ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 34
                                               

Efeso

Efeso uliwahi kuwa moja kati ya majiji ya dunia, lakini kwa sasa halina wakazi. Lilianzishwa na Wayunani huko Lidia kwenye mto Kaistro unapoishia katika Bahari ya Kati, kwenye pwani ya Uturuki wa leo. Lilikuwa kituo kikubwa cha biashara na magofu ...

                                               

Filipi

Majiranukta kwenye ramani: 41°00′47″N 24°17′11″E Filipi kwa Kigiriki Φίλιπποι, Philippoi ulikuwa mji wa Makedonia ya mashariki, ulioanzishwa na Filipo II wa Makedonia mwaka 356 KK ukaachwa katika karne ya 14 kutokana na uvamizi wa Waturuki. Leo k ...

                                               

Kavala

Kadiri ya Agano Jipya, mwaka 49 au 50 mji ulitembelewa na Mtume Paulo kutokana na njozi aliyoipata ikiwa na himizo la kuingia Ulaya ili kuwaletea Injili Wamakedonia Mdo 16:9-10. Ilikuwa mara ya kwanza kwake kufika Ulaya bara. Matendo ya Mitume 16 ...

                                               

Konya

Konya ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Konya. Mji huo uko katikati ya mkoa wa Anatolia, mita 1.200 juu ya usawa wa bahari. Mji una wakazi wapatao 1.412.343 kwa hesabu ya mwaka wa 2007. Mtume Paulo alihubiri wake huko wala ...

                                               

Korintho

Korintho ni mji wa Ugiriki wa Kusini. Uko kwenye shingo ya nchi ya Korintho inayounganisha rasi ya Peloponesi na sehemu kubwa ya Ugiriki bara. Siku hizi ni mji mdogo tu, wenye wakazi 36.555, lakini ina historia kubwa na ndefu. Kimataifa Korintho ...

                                               

Lesbo

Lesbo ni kisiwa cha Ugiriki katika Bahari ya Aegean chenye eneo la Km² 1.633. Kina wakazi 86.436 2011 wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii. Makao makuu yako Mutilene. Mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, aliabiri kutoka ...

                                               

Listra

Listra ulikuwa mji wa rasi ya Anatolia, katika Uturuki wa leo. Kwa sasa ni kijiji tu kinachoitwa Klistra, km 30 kusini kwa Konya. Mji huo unatajwa mara sita katika Biblia ya Kikristo Mdo 14:6.8.21; 16:1, 2Tim 3:11 kwa sababu kuanzia mwaka 46 Mtum ...

                                               

Masedonia

Masedonia ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye rasi ya Balkani katika Ulaya kusini mashariki. Katika mwendo wa historia mipaka yake ilibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban kilomita za mraba 67.000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na ...

                                               

Samotrake

Samotrake ni kisiwa cha Ugiriki kilichoko kaskazini mwa Bahari ya Aegean. Kina wakazi 2.859 2011 wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii. Kinatajwa na Biblia ya Kikristo kwa kuwa mwaka 49 au 50 Mtume Paulo, katika safari yake ya pili ya kimisionari, a ...

                                               

Wanjiru Kihoro

Wanjiru Kihoro alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa kike kutoka nchini Kenya. Alikuwa kati ya waanzilishaji wa chama cha Akina Mama wa Afrika na Kamati kwa uhuru wa wafungwa wa kisiasa wa Kenya iliyopinga kufungwa kwa Wakenya wakati wa serikali ...

                                               

Akina Wright

Akina Wright ni namna ya kutaja ndugu Orville Wright na Wilbur Wright wanaoaminiwa na wengi kuwa walibuni na kurusha eropleni ya kwanza yenye injini iliyoweza kuongozwa mnamo 17 Desemba 1903. Hata hivyo, madai hayo yamepingwa kwa kurejelea wavumb ...

                                               

Samuel Morse

Samuel Finley Breese Morse alikuwa mvumbuzi wa Marekani. Alibuni telegrafu ya kwanza yenye waya mmoja tu. Jina lake hukumbukwa hasa kwa ajili ya kubuni alfabeti ya Morse. Tangu miaka ya 1700, kulikuwa na aina tofauti za telegrafu zilizotumia nyay ...

                                               

Thomas Edison

Thomas Alva Edison alikuwa mvumbuzi mashuhuri na mfanyabiashara nchini Marekani. Aliboresha vifaa kama balbu ya umeme, mikrofoni na kugundua gramafoni. Utafiti na uvumbuzi wake ulihusu hasa mitambo ya umeme. Akajishughulisha pia na mtandao wa uga ...

                                               

Alberto wa Pisa

Alberto wa Pisa, padri wa Kanisa Katoliki kutoka Pisa, alikuwa mkuu wa tatu wa shirika la Ndugu Wadogo tangu mwaka 1239 hadi alipofariki mwaka 1240. Kabla ya hapo aliwahi kuwa mkuu wa kanda ya shirika huko Ujerumani na Hungaria, akashika nafasi y ...

                                               

Mwinyi Chamosi bin Matumula

Mwinyi Chamosi bin Matumula alikuwa mfanyabiashara, mpepelezi na mtaalamu wa lugha aliyeishi Zanzibar katika karne ya 19. Pamoja na Tippu Tip, alisababisha mageuzi makubwa ya kijamii kwenye bara la Tanganyika hadi Kongo kupitia uwindaji wa tembo ...

                                               

Mlonge

Mlonge, mlongo, mronge, mrongo, mkimbo au mzunze ni mti wa jenasi pekee, Moringa, ya familia Moringaceae. Asili ya mti huu ni Uhindi lakini siku hizi hupandwa mahali pengi pa kanda za tropiki na nusutropiki. Hutumika kwa kulisha mifugo, chakula c ...

                                               

Mnazi (mti)

Mnazi ni kati ya miti muhimu zaidi kwa ajili ya uchumi wa kibinadamu katika nchi za tropiki. Mafuu ya mbegu hutumiwa kama kuni au kutengeneza vifaa vya muziki au urembo kama vile bandili, hereni au mikufu. utomvu ni kinywaji chenye afya kwa sabab ...

                                               

Mshubiri

Kwa kipimo chenye jina la karibu angalia hapa shubiri Mshubiri au msubili ni jina la mimea ya jenasi Aloe katika nusufamilia Asphodeloideae ya familia Xanthorrhoeaceae ambayo ni aina za sukulenti. Watu wengi wanaendelea kuweka Aloe ndani ya famil ...

                                               

Utaya

Taya ni sehemu ya muundo wa kinywa cha wanyama wengi. Kazi yake ni kushika na kuhamisha chakula mara nyingi pamoja na kukikatakata.

                                               

Muundi

Muundi ni mfupa mkubwa wa mbele wa mguu ambao unaanzia kifundo hadi goti na umeunganika na mfupa mwingine mdogo ambao umejishikiza kwa sehemu ya pembeni. Mfupa huo mkubwa huunganika na mfupa mkubwa wa juu pamoja na tishu laini kuunda ungio la got ...

                                               

Ventrikali

Ventrikali ni kila kimoja kati ya vyumba viwili vikubwa ndani ya moyo ambavyo hukusanya na kusukumiza damu kutoka kwenye atriamu kuelekea sehemu za pembeni ndani ya mwili na mapafu. Atriamu husaidia usukumizaji wa damu. Katika moyo wa vyumba vinn ...

                                               

Epidemisi

Epidemisi ni sehemu ya juu ya ngozi, na sehemu ya ndani huitwa demisi. Epidemisi ni neno lenye asili ya Kigiriki linalomaanisha "juu ya demisi". Yenyewe huzuia maambukizi kutoka katika mazingira na vijidudu na inasimamia kiasi cha maji kinachotol ...

                                               

Nzi wa Nairobi

Nzi wa Nairobi ni jina la kawaida la spishi kadhaa za mbawakawa za jenasi Paederus katika familia Staphylinidae ambazo zinaweza kusababisha shida ya ngozi inayoitwa uwati wa pederi. Mbawakawa hao ni spishi za bungo mbawa-nusu.

                                               

Kiwiliwili

Kiwiliwili hutazamiwa kuwa na sehemu 4 ndani yake pamoja na majina ya kilatini yanayotumiwa na matibabu Fumbatio abdomen Mgongo dorsum Kifua thorax au pectus Fupanyonga pelvis

                                               

Bega

Bega la binadamu ni sehemu ya mwili ambapo mkono unaunganika na kiwiliwili. Ina mfupa wa kilimbili, mfupa wa bega na mtulinga pamoja na misuli, mishipa na tendons zinazohusiana. Mchanganyiko kati ya mifupa ya bega hufanya viungo vya bega. Maungio ...

                                               

Figo

Figo ni kiungo cha mwili ambacho ni cha kutatanisha: figo hufanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa binadamu na wanyama wengi. Ila kazi yake kuu ni kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe kama vile urea ...

                                               

Ini

Ini linafanya kazi nyingi muhimu katika mwili: Ini linatunza glukosi tukila kisha linaweka kwenye damu wakati glukosi ya kwenye damu ikiwa ndogo. Hii hutokea wakati mtu anahisi njaa. Ini linatengeneza nyongo - ni kimiminika kingaavu cha njano che ...

                                               

Kifuko cha nyongo

Kifuko cha nyongo ni kiungo chenye umbo la pea katika tumbo. Hutunza karibu mililita 50 za nyongo mpaka mwili utakapohitaji nyongo kumengenyea chakula. Kimiminika hicho husaidia kumengenya mafuta. Kifuko cha nyongo ni karibu sentimeta 7-10 kwa ur ...

                                               

Mapafu

Mapafu ni sehemu ya mwili inayoingiza oksijeni mwilini na kuituma kwenye seli za mwili. Ni ogani kuu ya mfumo wa upumuaji, yaani tendo la kupumua. Ni kawaida kwa wanyama wa faila ya chordata walio na uti wa mgongo na kupumua hewa. Hutokea kwa joz ...

                                               

Mguu

Mguu ni sehemu ya mwili chini ya kiwiliwili. Binadamu huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. Wanyama wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea. Mguu ni moja ya sehemu zenye umuhimu mkubwa katika jamii.

                                               

Mkia

Mkia ni sehemu ya mwisho ya uti wa mgongo kwenye mwili wa wanyama wengi wa vertebrata. Jina hilo latumiwa pia kwa wanyama wengine wenye upanuzi mwembamba wa mwili upande wa nyuma na pia kutaja sehemu nyembamba ya nyuma kwa vitu mbalimbali.

                                               

Mkono

Mkono ni kiungo cha mwili kinachoanza penye bega na kuishia penye kiganja na vidole. Huwa na sehemu mbili ambazo ni mkono wa juu na kigasha zinazounganishwa kwa kiwiko au kisugudi. Mkono huishia kwa vidole vitano ambavyo ni: kidole gumba, kidole ...

                                               

Uso

Uso ni sehemu ya mwili inayoweza kumtambulisha zaidi mtu au mnyama. Kwa kawaida uso hupatikana sehemu ya mbele ya kichwa cha mnyama au wanadamu; ingawa si wanyama wote wanaoona, uso ni muhimu kwa utambulisho wa kibinadamu.

                                               

Bambi

Makala hii inahusu filamu juu ya Walt Disney. Kwa makala ya kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi. Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na Walt D ...

                                               

Pinocchio (filamu ya 1940)

Pinocchio ni filamu ya katuni ya Marekani ya mwaka wa 1940 iliyotayarishwa na Walt Disney na inatokana na hadithi ya Kiitalia ya Carlo Collodi "Le avventure di Pinocchio". Kitabu hicho kiliwahi kutafsiriwa na Tanganyika Mission Press kwa Kiswahil ...

                                               

The Fox and the Hound

The Fox and the Hound ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1981. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney Productions, na kutolewa kwenye kumbi za filamu tarehe 10 Julai 1981 na Buena Vista Distribution. Hii ni filamu ya ishirini na nne kutolewa k ...

                                               

The Lion King

The Lion King ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1994. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney Feature Animation, na kutolewa kwenye makumbi mnamo tar. 15 Juni 1994 na Walt Disney Pictures. Hii ni ya 32 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu z ...

                                               

The Rescuers

The Rescuers ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1977. Ilitayarishwa na Walt Disney Productions na kutolewa kwa mara ya kwanza tarehe 22 Juni 1977. Hii ni filamu ya ishirini na tatu kutolewa katika mfululizo wa Walt Disney Animated Classics. Filamu i ...

                                               

Zama za Dhahabu za Katuni za Marekani

Zama za Dhahabu ya Katuni za Marekani ni kipindi cha historia ya katuni za huko Marekani ambacho kilianza na majilio ya katuni za sauti mnamo 1928, ikiwa na kilele cha upili baina nusu ya miaka ya 1930 na nusu ya kwanza ya miaka ya 1940, na kilie ...

                                               

A Good Man is Hard to Find

A Good Man Is Hard to Find and Other Stories ni mkusanyiko wa Hadithi Fupi za mhariri wa Marekani Flannery OConnor. Kitabu hiki klichapishwa nchini Uingereza kwa jina Artificial Nigger and Other Tales. Mkusanyiko huu ulichapishwa mara ya kwanza m ...

                                               

Blindness (kitabu)

Blindness ni kitabu cha riwaya kilichoandikwa na mwandishi wa Kireno anayeitwa Jose Saramago. Kitabu hicho cha riwaya kilitolewa chapa ya kwanza nchini Ureno mwaka 1995, kwa lugha ya Kireno na baadaye mwaka 1997 kilitolewa chapa nyingine kwa lugh ...

                                               

Adiós, Sabata

Adiós Sabata ni filamu ya Spaghetti Western iliyotolewa mwaka 1971 na iliongozwa na bwana Gianfranco Parolini. Ni toleo la pili la mfululizo wa filamu za Sabata kwa Kiing. The Sabata Trilogy, ziliongozwa na mwongozaji mashuhuri bwana Gianfranco P ...

                                               

Double Impact

Double Impact ni filamu ya mwaka 1991, iliyoongozwa na Sheldon Lettich na ilichezwa na mwigizaji shupavu na mjasiri Jean Claude Van Damme alicheza kama Alex/Chad Wagner.

                                               

The Matrix

The Matrix ni filamu ya kupigana na yenye uzushi wa kisayansi, ambayo ilitengenezwa mwaka wa 1999. Filamu ilitungwa na kuongozwa na Wachowski Brothers. Washiriki wakuu katika filamu hii ni Keanu Reeves, Laurence Fishburne, Carrie Anne Moss na Hug ...

                                               

The Sixth Sense

The Sixth Sense ni filamu ya kisaikolojia-kutisha ya mwaka wa 1999, ambayo imetungwa na kuongozwa na M. Night Shyamalan. Ina zungumzia hadithi kuhusu bwana mdogo Cole Sear, mwenye matatizo, kijana aliyetengwa ambaye anadai ya kwamba ana uwezo wa ...

                                               

Girlfriend (filamu)

Girlfriend ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2003 kutoka nchini Tanzania. Filamu inahusu muziki na maisha na ndani yake anakuja TID, Yvonne Cherrie, Beatris Morris, Jay Moe, A.Y na King Crazy GK. Filamu inaonesha jitihada binafsi katika kile unac ...

                                               

The Italian Job

The Italian Job ni filamu ya mwaka 2003 yenye vituko-kupigana. Filamu iliongozwa na F. Gary Gray, na nyota wa filamu ni Jason Statham, Mark Wahlberg, Charlize Theron, Edward Norton na Donald Sutherland. Filamu inarejea jina sawa na ile filamu hal ...

                                               

Malibus Most Wanted

Malibus Most Wanted ni filamu ya vichekesho ya mwaka wa 2003 ambayo imetungwa na kuchezwa na Jamie Kennedy akiwa na washiriki wenzi Taye Diggs, Anthony Anderson, na Regina Hall. Filamu hii ilitungwa na waanzilishi wa MADtv, Fax Bahr na Adam Small ...

                                               

Tupac: Resurrection

Tupac: Resurrection ni filamu ya mwaka wa 2003 ambayo inaonesha maisha halisi na kifo cha rapa - hayati Tupac Shakur. Filamu, imeongozwa na Lauren Lazin na kusambazwa na Paramount Pictures, imehadithiwa na Tupac Shakur mwenyewe. Filamu ilianza ku ...

                                               

Alvin and the Chipmunks

Alvin and the Chipmunks ni filamu ya vichekesho-muziki ya mwaka wa 2007 kutoka nchini Marekani. Filamu inachanganya wahusika, live-action, yaani, wahusika binadamu na CGI, yaani, vikatuni. Filamu ipo katika kipindi cha msimu wa siku-kuu za mwisho ...