ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 35
                                               

Fake Pastors

Fake Pastors ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini Tanzania. Washiriki wakuu ni Adam Kuambiana, Vicent Kigosi, Jokette Mwegelo, Lisa Jensen, na Blandina Chagula. Filamu hii imeandikwa na kuongozwa na Gervas Kasiga na kutayarishwa n ...

                                               

Johari

Johari Blandina Changula na Mainda Mwanaidi Suka ni marafiki waliokuwa pamoja na kusoma pamoja, wakiwa shuleni. Kanumba anatokea kumpenda Johari na kumbembeleza awe mpenzi wake ambaye Johari anaona Kanumba hamfai kwani alikuwa anampenda bwana mwi ...

                                               

Pathfinder

Pathfinder ni filamu ya mapigano ya mwaka wa 2006 iliyoongozwa na Marcus Nispel. Ndani yake anakuja Karl Urban na Moon Bloodgood wakiwa kama vinara wa filamu hii. Ilitolewa mnamo tar. 13 Aprili 2006 na toleo la DVD lilitolewa mnamo 31 Julai 2007. ...

                                               

A Fistful of Dollars

A Fistful of Dollars ni filamu ya Spaghetti Western ambayo ni ya Kiitalia-Kihispania. Filamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1964. Filamu imeongozwa na Sergio Leone na ndani anakuja Clint Eastwood akiwa na Gian Maria Volonté, Marianne Koch, Wolfgang Luk ...

                                               

For a Few Dollars More

For a Few Dollars More ni filamu ya mwaka wa 1965 ya Kiitalia-Kihispania ya spaghetti western ambayo imeongozwa na Sergio Leone. Ndani yake anakuja Clint Eastwood, Lee Van Cleef na Gian Maria Volonté wakiwa kama nyota wakuu wa filamu hii. Mwigiza ...

                                               

Kasam Paida Karne Wale Ki

Kasam Paida Karne Wale Ki ni filamu iliyotoka mwaka 1984 ya lugha ya. Filamu imetayarishwa na kuongozwa na Babbar Subhash. Ndani yake anakuja Mithun Chakraborty, Smita Patil, Salma Agha, Karan Razdan, Geeta Siddharth na Amrish Puri.

                                               

Missing in Action

Missing in Action nia filamu ya kupigana ya 1984 inayoelekezwa na Joseph Zito na kumshirikisha Chuck Norris kama nyota. Imetiwa katika muktadha wa Vita vya VIetnam. Colonel Braddock ambaye alitoroka kutoka kambi ya mateka wa vita miaka kumi iliyo ...

                                               

Ghost

Ghost ni filamu ya drama na njozi ya mwaka wa 1990. Ndani yake anakuja Patrick Swayze, Demi Moore, Tony Goldwyn na Whoopi Goldberg, imetungwa na Bruce Joel Rubin na kuongozwa na Jerry Zucker. Ilichaguliwa kedekede na Academy Awards, ikiwa ni pamo ...

                                               

Juice

Juice ni filamu ya hood yenye maigizo ya uhalifu iliyotolewa mnamo mwaka wa 1992. Ndani yake anakuja rapa Tupac Shakur na Omar Epps wakiwa kama wahusika wakuu wa filamu hii. Wahusika wengine ni pamoja na Jermaine "Huggy" Hopkins, Khalil Kain, Sam ...

                                               

Sarafina!

Sarafina! ni mchezo wa kuigiza wa kimuziki kutoka Afrika ya Kusini iliyotungwa na Mbongeni Ngema inayoonyesha wanafunzi wakishiriki katika maandamano ya Soweto wakipinga ubaguzi wa rangi. Ilitengenezwa pia kama filamu mwaka 1992 ikichezwa na Lele ...

                                               

Cool Runnings

Cool Runnings ni jina la filamu ya michezo-vichekesho iliyotolewa mwaka 1993 huko nchini Marekani. Filamu imeongozwa na Jon Turteltaub, na kuchezwa na Leon, Doug E. Doug, Rawle D. Lewis, Malik Yoba na John Candy. Filamu ilitolewa nchini Marekani ...

                                               

Friday

Friday ni filamu ya washikaji-ya-vichekesho ya mwaka wa 1995 kutoka nchini Marekani. Filamu imeongozwa na F. Gary Gray ikiwa ndiyo filamu yake ya kwanza kuongoza. Ndani yake anakuja Ice Cube, ambaye pia alishiriki katika kuandika muswaada andishi ...

                                               

Space Jam

Space Jam ni filamu ya 1996 ya Kimarekani, ambayo imechanganya katuni-na-waigizaji wa kweli, yaani, watu. Ndani ya filamu hii anakuja Michael Jordan, Bugs Bunny na wahusika wengine wote wa Looney Tunes. Filamu ilitayarishwa na Ivan Reitman, na ku ...

                                               

Ghosts (video)

Ghosts ni filamu fupi iliyofanywa na Michael Jackson na iliongozwa na mwongozaji wa filamu na mtaalamu wa vionjo maalumu vya filamu, Stan Winston. Filamu hii au video hii imetjwa kuwa ni miongoni mwa video ndefu sana. Ilipigwa na kutupwa kwenye m ...

                                               

Titanic (filamu 1997)

Titanic ni filamu ya kusikitisha na ya mapenzi inayohusu kuzama kwa meli ya Titanic. Filamu hii iliongozwa, ikaandikwa, ikatayarishwa na kuhaririwa na James Cameron mnamo 1997. Wahusika wake ni Leonardo DiCaprio kama Jack Dawson na Kate Winslet k ...

                                               

Quest for Camelot

Quest for Camelot ni filamu ya katuni yenye maudhui ya kifantasia ambayo ilitoka mwaka wa 1998 huko nchini Marekani. Ndani yake zinakuja sauti za waigizaji kama vile Jessalyn Gilsig, Cary Elwes, Jane Seymour, Gary Oldman, Eric Idle, Don Rickles, ...

                                               

Who Am I?

Who Am I?) ni filamu ya Hong Kong ya kupigana iliyotolewa na Golden Harvest. Iliongozwa na Jackie Chan, ambaye pia aliigiza kama muhusika mkuu na pia alitumbuiza wimbo wa kumalizia katika filamu hiyo. Katika mataifa mengine filamu hii pia inajuli ...

                                               

Steal

Steal ni filamu ya aksheni ya 2002 iliyochezwa na Stephen Dorff, Natasha Henstridge, Bruce Payne na Steven Berkoff. Filamu iliongozwa na Gérard Pirès na kutungwa na Mark Ezra na Gérard Pirès.

                                               

Alien vs. Predator

Alien vs. Predator ni filamu ya bunilizi ya kisayansi ya mwaka wa 2004 - kutoka nchini Marekani. Filamu iliongozwa na Paul W.S. Anderson kwa ajili ya 20th Century Fox. Igizo la filamu linatokana na nyusika mbili zilizolewa pamoja kwa ajili ya ush ...

                                               

If Only

Ian Wyndham Paul Nicholls ni mwanabiashara Muingereza anayeishi na mpendwa wake Samantha Andrews Jennifer Love Hewitt jijini London. Ian hamtii maanani Sam na humchukulia kimzahamzaha na hii inafmfanya Sam kuwa mnyonge kwani anampenda Ian kwa dha ...

                                               

The Merchant of Venice

The Merchant of Venice ni filamu ya 2004 inayoangazia Tamthilia ya William Shakespeare ya jina hilo. Ni filamu ya kwanza yenye urefu wa maonyesho yote katika Kiingereza ya tamthilia ya Shakespeare. Matoleo mengine huwa katika videotape ambayo huw ...

                                               

Mr. & Mrs. Smith

Mr. & Mrs. Smith ni filamu ya 2005 yenye kupigana na kuchekesha iliyotayarishwa na Doug Liman na kuandikwa na Simon Kinberg. Muziki wake ulitungwa na John Powell. Wahusika wa filamu hii ni Angelina Jolie na Brad Pitt.

                                               

Dar 2 Lagos

Dar 2 Lagos ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2006 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Mercy Johnson, Steven Kanumba, Bimbo Akintola, David Manento, Nancy Okeke, Blandina Changula,Abdul Ahmed na Emmanuel Myamba. Hii ni filamu ya kwanza kut ...

                                               

Diversion of Love

Diversion of Love ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2006 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Lucy Komba, Yusuph Mlela, Irene Uwoya, Wasiwasi Mwabulambo, Ahmedi Olotu na Denis Ngakongwa. Filamu inahusu misukosuko katika ndoa. Jane na James ...

                                               

Dynamite Warrior

Dynamite Warrior ni filamu ya Kithailand ya kimartial arts ya mwaka wa 2006. Filamu imeongozwa na Chalerm Wongpim na nyota wa filamu hii ni Dan Chupong.

                                               

A Point of No Return

"A Point of No Return" ni jina la filamu iliyotoka 2008 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Steven Kanumba, Wema Sepetu, Mahsein Awadh, Asha Jumbe, Leyla Ismael, Charles Magari, Anne Constantine. Filamu imeongozwa na Mtitu Game na kutayar ...

                                               

Alvin and the Chipmunks: The Squeakquel

Alvin and the Chipmunks: The Squeakquel ni filamu ya mwaka wa 2009 kutoka nchini Marekani. Filamu inachanganya wahusika (live-action, yaani, wahusika binadamu na CGI wahusika vikatuni. Filamu ina mandhari ya ucheshi na ni mfululizo wa pili baada ...

                                               

The Proposal

The Proposal ni filamu ya kuchekesha iliyotolewa 2009, iliyoongozwa na Anne Fletcher na kuigizwa na Sandra Bullock na Ryan Reynolds. Filamu hii ilitungwa na Pete Chiarelli.

                                               

Chumo (filamu)

Chumo ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2011 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Hussein Mkiety, Jokate Mwegelo, Jafari Makati, Yusuph Mlela. Filamu imetayarishwa na Tanzania na kufadhiliwa na JHU-CCP kupitia Mfuko wa Rais wa kutokomeza Ma ...

                                               

Devil Kingdom

Devil Kingdom ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2011 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Steven Kanumba, Ramsey Nouah, Kajala Masanja, Fatuma Makongoro na Patcho Mwamba. Filamu imeongozwa na kutayarishwa na Kanumba. Muuswaada andishi umean ...

                                               

Dj Ben

"DJ Ben" ni jina la filamu iliyotoka 2011 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Wema Sepetu, Irene Uwoya na Jacob Stephen aliyecheza kama DJ Ben. Filamu imeongozwa na JB na kutayarishwa na Jerusalem Film na Steps Entertainment. Filamu inael ...

                                               

Glamour

Glamour ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2011 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Eva Issack, Bond Bin Suleiman, Tekila Mjata, Mustafa Hassanali, Edward Chogula. Imeongozwa na Amitabh Aurora na kutayarishwa na Javed Jafferji. Filamu inahu ...

                                               

Chaguo Langu

"Chaguo Langu" ni jina la filamu iliyotoka 2012 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Jacqueline Wolper, Single Mtambalike na Adam Kuambiana. Filamu imeongozwa na Mtambalike na kutayarishwa na Bulls Entertainment. Filamu inaelezea hadithi ya ...

                                               

Crazy Desire

"Crazy Desire" ni jina la filamu iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Jacline Wolper, Abdul Ahmed, Charles Magali, Shani Aliphani na Alice Bagenzi. Filamu imeongozwa na Frank Lutego ambaye pia amesimama kama mtayarishwa wa f ...

                                               

I am Not Your Brother

"I am Not Your Brother" ni jina la filamu iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Jacqueline Wolper, Joseph Mzambala, Yekonia Watson, Mohammed Fungafunga. Filamu imeongozwa na Ema Daniel na kutayarishwa na Ombeni Kachota. Filamu ...

                                               

Mahaba Niue

"Mahaba Niue" ni jina la filamu ya vichekesho iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Simon Mwapangata, Jacqueline Wolper, Haji Salum na Zubery Mohamed. Filamu imeongozwa na Rashid Mrutu na kutayarishwa na Steps Entertainment na ...

                                               

Hard Price

"Hard Price" ni jina la filamu iliyotoka 2014 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Jacqueline Wolper, Vincent Kigosi,Salim Ahmed, Salma Omar, Magdalena Munis na Richard Masinde. Filamu imeongozwa na Vincent Kigosi na kutayarishwa na RJ Com ...

                                               

Hukumu ya Ndoa Yangu

Hukumu ya Ndoa Yangu ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2014 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Fatuma Makongoro, Jacob Stephen na Shamsa Ford. Filamu imeongozwa na Adam Kuambiana na kutayarishwa na Jerusalem Film Co. inayomilikiwa na JB. ...

                                               

Tom Boy – Jike Dume

"Tom Boy – Jike Dume" ni jina la filamu iliyotoka 2014 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Seif Mbembe, Abdallah Mkumbila, Jaqueline Wolper na Nice Mohamed. Filamu imeongozwa na Ismail Zingo na kutayarishwa na Nice Mohamed akiwa na Steps ...

                                               

Bongo na Flava

Bongo na Flava ni filamu ya muziki na maisha iliyotoka rasmi 2016 na kuja kuamshwa tena 2018 Aprili chini ya mwamvuli wa BongohoodZ kutoka nchini Tanzania. Filamu imeongozwa na Novatus Mugurusi na kutayarishwa na Staford Kihore, Mary Mugurusi, Jo ...

                                               

Kona

Kona ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2015 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Salim Ahmed, Riyama Ally na Christian Komba. Filamu imeongozwa na Gabo na kutayarishwa na Christian Komba huku picha ikipigwa na Landline Production. Filamu il ...

                                               

Siri ya Kijiji

Siri ya Kijiji ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2015 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Hissani Muya, Irene Temba na Zena Mbegu. Filamu imeongozwa na Patrick Komba na kutayarishwa na Hissan Muya. Awali iliitwa Kibandani, baadaye msambaza ...

                                               

Tatu Chafu

"Tatu Chafu" ni jina la filamu ya uhalifu na usela iliyotolewa 16 Disemba 2017 kutoka nchini Tanzania. Filamu imeongozwa na Novatus Mugurusi na kutayarishwa na Prisca Emmanuely na Paul Mashauri kwa ushirikiano na Production X, Next Level, Nitron ...

                                               

24: Redemption

24: Redemption ni filamu ya televisheni kutoka katika mfululizo wa televisheni wa 24. Ilianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 23 Novemba 2008, kupitia kituo cha Fox cha nchini Marekani, na baadaye kutolewa katika DVD mnamo tar. 25 Novemba. ...

                                               

Bollywood

Kwa ujumla hutajwa kama Sinema za Kihindi, lakini hiyo si sahihi. Bollywood hutaja filamu za lugha ya Kihindi tu, basi. Istilahi ya Bollywood inaunganisha Bombay na Hollywood ambapo filamu nyingi za Kimarekani zinatengenezwa.

                                               

American Pie (mfululizo)

American Pie ni mfululizo wa filamu za vijana ambayo imetungwa na Adam Herz. Filamu ya kwanza katika mfululizo huu ilitolewa tarehe 9 Julai, 1999, kupitia studio za Universal Pictures, na ikawa mfano wa kuigwa duniani kote, na mara moja ikapeleke ...

                                               

Captain Underpants: The First Epic Movie

Captain Underpants: The First Epic Movie ya vichekesho ya kishujaa ya Amerika ya CGI ya 2017 kulingana na safu ya riwaya ya watoto wa Dav Pilkey ya jina moja, iliyotengenezwa na Animation ya DreamWorks na kusambazwa na 20th Century Fox Ilielekezw ...

                                               

Hollywood, California

Tazama pia Hollywood, Florida Hollywood ni mtaa wa mji wa Los Angeles katika jimbo la California la Marekani. Mtaa huu umekuwa maarufu duniani kama mahali pa kutengenezwa kwa filamu nyingi. Ni kitovu cha filamu Marekani penye makampuni mengi kama ...

                                               

The Wiz

The Wiz ni tamthiliya na baadaye filamu ya muziki kutoka nchini Marekani. Muziki ilitungwa na Charlie Smalls, kitabu chake na William F. Brown. Ilionyeshwa mara ya kwanza kwenye jukwaa ya Majestic Theatre kwenye Broadway mjini New York, maonyesho ...

                                               

Flora Mbasha

Flora Mbasha ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania. Baba yake aliitwa Henry Joseph Mayalah ambaye kwa sasa ni Marehemu na mama yake anaitwa Calorin Moses Kulola.