ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 185
                                               

Hakuna Starehe Tena

No Longer at Ease ni riwaya ya mwaka wa 1960 iliyoandikwa na mwandishi wa Nigeria Chinua Achebe. Ni hadithi ya mtu Muigbo, Obi Okonkwo, ambaye anatoka kijijini mwake kutafuta elimu ya Uingereza na ajira katika utumishi wa kikoloni wa Nigeria, lak ...

                                               

Newfoundland

Newfoundland ni kisiwa kikubwa cha Kanada katika Bahari Atlantiki. Eneo lake ni kilomita za mraba 108.860 kuna wakazi wapatao 479.538. Pamoja na maeneo kwenye bara ni sehemu ya jimbo la Kanada linaloitwa Newfoundland na Labrador. Mji mkuu ni St. ...

                                               

San Salvador

San Salvador ni mji mkuu wa El Salvador katika Amerika ya Kati pia mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi 485.847 ambao ni theluthi moja wa watu wote nchini. Jina la mji lamaanisha "Mtakatifu Mwokozi" kwa Kihispania likimaanisha Yesu Kristo. San Sa ...

                                               

Sekta ya Anime

Sekta ya anime imeendelezwa kwa kiasi kikubwa katika miaka michache iliyopita, hasa nje ya Ujapani. Imeenea kwa kasi duniani kote, pamoja na ongezeko kubwa katika kupatiwa kwa leseni zinazopatia kibali cha kuonyesha vipindi na filamu kwa maeneo m ...

                                               

Mkoa wa Hormozgan

Hormozgan ni moja kati ya mikoa 31 ya Uajemi. Makao makuu yako mjini Bandar Abbas. Jina la mkoa hutokana na kisiwa cha Hormuz. Mkoa huwa na wakazi 1.403.674 sensa 2006. Eneo lake ni kilomita za mraba 70.669.

                                               

Mkoa wa Sistan na Baluchistan

Sistan na Baluchistan ni moja wa mikoa 30 ya Uajemi. Makao makuu yako mjini Zahedan. Mwaka 2006 idadi ya wakazi ilikuwa watu 2.405.742. Mkoa una eneo la 181.785 km² na msongamano wa wakazi 13 kila kilomita ya mraba.

                                               

Jumba la Sanaa la Sydney

Jumba la Sanaa la Sydney ni jumba linalo patikana katika Bandari ya Sydney, katika Sydney, Australia. Jumba linaumbo kama Matanga, na linapatikana mjini Sydney, Australia. Jumba hilo linatumiwa kwa matasha na sherehe mbalimbali za kimataifa huwa ...

                                               

Auckland Grammar School

Auckland Grammar School ni shule ya umma ya mjini Auckland, New Zealand. Shule inafundisha watoto kuanzia umri wa miaka kumi na tatu hadi kumi na saba. Shule pia ina bweni la kulazia wanafunzi wanaotoka mbali, hivyo ukaa mahali hapo pa shule. Ni ...

                                               

Tanna

Tanna ni kisiwa upande wa kusini wa nchi ya visiwa ya Vanuatu katika Bahari ya Pasifiki ya kusini. Ni kisiwa kikuu cha jimbo la Tafea la Vanuatu. Mji mkubwa ni Lénakel na mji wa Isangel ni makao makuu ya jimbo. Tanna ina urefu wa kilomita 40 na u ...

                                               

Sebastián de Belalcázar

Sebastián de Belalcázar alikuwa conquistador Mhispania. Alizaliwa Cordoba mnamo 1479 au 1480. Mwaka 1507 alihamia Amerika katika koloni mpya za Hispania. Akajiunga na kikosi cha Francisco Hernández de Córdoba mwaka 1524 aliyefanya Nikaragua kuwa ...

                                               

Anelidi

Anelidi ni faila ya wanyama wafananao na minyoo wenye mapingili kwa umbo wa pete. Katika faila hii kuna nyungunyungu, ruba na mwata. Wanatokea baharini, majini baridi na ardhini. Spishi nyingine huchimba katika ardhi au matope, nyingine huogelea ...

                                               

Rodentia

ODA RODENTIA Nusuoda Anomaluromorpha Familia Pedetidae: Kamendegere Springhares Familia Anomaluridae: Kindi warukaji Scaly-tailed flying squirrels Nusuoda Castorimorpha Familia Castoridae: Biva Beavers Familia ya juu Castoroidea Familia Geomyidae ...

                                               

Mnyamawamtuka moyowamkia

Mnyamawamtuka moyowamkia ni aina ya dinosauri ambaye visukuku vyake viligunduliwa kuanzia mwaka 2004 katika bonde la mto Mtuka upande wa kusini wa Ziwa Rukwa, karibu na kata ya Galula nchini Tanzania.

                                               

Konyeza

Konyeza ni wanyama wa bahari au wa maji baridi. Wanaainishwa katika nusufaila Medusozoa wa faila Cnidaria. Wana minyiri mirefu au mifupi yenye seli zinazochoma ngozi na zinazoweza kupooza au hata kuua mawinda madogo. Hutumika kwa kukamata samaki ...

                                               

Tegu

Mategu ni aina za minyoo yaliyo bapa katika oda Cestoda na faila Platyhelminthes. Mategu waliokomaa huishi kama vidusia katika mfumo wa mmengenyo wa chakula wa vertebrata ambapo hufyunda virutubishi katika giligili ya utumbo. Lava wa takriban spi ...

                                               

Schistosoma

Minyoo-kichocho ni spishi za minyoo vidusia za jenasi Schistosoma zinazosababisha ugonjwa wa kichocho kwa watu. Spishi zinaweza kugawanywa katika vikundi viwili kwa njia mbili tofauti. Njia ya kwanza ni mgawanyiko kulingana na ogani ambamo wapevu ...

                                               

Sifongo-bahari

Sifongo-bahari ni wanyama sahili wa maji katika faila Porifera ambao wamekazika chini, ijapokuwa spishi chache zinaweza kwenda kwa mbio wa mm 1-4 kwa siku. Spishi nyingi sana zina umbo wa yai, bonge au bomba. Kuna kipenyo kikubwa kiasi juu yao na ...

                                               

Chenene

Chenene ni wadudu wa jamii ya nyenje-ardhi katika familia Gryllotalpidae wa oda Orthoptera. Miguu ya mbele imetoholewa kwa kuchimba ina umbo la beleshi lenye meno.

                                               

Nyenje (Grylloidea)

Nyenje ni wadudu wa familia ya juu Grylloidea katika oda Orthoptera au wa familia ya juu Cicadoidea katika oda Hemiptera. Wana jina moja labda kwa sababu sauti zao zinafanana. Wale wa Cicadoidea huitwa nyenje-miti pia. Makala hii ni kuhusu wale w ...

                                               

Nyenje-ardhi

Nyenje-ardhi ni wadudu wa familia Gryllidae katika oda Orthoptera. Wadudu hao ni tofauti na nyenje-miti ambao wamo katika Cicadoidea. Nyenje-ardhi wanafanana kidogo na panzi lakini mabawa yao yanajifunga bapa mgongoni, vipapasio ni virefu sana na ...

                                               

Senene

Senene ni mdudu wa familia Tettigoniidae katika oda Orthoptera. Wapo tele magharibi mwa Kenya na Tanzania, kusini mwa Uganda na kaskazini mwa Rwanda. Baada ya majira ya mvua wapevu hukongomana katika makundi ya maelfu ya wadudu. Mara nyingi wadud ...

                                               

Nzige-jangwa

Nzige-jangwa ni wadudu wa kundi la panzi katika familia Acrididae wa oda Orthoptera ambao wanaishi jangwani kwa kawaida. Lakini wakiwa wengi sana hujikusanya katika makundi makubwa na kusafiri mbali ndefu hata nje ya jangwa. Tauni za nzige-jangwa ...

                                               

Kuleksi

Kuleksi ni spishi za mbu za jenasi Culex katika familia Culicidae. Spishi nyingi zinaweza kueneza ugonjwa ya vertebrata, pamoja na binadamu. Hayo yanashirikisha magonjwa yanayosababishwa na virusi, kama virusi ya Naili ya Magharibi, na pia malari ...

                                               

Ndorobo

Mbungo, chafuo au ndorobo ni nzi wa jenasi Glossina, jenasi pekee ya familia Glossinidae katika oda Diptera ambao wanafyonza damu ya mamalia pamoja na watu. Wanaenezea watu ugonjwa wa malale na wanyama nagana, yanayosababishwa na vijidudu wa jena ...

                                               

Nzi-matunda

Nzi-matunda ni nzi wa familia Tephritidae katika oda Diptera wanaoshambulia matunda duniani kote. Mabuu yao huishi ndani ya matunda mbalimbali yakiiva mitini ambamo wanajilisha na nyama ya matunda hayo. Nzi wa familia Drosophilidae huitwa nzi-mat ...

                                               

Nzi-matunda Mdogo

Nzi-matunda wadogo ni nzi wa familia Drosophilidae katika oda Diptera wanaotaga mayai katika matunda, yale yaliyoanza kuoza ama yaliyopata madhara hasa, na katika maada nyingine ya mimea inayooza. Nzi-matunda wa familia Tephritidae ni wakubwa zai ...

                                               

Pange

Pange ni nzi wa familia Tabanidae katika oda Diptera ambao wanafyonza damu ya mamalia pamoja na watu. Wanaweza kuenezea watu na wanyama vidusia kama vijidudu au minyoo. K.m. spishi za jenasi Chrysops hupisha minyoo kama loa na Loa papionis, ambao ...

                                               

Usubi (Ceratopogonidae)

Usubi ni mbu wadogo wa familia Ceratopogonidae katika oda Diptera wanaofyonza damu. Spishi nyingi hueneza magonjwa kama vile mansoneliasisi, ugonjwa wa ulimi buluu na ugonjwa wa farasi wa Afrika. Kuna usubi wengine walio wana wa nusufamilia Phleb ...

                                               

Usubi (Phlebotominae)

Usubi ni mbu wadogo wa nusufamilia Phlebotominae katika familia Psychodidae na oda Diptera wanaofyonza damu. Spishi nyingi hueneza magonjwa kama vile homa ya usubi na lishmaniasisi. Kuna usubi wengine walio wana wa familia Ceratopogonidae. Usubi ...

                                               

Simulium

Usubi weusi ni mbu wadogo wa familia Simuliidae katika oda Diptera wanaofyonza damu. Spishi fulani hueneza upofu wa mtoni unaoitwa usubi pia. Kuna usubi wengine walio wana wa familia Ceratopogonidae na wa nusufamilia Phlebotominae katika familia ...

                                               

Kidukari

Vidukari, vidukali au wadudu-mafuta ni wadudu wadogo wa familia Aphididae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Aphididae ni familia pekee ya familia ya juu Aphidoidea iliyopo hadi sasa; familia nyingine zimekwisha zote. Vidukari ni miongo ...

                                               

Kidungata

Vidukari-sufu au vidungata ni wadudu wadogo wa familia Pseudococcidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Licha ya jina lao wadudu hawa siyo vidukari kwa ukweli lakini aina za wadudu-gamba. Wanachoza nta kama wadudu-gamba wote lakini nta ...

                                               

Mdudu-gamba

Wadudu-gamba au wadudu magamba ni wadudu wadogo wa familia ya juu Coccoidea katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Spishi nyingi ni sumbufu, hususa kama wadudu wakiwa tele juu ya mimea, kwa sababu wanafyonza utomvu, kama vidukari na nzi weu ...

                                               

Jumeirah Beach Hotel

Jumeirah Beach Hotel ni hoteli ya nyota 5 mjini Dubai, United Arab Emirates. Hoteli hii, iliyofunguliwa mwaka 1997, inasimamiwa na kampuni inayoitwa Jumeirah. Hoteli hii ina vyumba 598 na nyumba 19. Hoteli hii ina umbo la wimbi la bahari, inayota ...

                                               

Wilaya ya Laikipia

Wilaya ya Laikipia ilikuwa moja kati ya wilaya sabini na moja za Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa iliyoko kwenye Ikweta. Makao makuu yalikuwa mjini Nanyuki. Kwa sasa imekuwa ...

                                               

Wilaya ya Nandi

Wilaya ya Nandi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Kapsabet. Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nandi. Wilaya hii ilikuwa na jumla ya wakazi 578.751 sensa ...

                                               

Zhongtong

Zhongtong ni jina la kampuni inayotengeneza mabasi nchini China. Kiwanda kipo katika mji wa Liaocheng katika Jimbo la Shangdong. Kampuni imeorodheshwa katika soko la hisa la Shenzhen, na ni mmoja wa watengenezaji mabasi wakubwa wa China.

                                               

Mdudu Mkia-fyatuo

Wadudu mkia-fyatuo ni wadudu wadogo bila mabawa wa nusungeli Collembola katika nusufaila Hexapoda walio na mkia kama springi. Kwa kawaida wadudu hawa wana urefu wa chini ya mm 6. Wale wa Entomobryomorpha na Poduromorpha wana kiwiliwili kilichoref ...

                                               

Primates

Primates ni jina la kitaalamu la kundi la mamalia wanaojumlisha lemuri, nyani na sokwe wote pamoja na binadamu. Kuna takriban spishi 400 za primates. Wote wanafana na binadamu kwa namna fulani. Tofauti muhimu ni lugha. Primates huwa na mikoni yen ...

                                               

Kidiri (mnyama)

Kidiri ni wanyama wadogo wa jenasi Paraxerus katika kabila Protoxerini la familia Sciuridae ambao wanafanana sana na kindi. Tofauti na hawa, ambao hukaa mitini takriban saa zote, kidiri hupitisha muda mrefu ardhini lakini hulala katika tundu mtin ...

                                               

Kindi-jua

Kindi-jua ni wanyama wadogo wa jenasi Heliosciurus katika kabila Protoxerini la familia Sciuridae. Mkia yao una miviringo myeusi na kahawia au kijivu. Kama kindi wote spishi hizi hupitisha takriban saa zote mitini na huteremka nadra ardhini. Hupa ...

                                               

Kindi-miraba

Kindi-miraba ni wanyama wadogo wa jenasi Funisciurus katika kabila Protoxerini la familia Sciuridae. Kama kindi wote spishi hizi hupitisha muda mitini hasa lakini huteremka ardhini mara kwa mara. Wanatokea misitu ya Afrika ya Kati mpaka Senegali ...

                                               

Kuchakulo

Kuchakulo ni wanyama wadogo kama kindi katika kabila Xerini la familia Sciuridae. Tofauti na kindi, ambao huishi mitini, kuchakulo huishi ardhini. Wanatokea maeneo makavu ya Afrika, isipokuwa kuchakulo makucha-marefu anayetokea Asia ya Kati. Hula ...

                                               

Kirukanjia-zabadi

Virukanjia meno-meupe au virukanjia-zabadi ni wanyama wadogo wa nusufamilia Crocidurinae katika familia Soricidae wanaofanana na vipanya, lakini virukanjia si wagugunaji. Spishi hizi zinatokea Afrika, Asia na Ulaya ya kusini. Nusufamilia hii ina ...

                                               

Kirukanjia wa Afrika

Virukanjia wa Afrika ni wanyama wadogo wa nusufamilia Myosoricinae katika familia Soricidae wanaofanana na vipanya, lakini virukanjia si wagugunaji. Spishi hizi zinatokea Afrika kusini kwa Sahara tu lakini hawa si spishi pekee za Afrika. Kuna spi ...

                                               

Bweha (Canis)

Bweha au mbweha wa jenasi Canis katika familia Canidae ni wanyama wadogo kiasi wanaofanana na mbwa. Mbwa-nyika huitwa" bweha wa Amerika” pengine, lakini kwa kawaida spishi nne tu katika jenasi Canis huitwa bweha. Spishi hizi huwinda wanyama wadog ...

                                               

Mlafi (mnyama)

Wolverini, pia huitwa mlafi, karkajuu au cheche-dubu, ni spishi kubwa zaidi kati ya wanyama wanaoishi ardhini wa familia ya Mustelidae. Ni mla-nyama mnene mwenye misuli ambaye hufanana kwa karibu zaidi na dubu mdogo kuliko mustelidi wengine. Wolv ...

                                               

Elki

Elki ni spishi kubwa katika familia Cervidae. Elki wanajulikana kwa kichwa chake kikubwa na pembe-tawi zake zinazogawanyika kama vidole vya kiganja; spishi nyingine za familia hii huwa na pembe-tawi zinazogawanyika katika matawi. Kwa kawaida elki ...

                                               

Karibu (mnyama)

Kulungu aktiki, pia hujulikana kama karibu katika Amerika Kaskazini ni spishi ya kulungu anayeishi Aktiki na maeneo ya chini ya Aktiki. Kuna nususpishi 14, lakini 2 zimekwisha sasa. Aina za kulungu aktiki hutofautiana kwa rangi na ukubwa. Kwa kaw ...

                                               

Kulungu pembe-nne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Kulungu pembe-nne ni mnyama mdogo wa spishi Tetracerus quadricornis katika familia Bovidae, anayefanana na kulungu na kuishi msituni wazi kwa Uhindi na Nepal. Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi Tetracerus. A ...