ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 281
                                               

Rasi ya Kaskazini

Rasi Kaskazini ni moja kati ya majimbo 9 ya Afrika Kusini lenye takriban 30% ya eneo la taifa lote. Imepakana na Atlantiki, Botswana na Namibia. Jimbo liliundwa 1994 wakati wa kugawa jimbo la Rasi la awali. Mji mkuu ni Kimberley. Miji mingine muh ...

                                               

Rasi ya Magharibi

Rasi ya Magharibi ni moja kati ya majimbo 9 ya Afrika Kusini. Mji Mkuu ni Cape Town. Jimbo liliundwa mwaka 1994 kutokana na maeneo ya Jimbo la Rasi la awali.

                                               

Rasi ya Mashariki

Rasi ya Mashariki ni kati ya majimbo 9 za Afrika Kusini. Iliundwa mwaka 1994 baada ya mwisho wa siasa ya Apartheid. Mji mkuu ni Bisho. Jimbo lilianzishwa 1994 wakati wa mwisho wa siasa ya Apartheid kwa kuungaisha sehemu ya mashariki ya Jimbo la R ...

                                               

Wilaya ya Adrar

Kwa mkoa wa Mauritania, tazama Adrar mkoa. Adrar ni jimbo lililpo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Algeria. Jimbo limepewa jina baada ya mji wake mkuu kuitwa Adrar. Hili ni jimbo la pili kwa ukubwa baada, lenye eneo la kilomita za mraba zipataz ...

                                               

Wilaya ya Chlef

Chlef ni wilaya mojawapo ya Algeria. Takriban watu milioni 1 wanaishi jimboni hapa. Mji mkuu ni Chlef. Wilaya yake ya karibu ni Ténès, ambayo ipo kwenye eneo la Bahari ya Mediteranea.

                                               

Wilaya ya Illizi

Illizi ni jina la wilaya ya mjini kusini-mashariki mwa kona ya nchi ya Algeria. Jimbo limepewa jina kwa kufuatia mji wake mkuu unaoitwa hivyohivyo Illizi. Jimbo limepakana na Libya kwa upande wa mashariki, Jimbo la Ouargla kwa upande wa kaskazini ...

                                               

Wilaya ya Laghouat

Laghouat ni jina la jimbo lililopo katikati ya nchi ya Algeria. Jina linamaanisha "sehemu mwanana". Mji mkuu wa jimbo hili ni Laghouat. Wilaya za karibu na jimbo hapa ni pamoja na Aflou, Ain Madhi, Kourdane na Makhareg.

                                               

Wilaya ya Tamanghasset

Tamanghasset ni wilaya kubwa kuliko zote za Aljeria, ikienea kwa karibu robo ya nchi yote. Jina linatokana na lile la makao makuu, Tamanghasset au Tamanrasset. Ndani yake mna Hifadhi za Taifa mbili.

                                               

Australia Kusini

Australia ya Kusini ni moja ya jimbo 8 ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1.601.800. Mji wake mkuu ni Adelaide.

                                               

Australia ya Magharibi

Australia ya Magharibi ni moja ya jimbo 8 ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2.163.200. Mji wake mkuu ni Perth.

                                               

New South Wales

New South Wales ni moja kati ya majimbo ya Australia. Pia ni moja kati ya majimbo makongwe katika Australia. Kati ya majimbo yote ya Australia, New South Wales ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu. Mji mkuu wa New South Wales ni Sydn ...

                                               

Northern Territory

Northern Territory ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 244.200. Mji wake mkuu ni Darwin.

                                               

Queensland

Queensland ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4.827.200. Mji wake mkuu ni Brisbane.

                                               

Tasmania

Tasmania ni kisiwa kikubwa upande wa kusini wa Australia bara ni jimbo la Australia lenye eno la 90.758 km². Mji mkuu pia mji mkubwa kisiwani ni Hobart.

                                               

Victoria (Australia)

Victoria ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 6.039.100. Mji wake mkuu ni Melbourne.

                                               

Austria Chini

Austria ya Chini ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.608.590 kwenye eneo la km² 19.177. Mji mkuu ni Sankt Pölten. Waziri mkuu ni Johanna Mikl-Leitner ÖVP.

                                               

Austria Juu

Austria ya Juu ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.411.606 kwenye eneo la 11.982 km². Mji mkuu ni Linz. Waziri mkuu ni Josef Pühringer.

                                               

Burgenland

Burgenland ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 294.316 kwenye eneo la km² 3.965. Mji mkuu ni Eisenstadt. Waziri mkuu ni Hans-Peter Doskozil SPÖ.

                                               

Karinthia

Karinthia ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 559.000 kwenye eneo la km² 9.364. Mji mkuu ni Klagenfurt am Wörthersee. Waziri mkuu ni Peter Kaiser SPÖ.

                                               

Salzburg (jimbo)

Salzburg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 530.488 kwenye eneo la km² 7.154. Mji mkuu ni Salzburg. Waziri mkuu ni Wilfried Haslauer ÖVP.

                                               

Steiermark

Steiermark ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi milioni 1.211 kwenye eneo la km² 16.392. Mji mkuu ni Graz. Waziri mkuu ni Franz Voves SPÖ.

                                               

Tirol (Austria)

Tirol ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 757.634 kwenye eneo la km² 12.648. Mji mkuu ni Innsbruck. Waziri mkuu ni Günther Platter ÖVP.

                                               

Vienna

Vienna ni mji mkuu na mji mkubwa wa Austria. Uko mashariki mwa nchi, kando ya mto Danubi. Idadi ya wakazi imezidi milioni moja na lakhi tisa. Vienna ina cheo cha jimbo ndani ya shirikisho la jamhuri ya Austria.

                                               

Vorarlberg

Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372.791 kwenye eneo la km² 2.601. Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber ÖVP.

                                               

Jimbo la São Paulo

São Paulo ni jina la kutaja jimbo huko nchini Brazil. Hili ndiyo jimbo kubwa kupita majimbo yote na ndiyo jimbo pekee lenye viwanda vingi na kukuza uchumi wa Brazil. Mji mkuu wake ni São Paulo.

                                               

Addis Ababa

Addis Ababa ni mji mkuu wa Ethiopia na wa Umoja wa Afrika. Ina hadhi ya mji wa kujitawala ras gez astedader kama jimbo la Ethiopia. Mji wenyewe una watu kutoka makabila 80, wakiongea lugha 80, na jamii za Waislamu na Wakristo. Addis Ababa iko mit ...

                                               

Jimbo la Amhara

Jimbo la Amhara ni moja ya majimbo kumi na moja ya kujitawala ya Ethiopia, inayojumuisha hasa watu wa kabila la Waamhara. Hapo awali ulijulikana kama Jimbo 3. Makao makuu yake ni Bahir Dar. Ziwa kubwa la Ethiopia, Ziwa Tana, liko katika Amhara, n ...

                                               

Jimbo la Mataifa ya Kusini, Ethiopia

Jimbo la Mataifa ya Kusini ni moja kati ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia. Jimbo liko kusini mwa nchi, likipakana na Kenya upande wa kusini, Sudan Kusini upande wa magharibi na majimbo ya Ethiopia ya Gambela upande wa kaskazini na Oromia up ...

                                               

Andalusia

Andalusia ni jimbo la kujitawala la Hispania katika kusini ya rasi ya Iberia. Mji mkuu ni Sevilla. Katika historia ni sehemu ya Hispania iliyotwaliwa na kutawaliwa kwa karne kadhaa na Waarabu Waislamu.

                                               

Visiwa vya Kanari

Visiwa vya Kanari ni funguvisiwa ya Afrika ya Kaskazini katika bahari ya Atlantiki. Viko baharini 150 km magharibi kwa Moroko. Umbali na Hispania ni masaa mawili kwa ndege. Kisiasa ni jimbo la kujitawala la Hispania.

                                               

Mikoa ya Italia

Mikoa ya Italia ni vitengo vikuu vya utawala chini ya ngazi ya taifa nchini. Eneo lote la Italia limegawiwa katika mikoa 20. Kila mkoa huwa na kiwango cha madaraka cha kujiamulia, lakini mikoa 5 huwa na madaraka ya kujitawala. Madaraka hayo na ku ...

                                               

Toscana

Toscana ni mmoja kati ya mikoa 20 ya Italia. Iko katikati ya rasi ya Italia, kaskazini kwa Roma. Imepakana na mikoa ya Emilia-Romagna, Liguria, Umbria, Marche na Lazio, mbali ya bahari ya Kati. Eneo lake ni la km² 20.990. Jumla ya wakazi ilikuwa ...

                                               

Mkoa wa Bonde la Ufa

Mkoa wa Bonde la Ufa ni mkubwa kati ya mikoa minane ya Kenya. Umepakana na Sudani, Ethiopia, Uganda na Tanzania, halafu na mikoa ya Magharibi, Nyanza, Mashariki, Kati na Pwani. Jina latokana na Bonde la Ufa linalopita katika mkoa. Eneo la mkoa ni ...

                                               

Mkoa wa Kati (Kenya)

Mkoa wa Kati ni mkoa wa Kenya unaoenea kati ya Mlima Kenya, Nairobi na Nyahururu. Eneo lake si kubwa lakini kuna msongamano mkubwa wa watu kulingana na mikoa ya jirani kwa sababu ya hali ya hewa na rutba ya ardhi inayolisha watu wengi. Nairobi ik ...

                                               

Mkoa wa Mashariki (Kenya)

Mkoa wa Mashariki ni mkubwa wa pili kati ya mikoa minane ya Kenya. Umepakana na Ethiopia halafu na mikoa ya Bonde la Ufa, Kati, Nairobi, Pwani na Mashariki-Kaskazini. Eneo la mkoa ni 154.354 km² kuna wakazi karibu milioni tano na nusu. Umbo lake ...

                                               

Mkoa wa Pwani (Kenya)

Mkoa wa Pwani ni kati ya mikoa nane ya Kenya ukipakana na Bahari Hindi, Tanzania na mikoa ya Kenya ya Bonde la Ufa, Mashariki na Kaskazini-Mashariki. Makao makuu ya mkoa yapo Mombasa. Mkoani kuna wilaya zifuatazo makao makuu katika mabano: Wilaya ...

                                               

Wilaya, tarafa na kata za Kenya

Orodha ifuatayo ni ya muda ili kuandaa makala ya kata na tarafa za Kenya. Chanzo chake ni orodha lifuatalo: Archived Februari 18, 2007 at the Wayback Machine. Mikoa ya Kenya ilikuwa kama ifuatavyo: Bonde la Ufa - Kaskazini-Mashariki - Kati - Magh ...

                                               

Wilaya ya Kajiado

Wilaya ya Kajiado ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Ilikuwa na jumla ya wakazi 406.054 na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 21.903. Wilaya hii ilipakana na mji wa Nairobi na ...

                                               

Wilaya ya Lugari

Wilaya ya Lugari ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Lugari. Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kakamega. Wilaya hii imesheheni jamii kadhaa, baadhi ...

                                               

Wilaya ya Mto Tana

Wilaya ya Mto Tana ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani, mashariki mwa Jamhuri ya Kenya, hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Hola wakati mwingine hujulikana kama Galole. Kwa sasa imekuwa kaunti ya Tana River. Ji ...

                                               

Wilaya ya Marakwet

Wilaya ya Marakwet ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Kapsowar. Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Wilaya hii ilikuwa na jumla ...

                                               

Wilaya ya Tharaka

Wilaya ya Tharaka ilikuwa moja kati ya Wilaya 71 za Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Tharaka Marimanti. Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Tharaka-Nithi.

                                               

Wilaya ya Thika

Wilaya ya Thika ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa mjini Thika. Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kiambu. Wilaya ilipakana na Nairobi upande wa kaskazini mas ...

                                               

Mkoa wa Équateur

Mkoa wa Équateur ni mmoja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1.626.606. Mji mkuu ni Mbandaka. Mkoa huu ulianzishwa kutokana na ugawaji mpya wa mikoa kadiri ya katiba ya Kongo ya mwaka 2 ...

                                               

Mkoa wa Kasai Mashariki

Kasai Mashariki ni moja ya mikoa 11 ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inapakana na mikoa ya Kasai Magharibi upande wa magharibi, Équateur upande wa kaskazini, Orientale upande wa kaskazini mashariki, Maniema upande wa mashariki na Katanga upan ...

                                               

Mkoa wa Kivu Kusini

Mkoa wa Kivu ya Kusini ni mmoja kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi ukipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2.837.779. Mji mkuu wake ni ...

                                               

Mkoa wa Tshopo

Mkoa wa Tshopo ni mmojawapo ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2.614.630 2005. Mji mkuu ni Kisangani. 2005

                                               

Umoja, Sudan

Majiranukta kwenye ramani: 9°0′N 29°42′E Umoja Kar. الوحدة al-wahda ilikuwa moja ya majimbo "wilayat" 10 ya Sudan Kusini. Lilikuwa na ukubwa wa eneo la Km² 22.122 na wakazi 4.700.000 2000. Bentiu ulikuwa ndio mji mkuu wa jimbo hili lenye wilaya t ...

                                               

Illinois

Illinois ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Ilikuwa jimbo la Marekani tangu 1818. Iko katika magharibi ya kati ya nchi ikipakana na majimbo ya Wisconsin, Iowa Missouri, Kentucky na Indiana. Upande wa kaskazini - ...

                                               

Jumuiya

Jumuiya kwa asili ya neno ni eneo la nchi lililotengwa kwa ajili ya utawala ndani ya dola fulani. Baadaye hutumiwa pia kwa muungano wa nchi kwa ajili ya malengo zilizo nayo pamoja.