ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 196
                                               

Tasnifu

Tasnifu ni maandiko ya kitaaluma yanayochanganua mada maalumu kwa ajili ya kupata shahada ya juu. Hutolewa pale ambapo msomi analenga digrii ya kitaaluma akiwasilisha utafiti na matokeo yake. Katika miktadha mingine, neno "tasnifu" hutumiwa pia k ...

                                               

Kate Maki

Wakati akifanya ziara Marekani mwaka 2008, Maki alisimama WaveLab huko Tucson, Arizon kwa siku mbili kurekodi albamu yake ya nne, Two Song Wedding, ambayo ilitolewa Januari 2010. Mwishoni mwa 2010, Maki na Mkanada mwenzake Fredrick Squire walisaf ...

                                               

Hadiqa Kiani

Hadiqa Kiani kwa Kiurdu: حدیقہ کیانی, TI c; amezaliwa 11 Agosti 1974) ni mwandishi wa nyimbo, mwimbaji, mpiga gitaa, mtunzi, na mfadhili wa nchini Pakistani. Amepokea tuzo nyingi za ndani na za kimataifa na pia ametumbuiza katika kumbi za kifahar ...

                                               

Lugha za Kihindi-Kiajemi

Lugha za Kihindi-Kiajemi ni kundi kubwa zaidi katika familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Zinajumuisha lugha za Kihindi-Kiarya na lugha za Kiajemi. Zinazungumzwa zaidi kwenye Bara Hindi na Nyanda za Juu za Iran. Hapo zamani zilitumiwa pia katika ...

                                               

Panya-vinamasi

Panya-vinamasi ni wanyama wagugunaji wa jenasi Dasymys katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika vinamasi na maeneo manyevu mengine yenye nyasi ndefu nyingi, mara nyingi kwenye miinuko.

                                               

Crash Landing on You

Crash Landing on You ni safu ya runinga ya Korea Kusini ya 2019-2020 iliyoandikwa na Park Ji-eun, iliyoongozwa na Lee Jeong-hyo na nyota wa Hyun Bin, Son Ye-jin, Kim Jung-hyun na Seo Ji-hye. Ni juu ya mrithi wa kiti cha bikira wa Korea Kusini amb ...

                                               

Historia ya Jamhuri ya Dominikana

Kabla ya kuja kwa Wahispania kisiwa cha Hispaniola kilikaliwa na Waindio Waarawak wa kabila la Wataino kuanzia karne ya 7. Kristoforo Kolumbus alikanyaga ardhi ya Amerika mara ya kwanza katika eneo la Jamhuri ya Dominikana. Nchi ilikuwa koloni la ...

                                               

Tracey Rose

Tracey Rose ni msanii wa Afrika Kusini anayeishi na kufanya kazi Johannesburg. Rose anajulikana sana kwa sanaa ya utendaji | maonyesho, usakinishaji wa video, na Picha nzuri za sanaa | picha.

                                               

Allan Fakir

Allan Fakir alikuwa mwimbaji wa Pakistan. Mmoja wa waonyeshaji wakuu wa muziki wa Sufi nchini Pakistan. Alifahamika haswa kwa mtindo wake wa kufurahisha wa utendaji, uliowekwa na maneno matupu ya ibada na uimbaji wa densi ya Sufi.

                                               

Sihuanaba

Sihuanaba, La Siguanaba, Cigua au Cegua ni mhusika asiyekuwa wa kawaida kutoka kwa ngano za Amerika ya Kati ingawa pia inaweza kusikika huko Mexico. Ni roho ya kutengeneza sura ambayo kawaida huchukua sura ya mwanamke mwenye kuvutia, mwenye nywel ...

                                               

Atanasia wa Egina

Atanasia wa Egina alikuwa mwanamke mjane aliyeanzisha monasteri, lakini hatimaye akajifungia katika chumba karibu na kanisa. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 18 A ...

                                               

Polong

Polong ni aina ya Roho inayojulikana katika Ngano za Wamalay. Ina muonekano wa mwanamke mdogo, mwenye saizi ya kiungo cha kwanza cha kidole. Polong ni moja wapo ya vizuka vilivyotajwa katika Hikayat Abdullah, iliyoandikwa na Abdullah bin Abdul Ka ...

                                               

Pelesit

Pelesit ni aina ya roho inayojulikana katika ngano za Kimalesia. Kwa ujumla ni kriketi, au wakati mwingine panzi. Neno halisi linamaanisha "buzzer" kutoka neno la msingi lesit lenye maana ya buzz au whiz, kama wadudu hufanya. Imani katika athari ...

                                               

Tibursi, Valeriani na Masimo

Tibursi, Valeriani na Masimo walikuwa wanaume walioongokea Ukristo. Kwa sababu hiyo waliteswa na kuuawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo, chini ya kaisari Alexander Severus. Inasemekana Valeriani alikuwa mume wa Sesilia ambaye ...

                                               

Ermengild

Ermengild alikuwa mwanamfalme aliyeuawa kwa shoka kwa ajili ya imani ya Kikatoliki kwa amri ya baba yake, mfuasi wa Ario. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Aprili.

                                               

Neema za msaada

Neema za msaada katika teolojia ya Kanisa Katoliki ni fadhili mbalimbali ambazo Roho Mtakatifu anasaidia akili na utashi wa mtu kuanza, kuendeleza na kutimiza kazi ya wokovu wake kwa kutenda mema na kuepuka mabaya. Neema kama hizo zinahitajika il ...

                                               

Historia ya Surinam

Wakazi asilia wa Surinam walikuwa Waindio hasa Waarawak na Wakaribi waliokalia sehemu za pwani na savana. Mwaka 1498 Kristoforo Kolumbus alipita mwambaoni akifuatwa mwaka 1499 na Amerigo Vespucci. Msafara wa upelelezi sehemu za bara ulifanywa na ...

                                               

Uzima wa neema

Uzima wa neema au hali ya neema katika teolojia ya Kanisa Katoliki ni uzima wa juu kabisa unaoweza kupatikana ndani ya binadamu hapa duniani kwa neema ya Mungu, kwa stahili za Yesu Kristo na kwa miminiko la Roho Mtakatifu.

                                               

Billy the Kid

Billy the Kid ilikuwa jina bandia la Henry McCarty alikuwa mhalifu nchini Marekani wakati wa karne ya 19 aliyekuwa maarufu kwa kuua watu 4-8 kabla ya kuuawa mwenyewe akiwa na umri wa miaka 21 pekee. Masimulizi hutofautiana kuhusu idadi ya watu wa ...

                                               

Dunstan A. Omary

Dunstan A. Omary alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa kwanza wa Tanganyika baada ya kupata Uhuru na wa Tanzania baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Alihudumu kwenye nafasi hiyo tangu mwaka 1962 hadi 1964. Dunstan alikuwa mkuu wa wilaya wa kwa ...

                                               

Himaya (biolojia)

Himaya ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi. Himaya ni migawanyiko ya domeni, halafu kila himaya imegawanyika katika faila kadhaa.

                                               

Domeni

Domeni ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi. Kila domeni imegawanyika katika himaya kadhaa.

                                               

Maria Elisabet Öberg

Maria Elisabet Öberg alikuwa fundi wa nguo za Ufini, aliyechukuliwa kuwa mstari wa mbele katika tasnia ya nguo. Alikuwa mkuu wa kinu cha nguo miaka 1757-1766, ambapo alijulikana kwa ubora wa hali ya juu ya usindikaji wa kitani aliyofundisha wanaf ...

                                               

Antusa wa Konstantinopoli

Antusa wa Konstantinopoli alikuwa binti Konstantino V, kaisari aliyekataza picha takatifu. Alipofariki, Antusa alijitosa kuhudumia maskini, kukomboa watumwa, kujenga makanisa na monasteri. Alipofariki hata pacha wake Kaisari Leo VI aliyetawala mi ...

                                               

Boys Over Flowers

Boys Over Flowers ni safu ya runinga ya Korea Kusini ya 2009 ambayo inategemea safu ya manga ya Kijapani ya shōjo Hana Yori Dango iliyoandikwa na Yoko Kamio. Mfululizo huo ni juu ya msichana wa darasa la kufanya kazi ambaye anachanganyikiwa katik ...

                                               

Elia, Paulo na Isidori

Elia, Paulo na Isidori walikuwa padri mzee kutoka Beja na wamonaki vijana waliouawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Aprili au ...

                                               

Maroni mfiadini

Maroni mfiadini alikuwa padri aliyekatwa kichwa kutokana na kueneza imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya dini hiyo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini, wa kwanza katika mkoa wa Ma ...

                                               

Ermogene na Elpidi

Ermogene na Elpidi walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliopata kuwa wafiadini. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Aprili.

                                               

Yohane Isauro

Yohane Isauro alikuwa mmonaki wa Ugiriki aliyedhulumiwa na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Aprili.

                                               

Theodori na Pausilipi

Theodori na Pausilipi walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya kaisari Adrian kwa sababu ya imani yao. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Aprili.

                                               

Kresenti wa Myra

Kresenti wa Myra alikuwa Mkristo wa mji huo aliyeuawa kwa kuchomwa moto kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya Dola la Roma. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Tarehe 15 Aprili ndiyo sikukuu yake.

                                               

Petro na Ermogene

Petro na Ermogene walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliopata kuwa wafiadini chini ya kaisari Dioklesyano. Petro alikuwa shemasi na Ermogene mtumishi wake. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. Sikukuu yao huadhi ...

                                               

Bernika, Prosdoka na Domnina

Bernika, Prosdoka na Domnina walikuwa wanawake Wakristo waliokufa maji katika mto huku wakijitahidi kukimbia askari wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Bernika na Prosdoka walikuwa mabikira, Domnina alikuwa mama yao. Tangu kale wanaheshimiwa na Wa ...

                                               

Drogo

Drogo aliishi miaka mingi bila makao maalumu, kwa kutembelea patakatifu mbalimbali, halafu akawa mkaapweke katika chumba kidogo kilichounganika na kanisa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimi ...

                                               

Ciguapa

Ciguapa ni kiumbe wa hadithi za Jamhuri ya Dominikana. Wao huelezewa kawaida kuwa na fomu ya kike ya kibinadamu yenye ngozi ya hudhurungi au nyeusi ya hudhurungi, miguu inayotazama nyuma, na manes ndefu sana ya nywele laini, zenye kungaa ambazo h ...

                                               

Julie Driscoll

Driscoll anajulikana kwa matoleo yake ya miaka ya 1960 ya Bob Dylan na Rick Danko ya "This Wheels on Fire", na Donovans "Season of the Witch", yote pamoja na Brian Auger and the Trinity. Sambamba na The Trinity, alishirikishwa mnamo 1969 katika k ...

                                               

Optati, Luperki na wenzao

Optati, Luperki na wenzao Suksesi, Marsiali, Urbani, Julia, Kwintiliani, Publi, Frontoni, Felisi, Sesiliani, Evodi, Primitivi, Apodemi na wanaume 4 wenye jina la Saturnini walikuwa Wakristo waliopata kifodini katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano ...

                                               

Engrasya

Engrasya alikuwa bikira aliyestahimili mateso na kifodini katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano dhidi ya Wakristo. Siku hizi wengine wanamtaja kaisari Valerian Heshima ya watu kwake kama mtakatifu ni ya zamani sana. Mshairi Prudentius 348-410, mw ...

                                               

Kayo na Kremensi

Kayo na Kremensi walikuwa Wakristo walioteswa katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano na labda walifariki gerezani baada ya siku chache. Siku hizi wengine wanamtaja kaisari Valerian Mshairi Prudentius 348-410, mwenyeji wa mji huo, alitunga utenzi j ...

                                               

Rita Chiarelli

Alizaliwa na kukulia Hamilton, Ontario, Chiarelli alianza kutumbuiza katika bendi ya Ronnie Hawkins mwanzoni mwa miaka ya 1980. Baadaye alitumia miaka kadhaa nchini Italia. Aliporejea Kanada, kwa haraka alimvutia mwongozaji wa filamu Bruce McDona ...

                                               

Tony Gum

Tony Gum ni mpiga picha wa Afrika ya Kusini. Gum alizaliwa Kwa Langa eneo iliyopo Cape Town katika jimbo la huba ya magharibi. Alianza kazi yake ya upigaji picha kwa kujipiga picha mwenyewe na kuchapisha katika mtandao wa Instagram. Kutokana na J ...

                                               

Auriol Batten

Auriol Ursula Luyt Batten alikuwa akijihusisha na mambo ya mimea Afrika Kusini Auriol Batten alipata shahada yake ya masuala ya mimea katika Chuo kikuu cha Natal ndani ya Pietermaritzburg pia alisoma Sanaa katika Chuo cha Sanaa cha Durban. Aliole ...

                                               

Bakteriofagi

Bakteriofagi ni virusi zinazoambukiza na kujinakili ndani ya bakteria na arkea. Jina hilo linatokana na "bakteria" na neno la Kiyanuni φαγεῖν, yaani "kula". Bakteriofagi zimeundwa kwa protini ambazo zina jenomu ya ADN au ARN ndani yao, na zinawez ...

                                               

Isdory Tarimo

Isdory Lucas Tarimo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi CCM. Alichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Nanjara-Reha, Wilaya ya Rombo mwaka 2000 hadi 2010. Pia ni mwanaharakati wa mazingira akiongoza Taasis ...

                                               

Visia

Visia alikuwa bikira aliyekatwa kichwa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius dhidi ya Wakristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 12 Aprili.

                                               

Ambra Gambale

Ambra Gambale ni msanii na mbunifu wa samani wa Afrika Kusini. Mafuvu yake ya kichwa yaliyotengenezwa na fuvu za wanyama, chuma na madini zimekua zikioneshwa na kuuzwa katika jiji la London, katika maeneo ya Notting hill na Dover street, Mayfair. ...

                                               

Perfekto

Perfekto alikuwa padri wa Cordoba aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo. Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama ...

                                               

Leonida, Karisa na wenzao

Leonida, Karisa na wenzao Galinia, Theodora, Nike, Nunesia, Kalide na Basilisa ni kati ya Wakristo wa Ugiriki walioteswa na hatimaye kuuawa kwa kutoswa baharini kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Tangu kale huyo mwanamume n ...

                                               

Ghulam Ali (Muimbaji)

Ustad Ghulam Ali kwa Kiurdu: غُلام علی; amezaliwa 5 Desemba 1940 ni mwimbaji wa ghazal kutoka nchini Pakistan wa Patiala Gharana. Pia amekuwa mashuhuri kwa uchezaji. Ghulam Ali alikuwa mwanafunzi wa Bade Ghulam Ali Khan elder Ghulam Ali Khan. Ali ...

                                               

Abida Parveen

Abida Parveen kwa Kisindhi: عابده پروين; alizaliwa 20 Februari 1954 ni mwimbaji, mtunzi na mwanamuziki wa Kiislamu wa Pakistani. Pia ni mchoraji na mjasiriamali. Parveen ni mmoja wa waimbaji wanaolipwa zaidi nchini Pakistan. Uimbaji na muziki wak ...