ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 19
                                               

Bukayo Saka

Saka alizaliwa Ealing, Greater London, na alisoma shule ya msingi ya Edward Betham CofE ambapo baadae alijiunga na sekondari ya Greenford. Saka ana asili ya Nigeria kwani wazazi wake wote ni wenyeji wa Nigeria, wazazi wake walihamia nchi Wingerez ...

                                               

Sandra Bullock

Sandra Annette Bullock ni mwigizaji filamu wa Kiamarekani. Ameanza kujibebea umaarufu kunako miaka ya 1990, baada ya kuigiza katika moja ya sehemu ya filamu zilizopata mafaniko makubwa - Speed na While You Were Sleeping. Baafa ya hapo, akawa mion ...

                                               

Burna Boy

Damini Ebunoluwa Ogulu, anayejulikana kama Burna Boy, ni mwimbaji na mwandishi wa wimbo wa Nigeria.Alipata umaarufu mnamo 2012 baada ya kuachia nyimbo yake ya kwanza "Like to Party" kutoka kwa studio L.I.F.E. Mnamo mwaka wa 2017, Burna Boy alisai ...

                                               

George W. Bush

George Walker Bush, alizaliwa 6 Julai 1946) alikuwa rais wa Marekani tangu mwaka 2001 mpaka mwaka 2009. Yeye ni mwenyeji wa jimbo la Texas alipokuwa gavana kabla ya kugombea uraisi. George W. Bush ni mwana wa rais mstaafu George H. Bush aliyetawa ...

                                               

Laura Bush

Laura Bush ni mke wa rais wa Marekani Bw. George W. Bush. Laura ni mtoto pekee wa mzee Harold Bruce Welch na Jenna Louise Hawkins. Laura na George walikutana na kuoana mnamo mwaka wa 1977. Laura ni mama wa Barbara Bush na Jenna Bush, ambao waliza ...

                                               

Benjamin wa Mambo Jambo

Benjamin Sixtus Busungu ni msanii mwimbaji wa Hip Hop, Dancehall, Afro-Beat, Afro-Pop na pia mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Tanzania. Awali alikuwa na kundi la Mambo Jambo, kundi ambao lilikuwa linafanya muziki wa hip hop katika miaka ya 20 ...

                                               

Mangosuthu Buthelezi

Inkosi Mangosuthu Ashpenaz Nathan Buthelezi ni kiongozi wa Kizulu huko nchini Afrika Kusini, na vile kiongozi wa chama cha Inkatha Freedom Party ambacho kiliundwa mwaka 1975.

                                               

Gerard Butler

Gerard James Butler ni mwigizaji filamu wa Kiscotland. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Mfalme Leonidas kutoka katika filamu ya 300 na The Phantom ya mwaka wa 2004.

                                               

Callum Hudson-Odoi

Callum James Hudson-Odoi ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza.

                                               

Kaspar Capparoni

Capparoni alizaliwa mjini Roma, Italia. Kaspar Capparoni ameanza kujishughulisha na msuala ya ugizaji tangu akiwa na umri wa miaka 18. Alipata kushiriki katika moja kati ya filamu zilizoongozwa na Bw. Giuseppe Patroni Griffi. Kunako mwaka wa 1984 ...

                                               

Claudia Cardinale

Claudia Cardinale ni muigizaji wa filamu za kitaliano aliyezaliwa nchini Tunisia na wazazi wa kiitalia. Filamu nyingi alizocheza Claudia huonekana na alama ya 8½ inaashilia kuwa filamu iliongozwa na Federico Fellini, katika miaka ya, pia katika O ...

                                               

Carl XVI Gustaf wa Uswidi

Carl XVI Gustaf wa Uswidi ni mfalme wa Uswidi. Aliweza kurithi ufalme baada ya babu yake mfalme Gustav VI Adolf kufariki tarehe 15 Septemba 1973. Yeye ni kitinda mimba na mwana wa kiume wa pekee wa Gustaf Adolf kiongozi wa kifalme wa Västerbotten ...

                                               

Carles Puyol

Carles Puyol Saforcada alikuwa mchezaji mashuhuri wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye alichezea klabu ya Barcelona F.C. mpaka kustaafu. Yeye alikuwa akicheza kama mlinzi wa kati lakini pia kama beki wa kulia, anachukuliwa kama mmoja wa walinzi b ...

                                               

Carlos Agostinho do Rosário

Carlos Agostinho do Rosário ni mwanasiasa wa Msumbiji ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Msumbiji tangu tarehe 17 Januari 2015. Yeye ni mwanachama wa FRELIMO na anahudumu chini ya Rais Filipe Nyusi. Alifanya kazi kama mtumishi wa umma mnamo miaka ya 1 ...

                                               

Carlos Fernández

Carlos Fernández Luna ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Sevilla FC. Fernández alianza kucheza soka na timu Sevilla FC akiwa na umri wa miaka 17, akishindana katika Segunda División B. Tarehe 18 Dese ...

                                               

Carlos Henrique Casimiro

Carlos Henrique Casimiro ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Hispania ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil. Ametokea huko São Paulo, ambapo alifunga mabao 11 katika michezo 112 rasmi, alihamia Re ...

                                               

Carlos Salcedo

Carlos Salcedo Hernández ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ujerumani iitwayo Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Mexiko.

                                               

Carlos Valdes

Carlos David Valdes ni muigizaji na mwimbaji wa nchini Marekani. Anajulikana sana kwa kucheza uhusika wa Cisco Ramon / Vibe pia kwenye filamu ya The Flash na vipindi vingine vinavyohusiana na mfulululizo wa sinema wa Arrowverse.

                                               

Carlos Álvarez

Carlos Alberto "Chacho" Alvarez alizaliwa tarehe 26 Desemba 1948 katika Buenos Aires ni mwanasiasa wa Argentina; yeye alikuwa Makamu wa Rais wa Argentina katika sehemu ya utawala wa Rais Fernando de la Rua, na sasa anaongoza Mercosur Sekretarieti ...

                                               

Caroline Chikezie

Caroline Chikezie ni mwigizaji Mwingereza mwenye asili ya Nigeria. Amejulikana vyema kwa kucheza kama Sasha Williams katika filamu ya As If na Elaine Hardy in Footballers Wives. Katika miaka ya hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa akicheza ka ...

                                               

Caroline Danjuma

Caroline Danjuma ni mchezafilamu wa Nigeria aliyeanza kuonekana na kungara katika filamu kama nyota mwaka 2004 akiwa Nollywood, alikuja kujitokeza zaidi mwaka 2016 akiwa kama muandaaji na nyota wa filamu.

                                               

Tia Carrere

Tia Carrere ni mwigizaji filamu wa Kihawaii, mwanamitindo na pia mwimbaji, anafahamika sana kwa jina la Cassandra kutoka katika filamu alioshirikishwa iitwayo Waynes World na katika mfululizo wa kipindi cha TV kiitwacho Relic Hunter.

                                               

Jim Carrey

James Eugene Jim Carrey ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe, akiwa kama mwigizaji filamu na mchekeshaji bora wa Kikanada. Anafahamika sana kwa kucheza filamu za kuchekesha kama vile Ace Ventura: Pet Detective, Ace Ventura: When Nature Calls, The M ...

                                               

Elpidia Carrillo

Elpidia Carrillo ni mwigizaji filamu wa Kimexiko, aliyeonekana zaidi katika filamu mbambalimbali za Hollywood, Marekani. Vilevile kuna baadhi ya filamu alizokuwa akigiigiza na kutumia jina lilelile la kuzaliwa "Elpedia Carrillo". Carrilo alianza ...

                                               

Jay-Z

Shawn Corey Carter ni msanii wa hip hop na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jay-Z. Huyu ni Ofisa Mkuu wa zamani wa Def Jam Recordings na Roc-A-Fella Records. Pia ni mmoja kati ya wanaomiliki k ...

                                               

Antonio Casale

Antonio Casale alikuwa mwigizaji wa filamu wa Hispania kwa miaka ya 1960 na 1970, ambaye pia alionekana zaidi katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti Western kati ya mwaka 1965 na 1976. Taratibu baadae jina la Antonio lilikuja ...

                                               

Ángeles Caso

El peso de las sombras. 1994. Finalista XLIII Premio Planeta 1994. El verano de Lucky. 1999. Rahima Begum. 2013 Asturias desde la noche. 1988. Guía. La alegría de vivir. 1999: Hijas y padres El resto de la vida. 1998. Giuseppe Verdi, la intensa v ...

                                               

Cassidy

Barry Adrian Reese ni mwimbaji muziki wa rap kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Cassidy

                                               

Cate Blanchett

Cate Blanchett ni mwigizaji wa kutoka nchini Australia. Blanchett ameshinda tuzo nyingi, ikiwa ni pamoja na Academy Award mara mbili, Golden Globe Award tatu, na BAFTA Award tatu. Blanchett alianza kuigiza nchini Australia kwenye filamu ya Electr ...

                                               

Catherine Ruge

Catherine Ruge ni mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya chama cha CHADEMA akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Dr. Macha aliyefariki dunia 21 Machi 2017.

                                               

Catherine Valentine Magige

Catherine Valentine Magige ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka mitano. Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

                                               

Catherine Zeta Jones

Catherine Zeta-Jones ni mshindi wa tuzo ya Academy-mwigizaji bora filamu wa Kiwelisi anayevuma na kuishi nchini Marekani. Zeta alianza shughuli za uigiza tangu akiwa mdogo. Baada ya hapo, akawa anaigiza katika sehemu nyingi ndogo-ndogo za filamu ...

                                               

Diego Cavalieri

Diego Cavalieri ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazil, anayechezea timu ya Liverpool hivi sasa. Yeye ana asili ya Italia ana pasipoti ya nchi za Brazil na Italia.

                                               

Cecelia Pedescleaux

Cecelia Tapplette Pedescleaux, anayejulikana pia kama Cely, ni mtozi wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika anayejihusisha na sanaa ya vitambaa vya jadi, alihamasishwa na wanahistoria, na miundo ya mto iliyotumiwa wakati wa Reli ya chini ya ardhi i ...

                                               

Petr Čech

Petr Čech ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ucheki, ambaye kwa sasa anaichezea klabu mashuhuri ya mpira wa miguu ya huko Uingereza, maarufu kama Chelsea F.C. na pia timu ya taifa ya Ucheki.

                                               

John Cena

John Felix Anthony Cena / siːnə /; aliyezaliwa Aprili 23, 1977 ni mchezaji wa mzuri wa miereka,mwimbaji, mwigizaji, na mmiliki wa televisheni Kwa sasa amesajiliwa WWE kampuni inayo wadhamini wacheza miereka, Cena alianza kazi yake ya kukabiliana ...

                                               

Cesc Fabregas

Francesc "Cesc" Fabregas Soler ni mchezaji wa soka anayetokea nchini Hispania; alizaliwa tarehe 4 Mei 1987 katika mji wa Arenys De Mar. Anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Chelsea na timu ya taifa ya Hispania. Fabre ...

                                               

Chadrac Akolo

Chadrac Akolo ni mchezaji wa klabu ya VfB Stuttgart mbaye anacheza kama kiungo na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

                                               

Yvonne Chaka Chaka

Yvonne Chaka ni mwimbaji kutoka Afrika ya Kusini. Aliitwa "Malkia wa Afrika", Chaka amekuwa mstari wa mbele katika muziki maarufu wa Afrika Kusini kwa miaka 20. Nyimbo kama "Im Burning Up", "Im in Love With a DJ", "I Cry for Freedom", "Makoti", " ...

                                               

Jackie Chan

Jackie Chan ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini China. Alijipatia umaarufu kupitia uigizaji wa kweli wa filamu tofauti za Kichina zenye kuchangamsha, kuchekesha na kutoa mafunzo kadhaa kwa ajili ya jamii. Ili kuzuia uhalifu kwa sa ...

                                               

Chancel Massa

Chancel Massa ni mchezaji wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambaye anacheza kama beki au mlinzi wa klabu AC Léopards.

                                               

Blandina Changula

Blandina alipata elimu ya msingi katika shule ya Bugoyi mwaka 1990 hadi 1997 na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya Buluba iliyopo Shinyanga mwaka 1998 hadi 1999. Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika shule ya bweni ya Kanawa hukoh ...

                                               

Cheick Traoré

Cheick Omar Traoré ni mchezaji wa soka anayecheza kama beki wa kulia katika klab ya RC Lens. Ingawa ni mzaliwa wa Ufaransa, Traoré anaiwakilisha timu ya taifa ya Mali.

                                               

Cherif Mohamed Aly Aidara

Cherif Mohamed Aly Aidara ni kiongozi wa dini ya Shia kutoka Senegal-Mauritania ambaye anafahamika kwa kazi yake juu ya maendeleo ya kimataifa huko Afrika Magharibi. Anajulikana kama mmoja wa watu wa msingi wa dini ya Shia katika Senegal na Afrik ...

                                               

Chiedza Mhende

Charlene Chiedza Chi Kudzai Mhende ni mwigizaji wa kike na msanii wa sauti raia wa Zimbabwe. Pia anajulikana sana kwa jukumu la kiume Wandile Radebe katika telenovela ya Afrika Kusini mnamo mwaka 1993.

                                               

Chinwendu Ihezuo

Chinwendu Ihezuo ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kike kutoka nchini Nigeria. Mwaka 2016 alikuwa mchezaji wa timu ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20 na mshambuliaji wa klabu ya BIIK Kazygurt, Kazakhstan.

                                               

Chipo Chung

Chung alizaliwa akiwa kama mkimbizi kutoka Zambia na kuishi nchini Tanzania. Ni nusu Mzimbabwe mwenye asili ya Mberengwa na asili ya Kichina. Pia jina alilopewa Chipo inamaanisha "zawadi" kwa lugha ya Kishona. Alitumia miaka miwili ya kwanza kati ...

                                               

Chow Yun Fat

Chow Yun-Fat ni mwigizaji wa filamu kutoka Jamhuri ya watu wa China. Ni miongoni mwa waigizaji filamu maarufu sana katika bara la Asia na ni mmoja wa waigizaji wakubwa katika soko la filamu huko kisiwani Hong Kong. Fat mara nyingi huwa anacheza s ...

                                               

Chris Hemsworth

Chris Hemsworth ni mwigizaji wa filamu wa huko Australia. Anajulikana kwa ushiriki wake kama Thor katika filamu ya Thor, Avengers, na Thor: The Dark World. Hemsworth alizaliwa Agosti 11, 1983 huko Melbourne, Victoria, Australia. Yupo katika ndoa ...

                                               

Christian Benteke

Cristian Benteke ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Crystal Palace na timu ya taifa ya Ubelgiji. Alianza kazi yake katika Standard Liege, akicheza sehemu yao ya ushindani wa 2008-09 wa Ubelgiji ...