee pia na Tauraco fischeri anaitwa kulukulu. Spishi za jenasi Corythaixoides na Crinifer zina rangi ya kijivu na nyeupe, nyingine zina rangi ya ...

                                               

Mwendamiti

Wendamiti ni ndege wadogo wa jenasi Sitta katika familia Sittidae. Wana kichwa kikubwa kwa kulinganisha, mkia mfupi na domo na miguu zenye nguvu. Takriban spishi zote zina rangi ya kijivu au buluu juu, nyekundu au nyeupe chini na mstari mweusi ma ...