ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 227
                                               

Yamoussoukro (mji)

Yamoussoukro ni mji mkuu rasmi wa Cote dIvoire tangu 1983 ilipochukua nafasi hii kutoka Abidjan inayoendelea kuwa mji mkubwa na kitovu cha kiuchumi pia kiutamaduni na makao ya ofisi nyingi za serikali. Iko takriban 230 km kutoka pwani karibu na k ...

                                               

Zambezi (mto)

Zambezi ni kati ya mito mirefu ya Afrika ikishika nafasi ya nne baada ya Nile, Kongo na Niger. Ni mto mrefu wa Afrika wa kuingia Bahari Hindi. Beseni lake lina km² 1.570.000 au nusu ya mto Nile. Chanzo chake kiko Zambia, halafu mto unapita Angola ...

                                               

Zimbabwe

Jamhuri ya Zimbabwe ni nchi isiyo na bahari iliyoko upande wa kusini wa Bara la Afrika, kati ya mto Zambezi na mto Limpopo. Imepakana na Afrika ya Kusini upande wa kusini, Botswana upande wa magharibi, Zambia upande wa kaskazini-mashariki, na Msu ...

                                               

Ziwa Chiuta

Ziwa Chiuta ni ziwa lenye kina kifupi linalopatikana katika mpaka kati ya Malawi na Msumbiji. Lakini pia linapatikana katika ukanda wa kaskazini mwa Ziwa Chilwa na kusini mwa Ziwa Amaramba. Ziwa Chiuta lina kina cha urefu kati ya mita 3–4 na lina ...

                                               

Ziwa Viktoria

Ziwa Viktoria ni ziwa kubwa la Afrika ya Mashariki lililopo baina ya Tanzania, Kenya na Uganda. Eneo la maji ya ziwa limegawanywa 49% nchini Tanzania, 45% nchini Uganda, na 6% nchini Kenya. Ziwa Viktoria lipo mita 1134 juu ya usawa wa bahari na l ...

                                               

Altiplano

Altiplano ni jina la nyanda za juu katika milima ya Andes ya Peru na Bolivia. Ni tambarare kati ya safu za milima za "Cordillera Oriental" safu ya mashariki na "Cordillera Occidental" safu ya magharibi. Altiplano iko kwenye kimo cha takriban mita ...

                                               

Amazonas (mto)

Mto Amazonas ndio mto mkubwa kuliko yote duniani. Unabeba maji zaidi kuliko mito ya Nile, Mississippi na Yangtse kwa pamoja. Una chanzo chake katika milima ya Andes inavuka beseni lake hadi Atlantiki kupitia eneo kubwa la misitu minene. Sehemu ku ...

                                               

Amerika ya Kusini

Amerika ya Kusini ni bara la magharibi ambalo kwa kiasi kikubwa sana linaenea upande wa kusini wa Ikweta. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Bahari ya Atlantiki upande wa Mashariki. Kaskazini inaunganika na Amerika ya Kaskazi ...

                                               

Andes

Andes ni safu ya milima kunjamano na safu ndefu kabisa ya milima duniani. Inaendana na urefu wote wa Amerika Kusini upande wa magharibi wa bara hili, ikiongozana na mstari wa pwani ya Pasifiki kutoka Kolombia katika kaskazini hadi Chile katika ku ...

                                               

Asuncion

Asunción ni mji mkuu wa Paraguay. Jiji lina wakazi milioni 1.6. Maana ya "asuncion" ni "kupalizwa ". Jina kamili kwa Kihispania ni "Nuestra Señora Santa María de la Asunción". Jina limechaguliwa kwa kukumbuka siku ya mji kuundwa na conquistador J ...

                                               

Bogota

Bogota au kwa jina kamili Santa Fe de Bogotá ni mji mkuu wa Kolombia pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi milioni saba takriban. Mji uko katika nyanda za juu kwenye kimo cha 2.640 m juu ya UB kati ya milima ya Guadalupe 3.317 m na Monserrate 3.10 ...

                                               

Caracas

Caracas ni mji mkuu wa Venezuela. Mji uko katika kaskazini ya nchi karibu na bahari ya Karibi katika kimo cha 920 m juu ya UB. Idadi ya wakazi ni kati ya milioni 3 au 4. Mji uliundwa na Mhispania Diego de Losada tar. 25 Julai 1567 kwenye mahali p ...

                                               

Ciudad Bolívar

Ciudad Bolívar ni mji mkuu wa jimbo la Bolivar katika Venezuela. Mji ulianzishwa 1764 kwa jina "Angostura" ukabadilishwa jina mwaka 1846 kwa heshima ya Simon Bolivar. Idadi ya wakazi ni 312.691. Mji ulianzishwa mahali ambako mto pana Orinoco ni n ...

                                               

Ekuador

Ekuador kwa Kiswahili pia: Ekwado ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini. Jina la nchi kwa Kihispania Ecuador lamaanisha "ikweta", na sababu ni kwamba imekatwa nayo. Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki. Funguvisiwa vya ...

                                               

Galapagos

Galapagos ni jina la funguvisiwa ya Ekuador katika Pasifiki takriban 1000 km kutoka pwani la bara ya Amerika Kusini. Jumla ya visiwa ni 61 kati ya hivi kuna 13 vikubwa. Visiwa vimesambaa katika eneo la 8000 km². Funguvisiwa ni ya asili ya kivolke ...

                                               

Georgetown, Guyana

Mji ulianzishwa na Wafaransa mnmao mwaka 1782 kwa jina la Longchamps "shamba ndefu" na baadaye "La Nouvelle Ville" "mji mpya". Mji ulikabishiwa kwa Uholanzi mwaka 1784 kama sehemu ya Guyana ya Kiholanzi na kuitwa "Stabroek". Wakati wa vita za Nap ...

                                               

Guyana ya Kifaransa

-- Kwa nchi jirani angalia makala Guyana-- Guyana ya Kifaransa ni eneo la ngambo la Ufaransa katika Amerika Kusini. Imepakana na Brazil na Surinam. Pwani ya Bahari ya Karibi Atlantiki iko upande wa kaskazini. Ilikuwa koloni la Ufaransa; sasa imek ...

                                               

Kolombia

Kolombia kwa Kihispania: República de Colombia ni nchi kwenye pembe la kaskazini la Amerika ya Kusini. Imepakana na Venezuela, Brazil, Ekuador, Peru na Panama. Ina pwani mbili, kwenye Pasifiki na Atlantiki. Jina la nchi limeteuliwa kwa heshima ya ...

                                               

Maracaibo

Maracaibo ni mji mkubwa wa pili nchini Venezuela; ni jiji lenye wakazi 2.658.355 ilhali rundiko la mji huwa na watu 5.278.448. Maracaibo uko upande wa magharibi wa mfereji mpana unaounganisha Ziwa Maracaibo na Bahari Karibi. Maracaibo hutazamwa k ...

                                               

Montevideo

Montevideo ni mji mkuu wa Uruguay na mji mkubwa nchini. Uko kwenye mdomo mpana wa mto Rio de la Plata. Karibu nusu ya watu wote wa Uruguay hukaa jijini; milioni 1.35 mjini penyewe na milioni 1.8 katika rundiko la jiji. Jina la "Montevideo" lamaan ...

                                               

Mto Madeira

Mto Madeira ni mto mkubwa katika Amerika Kusini. Una urefu wa km 3.250. Madeira ni sehemu ya mfumo wa Mto Amazonas ukichangia asilimia 15 ya maji yote ya mto huO.

                                               

Mto Magdalena

Mto Magdalena ni mto muhimu zaidi katika magharibi ya Kolombia. Una urefu wa km 1.538. Njia yake inafuata mwelekeo kutoka kusini kwenda kaskazini. Karibu asilimia 80 ya wakazi wa Kolombia huishi kwenye kingo za mto huu au mmoja wa matawimto yake, ...

                                               

Mérida, Mérida

Santiago de los Caballeros de Merida, Venezuela, ni mji mkuu wa manisipaa ya Libertador na hali ya Merida, na ni moja ya miji ya kuu ya Venezuela ya Andes. Ni ilianzishwa mwaka 1558, kutoa sehemu ya Nueva Granada, lakini baadaye ikawa sehemu ya C ...

                                               

Nyanda za Juu za Guyana

. Nyanda za juu za Guyana kwa Kiingereza: Guiana Shield ni eneo la milima kaskazini mashariki mwa Amerika ya Kusini. Kijiolojia ni miamba ya kale sana inayofanya hapa sehemu ya pwani ya kaskazini ya Amerika Kusini. Kati ya milima ya sehemu hizi k ...

                                               

Paraguay

Paraguay pia: Paragwai ni nchi ya Amerika Kusini isiyo na pwani baharini. Imepakana na Argentina, Brazil na Bolivia. Jina la Paraguay limetokana na lugha ya Kiguarani na linamaanisha kutoka mto mkubwa. Mto huu mkubwa ni Parana. Mji mkuu ni Asunci ...

                                               

Quito

Quito ni mji mkuu wa Ekuador. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 1.865.541. Quito ni mji mkubwa wa pili nchini baada ya Guayaquil. Mji uko 20 km kusini ya mstari wa ikweta katika bonde la milima ya Andes kwenye kimo cha 2850 m juu ya UB. Kuna kiwanja c ...

                                               

Rio de la Plata

Rio de la Plata ni mdomo wa pamoja wa mito ya Uruguay na Parana katika Amerika Kusini. Mito hii miwili inakutana takriban 290 km kabla ya kufikia pamoja katika bahari ya Atlantiki. Sehemu ya mwisho ya miendo yao ina umbo la kijazio kipana. Kutoka ...

                                               

Surinam

Surinam ni nchi huru upande wa kaskazini wa Amerika Kusini. Zamani za ukoloni ilijulikana kama "Guyana ya Kiholanzi". Imepakana na Guyana, Guyana ya Kifaransa na Brazil. Kuna pwani ya bahari ya Atlantiki. Mji mkuu ni Paramaribo.

                                               

Uruguay

Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando ya Atlantiki. Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam. Imepakana na Brazil na Argentina. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni maji: mdomo mpana wa mt ...

                                               

Uruguay (mto)

Uruguay ni mto katika Amerika Kusini. Pamoja na mto Parana unaishia Rio de la Plata. Jina la Uruguay lamaanisha "mto wa ndege ya rangi nyingi". Chanzo chake ni Brazil ya Kusini kwenye jimbo la Santa Catarina. Mwanzo wake ni mpaka kati ya majimbo ...

                                               

Venezuela

Venezuela ni nchi kaskazini mwa Amerika ya Kusini. Imepakana na Brazil, Guyana na Kolombia. Mbele ya pwani ya Bahari ya Karibi kuna madola ya visiwani ya Aruba, Antili za Kiholanzi na Trinidad na Tobago. Venezuela ilikuwa koloni la Hispania hadi ...

                                               

Amerika ya Kati

Amerika ya Kati ni eneo upande wa kusini ya Marekani au Meksiko na upande wa kaskazini ya Kolombia. Kihistoria na kiutamaduni ni pekee. Kijiolojia iko kwenye bamba la Karibi ambalo ni bamba la gandunia la pekee na mabamba ya Amerika Kaskazini na ...

                                               

Clipperton

Clipperton ni kisiwa cha bahari ya Pasifiki karibu kidogo na Amerika ya Kati. Ukubwa wake ni kilometa mraba 9. Kwa sasa hakina tena wakazi, lakini kinamilikiwa na Ufaransa.

                                               

El Salvador

El Salvador ni nchi ndogo kuliko zote za Amerika ya Kati, lakini yenye msongamano mkubwa zaidi, ikiwa na wakazi 6.290.420 katika km2 21.040. Imepakana na Guatemala, Honduras na bahari ya Pasifiki.

                                               

Honduras

Honduras ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Guatemala, El Salvador na Nikaragua. Upande wa kusini ina pwani fupi ya Pasifiki na upande wa kaskazini pwani ndefu ya Bahari ya Karibi.

                                               

Kosta Rika

Kosta Rika kwa Kihispania: Costa Rica, yaani Pwani Tajiri ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Nikaragua na Panama; kuna pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na pwani ya Bahari ya Karibi upande wa mashariki. Kosta Rika ilikuwa nchi ya kwanza ...

                                               

Managua

Managua ni mji mkuu wa Nikaragua pia mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 1.3. Mji uko kando la ziwa Managua unapoelea ufukoni kwa upana wa km 30 na kupanda mitelemko ya vilima hadi kimo cha mita 900. Managua imekuwa mji mkuu tangu 1892co ...

                                               

Nikaragua

Nikaragua pia Nikaragwa ni nchi ya Amerika ya Kati yenye wakazi 6.071.045 2012. Imepakana na Honduras na Kosta Rika; upande wa magharibi ni pwani ya Pasifiki na upande wa mashariki kuna pwani ya Bahari ya Karibi. Jina la nchi linasemekana kuwa mc ...

                                               

Bié (mkoa)

Bié ni mkoa wa Angola mwenye eneo la 70.314 km² na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya lakhi nane na milioni moja. Makao makuu ya mkoa uko mjini Kuito. Hali ya hewa haina joto kali kutokana na milima na mvua ya mara kwa mara. Hayo yote huwezesha ki ...

                                               

Kwanza (mto)

Kwanza ni mto katika Angola. Chanzo chake ni katika Nyanda za Juu za Bie ambako mito mingi mikubwa inaanza. Jina la mto limekuwa pia jina la mikoa miwili ya Cuanza Norte kaskazini kwa mto na Cuanza Sul kusini kwa mto. Matawimto muhimu ni Kuiva, L ...

                                               

Zaire (mkoa)

Mkoa umepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoitwa "Zaire" hadi 1997. Mipaka mingine ni mikoa ya Uige upande wa mashariki, Cuanza Norte upande wa kusini na Bahari Atlantiki upande wa magharibi.

                                               

Abu Dhabi

Abu Dhabi ndio ufalme mkubwa zaidi katika Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni; pia ni jina la mji mkuu wa ufalme huu na wa shirikisho lote. Mji umejengwa kwenye kisiwa karibu na mwambao. Hadi 1970 ilikuwa mji mdogo wa nyumba za ...

                                               

Ajmān

Ajman ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Uajemi. Ni pia jina la mji mkuu ambao una 90% ya wakazi wote na emirati. Mtawala wake ni Sheikh Humaid bin Rashid Al Nuaimi tangu 1981. Utemi ...

                                               

Amman

Mji uko takriban km 40 kutoka ncha ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi kati ya vilima vya Yordani ya kaskazini-magharibi. Hali ya hewa ni afadhali kushinda mahali pengi pa Yordani kwa sababu ya kimo cha mji, hivyo joto halizidi mno.

                                               

Amur

Amur ni mto mkubwa wa Asia ya Mashariki ambao ni mpaka kati ya Urusi na China kwa maelfu ya kilomita. Amur ina chanzo chake penye kuungana kwa matawimto ya mto Argun na mto Shilka karibu na kijiji cha Moguhe katika jimbo la Heilongjiang. Kuanzia ...

                                               

Aral (ziwa)

Ziwa Aral ni ziwa la Asia ya Kati, mpakani mwa Kazakhstan na Uzbekistan. Hadi mwaka 1960 lilikuwa na eneo la maji la km² 68.000, lakini limepungua hadi kubaki na km² 17.160 pekee mwaka 2004. Tangu 1987 kupungua kwa maji kulisababisha ugawaji wa z ...

                                               

Armenia

Armenia kwa Kiarmenia: Հայաստան Hayastan au Հայք Hayq ni nchi ya mpakani kati ya Ulaya na Asia katika milima ya Kaukasi iliyoko kati ya Bahari Nyeusi na Bahari ya Kaspi. Imepakana na Uturuki, Georgia, Azerbaijan na Iran. Upande wa kusini kuna ene ...

                                               

Ashgabat

Ashgabat ni mji mkuu wa Turkmenistan pia mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi 695.300. Jina laandikwa pia Ashghabat, Ashkabat au Ashkhabad kwa mwandiko wa kilatini. Mji uko katika oasisi ya jangwa la Karakum mguuni wa milima ya Kopetdag karibu na ...

                                               

Baghdad

Baghdad ni mji mkuu pia mji mkubwa nchini Iraq. Iko kando la mto Tigris. Baghdad iliundwa na Waarabu badala ya mji mkuu wa kale Ktesiphon katika karne ya 8. Ilikuwa mji mkuu wa dunia ya Uislamu wakati wa ukhalifa wa Abbasiyya. Mwaka 1258 mji ulih ...

                                               

Bahari ya Andamani

Bahari ya Andamani ni bahari ya pembeni ya Bahari Hindi. Iko kando ya Ghuba ya Bengali. Mpaka nayo ni safu ya visiwa vya Andamani na Nikobari upande wa magharibi. Upande wa mashariki Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: Myanmar au Burm ...