ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 28
                                               

Mapera (Mbinga)

Kwa matunda yenye jina hili angalia makala kuhusu Pera Mapera ni jina la kata ya Wilaya ya Mbinga katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania yenye postikodi namba 57432. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10.513 w ...

                                               

Mariah Carey (albamu)

Mariah Carey ni albamu kutoka kwa Mariah Carey yenye jina lake mwenyewe, iliyotoka nchini Marekani tarehe 12 Juni 1990, kupitia katika studio za Columbia Records. Japokuwa mauzo ya albamu hii kwa kiasi fulani yalikuwa madogo, lakini yalimafanya C ...

                                               

Marseille

Marseille ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Provence-Alpes-Côte dAzur, kusini mwa Ufaransa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2013, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu. Mji uko mita 0-640 juu ya usawa wa bahari.

                                               

Mashewa

Mashewa ni kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 11.938 waishio humo. Vijiji karibu ya Mashewa ni Kibaoni, Kumba, Kijungu Moto, Mshihwi, Mtoni Bo ...

                                               

Matongo (Tarime)

Matongo ni kata ya Wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31412. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19.176 waishio humo. Kata ya Matongo inaundwa na vijiji vinne: Mjini Kat ...

                                               

Maureen Nankya

Maureen Nankya ni mwigizaji wa Uganda ambaye alishiriki katika filamu ya kwanza ya Mariam Ndagire ya Down This Road I Walk pamoja na sitcom Tendo Sisters ambayo iliendeshwa kwenye NTV Uganda, Bukedde TV na Maisha Magic.Alizaliwa mnamo Septemba na ...

                                               

Mayo (Bumbuli)

Mayo ni kata ya Wilaya ya Bumbuli katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 12.218 waishio humo.

                                               

Salome Joseph Mbatia

Marehemu Mbatia alizaliwa tarehe 27 Desemba mwaka 1952 na kupata elimu ya msingi katika shule ya St. Anna kuanzia mnamo mwaka 1959 mpaka 1966. Aliendelea na masomo ya sekondari katika shule ya St. Joseph mnamo mwaka 1967 hadi 1970 na baadaye kida ...

                                               

Mbega

Kwa mfalme au mwene mkuu wa kwanza wa Washambaa tazama "Mbegha" Mbega pia: mbegha ni kima wa nusufamilia Colobinae katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia. Spishi nyingi huishi mitini lakini spishi nyingine huishi savana zenye mi ...

                                               

Mbwawa

Mbwawa ni kata ya Kibaha Mjini katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61111. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4.008 walioishi humo. Kijiji hicho hiki kinapakana na kijiji cha Miswe kwa upand ...

                                               

Mcharo

Mcharo ni kata ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31508. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10.115 waishio humo.

                                               

McVities

McVities ni jina la kibiashara ya chakula inayomilikiwa na United Biscuits. Jina hili linapata asili kutoka muundaji wa biskuti wa Scotland, McVitie & Price Ltd, iliyoanzishwa katika mwaka wa 1830 Rose Street mjini Edinburgh, Scotland. Kampuni hi ...

                                               

Mikono Yenye Vipawa: Hadithi Ya Ben Carson

Mikono Yenye Vipawa: Hadithi Ya Ben Carson ni filamu ya mwaka wa 2009 iliyoandaliwa na Thomas Carter na kuigizwa na Cuba Gooding Jr na Kimberly Elise. Inazingatia hadithi ya maisha ya daktari maarufu wa upasuaji, Ben Carson, kati ya miaka ya 1961 ...

                                               

Milipuko ya Mabomu - Mbagala

Milipuko ya Mabomu - Mbagala ni tukio lililotokea mnamo saa 11:45 asubuhi ya tar. 29 Apili ya mwaka wa 2009 katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam, Tanzania. Ni baada ya mabomu kulipuka katika ghala ya silaha ya kambi ya Jeshi la Ulinzi la W ...

                                               

Mke wa Rais wa Tanzania

Kigezo:Infobox official post Mke wa Rais wa Tanzania ni cheo kisicho-rasmi kinachoshikiliwa na mke wa Rais wa Tanzania. Mke wa sasa wa rais nchini humo ni Janeth Magufuli, ambaye aliingia madarakani tangu tarehe 5 Novemba 2015. Wake wa marasi wa ...

                                               

Mkoa wa Arusha

Eneo lake ni km za mraba 86.100 zikiwemo km² 2.460 za maji ya ndani. Umepakana na Kenya upande wa kaskazini. Mikoa ya jirani,kufuatana na mwendo wa saa, ni: Kilimanjaro, Manyara, Shinyanga na Mara. Wilaya zake ni Monduli, Longido, Meru, Arusha Vi ...

                                               

Mkoa wa Denizli

Denizli ni jina la kutaja moja kati ya Mikoa ya Uturuki uliopo mjini magharibi mwa Anatolia, nyanda za juu katika pwani ya Bahari ya Aegean. Mikoa ya karibu kabisa na mjini hapa ni pamoja na Usak kwa upande wa kaskazini, Burdur, Isparta, Afyon kw ...

                                               

Mkoa wa Dodoma

Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 41000. Uko katikati ya nchi na umepakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Eneo lote la mkoa lina km² 41.310. Sehemu kubwa ni nyanda za juu kati ya mita 830 hadi ...

                                               

Mkoa wa Kagera

Mkoa wa Kagera kati ya mikoa 31 ya Tanzania ndio mkoa wa kaskazini-magharibi kabisa wenye postikodi namba 35000. Jina lake linatokana na mto Kagera. Mkoa wa Kagera umepakana na Burundi, Rwanda na Uganda upande wa Magharibi na Kaskazini. Upande wa ...

                                               

Mkoa wa Katavi

Mkoa wa Katavi ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 50000. Ulianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Rukwa. Makao makuu yako Mpanda.

                                               

Mkoa wa Kigoma

Mkoa wa Kigoma uko kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 47000. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Zi ...

                                               

Mkoa wa Kilimanjaro

Mkoa wa Kilimanjaro ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 25000. Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu kupita yote barani Afrika, umo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. Jina la mlima huu ndilo limeupatia mkoa jina lake. Mkoa wa Kilimanjaro um ...

                                               

Mkoa wa Lindi

Lindi ni jina la mji, wilaya na mkoa ulioko Kusini-Mashariki mwa Tanzania. Mkoa wa Lindi ni kati ya mikoa 31 iliyopo nchini Tanzania yenye postikodi namba 65000 Umepakana na mikoa ya Pwani, Mtwara, Ruvuma na Morogoro. Upande wa mashariki hupakana ...

                                               

Mkoa wa Manyara

Mkoa wa Manyara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 27000. Umepakana na mikoa ya Arusha na Kilimanjaro upande wa kaskazini, Mkoa wa Tanga upande wa mashariki, Mkoa wa Dodoma upande wa kusini na mikoa ya Singida na Shinyanga upan ...

                                               

Mkoa wa Muğla

Muğla province is divided into 12 districts capital district in bold: Kavaklıdere Marmaris Muğla Datça Dalaman Fethiye Bodrum Yatağan Ula Köyceğiz Milas Ortaca

                                               

Mkoa wa Mwanza

Mkoa wa Mwanza ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 33000. Umepakana na Geita upande wa magharibi, Shinyanga na Simiu upande wa kusini na Mara upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini. Makao makuu ya mkoa yapo ...

                                               

Mkoa wa Njombe

Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa. Kutokana na hadhi mpya, wilaya ya Njombe imegawanyika kati y ...

                                               

Mkoa wa Pwani

Mkoa wa Pwani ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 61000. Mkoa umepakana upande wa Kaskazini na Tanga, upande wa mashariki na Dar-es-Salaam na Bahari Hindi, upande wa kusini na mkoa wa Lindi na upande wa magharibi na mkoa wa Moro ...

                                               

Mkoa wa Rukwa

Mkoa wa Rukwa ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 55000. Unapakana na mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi upande wa kaskazini, mkoa wa Mbeya upande wa mashariki, Zambia kusini na upande wa magharibi Ziwa Tanganyika lilil ...

                                               

Mkoa wa Shinyanga

Mkoa wa Shinyanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye msimbo wa posta 37000. Mkoa umepakana upande wa kaskazini na mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera, upande wa kusini na Mkoa wa Tabora. Mkoa wa Kigoma uko upande wa magharibi, na mkoa wa Simiyu u ...

                                               

Mkoa wa Singida

Mkoa wa Singida ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania: mkoa huu upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa, Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. msimbo wa posta ni 43000 Kuna wilaya ...

                                               

Mkoa wa Tabora

Tabora ni jina la mji, wilaya na mkoa wa Tanzania ya kati. Mkoa wa Tabora ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 45000. Makao makuu yako Tabora Mjini. Eneo la mkoa ni km 2 76.151; mnamo km 2 34.698 46% ni hifadhi ya misitu, km 2 17 ...

                                               

Mkoa wa Tunceli

Tunceli ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Mkoa ulipewa jina la Dersim hadi mnamo 1936, na kuna baadhi wanaita jina lilelile la zamani. Wakazi wengi wa hapa ni Wazaza. Mikoa inayopaka na mkoa huu ni ...

                                               

Mkoa wa Unguja Kaskazini

Mkoa wa Unguja Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 73000. Uko kisiwani Unguja ambayo ni kisiwa kikubwa cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Makao makuu ya mkoa yako Mkokotoni. Kuna wilaya mbili ambazo ni Kaskazin ...

                                               

Mkoa wa Unguja Kusini

Mkoa wa Unguja Kusini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 72000 na uko kwenye kisiwa cha Unguja. Eneo la mkoa ni km² 854 likiwa na wakazi 115.588 sensa ya mwaka 2012. Makao makuu yako Koani. Kuna wilaya mbili ikiwa Wil ...

                                               

Mkongo (Rufiji)

Mkongo ni kata ya Wilaya ya Rufiji katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61604. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4.619 walioishi humo.Kijiji cha Mkongo kilianzishwa mwaka 1961.Kabla ya hapo ...

                                               

Mlalo (Lushoto)

Mlalo ni kata ya Wilaya ya Lushoto katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Msimbo wa posta ni 21721. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 8.143 waishio humo. Kuna vijiji vya Mlalo, Msale, Kibandai, Ngazi, Mgwashi, Bagha ...

                                               

Mlima Meru

Mlima Meru ni mlima wenye asili ya volkeno na urefu wa mita 4566 juu ya usawa wa bahari. Mlima huo ni wa tano kwa urefu katika bara la Afrika.

                                               

Marilyn Monroe

Marilyn Monroe alikuwa mwigizaji wa filamu, mwimbaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alikuwa miongoni mwa nyota wa filamu maarufu kati ya mwaka 1950 na 1960.

                                               

Morogoro (mji)

Morogoro ni mji mkubwa mmojawapo nchini Tanzania, uliopo takriban kilomita 200 upande wa magharibi wa Dar es Salaam, ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Morogoro. Mji wa Morogoro una Postikodi namba 67100. Kulingana na sensa iliyofanyika mwaka 2012, ...

                                               

Morotonga

Morotonga ni kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31605. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4.108 waishio humo. Kabla ya kuwa kata, Morotonga kilikuwa kijiji cheny ...

                                               

Moshi (mji)

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012, mji huu una wakazi wapatao 184.292. Kabila linaloongoza kwa idadi ya wakazi wa mji wa Moshi ni Wachagga wakifuatiwa na Wapare na makabila mengine yaliyohamia kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania kama Wasambaa, W ...

                                               

Mpanda (mjini)

Mpanda ni makao makuu na pia mji mkubwa wa Mkoa wa Katavi katika magharibi ya Tanzania. Ni kitovu muhimu cha biashara ya mazao kama mahindi na mpunga; kuna pia dalili ya uchumi wa madini, hasa dhahabu, katika mazingira yake. Mji umekua sana kuanz ...

                                               

Mponde

Mponde ni kata ya Wilaya ya Bumbuli katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 11.232 waishio humo.

                                               

Msambara

Msambara ni jina la kata ya Wilaya ya Kasulu Mjini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania yenye msimbo wa posta 47307. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22.391 waishio humo.

                                               

Mto Godavari

19°55′48″N 73°31′39″E Godavari ni mto mrefu wa pili zaidi nchini Uhindi baada ya Ganga. Chanzo chake kiko katika Milima ya Ghat ya Magharibi katika jimbo la Maharashtra. Kutoka huko, karibu na pwani ya magharibi ya Uhindi, mto unaelekea mashariki ...

                                               

Mto Kent

. Mto Kent ni mto mfupi katika kata ya Cumbria nchini Uingereza. Mto huu unaanza katika milima inayozunguka Kentmere, na hutiririka karibu km 32 maili 20 katika kaskazini ya Morecambe Bay, baada ya kupita Kentmere, Staveley, Burneside, Kendal na ...

                                               

Mto Taff

Mto Taff ni mto mkubwa nchini Wales. Huanzia katika Brecon Beacons kama mito miwili - Taf Fechan na Taf Fawr - kabla ya kuungana na kuunda Taff kaskazini kwa Merthyr Tydfil. Mto huo huwa na samaki kadhaa wa kuhamahama pamoja na salmoni, trauti wa ...

                                               

Mto Wey

Majiranukta kwenye ramani: 51.180°N 0.750°W  / 51.180; -0.750 . Mto Wey katika Surrey, Hampshire na West Sussex ni tawimto la Mto Thames na matawi mawili tofauti ambayo huungana katika Tilford. Chanzo cha tawi la kaskazini kiko katika Alton, Ham ...

                                               

Mtunduru

Mtunduru ni jina la kata ya Wilaya ya Ikungi katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43609. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17056 waishio humo.