ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 3
                                               

Mwangaza unaoonekana

Mwangaza ni tabia ya nyota inayosaidia kuzitofautisha baina yake. Kuna tofauti kati ya mwangaza unaoonekana na mwangaza halisi. Umbali kati ya vitu kwenye anga-nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo ka ...

                                               

Mwezi mpevu

Hali hii inatokea wakati: Mwezi uko kwenye nyuzi 5 au chini ya mstari wa Dunia - Jua. Dunia iko katikati ya Jua na Mwezi, katika hali ya Jua - Dunia - Mwezi. Katika hali hii nusutufe ya Mwezi inayotazama Dunia inaangazwa kabisa na mwanga wa Jua i ...

                                               

Mwezi mpevu sana

Mwezi mpevu sana ni hali ya pekee ya mwezi mpevu unaotokea kila baada ya miaka kadhaa. Hali hii inapatikana kama mwezi mpevu unatokea wakati mwezi uko karibu na dunia inavyowezekana. Hapo mwezi ni mwangavu zaidi kiasi kuliko mwezi mpevu wa kawaida.

                                               

Nahari (kundinyota)

Nahari - Eridanus lina umbo jembamba lakini refu sana likianza jirani ya Jabari kwenye angakaskazi hadi karibu na Wingu Dogo la Magellan katika Tukani kwenye angakusi. Linapakana na makundinyota jirani ya) Tucana) Hydrus, Nyavu Reticulum, Saa Hor ...

                                               

Nairi

Alpha Gruis, α Gruis, Alnair Nairi Nairi ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la Kuruki Grus na nyota angavu ya 31 kwenye anga ya usiku.

                                               

Najida

Najida ni nyota angavu ya tatu katika kundinyota la Jabari. Na pia ni nyota angavu ya 25 kwenye anga ya usiku.

                                               

Namba za Flamsteed

Namba za Flamsteed ni utaratibu wa kutaja nyota uliobuniwa na Mwingereza John Flamsteed aliyekuwa mkurugenzi wa kwanza wa paoneaanga pa Greenwich. Katika orodha yake nyota zinatajwa kwa namba na kundinyota. Kwa njia hii aliweza kutaja kwa namna y ...

                                               

Ncha ya anga

Ncha ya anga ni nukta angani pale ambako mstari wa kudhaniwa baina ya ncha za dunia inaelekea. Kwa mtazamaji Duniani inaonekana kama nyota zote zinazunguka ncha ya anga. Kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia kuna nyota angavu ya Kutubu en:Polaris ...

                                               

Ndoo (kundinyota)

Ndoo ni kundinyota la zodiaki linalojulikana kimataifa kwa jina lake la kimagharibi la Aquarius. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Nyota za Ndoo huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka ...

                                               

Nebula ya Jabari

Nebula ya Jabari ni nebula angavu inayoonekana katika kundinyota ya Jabari chini ya nyota tatu za ukanda wake. Mwangaza unaoonekana ni mag 4.0 hivyo inaonekana kama nyota lakini kwa kutumia darubini ndogo inatambuliwa kama doa angavu maana ni neb ...

                                               

Ngombe (kundinyota)

Ngombe iko angani kwenye mstari wa Zodiaki kati ya Kondoo pia Hamali, lat. Aries upande wa magharibi na Mapacha pia Jauza, lat. Gemini upande wa mashariki. Inapaka na kundinyota jirani za Hudhi Auriga, Farisi Perseus, Hamali Kondoo Aries, Ketusi ...

                                               

Nge (kundinyota)

. Nge pia: Akarabu, Scorpius ni kundinyota la zodiaki linalojulikana pia kwa jina la kimagharibi Scorpius au Scorpio. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na Umoja wa kimataifa wa astronomia Kiuhalisia nyota za Nge huwa haziko pamoja kama zion ...

                                               

Nicolas-Louis de Lacaille

Nicolas-Louis de Lacaille alikuwa mwanaastronomia wa Ufaransa aliyetunga makundinyota 14 kati ya makundinyota 88 ya kisasa, zote kwenye Nusutufe ya kusini ya Dunia. Lacaille alisoma theolojia Katoliki lakini baadaye alikazia elimu ya hisabati na ...

                                               

Nicolaus Copernicus

Nicolaus Copernicus alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtaalamu wa astronomia, tiba na hisabati. Ni maarufu hasa kwa kuwa ndiye aliyeeleza muundo halisi wa ulimwengu kwa kusema dunia inazunguka jua, kinyume cha fundisho lililotawala awali kuwa j ...

                                               

Njiwa (kundinyota)

Njiwa. miakanurua kundinyota kwenye nusutufe ya kusini ya dunia yetu. Lipo jirani na kundinyota la Mbwa Mkubwa na Mkuku.

                                               

Nukta msawazo

Nukta msawazo ni nafasi maalumu inayopatikana pale ambako gimba kubwa linazungukwa na gimba dogo zaidi, kwa mfano Jua na sayari. Hapo zinatokea nafasi tano ambako kani ya graviti ya magimba yale mawili yanasawazika. Kanuni za hisabati kwa hali hi ...

                                               

Nusukipenyo cha Jua

Nusukipenyo cha Jua ni nusu ya kipenyo cha Jua letu na hivyo sawa na umbali wa kilomita 696.342 au mara 109 nusukipenyo cha Dunia. Umbali huu hutumiwa kama kizio katika sayansi ya astronomia kwa kutaja ukubwa wa magimba kwenye anga-nje hasa nyota ...

                                               

Nyota

Kwa kutumia darubini na vifaa vya kisayansi imegunduliwa ya kwamba ni magimba makubwa sana katika anga-nje yanayongaa kwa sababu yanatoa mwanga, joto na aina mbalimbali za mnururisho kutokana na myeyungano wa kinyukilia ndani yake. Lakini ziko mb ...

                                               

Nyota maradufu

Nyota maradufu ni nyota mbili au zaidi zinazokaa karibu kwenye anga ya ulimwengu kiasi cha kuvutana kwa graviti yake hadi kuzungukana. Kwa lugha nyingine ni mfumo wa nyota mbili au zaidi. Idadi yake ni kubwa, zikizidi kutambuliwa kutokana na matu ...

                                               

Nyota nova

Nyota nova ni ongezeko la ghafla la mwangaza wa nyota. Ilhali idadi kubwa za nyota hazionekani kwa macho matupu ongezeko hili linatokea mara nyingi kama "nyota mpya" angani inayoweza kungaa sana hata kushinda nyota zote nyingine. Hivyo inaonekana ...

                                               

Nzi (kundinyota)

Nzi iko jirani na kundinyota mashuhuri ya Salibu Crux iliyopo upande wa kaskazini, Mkuku en:Carina upande wa magharibi, Kinyonga Chamaeleon upande wa kusini, Ndege wa Peponi Apus na Bikari Circinus upande wa kaskazini-mashariki.

                                               

Obiti

Obiti ni njia inayotumiwa na gimba la angani linalozunguka gimba kubwa zaidi katika anga ya ulimwengu ilhali inashikwa na mvuto wa graviti. Mfano wake ni mwendo wa sayari inayozunguka jua, au mwezi unaozunguka sayari yake, au satelaiti inayozungu ...

                                               

Orodha ya Messier

Orodha ya Messier ni orodha ya nyota iliyotungwa na mwanaastronomia Mfaransa Charles Messier kati ya 1764 na 1782. Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama nebula wingu dogo linalong ...

                                               

Panji (kundinyota)

Panji lipo kwenye mstari wa ekliptiki karibu na nyota angavu ya Suheli Canopus. Kundinyota jirani ni Meza Mensa, Nyoka Maji Hydrus, Nyavu Reticulum, Saa Horologium, Patasi Caelum, Mchoraji Pictor na Panzimaji Volans.

                                               

Panzimaji (kundinyota)

Panzimaji inapatikana kati ya makundinyota yaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Kundinyota hili lilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi Pieter Dirkszoon Keys ...

                                               

Parsek

Parsek ni kipimo cha umbali kinachotumiwa katika astronomia kwa kutaja umbali kati ya nyota na violwa vingine vya angani. Kifupi chake ni pc. Umbali wa parsek 1 ni sawa na miakanuru 3.26 au karibu kilomita trilioni 31 au mita 3.0857×10 16. Ufafan ...

                                               

Pembetatu (kundinyota)

Pembetatu ni jina la kundinyota ndogo kwenye nusutufe ya kaskazini ya dunia yetu. Ni tofauti na Pembetatu ya Kusini au Pembetatu ya Kiangazi.

                                               

Periheli

Periheli ni mahali katika obiti ya sayari au magimba mengine ya angani ambako ni karibu zaidi na jua. Jina linatokana na kigiriki Περι peri na Ήλιο "helio". Kinyume chake ni afeli inayomaanisha sehemu ya obiti iliyo mbali kabisa na jua. Obiti ni ...

                                               

Petrus Plancius

Petrus Plancius alikuwa mwanatheolojia, mchungaji wa Kanisa la Kireformed, mwanaastronomia na mchoraji wa ramani kutoka Flandria aliyeishi miaka mingi huko Uholanzi. Tangu mwaka 1589 alianza kuchora ramani za nyota ambako aliingiza mara ya kwanza ...

                                               

Pieter Dirkszoon Keyser

Pieter Dirkszoon Keyser alikuwa baharia katika utumishi wa Shirika ya Kiholanzi kwa Uhindi ya Mashariki. Alifundishwa na Petrus Plancius elimu ya nyota na uchoraji wa ramani ya nyota. Mwaka 1595 alikuwa nahodha wa safari ya kwanza ya Waholanzi ku ...

                                               

Proxima Centauri

Proxima Centauri ni nyota iliyo karibu kabisa na Jua hivyo pia na Dunia. Ni sehemu ya mfumo wa Rijili Kantori inayojulikana kama Alpha Centauri. Umbali wake na Jua ni miakanuru 4.22.

                                               

Rakisi (kundinyota)

Rakisi ni jina lililotumiwa tangu zamani na mabaharia Waswahili waliojua njia yao baharini wakati wa usiku wakiangalia nyota. Jina hili waliwahi kupokea kutoka kwa Waarabu walioiita الرقيس al-raqis linalomaanisha "mchezaji". Katika umbo la nyota ...

                                               

Ramani ya nyota

Ramani ya nyota ni ramani inayoonyesha nyota zinazoonekana kwenye anga wakati wa usiku. Mkusanyiko wa ramani za nyota katika kitabu kimoja huitwa atlasi ya nyota. Ramani za nyota za zamani zilionyesha mara nyingi maumbo ya kundinyota jinsi zilivy ...

                                               

Rijili Kantori

Rijili Kantori, Rijili Kantarusi au ing. Alpha Centauri ni nyota inayongaa sana katika anga ya kusini kwenye kundinyota la Kantarusi. Ni nyota angavu ya nne angani lakini haionekani kwenye nusu ya kaskazini ya Dunia. Alpha Centauri ni nyota ya pe ...

                                               

Rijili ya Jabari

Jina la Kiswahili ni Rijili ya Jabari linalotokana na ar. رجل الجبار rijil-al-jabar. Maana ya jina ni "mguu wa jitu" maana mataifa ya kale waliiona makundinyota yote kama picha ya mtu jitu katika anga. Jina la kimagharibi "Rigel" latokana pia na ...

                                               

Rosetta (kipimaanga)

Rosetta ni kipimaanga cha Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga. Mwaka 2004 Kilirushwa kutoka kituo cha angani Kourou kwa roketi ya Ariane 5 kwa kusudi la kufikia nyotamkia ya 67P/Churyumov–Gerasimenko.

                                               

Roskosmos

Roskosmos ni jina la kifupi la shirika la serikali ya Urusi kwa shughuli za kiraia kwenye anga-nje. Jina kamili kwa Kirusi ni Государственная корпорация по космической деятельности. Shirika hili lilianzishwa tarehe 1 Januari 2016 kwa amri ya rais ...

                                               

Sagita (kundinyota)

Sagita Sagitta lipo karibu na nyota angavu za Vega na Tairi. Inapakana na makundinyota jirani ya Mbweha Vulpecula, Rakisi Hercules, Ukabu Aquila na Dalufnin Delphinus.

                                               

Salibu

Salibu ni kundinyota mashuhuri yenye umbo la msalaba kwenye angakusi inayoonekana kutoka nusutufe ya kusini ya Dunia. Salibu lipo kati ya kundinyota zinazotambuliwa kirahisi. Ni kundinyota dogo lakini nyota zake kuu zina uangavu mzuri wa mag 2.8 ...

                                               

Samaki (kundinyota)

Samaki ni kundinyota ya zodiaki inayojulikana kimataifa kwa jina lake la kimagharibi la Pisces. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Nyota za Samaki huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kut ...

                                               

Sekunde ya tao

Sekunde ya tao ni kipimo cha pembe. Inataja sehemu ya 3600 ya nyuzi moja. Sekunde 60 za tao zinalingana na dakika moja ya tao. Dakika 60 za tao zinalingana na nyuzi moja. Nyuzi 360 ni sawa na duara kamili. Kifupi chake ni arcsec au alama ya ". Ka ...

                                               

Shaliaki (kundinyota)

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa Kinubi Shaliaki kwa Kilatini na Kiingereza Lyra ni jina la kundinyota kwenye angakaskazi ya Dunia yetu. Nyota ya Vega ambayo ni kati ya nyota angavu zaidi kwenye anga ya usiku lipo katika Shaliaki na hi ...

                                               

Shetri (kundinyota)

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa Shetri Shetri kwa Kilatini na Kiingereza Puppis ni jina la kundinyota kwenye nusutufe ya kaskazini ya dunia yetu.

                                               

Shira (nyota)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Shira Shira ni nyota angavu zadi katika kundinyota ya Mbwa Mkubwa Canis Major. Ni pia nyota angavu kabisa kwenye anga ya usiku. Mwangaza unaoonekana ni -1.46 mag.

                                               

Shuja (kundinyota)

Shuja ni jina la kundinyota kubwa iliyopo upande wa kusini wa ikweta ya anga. Kutokana na urefu wake Shuja inapakana na kundinyota nyingi ikiwa karibu na kundinyota za Zodiaki za Saratani Cancer, Asadi Leo na Nadhifa Virgo.

                                               

Simaki

Simaki ni nyota angavu zaidi katika kundinyota ya Bakari Bootes. Ni pia nyota angavu ya nne kwenye anga la usiku. Mwangaza unaoonekana ni -0.05 mag.

                                               

Simba Mdogo (kundinyota)

Simba Mdogo inapakana na makundinyota ya Simba zamani Asadi lat. Leo, Pakamwitu Washaki lat. Lynx na Dubu Mkubwa lat. Ursa Major ikigusana pia na Kaa zamani Saratani lat. Cancer. Nyota angavu ya Maliki Junubi ing. Regulus iko jirani.

                                               

Tanga (kundinyota)

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa Tanga Tanga kwa Kilatini na Kiingereza Vela. ni jina la kundinyota kwenye nusutufe ya kusini ya dunia yetu. Lipo jirani na kundinyota la Mkuku Carina na si mbali na Salibu Crux.

                                               

Tinini (kundinyota)

Tinini ni jina lililotumiwa tangu zamani na mabaharia Waswahili waliojua njia yao baharini wakati wa usiku wakiangalia nyota. Jina hili waliwahi kupokea kutoka Waarabu walioiita التنين al-tinin na hili ni tafsiri ya Kigiriki Δράκων drakoon Draco ...

                                               

Tukani (kundinyota)

Tukani iko karibu na ncha ya anga ya kusini. Inapakana na makundinyota Nyoka Maji Hydrus, Zoraki Phoenix, Kuruki Grus, Mhindi Indus na Thumni Octans.