ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 24
                                               

Kerrea Gilbert

Katika msimu wa 2009-10, Gilbert alirejea Arsenal. Yeye alicheza katika mechi ya Arsenal dhidi ya West Bromwich Albion katika Shindano la Kombe la League,akicheza dakika zote 90 huku wakishinda 1-0. Kerrea,pia, alicheza katika Shindano la Kombe l ...

                                               

Sebastian Giovinco

Sebastian Giovinco ni mwanakandanda mwenye uraia wa Italia anayeichezea klabu ya Serie ya Juventus. Giovinco ni mchezaji wa kiungo kati anayeshambulia na mwenye ujuzi wa kuchenga na kutengeneza mchezo unaovutia. Kutokana na kimo na ujuzi wake, Gi ...

                                               

Jost Gippert

Jost Gippert ni mwanaisimu mjerumani na mwanamaarifa wa Caucasus. Yeye ni profesa kwa isimu ya mlingo katika chuo kikuu "Johann-Wolfgang-Goethe", Frankfurt.

                                               

John Githongo

John Githongo ni mwandishi wa zamani wa Kenya ambaye alichunguza vitendo vilivyohusiana na rushwa na udanganyifu katika nchi yake ya nyumbani, chini ya rais Mwai Kibaki,na baadaye alichukua nafasi rasmi za kiserikali kupambana na rushwa. Mwaka wa ...

                                               

Gloria Sengha Panda Shala

Gloria Sengha Panda Shala ni mtetezi wa haki za binadamu wa Kongo na mwanaharakati wa demokrasia. Yeye ndiye mwanzilishi mwenza wa harakati ya Vigilance Citoyenne katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

                                               

Godfrey Walusimbi

Godfrey Walusimbi ni mchezaji wa soka wa Uganda ambaye anacheza katika klabu ya Gor Mahia F.C iiliyopo katika Ligi Kuu ya Kenya. Yeye ni beki wa kushoto lakini amekuwa akicheza katika nafasi kadhaa na Bobby Williamson katika timu ya taifa. Tarehe ...

                                               

Jem Godfrey

Jeremy "Jem" Godfrey ni mtayarishi wa nyimbo, mchezaji wa keyboard na mtunzi wa miziki kutoka Ufalme wa Muungano. Godfrey alihusika na ufanisi wa nyimbo nyingi kwa ushirikiano wa Bill Padley wa Wise Buddah, ikiwemo single ya Atomic Kitten "Whole ...

                                               

Tony Goldwyn

Anthony Howard "Tony" Goldwyn ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Amepata umaarufu zaidi kwa kucheza kama adui Carl Bruner kwenye filamu ya Ghost, Colonel Bagley kwenye The Last Samurai, na sauti ya Tarzan kwenye katuni y ...

                                               

Cuba Gooding, Jr.

Cuba M. Gooding, Jr. ni mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa ushindi wake Tuzo ya Academy-akiwa kama mwigizaji mwandamizi bora kwenye filamu ya Jerry Maguire ambamo kacheza kama Rod Tidwell mnamo 1996, akiwa sambamba kabi ...

                                               

Gorilla Zoe

Alonzo Mathis ni rapa wa Marekani na mwanachama wa kundi la rapu Boyz N Da Hood. anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Gorilla Zoe. Albamu yake ya kipekee Welcome to the Zoo iliimbwa mwaka 2007.

                                               

Grace Mapunda

Grace Mapunda ni mwigizaji wa filamu za Tanzania, anayesifika kwa uwezo wa kuigiza filamu za hisia na hii ni kutokana na kuwa makini katika kuwakilisha uhusika halisi japo anaonekana kuzipatia filamu za aina hiyo.

                                               

Jean Grae

Jean Grae ni mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Tsidi Ibrahim. Hasa anapiga muziki wa Hip hop na Rap.

                                               

Trevor Graham

Trevor Graham ni mzaliwa wa Jamaika na ni kocha wa zamani wa riadha ana makao yake Marekani. Kufuatia kashfa ya BALCO, Kamati ya Olimpiki ya Marekani ilimfukuza kutoka viwanja vyao vyote vya mazoezi kwa sababu wanariadha wake kadhaa walikuwa wame ...

                                               

Grant Gustin

Thomas Grant Gustin ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani. Yeye ni mtoto wa Tina Haney, muuguzi wa watoto, na Thomas Gustin, profesa wa chuo kikuu. Wakati wa miaka yake, alihudhuria Shule ya Gavana ya Programu ya Sanaa huko Norfolk k ...

                                               

Grant Margeman

Grant Margeman ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Afrika Kusini ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa Ajax Cape Town. Grant Margeman alifanya kwanza kazi yake ya kitaalam katika msimu wa 2016/2017 akiwa na miaka 18 chini ya Kocha Mkuu Stanley Menz ...

                                               

F. Gary Gray

Felix Gary Gray ni mwongozaji wa filamu, mtayarishaji wa filamu, mwongozaji wa video za muziki na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Gray ameongoza Friday, Set It Off, The Negotiator, The Italian Job, Straight Outta Compton, vilevile The Fate of t ...

                                               

Noah Gray-Cabey

Noah Gray-Cabey ni mwigizaji wa filamu na televisheni na mpigaji piano wa kutoka Marekani. Alipata umaarufu wa kuigiza kwenye kipindi cha kuchekesha cha My Wife and Kids kama Franklin Aloysius Mumford na Micah Sanders katika kipindi cha sayansi k ...

                                               

Eva Green

Eva Gaelle Green ni mwigizaji filamu wa Kifaransa. Eva, alikulia mjini Paris na kuishi katika moja ya sehemu za mjini London. Eva, alishawahi kuelezewa na gazeti la Vogue kuwa yeye ana "mwonekano wa kiuaji, ana akili nyingi na pia mnyenyekevu", n ...

                                               

Greta Thunberg

Greta Tintin Eleonora Ernman Thunberg ni mwanaharakati wa hifadhi ya mazingira wa Uswidi ambaye amepata kutambuliwa kimataifa kwa kukuza maoni kwamba binadamu tunakabiliwa na shida inayotokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Thunberg anajulikana k ...

                                               

Herbert Grönemeyer

Herbert Arthur Wiglev Clamor Grönemeyer ni mwigizaji na mwanamuziki maarufu kutoka nchini Ujerumani. Anafahamika sana kwa nchi ya Ujerumani, Austria na Switzerland. Amecheza kama mwandishi wa habari wa vita Lieutenant Werner kwenye filamu ya Wolf ...

                                               

Josué Guébo

Josué Yoroba Guébo ni mwalimu wa Cote dIvoire. Yeye pia ni kielelezo kikubwa cha mashairi ya kisasa ya Afrika na ni mwandishi wa hadithi fupi na wa vitabu vya watoto. Yeye ni mpokeaji wa tuzo Bernard Dadié na Tchicaya U Tamsi Tuzo ya Mashairi ya ...

                                               

Guillermo Ochoa

Francisco Guillermo Ochoa Magaña ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza katika klabu ya Ubelgiji Standard Liège na timu ya taifa ya Mexiko. Ochoa alifanya mchezaji wake wa ngazi ya juu kwa Club América mwaka 2004 katika mechi ya ligi ya Me ...

                                               

Sienna Guillory

Sienna Tiggy Guillory ni mwigizaji wa filamu, tamthilia, na mwanamitindo wa Kiingereza. Mara nyingi alifanya kazi za uanamitindo mbali kidogo na sanaa ya uigizaji. Pia anafahamika zaidi kwa kuigiza kama Jill Valentine katika filamu ya Resident Ev ...

                                               

Hafez

Makala hii inamhusu mshairi Mwajemi, Kwa maana mengine ya neno Hafez / Hafiz angalia Hafiz Khwajeh Shams al-Din Muhammad Hafez-e Shirazi خواجه شمس‌الدین محمد حافظ شیرازی * mnamo 1319 mjini Shiraz; † mnamo 1389 akiwa na umri wa miaka 69 anayejulik ...

                                               

Hage Geingob

Hage Gottfried Geingob ni Rais wa tatu na wa sasa wa Namibia, madarakani tangu tarehe 21 Machi 2015. Pia ni rais wa tatu na wa sasa wa Chama tawala cha SWAPO tangu kuchaguliwa katika nafasi hiyo mnamo Novemba 2017. Geingob alikuwa Waziri Mkuu wa ...

                                               

Kristen Hager

Hager alizaliwa mjini Red Lake, Ontario na urithi wa Kijerumani. Hager Alianza kuonekana kwa mara kwanza katika mfululizo mdogo wa kipindi cha televisheni cha Beach Girls mnamo 2005. Baada ya mwaka mmoja akaja kuonekana tena katika mfululizo mwin ...

                                               

Hakim Ziyech

Hakim Ziyech ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji wa Ajax ya Amsterdam na timu ya taifa ya Moroko. Mnamo 2019, alichaguliwa kama mmoja wa wachezaji bora 20 katika Ligi ya Mabingwa wa Ulaya UEFA kwa msimu wa 2018- ...

                                               

Halima Abubakar

Halima Abubakar ni mwigizaji filamu wa kike nchini Nigeria. Mwaka 2011 alishinda tuzo ya Afro Hollywood Best Actress award Akiwa kama mwigizaji bora wa kike.

                                               

Hamdi Harbaoui

Hamdi Harbaoui ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ubelgiji Zulte Waregem na timu ya taifa ya Tunisia.

                                               

Beres Hammond

Beres Hammond ni mwanamuziki wa mienendo ya reggae kutoka Jamaica ambaye hasa anajulikana katika mwenendo wa Lovers rock. Huku kazi yake katika fani ya muziki ikianza miaka ya 1970, alifikia mafanikio yake makuu mnamo miaka ya 1980.

                                               

Alyson Hannigan

Alyson Lee Hannigan ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Willow Rosenberg kwenye mfululizo wa kipindi cha Televisheni cha Buffy the Vampire Slayer, Lily Aldrin kwenye ucheshi wa How ...

                                               

Harmonize

Harmonize ni mwimbaji na mtunzi wa muziki kutoka Tanzania. Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza "Aiyola" 2015, Bado 2016, Matatizo 2016 na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya WCB Wasafi Classic Baby ambaye ni Diamond ...

                                               

Harrison Reed

Reed alifanya kazi yake ya kwanza kwa Southampton mnamo tarehe 27 Agosti 2013 dhidi ya Barnsley katika uwanja wa Oakwell ambapo aliingia dakika ya 81 kwa Jay Rodriguez na Southampton ilipata ushindi wa 5-1 katika mechi ya pili ya Kombe la Ligi.Mn ...

                                               

Harry Maguire

Harry Maguire ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa katikati katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United F.C. na timu ya taifa ya Uingereza. Alizaliwa Sheffield, alikuja kupitia klabu ya vijana ya Sheffield Uni ...

                                               

Hassanal Bolkiah

Hassanal Bolkiah ni Sultani na Yang di-Pertuan wa sasa wa Brunei, na pia Waziri Mkuu wa Brunei. Mwana mkubwa wa Sultan Omar Ali Saifuddien III na Raja Isteri Malkia Pengiran Anak Damit, alirithi kiti cha enzi kama Sultan wa Brunei, kufuatia kujiu ...

                                               

U-God

Lamont Jody Hawkins ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la marapa la Wu-Tang Clan. Yeye amekuwa na kundi hilo tangu kuanzishwa kwake, na unajulikana kwa kuwa na kina kirefu, yaani, kwa ...

                                               

Mark Hayes

Hayes alizaliwa mjini Stillwater, Oklahoma nchini Marekani. Aliichezea timu ya Shule ya Oklahoma State University. Alishinda katika mashindano ya Sunnehanna Amateur mnamo 1972. Pia alishinda mara tatu katika mashindano ya PGA Tour: Byron Nelson G ...

                                               

Dennis Haysbert

Dennis Dexter Haysbert ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nelson Mandela katika filamu ya Goodbye Bafana, mchezaji baseball Pedro Cerrano katika seti ya mfululizo wa filamu ya Major Le ...

                                               

Hector Bellerin

Héctor Bellerín ni mchezaji wa soka ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Arsenal na timu ya taifa ya Hispania. Bellerín alianza kazi yake kama winga mshambuliaji katika klabu ya Barcelona F.C., na anasema maendeleo yake yamefanikiwa sana na ...

                                               

Hector Xavier Monsegur

Hector Xavier Monsegur, anayejulikana pia kwa jina la mtandaoni kama Sabu, ni mdukuzi wa nchini Amerika na mwanzilishi mwenza wa kundi la udukuzi la LulzSec, Akikabili kifungo cha miaka 124 gerezani, Monsegur alikua mtoa taarifa kwa FBI, akifanya ...

                                               

Bass Sultan Hengzt

Fabio Ferzan Cataldi ni rapa kutoka nchini Ujerumani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Bass Sultan Hengzt. Huyu ana asili ya Kituruki/Kiitalia. Tangu mwaka wa 2001, aliingia mkataba na studio ya I Luv Money Records akiwa kama mwana ...

                                               

Henrikh Mkhitaryan

Henrikh Mkhitaryan ni mchezaji wa soka wa Armenia ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Arsenal na maakida wa timu ya taifa ya Kiarmenia. Mkhitaryan anacheza kama kiungo mshambuliaji, lakini pia anaweza kutumika kama kiungo kikubwa. Alizaliwa ...

                                               

Lance Henriksen

Lance James Henriksen ni mwigizaji wa filamu, msanii, anayefahamika zaidi na wapenzi wa TV kwa uhusika wake kwenye filamu za uzushi wa kisayansi, aksheni na za kutisha kama vile The Terminator, na Alien, na kwenye kipindi cha TV kama vile Millennium.

                                               

Natasha Henstridge

Natasha T. Henstridge ni mwigizaji wa filamu-mwanamitindo kutoka nchini Kanada. Anafahamika zaidi kwa kucheza katika mfululizo wa filamu za Species I na Species II.

                                               

Hery Rajaonarimampianina

Hery Martial Rajaonarimampianina Rakotoarimanana ni mwanasiasa wa Malagasy ambaye alikuwa Rais wa Madagaska kuanzia Januari 2014 hadi Septemba 2018, ajiuzulu kugombea tena. Hapo awali aliwahi kuwa Waziri wa Fedha chini ya Rais Andry Rajoelina, na ...

                                               

Antoine Hey

Antoine Hey ni mchezaji mstaafu wa kandanda wa Ujerumani aliyecheza katika Bundesliga. Baadaye alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Kenya, kazi aliyoshikilia kutoka Februari hadi Novemba 2009.

                                               

Hidetoshi Nakata

Hidetoshi Nakata ni wa zamani wa soka Kijapani mchezaji ambaye alicheza kama kiungo na klabu kadhaa za Ulaya, na Bell Mare Hiratsuka katika nchi yake. Utendaji wake kuwa na chuma yake sifa kama mmoja wa wachezaji bora Kijapani kwa wakati. Nakata ...

                                               

Cappadonna

Darryl Hill ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Cappadonna. Amepata kuwa mwanachama wa kundi la Wu-Tang Clan baada ya kufa kwa Ol Dirty Bastard, na akaonekana kwenye albamu zao ka ...

                                               

Lauryn Hill

Lauryn Noel Hill ni mshindi mara nane wa Tuzo za Grammy akiwa kama mwimbaji, rapa, mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi za muziki, na mwigizaji bora wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kam ...

                                               

Terence Hill

Terence Hill ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia. Hill pia alingaa sana katika filamu za western za kiitalia, maarufu kama spaghetti western. Hill alizaliwa 1939 mjini Venice Italia kama mtoto wa mama Mjerumani na baba Mwitalia aliyekuwa ...