ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 199
                                               

Afya

Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani chakula chenye virutubishi ...

                                               

Afya ya msingi

Afya ya msingi ni mbinu mpya ya huduma za afya baada ya mkutano wa kimataifa katika Alma Ata mwaka wa 1978 ulioandaliwa na Shirika la Afya Duniani na UNICEF. Afya ya msingi ilikubaliwa na nchi wanachama wa WHO kama hatua muhimu kufikia lengo la A ...

                                               

Afya ya jamii

Afya ya jamii ni kigezo katika afya ya umma ambayo inajihusisha na afya na ubora wa jamii. Wakati jina jamii linaweza kufafanuliwa wazi, afya ya jamii huelekea kuzingatia maeneo ya kijiografia kuliko binadamu wenye sifa sawa. Baadhi ya miradi, ka ...

                                               

Shirika la Afya Duniani

Shirika la Afya Duniani ni kitengo cha Umoja wa Mataifa. Inashughulika habari za afya ya umma ikilenga kuunganisha juhudi za kitaifa za kupambana na magonjwa na kujenga afya. Kisheria WHO ni shirika lenye madola wanachama 193. Kati ya shughuli mu ...

                                               

Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya

Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya ni orodha ya magonjwa yaliyopangwa katika utaratibu kufuatana namba zao. Ni utaratibu unaokubaliwa kote duniani kwa kutaja na kurekodi magonjwa. Orodha hii inatolewa na Shirika la Afya Duniani. ...

                                               

Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi ni tamthilia ya televisheni kutoka nchini Tanzania. Imetayarishwa na Media for Development International MFDI, waliopewa jukumu na Programu ya mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Johns Hopkins JHUCCP Tanzania kwa msaada wa watu wa Ma ...

                                               

Muhimbili

Muhimbili ni mahali maarufu jijini Dar es Salaam na nchini Tanzania kwa jumla, hasa kutokana na hospitali na chuo kikuu vinavyopatikana huko. Ipo barabara ya Umoja wa Mataifa mtaa wa Upanga Magharibi.

                                               

Jamii

Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu. Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu. Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mb ...

                                               

KEMRI

Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya au Kenya Medical Research Institute kwa Kiingereza ni shirika la serikali lililoanzishwa na Amri ya marekebisho ya Sayansi na Teknologia ya mwaka 1979, kama shirika la kitaifa la kufanya utafiti wa afya nch ...

                                               

Utalii

Utalii ni kitendo cha kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudani, biashara kujifunza au makusudi mengine. Utalii huweza kukuza uchumi wa nchi fulani endapo nchi hiyo itapokea fedha za kigeni kutoka kwa watalii ambao ...

                                               

Emmy

Emmy Award au Tuzo za/ya Emmy ni tuzo ya matayarisho ya televisheni, kiasili inaonekana kufanana na tuzo za Peabody, lakini hii inashughulika sana na masula ya burudani, na itazamika kuwa iko sawa na kile kipindi cha televisheni cha Academy Award ...

                                               

Kilifi

Kilifi ni mji kwenye pwani ya Kenya uliopo kati ya Mombasa na Malindi. Iko kando ya kihori cha Kilifi kinachoishia katika Bahari Hindi. Mji ni makao makuu ya Kaunti ya Kilifi. Wakati wa sensa ya mwaka 2009 Kilifi ilikuwa na wakazi 122.899. Kilifi ...

                                               

Vyombo vya habari

Vyombo vya habari ni vyombo vya mawasiliano vinavyolenga watu wengi iwezekanavyo kwa shabaha ya kuwapatia habari au burudani. Mifano yake ni magazeti, redio, televisheni au intaneti.

                                               

Salha Israel

Salha Israel ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania. Alivishwa taji la Miss Tanzania mwaka 2011/2012 mara baada ya kuwabwaga wenzake 29. na kujinyakulia zawadi nono yenye thamani ya Shilingi Za Kitanzania milioni themanini kwenye ...

                                               

W.W.E.

W.W.E ni kampuni kubwa ya Marekani inayoandaa maonyesho ya burudani ambayo inajulikana sana kwa mieleka ya kitaalamu. Sasa ni kampuni maarufu zaidi katika biashara ya ushindani. WWE pia imejitokeza katika nyanja nyingine, pamoja na sinema, mpira ...

                                               

Kaizari

Asili ya cheo ni Julius Caesar aliyekuwa kiongozi wa Dola la Roma hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka 44 KK. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina likawa cheo. Cheo cha Kaizari kiliendelea kutumika katik ...

                                               

Sultani

Neno lenyewe lamaanisha "nguvu", "mamlaka" au "utawala" likawa baadaye kama cheo cha mtawala wa kiislamu mwenye kujitegemea bila kuwa na mwingine juu yake.

                                               

Papa

Kwa samaki anayeitwa kwa Kiswahili "papa" tazama papa samaki Papa ni cheo cha kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kote. Cheo hicho kinategemea kile cha askofu wa Roma.

                                               

Askofu

Neno episkopos linaonekana kama cheo katika maandishi ya mwisho wa karne I na mwanzo wa karne II kama vile waraka wa kwanza wa Klementi ambapo askofu aonekana kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la mji fulani. Katika uenezi wa Ukristo madaraka ya askofu ...

                                               

Askofu mkuu

Askofu mkuu ni cheo cha askofu kiongozi anayesimamia maaskofu katika jimbo la kanisa lenye dayosisi mbalimbali. Asili ya neno lenyewe ni Kigiriki αρχή arché mwanzo, wa kwanza. Sehemu ya pili ni neno la Kigiriki επίσκοπος episkopos mwangalizi lili ...

                                               

Gavana

Kuna nchi ambako gavana ni mtendaji mkuu wa serikali katika dola la shirikisho au jimbo. Kwa mfano katika Marekani ina madola 50 ndani yake na kila moja huwa na gavana kama mkuu wa serikali ya kidola. Cheo hiki kinalingana na waziri mkuu wa sehem ...

                                               

Khalifa

Khalifa ni cheo cha kihistoria kwa ajili ya kiongozi wa ummah. Ni neno la Kiarabu خليفة khalīfah linalomaanisha "makamu". Khalifa ni kifupi chake cha خليفة رسول الله "khalifatu-rasul-i-llah" kinachomaanisha "Makamu wa mtume wa Allah/Mungu". Hivyo ...

                                               

Amiri

Amiri au Emir ni cheo cha mtawala mwislamu anayesimamia emirati. Kiasili maana yake ni "mwenye amri" kama cheo cha kijeshi au kiserikali. Katika miaka ya kwanza ya Uislamu amiri alikuwa mkuu wa jeshi au sehemu ya jeshi. Baada ya kutwaa nchi aliku ...

                                               

Mfalme

Mfalme ni mtawala wa kiume juu ya nchi katika utaratibu wa ufalme. Kwa kawaida amerithi cheo chake kutoka mzazi wake aliyekuwa mfalme pia. Lakini kuna pia wafalme waliochaguliwa au kuteuliwa kwa namna nyingine hasa kama mfalme aliyetangulia aliku ...

                                               

Kapteni

Kapteni ni cheo cha kijeshi katika nchi nyingi za dunia. Kapteni huwa ni kiongozi wa kikosi cha askari 100-200. Madaraka ya kapteni ni kuongoza kikosi chake akisaidiwa na maluteni wake. Kwa kawaida hatashiriki katika mipango ya vita bali wajibu w ...

                                               

Elimu

Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi k ...

                                               

Elimu nchini Kenya

Elimu nchini Kenya imekuwa ikizingatia mfumo wa 8-4-4 tangu mwishoni mwa miaka ya 1980, ikiwa ni miaka minane ya elimu ya msingi, ikifuatiwa na miaka minne ya shule ya upili, kisha miaka minne ya chuo au chuo kikuu. Mbali na haya, kuna sekta kubw ...

                                               

Elimu katika Afrika

Elimu katika Afrika ilianza kama chombo cha kuandaa vijana wake kuchukua nafasi yao katika jamii ya Afrika. Uzoefu wa elimu ya Kiafrika ilianzishwa hasa kuandaa vijana kwa jamii katika jamuiya ya Kiafrika na si kwa maisha nje ya Afrika. Mfumo wa ...

                                               

Elimu ya sekondari

Elimu ya sekondari, katika mifumo ya kisasa ya elimu ulimwenguni, huchukua kipindi cha pili cha elimu rasmi ambayo hutokea wakati wa ujana wa wanafunzi. Mfumo huu hutofautiana na masomo ya msingi ambayo ni ya lazima, ni ya jumla na yanayofanana. ...

                                               

Elimu ya juu

Elimu ya juu, yaani ile ya baada ya shule ya upili au elimu ya awamu ya tatu, si ya lazima. Elimu hii kwa kawaida hujumulisha viwango vya shahada pamoja na elimu ya ujuzi wa kitaalamu. Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu na huam ...

                                               

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Tanzania kifupi ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu, elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania pamoja na mafunzo ya ufundi. Ofisi kuu y ...

                                               

Shule ya msingi

Shule ya msingi ni hatua ya kwanza katika mfululizo wa masomo katika nchi nyingi. Masomo ya msingi huchukua kati ya miaka 5 hadi 8 ya kwanza ya elimu rasmi. Kwa jumla elimu ya juu hujumulisha miaka 6-8 ya masomo kuanzia mwaka wa tano au sita, lak ...

                                               

Elimu nchini Tanzania

Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo: Miaka 3 zaidi elimu ya Chuo Kikuu Miaka 2 elimu ya juu ya sekondari hutolewa kati ya umri wa miaka 18–19 Fom 5 na 6 M ...

                                               

Wizara ya Elimu

Nchi kadhaa zina idara za serikali zinazoitwa Wizara ya Elimu au Wizara ya Elimu ya Umma. Wizara ya kwanza kabisa inafikiriwa kuwa Tume ya Taifa ya Elimu na ilianzishwa mwaka wa 1773 katika Madola ya Kipolishi-Kilithuania. Wizara ya Elimu Jamaika ...

                                               

Elimu mbadala

Elimu mbadala, ambayo pia hujulikana kama elimu isiyo rasmi, ni dhana yenye maana pana na inayoweza kutumiwa kurejelea aina zote za elimu zilizo nje ya elimu ya kawaida. Hujumuisha si tu mitindo ya elimu inayokusudiwa wanafunzi wenye mahitaji ya ...

                                               

Falsafa ya elimu

Falsafa ya elimu ni utafiti wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa elimu, kwa kuchunguza ufafanuzi, malengo na maana ya elimu kwa jumla au ya mtazamo mmojawapo juu yake. Falsafa ya elimu kwa kawaida huonwa kama tawi la falsafa na la el ...

                                               

Familia

Familia ni kikundi cha watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto. Kikundi hicho mara yingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja.

                                               

Familia (biolojia)

Familia ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi wa viumbehai. Familia ya wanyama au mimea hujumlisha spishi mbalimbali zilizo karibu. Kwa mfano paka-kaya ni spishi mojawapo pamoja na spishi 41 nyingine ndani ya familia ya Felidae inayojumlisha pa ...

                                               

Familia takatifu

Familia takatifu katika Ukristo ni hasa ile iliyoundwa na Mtoto Yesu, Bikira Maria na mtakatifu Yosefu. Kwa imani ya Wakristo ni kwamba Mungu alipomtuma Mwanae pekee kujifanya mtu hakutaka azaliwe nje ya familia, kwa kuwa hiyo ndiyo mpango wake a ...

                                               

Familia nyuklia

Familia nyuklia ni familia iliyoundwa na wazazi wawili na watoto wao. Ni tofauti na familia pana, inayohusisha ndugu wengi wa wazazi, na aina nyingine za familia.

                                               

Sheria ya Familia

Sheria za familia ni sehemu za sheria ambazo zinahusika na masuala ya familia na mahusiano ya ndani ikiwa ni pamoja na: Kikomo cha uhusiano pamoja na talaka, mali, wajibu wa mzazi kwa watoto). Masuala yanayojitokeza katika ndoa, ikiwa ni pamoja n ...

                                               

Detepwani (familia)

Detepwani ni ndege wa nusufamilia Cerylinae katika familia Alcedinidae. Spishi kubwa zinaitwa mkumburu au zumbulu. Wanafanana na midiria lakini spishi nyingi ni wakubwa zaidi na zote zina kishungi. Kwa kweli baina ya spishi hizi kuna zile kubwa k ...

                                               

Nyoka

Nyoka ni watambaachi au reptilia wasio na miguu. Kuna takriban spishi 3.000 duniani: wako kwenye mabara yote nje ya Antaktiki na Aktiki. Kama reptilia wote wana damu baridi na ngozi ya magamba. Wote ni wala nyama na spishi mbalimbali hutumia sumu ...

                                               

Isimujamii

Isimujamii ni tawi la isimu ambalo huchunguza uhusiano kati ya lugha na jamii. Aidha inajihusisha na athira yeyote ya jamii kama vile desturi za watu, matazamio, na muktadha, katika nyanja za lugha namna inavyotumika. Chini ya taaluma hiyo, kuna ...

                                               

Isimu

Isimu ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali: semantiki kuhusu maana isimujamii kuhusu uhusiano kati ya lugha na jamii fonetiki kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu mofolojia kuhusu mfumo wa maneno sintaksi kuhusu mfu ...

                                               

Lahaja

Lahaja ni vilugha vidogovidogo vya lugha moja ambavyo hubainishwa na jamii au jiografia. Lahaja za lugha moja zinakaribiana katika matamshi, miundo ya sarufi na msamiati. Kama lugha hutofautiana katika matamshi tu, tofauti hizo huitwa lafudhi upe ...

                                               

Lahaja sanifu

Lahaja sanifu ni lahaja ambayo imeteuliwa kutoka lahaja nyingine kutumika kwa upana zaidi kuliko lahaja za kawaida. Lahaja sanifu hutumika hasa kwa mawasiliano baina ya wasemaji wa lahaja tofauti za lugha moja; tena, hutumika katika shughuli zili ...

                                               

Rejista

Rejista ni matumizi ya lugha kulingana na muktadha maalum. Miktadha tofauti husababisha aina mbalimbali za lugha. Baadhi ya vipengele vya miktadha hiyo ni: Umri Mada Wakati Mazingira Uhusiano baina ya wahusika Cheo Ujuzi wa lugha Tofauti ya kimat ...

                                               

Ulumbi

Ulumbi, kwa asili ya neno, ni sifa ya matumizi bora ya lugha. Wataalamu mbalimbali wameutumia ulumbi kumaanisha "uhodari wa kutumia lugha ili kufaulisha mawasiliano" au "sifa ya kutumia maneno mengi". Wengine lakini wameutumia sawa na uwingilugha ...

                                               

Lugha ya taifa

Lugha ya taifa ni lugha au lahaja iliyoteuliwa miongoni mwa lahaja nyingi zilizopo katika jamiilugha fulani iliyopo katika eneo fulani ili itumike katika mawasiliano ya jamii hiyo. Mara nyingi lugha ya Taifa huteuliwa ili kukidhi haja ya mawasili ...