ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 2
                                               

Yesu

Yesu alikuwa Myahudi mwanamume aliyeishi miaka 2000 hivi iliyopita labda 6 KK - 30 BK. Alizaliwa na bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huko Bethlehemu ya Uyahudi. Maisha yake yalikuwa ya pekee kwa kuwa alifahamu vitu vingi kwa mfano: sheri ...

                                               

Zawadi za Krismasi

Mila ya kutunuku watu zawadi katika sherehe ya Krismasi ni kongwe sana na mbeleni ilishirikishwa na mila za Kipagani haswa wakati wa winter solstice msimu wa kipupwe ambapo jua lipo mbali kabisa na ardhi. Kutunuku huku kwa zawadi kulikita mizizi ...

                                               

Buruji za falaki

Buruji za falaki ni jina la makundinyota yanayoonekana kwenye ekliptiki zaani njia ya Jua angani na kuunda Zodiaki. Katika maarifa ya unajimu au: falaki, tofauti na fani ya sayansi inayoitwa astronomia Waswahili wa kale, pamoja na tamaduni nyingi ...

                                               

Kundinyota

Tangu zamani watu walitazama nyota kama nukta na nyota za jirani kama kundi. Waliwaza kundinyota kuwa picha wakichora mistari kati yake, hivyo kuona picha za watu, wanyama au miungu yao. Kundinyota zinazojulikana sana ni kama vile Jabari en:Orion ...

                                               

Majusi

Neno la Kiswahili limetokana na Kiarabu مجوس majus lililopokewa kutoka Kiajemi cha kale magâunô kupitia Kigiriki μάγος magos. Kwa kuwa mara nyingi jina hilo linatumika katika wingi, linatokea ma-majusi; baadhi ya watu wakisikia au kusoma mwanzoni ...

                                               

Kiyiddish

Kiyiddish ni lugha inayotumiwa na Wayahudi. Ilikuwa lugha kuu ya Wayahudi wengi duniani, hasa katika Ulaya ya Kati na Ulaya ya Mashariki hadi maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya. Tangu maangamizi hayo idadi ya wasemaji imepungua sana, leo ...

                                               

Ladino

Ladino ni lugha inayozungumzwa na Wayahudi katika nchi mbalimbali. Ni lugha ya karibu na ikiwa na maneno ya Kiebrania ndani yake. Wasemaji wengi wako Israel, halafu Uturuki, Bulgaria na Marekani. Idadi ya wasemaji inaendelea kupungua; mnamo 1990 ...

                                               

Mafarisayo

Mafarisayo waliunda madhehebu mojawapo ya Uyahudi ambayo wakati wa Yesu Kristo iliweza kufikia 5% ya Wayahudi wote, lakini ilikuwa na athari kubwa katika jamii yao, kutokana na sifa ya kuwa wanadini hasa. Jina lenyewe lina maana ya waliojitenga i ...

                                               

Masadukayo

Masadukayo waliunda madhehebu muhimu ya dini ya Uyahudi wakati wa Yesu Kristo. Walikuwa na nguvu hasa kati ya makuhani. Ndiyo maana waliishiwa nguvu hekalu la Yerusalemu lilipoangamizwa na Warumi pamoja na mji mzima mwaka 70 B.K. Walikubali Torat ...

                                               

Mitazamo ya Kiyahudi juu ya Yesu

Mitazamo ya Kiyahudi juu ya Yesu ni ya aina mbalimbali, lakini yote haimkubali, la sivyo ingewabidi wahusika wamuamini na kubatizwa badala ya kuendelea na dini yao ambayo viongozi wake walimhukumu ni kafiri anayestahili kuuawa. Kwa kawaida Wayahu ...

                                               

Musa

Musa aliishi miaka 1250 hivi K.K. akawa kiongozi wa Wanaisraeli walipoondoka nchini Misri kukimbilia nchi ya Kanaani. Hasa Torati na vitabu vingine vya Biblia vinasimulia habari zake. Pia Qurani inamtaja katika aya 502. Waisraeli waliishi Misri k ...

                                               

Nabii Baruku

Nabii Baruku mwana wa Neria alikuwa mwandishi wa karne ya 6 KK, maarufu kama karani, mwanafunzi na rafiki mpendwa wa nabii Yeremia. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na madhehebu mbalimbali ya Ukristo. Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka ta ...

                                               

Purim

Purim ni sherehe ya kila mwaka ya Wayahudi. Inaadhimishwa katika tarehe 14 ya mwezi wa Kiyahudi wa Adar, au tarehe 15 sehemu fulanifulani. Sikukuu hiyo inafanya ukumbusho wa wokovu wa taifa la Israeli lililokabili maangamizi ya kimbari ya halaiki ...

                                               

Rabi

Neno lenyewe lina maana ya "ustadh", "profesa", "mwalimu". Kazi yake kuu ni kufundisha Torati akijua vema majadiliano ya Talmudi na mafundisho mbalimbali ya sharia ya kidini ya Uyahudi.

                                               

Sinagogi

Jina linatokana na neno la Kigiriki συναγωγή syunagoge, likimaanisha "mkutano"; ni tafsiri ya neno la Kiebrania בית כנסת beit knesset, yaani "nyumba ya mkutano". Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" =shule kutajia sinagogi.

                                               

Talmud

Talmud ni maandiko muhimu katika dini ya Uyahudi. Ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyopangwa katika sehemu kubwa mbili ambayo ni Mishna na Gemara. Mishna ni sehemu ya kale iliyokusanywa na kuandikwa mnamo karne ya 2 BK ikiwa mkusanyo wa sher ...

                                               

Tanakh

Tanakh ni jina la Kiebrania la Biblia ya Kiyahudi. Tanakh ni kifupi kinachounganisha herufi tatu "T" - "N" - "Kh" ambazo ni mianzo ya maneno matatu ya Kiebrania yanayotaja sehemu tatu ndani ya Biblia ya Kiebrania. 1. Torah תורה ni Torati au vitab ...

                                               

Ukuta wa Maombolezo

Ukuta huo ni mabaki pekee yanayoonekana ya hekalu la Yerusalemu la pili jinsi lilivyopanuliwa na mfalme Herode Mkuu kuanzia mwaka 20 KK. Hekalu hilo lilibomolewa na Waroma mwaka 70 BK wakati wa vita ya Waroma dhidi ya Wayahudi. Ukuta si sehemu ya ...

                                               

Waeseni

Waeseni walikuwa madhehebu mojawapo ya Uyahudi katika karne ya 1 KK na karne ya 1 B.K. Walikoma wakati wa vita vya ukombozi dhidi ya wakoloni wa Dola la Roma. Biblia haiwataji kamwe, lakini wanajulikana kupitia vitabu vingine, hasa vile vilivyopa ...

                                               

Waraka kwa Waebrania

Barua kwa Waebrania ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa ...

                                               

Wayahudi

Wayahudi ni kundi la kikabila na la kidini lenye asili yake katika eneo la Israeli ya Kale. Kabila la Kiyahudi, taifa la Kiyahudi na dini ya Kiyahudi, yote yana uhusiano wa karibu sana, kwa sababu Uyahudi ndio dini ya jadi ya watu wa taifa la Kiy ...

                                               

Uzoroasta

Uzoroasta ni dini na falsafa inayopata jina lake kutoka nabii wake Zoroasta au Zarathustra, ambayo iliathiri imani ya Uyahudi na ya dini zilizotokana na Uyahudi. Wazoroasta wanaamini katika ulimwengu na Mungu apitaye fikira, Ahura Mazda, ambaye i ...

                                               

Zoroasta

Zoroasta, pia Zarathustra alikuwa mwanzilishaji wa dini ya Uzoroasta na nabii ya kwanza wa imani hii. Hakuna uhakika wala juu ya mahali wala wakati alipoishi. Leo hii wataalamu wengi wanaamini aliishi katika mashariki ya Uajemi ya Kale. Habari zi ...

                                               

Akhenaten

Akhenaten alikuwa farao wa nasaba ya kumi na nane ya Misri ya Kale. Utawala wake ulikuwa 1353 KK - 1336 KK au 1351 KK - 1334 KK. Alitawala pamoja na mke wake, malkia Nefertiti. Akhenaten ni mmoja wa mafarao maarufu zaidi wa Misri. Alianza kutawal ...

                                               

Laozi

Laozi ni mmoja wa wanafalsafa mashuhuri wa China aliyeishi katika karne ya 6 KK. Laozi si jina bali cheo kama "mwalimu". Anajulikana hasa kutokana na kitabu cha Tao te jing kinachotajwa kama kazi yake. Anatazamwa kama mwanzilishi na mwalimu mkuu ...

                                               

La Cristiada

La Cristiada ni jina la Kihispania la vita vya Cristeros vilivyotokea nchini Meksiko kati ya wakulima Wakatoliki na serikali ya nchi iliyotaka kutekeleza sheria dhidi ya uhuru wa dini. Chinichini maaskofu waliunga mkono juhudi za waumini wao hata ...

                                               

Mapigano ya Lepanto

Mapigano ya Lepanto yalifanyika baharini tarehe 7 Oktoba 1571 kati ya Wakristo na Waislamu, meli zao zilipokutana katika Ghuba ya Patras. Lepanto ni jina la bandari zilipoondoka meli za Dola la Osmani, wakati zile za mshikamano wa Kikristo zilito ...

                                               

Vita vya pili vya Kiyahudi

Vita vya pili vya Kiyahudi dhidi ya Warumi vilifanyika hasa nje ya Palestina, tofauti na vile vya kwanza na vya tatu vilivyofanyika hasa Yudea.

                                               

Vita vya Schmalkald

Vita vya Schmalkald, viliendeshwa na Karolo V, Kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma dhidi ya maeneo ya Walutheri yaliyokuwa ndani ya dola hilo kubwa la Ujerumani. Vililenga kuwalazimisha watawala wadogo waliowaunga mkono Walutheri wafute matengenez ...

                                               

Vita vya tatu vya Kiyahudi

Vita vya tatu vya Kiyahudi dhidi ya Warumi vilifanyika hasa katika Yudea, sehemu ya Dola la Roma. Vilifuata vile vya kwanza 66-73 vilivyotokea katika Yudea na vya pili 115–117, hasa nje ya Palestina. Pamoja na ushujaa wa Wayahudi waliopigania uhu ...

                                               

Vita ya miaka 30

Vita ya miaka 30 ilipigwa kati ya miaka 1618 hadi 1648. Ilikuwa vita ya Kiulaya lakini mapigano yake yalitokea hasa katika Ujerumani kwenye eneo la Dola Takatifu la Kiroma. Madola ya Ujerumani yalipigana kati yao, na nchi za nje zilishiriki zikiw ...

                                               

Vita za Misalaba

Vita za Misalaba vilitokea kati ya mataifa ya Wakristo wa Ulaya na watawala Waislamu wa nchi za Mashariki ya Kati wakati wa karne za 11 hadi 13, hasa kuanzia 1095 hadi 1291 katika jina la dini na kwa baraka za Kanisa Katoliki. Kaisari wa Bizanti ...

                                               

Wamakabayo

Wamakabayo walikuwa familia ya mashujaa wa Israeli walioongoza mapigano dhidi ya dola la Waseleuki ili kupata uhuru wa dini na hatimaye uhuru wa taifa upande wa siasa pia. Mashujaa hao walikuwa kuhani Matatia na wanae watano waliopokezana kushika ...

                                               

Mstahili heshima

Mstahili heshima ni jina ambalo katika Kanisa Katoliki linatumika hasa kwa muumini aliyefariki ambaye, baada ya kesi kuchunguza uadilifu wake wa kiwango cha ushujaa, Papa ameuthibitisha rasmi. Uchunguzi huo unahusu maadili ya Kimungu imani, tumai ...

                                               

Mtumishi wa Mungu

Katika Biblia ya Kiebrania ni la juu kuliko "nabii", kwa sababu jina hilo lilikuwa na maana mbalimbali, hata mbaya, kwa mfano "kichaa" au "nabii wa uongo".

                                               

Watakatifu wa Agano la Kale

Watakatifu wa Agano la Kale ni watu walioishi kabla ya Kristo ambao wanaheshimiwa na Wakristo wengi, na pengine na Waislamu n.k. Baadhi yao ni: Isaya Gideoni Yakobo Israeli Ezekieli Rebeka Yona Obadia Amosi Raheli Hosea Nuhu Mika Nathani Hezekia ...

                                               

Rikardo Pampuri

Rikardo Pampuri, O.H. alikuwa daktari na bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia. Kabla ya hapo alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko. Yohane Paulo II alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu ...

                                               

Solomoni Leclercq

Solomoni Leclercq alikuwa bradha wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo. Aliuawa wakati wa Mapinduzi ya Kifaransa kwa kukataa kiapo cha kutii serikali badala ya viongozi wa Kanisa. Papa Pius XI alimt ...

                                               

Taizé

Jumuia ya Taizé ipo kusini mwa mkoa wa Burgundy, Ufaransa. Ndipo nyumba kuu ya jumuiya hiyo ya kimataifa ilipoundwa rasmi na Bruda Roger Schutz mwaka 1940. Baada ya mwanzilishi kuuawa na kichaa. kiongozi wa jumuia ni Bruda Alois.

                                               

Evening Times

The Evening Times ni gazeti linalochapishwa kutoka Jumatatu hadi Jumamosi jijini Glasgow, Scotland. Jarida hili, gazeti dada la The Herald, lilianza kuchapishwa katika mwaka wa 1876. Kaulimbiu yake ni "Nobody knows Glasgow better" "Hakuna mtu ana ...

                                               

Moscow Times

Moscow Times ni gazeti lililo katika lugha ya Kiingereza na limechapishwa jijini Moscow, Urusi tangu mwaka wa 1992. Usambazaji wa gazeti hili, katika mwaka wa 2008, ulikuwa nakala 35.000. Gazeti hili hutolewa bure kwa pahali ambapo wasomi wanaozu ...

                                               

De Standaard

De Standaard ni gazeti la kila siku la Kiflemish linalochapishwa nchini Ubelgiji na Corelio. Usambazaji wake ulikuwa nakala 97.226 katika mwaka wa 2005. Hapo jadi, lilikuwa jarida la Kikristo na Kidemokrasia, likihusishwa na Chama cha Flemish cha ...

                                               

The New York Times

The New York Times ni gazeti la kila siku la Marekani lililoanzishwa mnamo mwaka 1851 na kuchapishwa mjini New York City. Gazeti kubwa katika mji mkuu wa Marekani, "The Gray Lady"-hesabiwa kwa mwonekano wake na staid style-ni kuonekana kama gazet ...

                                               

Anwani

Anwani ya posta ni maelezo yanayoandikwa juu ya bahasha au kifurushi yanayotaja mahali mtu anapoishi au anapofanyia kazi na ambapo barua zinaweza kutumwa. Katika nchi nyingi kama Tanzania au Kenya anwani ya posta inataja jina la mpokeaji pamoja n ...

                                               

Barua

Barua ni ujumbe wa kimaandishi unaotumwa kwa mtu mwingine au watu wengine. Inawezekana kumwachia mtu ujumbe wa kimaandishi yaani barua mahali fulani lakini mara nyingi barua inatumwa kwa njia ya mtume au shirika linalofanya kazi hii kibiashara. K ...

                                               

Dayolojia

Dayolojia ni mazungumzo ya kupokezana kati ya watu wawili au zaidi. Dayolojia huweza kuwa ya ana kwa ana baina ya wazungumzaji au kwa njia ya simu, maandishi n.k. Dayolojia ya ana kwa ana ni mazungumzo ya kupokezana baina ya watu ambao huonana. D ...

                                               

Ishara

Ishara ni kitu kinachobainika kwa macho kinachodokeza kutokea kwa jambo fulani. Ishara zipo za aina nyingi: kuna ishara za barabarani ambazo huwaongoza madereva na wote wanaotumia barabara pindi wawapo barabarani. Pia kuna ishara wanazotumia wana ...

                                               

Kenya Data Networks

Kenya Data Networks, ni kampuni binafsi ya mawasiliano ya data nchini Kenya Ndiyo kubwa zaidi ya kuwasilisha data mtoa na miundombinu nchini Kenya. KDN inaendesha mchanganyiko wa "microwave radio" na viungo miungano ya "fibre optic" huduma za kuw ...

                                               

M-pesa

M-pesa ni huduma ya kutuma pesa kwa kutumia simu ya mkononi inayotolewa na kampuni ya mawasiliano ya Safaricom. Kenya ndiyo nchi ya kwanza kuwahi kutumia huduma hii maarufu ambayo ilizinduliwa mwezi Aprili mwaka wa 2008 kwa ushirikiano kati ya Sa ...

                                               

Mawasiliano

Mawasiliano ni mchakato wa kuhamisha taarifa kutoka chombo kimoja hadi kingine. Michakato ya mawasiliano ni mwingiliano unaohusisha ishara kati ya angalau mawakala wawili walio na mkusanyiko wa ishara na sheria za elimu ishara. Mawasiliano kwa ka ...