ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 29
                                               

Kosaka Daimaou

Kosaka Daimaou ni talanta ya Kijapani, DJ, mtayarishaji wa muziki. Inaonekana kama mwanachama wa trio ya "Comedy" "Chini ya AIR-LINE", kama vile "mbinguni ya Vocabulan" nk. Baada ya hapo itakuwa kufanya shughuli muziki na vichekesho, idadi ya mar ...

                                               

Faraja Kotta

Faraja Kotta alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2004. Kotta ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne. Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya msingi Olympio iliyopo jijini Dar es Salaam, baadae kujiunga na shule ya sekondari St Franc ...

                                               

Gervais Yao Kouassi

Gervais Yao "Gervinho" Kouassi ni mchezaji wa kandanda wa kimataifa wa Ivory Coast ambaye anacheza kama mshambuliaji katika ligi ya Kifaransa Ligue 1 na klabu ya Lille OSC.

                                               

Ralf Krewinkel

Ralf Karel Hubert Krewinkel ni mwanasiasa kutoka Uholanzi. Tangu 31 Agosti 2015 yeye ni Meya wa Manispaa ya Heerlen katika jimbo la Limburg, Uholanzi. Alikuwa Meya wa Manispaa ya Beek kuanzia 2011 hadi 2015. Alizaliwa Kerkrade.

                                               

Kristen Bell

Kristen Anne Bell ni mwigizaji, mwimbaji, na mtayarishaji wa Marekani. Alianza kazi yake ya uigizaji kwa kuigiza katika maonyesho ya jukwaa wakati akienda Shule ya Sanaa ya Tisch katika Chuo Kikuu cha New York. Mnamo 2001, alifanya kwanza hatua y ...

                                               

Kristoffer Nordfeldt

Kristoffer Nordfeldt ni mchezaji wa soka wa Sweden ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Swansea City na timu ya taifa ya Sweden.

                                               

Diane Kruger

Diane Kruger ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Ujerumani. Huko Amerika ya Kaskazini, Anafahamika zaidi kwa uhusika wake wa Helen kwenye filamu ya Troy, Dr. Abigail Chase kwenye National Treasure na National Treasure: ...

                                               

Femi Kuti

Olufela Olufemi Anikulapo Kuti anayejulikana kama Femi Kuti, ni mwanamuziki aliyetuzwa kutoka Nigeria na mwana wa mwanzilishi maarufu wa ngoma ya afrika Fela Kuti. Femi alizaliwa mjini London na wazazi Remi na Fela Kuti na kulelewa katika mji mku ...

                                               

Al-Shymaa Kway-Geer

Al-Shymaa Kway-Geer ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni mmoja kati ya wabunge wanawake 48 walioteuliwa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania wa awamu ya nne Jakaya Kikwete. Kway-Geer ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania n ...

                                               

Kyle Walker

Kyle Andrew Walker ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza.

                                               

Kylian Mbappé

Kylian Sanmi Mbappé Lottin ni mchezaji wa soka wa Kifaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika kilabu cha Ligue 1 Paris Saint-Germain, kwa mkopo kutoka A.S. Monaco, na katika timu ya taifa ya Ufaransa. Anajulikana kwa kupiga chenga, nguvu, ...

                                               

Joyce Cherono Laboso

Yeye anawakilisha Jimbo la uchaguzi la Sotik katika bunge la Kumi Alikichukua kiti hiki kutoka kwa dadake Lorna Laboso ambaye alifariki katika ajali ya ndege mnamo 10 Juni 2008.

                                               

Franz Lambert

Franz Lambert ni mtunzi na mpiga organ kutoka nchini Ujerumani. Anependa sana kupiga organ ya Hammond lakini pia alifahamika zaidi baadaye kwa uwezo wake mkubwa wa kupiga Wersi ambayo ni organ ya umeme wakati wa shughuli zake na kutweza kutoa zai ...

                                               

Landon Donovan

Landon Donovan ni mchezaji wa soka wa Amerika ambaye anacheza Ligi kuu ya Marekani katika klabu ya San Diego Sockers. Anashikilia rekodi nyingi za mtu mmoja katika Ligi Kuu ya marekani na timu ya taifa ya marekani na anachukuliwa kuwa mmoja wa wa ...

                                               

Ali Larter

Alison Elizabeth "Ali" Larter ni mwigizaji wa fiamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Ameanza kazi za uigizaji ni baada ya kuonekana kidogokidogo kwenye vipipindi kadhaa vya televisheni kunako miaka ya 1990. Kuanzia 2006 hadi 2010 ...

                                               

Lassana Coulibaly

Lassana Coulibaly ni mchezaji mzuri wa soka nchini Mali ambaye anacheza kama kiungo wa Klabu ya Ubelgiji Cercle Brugge K.S.V., kwa mkopo kutoka katika klabu ya Angers SCO, na timu ya taifa ya Mali.

                                               

Laurent Gbagbo

Koudou Laurent Gbagbo ni mwanasiasa wa Ivory Coast ambaye alikuwa Rais wa Cote dIvoire kutoka mwaka 2000 hadi kukamatwa kwake Aprili 2011. Mwanahistoria, Gbagbo alifungwa miaka ya mapema ya 1970 na tena mwanzoni mwa miaka ya 1990, na aliishi uham ...

                                               

Lavalava (mwanamuziki)

Lavalava ni msanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby inayomiliki wasanii wengine kama Rayvanny, Queen Darleen na Diamond Platnumz ambaye ndiye bosi wa lebo hiyo. Lavalava ni miongoni mwa vijana wanaofanya vyema kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa s ...

                                               

Layal Abboud

Layal Abboud ni Lebanon mwimbaji wa pop, muziki watu mburudishaji, sauti-lyric mshairi, tamasha dancer, fit mfano, Muslim kibinadamu na mfanyabiashara. Alizaliwa na familia ya muziki katika Kusini mwa Lebanon Tyrian kijiji cha Kniseh, Abboud ni w ...

                                               

Lazarus Chakwera

Lazarus McCarthy Chakwera ni mwanatheolojia na mwanasiasa wa Malawi ambaye alipata kuwa Rais wa Malawi mnamo Juni 2020.

                                               

George Lazenby

George Robert Lazenby ni mwigizaji wa filamu wa Kiaustralia aliyejulikana zaidi kwa kuigiza mara moja kama James Bond mnamo mwaka wa 1969, alicheza katika filamu ya On Her Majestys Secret Service.

                                               

Leandro Paredes

Leandro Daniel Paredes ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Ufaransa Paris Saint-Germain FC. Paredes alianza kazi yake katika chuo cha mafunzo cha Boca Juniors akiwa na umri wa miaka 14. Aliendelea kuwa ...

                                               

Josaphat Louis Lebulu

Josaphat Louis Lebulu ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1979. Baada ya kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Same, tangu mwaka 1999, alikuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha hadi alipostaafu tare ...

                                               

Lecrae

Lecrae Moore ni msanii wa Kikristo mwenye mkataba na Reach Records. Lecrae anaishi mjini Atlanta, Georgia akiandaa matukio mbalimbali ya muziki, akijitolea kufanya kazi katika jela ya vijana, kujishirikisha katika shirika la Kids Across America K ...

                                               

Pedro Rodríguez Ledesma

Pedro Rodríguez Ledesma ni mwanakandanda kutoka nchi ya Hispania na anazichezea klabu ya Chelsea F.C. na timu ya taifa ya Hispania. Pedro ni mchezaji mwenye mafanikio akiwa na klabu ya Barcelona F.C. ya Hispania. Ana uwezo wa kucheza kama winga a ...

                                               

Lee Grant

Grant alianza kazi yake ya kitaaluma na klabu ya Derby County, akicheza ligi ya soka mnamo Septemba 2002. Grant alitumia misimu mitano na klabu ya Derby, wakati ambao alikwenda kwa mkopo Burnley na Oldham Athletic.

                                               

Lee Yong

Lee Yong ni mchezaji wa soka wa Korea Kusini ambaye anacheza klatika klabu ya Kikorea Jeonbuk Hyundai Motors na timu ya taifa ya Korea Kusini.

                                               

Muna Lee (mwanamichezo)

Lee alishinda medali ya dhahabu kama mwanachama wa timu ya Wanawake ya mbio 4 x 100m katika mbio ya Mashindano ya Mabingwa wa Dunia katika Riadha katika mwaka wa 2005. Alikimbia vizuri sana katika mbio za majaribio ya Olimpiki ya 2004,akikimbia k ...

                                               

Elieshi Lema

Memsahib Elieshi Lema ni mwandishi wa lugha za Kiingereza na Kiswahili kutoka Tanzania. Lema alianza kama muandishi na mtunzi wa mashairi" na baadaye kuwa muandishi wa vitabu vya watoto katika lugha ya Kiswahili kabla ya kuandika riwaya yake ya k ...

                                               

Leon Goretzka

Leon Christoph Goretzka ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani. Mwaka 2004, Goretzka alianza kazi yake na klabu ya watoto wa Werner SV 06 Bochum. Tarehe 30 Juni 2013, Schalke 04 ...

                                               

Leonardo Spinazzola

Leonardo Spinazzola ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Italia. Spinazzola alianza kazi yake katika kuanzisha vijana wa Siena. Mwaka 2010, alijiunga na Juventus katika mkataba wa muda mfupi, akiwa akipewa kikosi cha Primavera. Juni 2012 Juventus ili ...

                                               

Leroy Fer

Leroy Johan Fer ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Swansea City na timu ya taifa ya Uholanzi. Katika ujana wake, aliitwa jina la "De Uitsmijter" "Bouncer" na kocha wa vijana wa Feyenoord Jean-Paul van ...

                                               

Leroy Gopal

Leroy Gopal ni mwigizaji, mchekeshaji na mwigizaji sauti raia wa Zimbabwe.anafamika Zaidi kwa uhusika wake kwenye filamu ya Yellow Card na Strike Back.

                                               

Leroy Sané

Leroy Aziz Sané ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji katika timu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa Ujerumani. Sane alichezea Schalke 04 na sasa yupo Manchester City.

                                               

Les Twins

Laurent na Larry Nicolas Bourgeois wenye urefu wa futi 64" ni wachezaji wa densi wa Ufaransa. Mara nyingi hujulikana kwa majina yao ya utani, "Lil Beast" na "Ca Blaze" hutambuliwa kimataifa kwa talanta zao kwa mitindo mpya ya densi ya hip-hop, na ...

                                               

Doris Lessing

Doris May Lessing alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza akiwa amezaliwa nchini Uajemi. Aliandika pia chini ya lakabu ya Jane Somers. Mwaka wa 2007 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

                                               

Zachary Levi

Zachary Levi Pugh, anafahamika kwa jina lake maarufu kama Zachary Levi, ni mwigizaji wa vipindi vya televisheni, mwongozaji, na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa nyusika zake za Kipp Steadman kwenye Less than Perfect, Chuck B ...

                                               

Juliette Lewis

Lewis alizaliwa mjini Los Angeles, California. Baba yake ni mwigizaji wa filamu Geoffrey Lewis na mama yake, Glenis Batley, ni graphic designer. Wazazi wake na Lewis walitarikiana akiwa na umri wa miaka miwili. Ana ndugu wawili wa kiume na wawili ...

                                               

Jet Li

Li Lianjie ni mshindi wa Tuzo za Filamu za Hong Kong, akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kichina. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jet Li. Jet Li ni mtaalam wa Kung Fu na Wushu. Baada ya miaka mitatu ya mafunzo ya Wushu, Jet Li al ...

                                               

Salutaris Melchior Libena

Salutaris Melchior Libena ni Askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki la Ifakara, katika mkoa wa Morogoro, nchini Tanzania. Alizaliwa huko Itete tarehe 23 Novemba 1963 na baada ya masomo ya ngazi mbalimbali alipewa upadrisho katika Jimbo Katoliki la Ma ...

                                               

Lil Nas X

Montero Lamar Hill ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo. Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimb ...

                                               

Lil Pump

Gazzy Garcia ni rapa na mwandishi wa nyimbo wa Marekani. Anajulikana kwa mtu anayehusika na umma, ambapo huonyeshwa mara nyingi akitumia dawa za kulevya, hasa bangi, lean na Xanax; mara nyingi anakosolewa kwa tabia yake inayoonekana kwenye media ...

                                               

Lil Uzi Vert

Symere Woods ni rapa, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa Marekani. Alizaliwa na kukulia Philadelphia, Lil Uzi alipata utambulisho kufuatia kuachiliwa kwa barua ya kibiashara Luv Is Rage 2015, ambayo ilisababisha mkataba wa kurekodi na Atlantic Re ...

                                               

Lil Wayne

Dwayne Michael Carter, Jr. ni mshindi wa Tuzo za Grammy - akiwa kama rapa wa muziki wa hip hop bora kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lil Wayne. Alijiunga na studio ya Cash Money Records akiwa bado yungali bw ...

                                               

Lil Yachty

Miles Parks McCollum ni rapa, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa Amerika. Yachty alipata kutambuliwa mnamo Agosti, 2015 kwa wimbo wake "One Night" na "Minnesota" kutoka Nyimbo zake za Majira ya EP Summer.Aliachilia deni lake la kwanza la barua ya ...

                                               

Lilian Mary Nabulime

Lilian Mary Nabulime ni mhadhiri wa sanaa na mchonga sanamu wa Uganda. Ni mhandisi wa chuo cha uundaji, sanaa na teknolojia na amefanya maonyesho ya kazi zake ndani na nje ya nchi yake.

                                               

Evangeline Lilly

Nicole Evangeline Lilly ni mwigizaji wa kutoka Canada aliyepata umaarufu kutokana na kuigiza kwake kama Kate Austen kwenye kipindi cha Lost.

                                               

Richard Limo

Richard Kipkemei Limo mwanariadha kutoka taifa la Kenya. Yeye ni mtaalamu katika matukio ya masafa marefu. Alishinda medali ya dhahabu katika mita 5000 katika mchuano wa dunia katika riadha mwaka wa 2001. Alizaliwa mwaka wa 1980 katika kijiji cha ...

                                               

Linda Sokhulu

Shreds and Dreams 2010 & 2014 Felix 2013 Generations 2004 - 2007 Rhythm City 2019 Isidingo A Place Called Home 2006 Ubizo: The Calling 2007

                                               

Lionel Messi

Lionel Andrés Messi ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuz ...