ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 4
                                               

Twiga (kundinyota)

Twiga iko karibu na ncha ya anga ya kaskazini. Kwa sababu hiyo inaonekana kisehemu tu kutoka Tanzania. Inapakana na kundinyota Farisi Perseus, Hudhi Auriga na Washaki Lynx upande wa kusini, Dubu Mkubwa Ursa Maior na Tinini Draco upande wa maghari ...

                                               

Upepo jua

Upepo wa jua ni jina la mkondo mfululizo wa chembe za nyuklia unaotoka katika Jua. Chembe za nyuklia ni vipande vidogo vinavyopatikana ndani ya atomi. Upepo wa jua ni hasa mkondo wa protoni, elektroni na viini vya heliamu wenye kasi inayotosha ku ...

                                               

Urano

Urano au Uranos alikuwa mungu wa mbingu katika dini ya Ugiriki ya Kale. Mama yake alikuwa mungu wa kwanza Gaya ambaye ni ardhi yenyewe. Baadaye alianza kuzaliana na mamake kizazi cha pili cha miungu katika Mitholojia ya Kigiriki: kati hao kundi w ...

                                               

Uranometria

Uranometria ni kitabu cha ramani ya nyota kilichotolewa mnamo mwaka 1603 na mwanaastronomia Mjerumani Johann Bayer. Kwa jumla kulikuwa na ramani 51 zilizoonyesha makundinyota yote yaliyojulikana wakati ule pamoja na makundinyota 12 ya angakusi ya ...

                                               

Vostok

Vostok ilikuwa jina la mradi wa kwanza wa usafiri wa anga-nje uliofaulu kupeleka binadamu kwenye anga-nje na kuwarudisha tena salama. Ilikuwa mradi wa Umoja wa Kisovyeti ulioshindana na mradi wa Mercury wa Marekani. Mwanaanga Yuri Gagarin alikuwa ...

                                               

Voyager 1

Voyager 1 ni chombo cha angani kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la NASA nchini Marekani kwa kusudi la kupeleleza anga-nje katika mfumo wa Jua letu hadi anga-nje kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyo ...

                                               

Wanaastronomia

Wanaastronomia ni wataalamu wa masuala ya astronomia au elimu ya nyota na anga-nje. Kihistoria watu hao walitumia muda mwingi kuangalia nyota za anga kwa msaada wa vyombo kama darubini. Leo hii wanaastronomia hutumia hasa kompyuta na data kutokan ...

                                               

William Herschel

Friedrich Wilhelm Herschel alikuwa mtungaji wa muziki na mwanaastronomia kutoka nchini Ujerumani aliyeishi na kufanikiwa Uingereza. Alipata umaarufu hasa kama mgunduzi wa sayari ya Uranus. Kasoko moja kwenye Mwezi ilipewa jina la Kasoko ya Hersch ...

                                               

Wingu Kubwa la Magellan

Wingu Kubwa la Magellan ni galaksi ndogo iliyo karibu na galaksi yetu ya Njia Nyeupe na sehemu ya kundi janibu letu. Inakadiriwa kuwa na nyota mnamo bilioni 10 - 15. Umbali wake na Dunia yetu ni takriban miakanuru 160.000. Kwenye usiku penye giza ...

                                               

Wingu la Oort

Wingu la Oort ni ukanda wa kudhaniwa angani unaozunguka mfumo wa Jua kwa umbali mkubwa nje ya mzingo wa Pluto pia nje ya ukanda wa Kuiper. Ukanda huu unadhaniwa kuwa na magimba ya barafu na vumbi yaliyo na mwendo wa kuzunguka Jua kwa umbali kuanz ...

                                               

Nyota ya Wolf-Rayet

Nyota ya Wolf-Rayet ni jina la kutaja nyota ambazo ni kubwa na za joto sana. Zimeshapita sehemu kubwa ya maendeleo yake na kupotewa na tabaka za nje za hidrojeni ilhali zinayeyunganisha heliamu au elementi nzito zaidi katika viini vyake ambavyo n ...

                                               

Zoraki (kundinyota)

Zoraki iko karibu na nyota angavu ya Achernar tamka a-kher-nar, kwa maana" mwisho wa mto” katika Nahari Eridanus inayoitwa pia "mto wa angani". Inapakana na makundinyota Tanuri Fornax na Najari Sculptor upande wa kaskazini, Kuruki Grus, Tukani Tu ...

                                               

Oumuamua

Oumuamua ni kiolwa cha angani kilichotambuliwa mara ya kwanza katika darubini kwenye Oktoba 2017. Kutokana na tabia za njia yake na kasi kubwa ilionekana asili yake si katika mfumo wa Jua letu. Hii ni mara ya kwanza ya kwamba kiolwa kisichotoka k ...

                                               

Gregor Mendel

Gregor Johann Mendel alikuwa mmonaki, padri wa Kanisa Katoliki na hatimaye abati. Mtaalamu wa botania na hisabati, ni maarufu kimataifa hasa kama mwanzilishi wa elimu ya jenetikia kutokana na utafiti wake kuhusu njegere. Alitambua mfumo wa urithi ...

                                               

Falsafa ya Kiafrika

Falsafa ya Kiafrika inaweza kumaanisha falsafa ya wasomi Waafrika, au falsafa inayopendekeza mtazamo wa Waafrika, au falsafa inayotumia mbinu maalumu za Kiafrika. Kabla ya Uzodinma Nwala kuanza kufundisha somo hilo, hakukuwa na chuo kikuu chochot ...

                                               

Zeitgeist

Zeitgeist ni neno la lugha ya Kijerumani lililopokelewa katika Kiingereza na kutoka hapa kupitishwa kwa lugha mbalimbali kimataifa. Ni muungano wa maneno "Zeit" wakati na Geist roho kwa hiyo maana yake ni "roho ya wakati". Hutumiwa kutaja mweleke ...

                                               

Atomu

Atomu ni sehemu ndogo ya maada yenye tabia ya kikemia kama elementi. Kila kitu duniani hujengwa kwa atomu. Kuna aina nyingi za atomu na idadi za aina hizi tofauti ni sawa na elementi zilizopo duniani.

                                               

Bomu la nyuklia

Nishati ya mlipuko huo inaweza kutokea kwa njia mbili mwatuko nyuklia kupasuliwa kwa kiini cha atomu kuwa elementi mbili myeyungano nyuklia kuungana kwa viini viwili vya atomu kuwa elementi nzito zaidi. Katika mmenyuko nyuklia sehemu ya mada ya a ...

                                               

Densiti

Densiti ni kipimo cha kulinganisha masi na mjao wa gimba fulani. Alama yake ya kifizikia huwa ni ρ. Gimba lenye densiti kubwa huwa na mada nyingi katika mjao fulani. Gimba lenye densiti dogo huwa na mada kidogo katika mjao uleule. Densiti kubwa h ...

                                               

Gesi

Gesi ni moja kati ya hali maada. Katika hali ya gesi atomi hazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria. Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Gesi haina umbo wala mjao kamili. Ina ...

                                               

Nguvu za uvutano

Graviti ni kani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengu. Kila gimba lenye masi linavuta magimba yote mengine yenye masi. Hii ndiyo sababu tunatembea ardhini ilhli hatuwezi kuelea hewani: kwa sababu masi ya Dunia inatuvuta kuelekea ki ...

                                               

Hali maada

Hali ya maada katika fizikia ni muundo jinsi maada hutokea katika hali mbalimbali, kama elementi au kama kampaundi. Hali nne za maada ambazo huonekana katika maisha yetu ya kila siku ni mango, kiowevu, plasma na gesi. Duniani kwa kawaida kuna hal ...

                                               

Halijoto

Halijoto ni neno la kutaja hali ya kitu kama ni baridi au moto. Wanadamu wana mishipa inayoonyesha tofauti kati ya baridi na joto. Kwa kuwa na uhakika tunatumia thermomita inayoonyesha halijoto kwa kipimo kama selsiasi, kelvini au fahrenheit. Kis ...

                                               

Isotopi

Isotopi ni aina tofauti za atomi za elementi za kikemia. Isotopi za elementi fulani zina nambari sawa ya protoni katika viini vyao lakini nambari tofauti za neutroni. Atomi ya elementi ya kikemia inaweza kupatikana kwa hali tofauti. Hali hizi tof ...

                                               

Athari ya Doppler

Athari ya Doppler ni badiliko ya marudio na masafa ya mawimbi kutokana na mwendo wa chanzo cha mawimbi au mwendo wa mtazamaji. Inatokana na badiliko la kasi ya chanzo cha wimbi na mpokeaji wa wimbi, yaani mtazamaji wa wimbi, au kifaa cha kupimia ...

                                               

Kasi

Kasi ya gimba ni umbali uliotembewa nalo kwa muda fulani. Gimba lenye kasi kubwa linapita njia kwa muda mdogo; kama kasi yake inapungua gimba litahitaji muda zaidi kwa njia hiyohiyo. Kasi ni kipimo cha mwendo wa kitu. Katika fizikia alama ya kasi ...

                                               

Kasi ya nuru

Kasi ya nuru ni kasi yake iliyopimwa hata imekubaliwa kuwa nuru inakwenda karibu kilomita laki tatu kwa sekunde moja katika ombwe. Kama nuru inapitia katika hewa kasi yake inapungua. Katika nadharia ya uhusianifu ya Albert Einstein kasi ya nuru i ...

                                               

Kasimwelekeo

Kasimwelekeo ni kipimo cha kasi ya mwendo wa kitu kuelekea mahali fulani. Katika fizikia kasimwelekeo inataja muda unaohitajika kupeleka kitu kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine. Kwa hiyo ni kipimo kinachounganisha habari mbili yaani kasi ...

                                               

Kiowevu

Kiowevu ni moja kati ya hali maada. Katika hali kiowevu atomi zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Kwa sababu hii kiowevu hakina umbo maalumu. Masi ya kilogramu moja ya maji hukubali umbo la kila chombo kinamomwagwa: ama katika sufuri ...

                                               

Kipimajoto

Kipimajoto ni kifaa cha kupima jotoridi. Aina ya kipimajoto kinachotumika zaidi ni ile iliyotengenezwa kwa kuweka zebaki mercury katika gilasi. Aina hiyo imeundwa na gilasi ya kapilari ambayo katika ncha moja ina tunguu iliyojazwa zebaki na ncha ...

                                               

Marudio

Marudio ni kipimo kichachosema ni mara ngapi tukio linatokea tena na tena kila baada ya kipindi fulani. Kwa mfano ukikaa kando la bwawa au bahari penye mawimbi unaweza kuhesabu ni mawimbi mangapi yanayopita kwako katika dakika moja. Namba hii ni ...

                                               

Masafa ya mawimbi

Masafa ya mawimbi ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao. Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia, kwa mfano ...

                                               

Masi

Masi katika elimu ya fizikia ni tabia ya mata, na kwa njia hii pia tabia ya gimba au dutu. Kipimo sanifu cha kimataifa cha masi ni kilogramu. Alama yake katika fomula kwa kawaida ni m {\displaystyle m}.

                                               

Mchapuko

Mchapuko ni istilahi ya fizikia inayotaja badiliko la kasi au zaidi kasimwelekeo ya kitu kwa kipindi fulani. Mchapuko unafafanuliwa kuwa badiliko la kasimwelekeo linalogawiwa kwa badiliko la wakati. Mchapuko unatokea kama gimba linaongeza kasi, l ...

                                               

Mfumo radidia

Mfumo radidia ni mpangilio wa elementi za kikemia kufuatana na namba atomia. Mpangilio huanza na namba ndogo. Namba atomia yatokana na idadi ya protoni katika kiini cha atomi. Elementi hupangwa kwa radidi periodi na makundi. Kuna radidi 7 zinazoo ...

                                               

Mita

Mita ni kipimo cha urefu ambacho kimekuwa kipimo sanifu cha kimataifa. Neno limetokana na Kigiriki μέτρον/métron kipimo, pia chombo cha kupimia, kwa kupitia Kiingereza "metre, meter". Kutokana na maana hiyo "mita" inataja pia mitambo ya kupima ma ...

                                               

Msawazo

Katika astronomia kuna nukta msawazo kwenye obiti ya sayari; sayari inayozunguka Jua au nyota nyingine kwa kawaida hufyeka obiti yake kwa kukusanya magimba madogo yanayovutwa na graviti yake. Lakini katika uhusiano wa kani za Jua na kani ya sayar ...

                                               

Mvuke

Mvuke hutaja maji yaliyoingia katika hali ya gesi lakini inaweza kutaja gesi yoyote iliyotokana na kiowevu kama kinaongezeka joto. Badiliko la kiowevu kuwa mvuke huitwa uvukizaji. Kwa kawaida tunaita "mvuke" ya maji unaoonekana kama moshi mweupe ...

                                               

Mwatuko wa nyuklia

Mwatuko nyuklia kwa ni mchakato ndani ya atomu ambapo kiini cha atomu kinagawiwa kuwa vipande vidogo zaidi. Mchakato huo unaachisha nishati nyingi ukitumiwa katika tanuri nyuklia na pia katika mlipuko wa silaha ya nyuklia. Mwatuko nyuklia hutokea ...

                                               

Mwingiliano madhubuti

Katika fizikia ya nyuklia na fizikia ya atomu, neno mwingiliano madhubuti ni mfumo unaowajibika kwa nguvu ya nyuklia, na ni mojawapo ya maingiliano manne ya msingi, mengine yakiwa ya sumakuumeme, mwingiliano dhaifu, na mvuto. Katika anuwai ya m 1 ...

                                               

Nadharia ya uhusianifu

Nadharia ya uhusianifu iliundwa na Albert Einstein na inajumlisha nadharia uhusianifu maalum na nadharia uhusianifu ya jumla. Nadharia uhusianifu maalum husema: Wachunguzi wakiwa na mwendo tofauti, hukuona wakati na umbali hubadilishwa, katika fo ...

                                               

Nishati

Nishati inamaanisha uwezo wa kufanya kazi na kusababisha mabadiliko. Katika sayansi nishati hupimwa kwa kipimo cha SI joule. Katika sayansi ina mtazamo wa pekee. Ni aina ya kani/nguvu/uwezo ambapo kazi ikifanyika kama kusogeza kitu, basi tunasema ...

                                               

Nishati ya mwanga

Nishati ya mwanga ni aina mojawapo ya nishati ambayo huchochea au huhamsha hisia ya kuona. Nishati ni ule uwezo wa kuweza kufanya kazi. Kuna aina nyingine za nishati kama vile: nishati ya jua, nishati ya kikemikali, nishati ya nyuklia, nishati ya ...

                                               

Nusumaisha

Nusumaisha ni istilahi ya fizikia inayotaja muda unaohitajika kwa kiasi cha atomu za dutu nururifu kupungua kwa asilimia hamsini. Elementi nururifu huwa na atomu ambazo viini si thabiti kwa sababu protoni na nyutroni huelekea kuachana. Hivyo viin ...

                                               

Rangi

Majina yafuatayo ya Kiingereza yanatambuliwa pamoja na misimbo ya wikipedia: Uandishi huu black Uandishi huu gold Uandishi huu navy Uandishi huu maroon Uandishi huu magenta Uandishi huu turquoise Uandishi huu cyan Uandishi huu aqua Uandishi huu o ...

                                               

Sauti

Sauti inamaanisha kile tunachosikia kwa masikio yetu. Kifizikia sauti ni uenezaji wa mabadiliko ya densiti na shinikizo katika midia kama kiowevu, gesi au gimba manga kwa njia ya wimbisauti.

                                               

Tuzo ya Nobel ya Fizikia

Tuzo ya Nobel ya Fizikia hutolewa kila mwaka kufuatana na wasia ya Alfred Nobel na kamati ya Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden. Tangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na wataalamu wafuatao: 1901 Wilhelm Conrad Röntgen 1902 Hendrik Antoon Lorentz ...

                                               

Ueleaji

Ueleaji ni nguvu ya usukumaji juu wa giligili kwa gimba ndani yake. Hutokana na tofauti ya kanieneo ya giligili kwenye sehemu za chini na juu za gimba. Kani ya ueleaji juu unalingana na uzito wa giligili iliyosukumwa kando na gimba ndani yake. Ka ...

                                               

Umbali

Umbali ni maelezo ya urefu wa kimasafa baina ya vitu viwili tofauti. Katika fizikia au katika matumizi ya kila siku, umbali unaweza kutaja urefu wa kimwili au kukadiria kuzingatia vigezo vingine. Katika hisabati umbali kazi au tani ni dhana ya um ...

                                               

Unururifu

Unururifu ni tabia ya elementi kadhaa ambazo kiini cha atomi yake si thabiti, bali inaweza kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa mnururisho. Wakati wa badiliko atomi inatoa chembe nyuklia. Mifano ya elementi ambaz ...