ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 5
                                               

Upinde wa mvua

Upinde wa mvua ni tao la rangi mbalimbali angani ambalo linaweza kuonekana wakati Jua huangaza kupitia matone ya mvua inayoanguka. Mfano wa rangi hizo huanza na nyekundu nje na hubadilika kupitia rangi ya chungwa, njano, kijani, bluu, na urujuani ...

                                               

Urefu

Urefu katika vipimo vya kijiometri ni kipimo cha kitu kilichozidi kuliko vipimo vyake vingine. Katika Mfumo wa Kimataifa wa Vipimo, urefu ni kiasi chochote cha umbali. Katika mazingira mengine "urefu" ni kipimo cha kitu. Kwa mfano, inawezekana ku ...

                                               

Usumaku

Katika Fizikia, usumaku ni nguvu ambayo inaweza kuvutia au kurejesha vitu ambavyo vina asili ya chuma ndani yao. Kwa maneno rahisi ni sifa ya vitu vingine vinavyovuta karibu au kurudisha vitu vingine.

                                               

Utegili (fizikia)

Utegili katika lugha ya fizikia, ni hali ya nne ya maada. Hali hiyo ni kama gesi ila ni ya kiioni. Nyinginezo ni hali mango, kiowevu na gesi. Mfano wa maada mango ni jiwe la mwamba, maada kiowevu ni maji, na maada gesi ni hewa. Hivyo plasma ama u ...

                                               

Uzito

Uzito wa kitu ni kipimo cha nguvu iliyomo kwenye kitu hiko kwa kani ya mvutano. Uzito haupaswi kuchanganywa na dhana inayohusiana na masi. Kwa vitu vidogo duniani, nguvu ya uzito inaelekezwa kuelekea katikati ya sayari. Kwa vitu vingi, kama vile ...

                                               

Wimbi

Kwa nafaka inayoitwa wimbi tazama wimbi Wimbi kwa lugha ya kawaida ni mwendo unaonekana kwenye uso wa maji tukitembea ufukoni mwa bahari. Kwa lugha ya fizikia wimbi halihusu maji pekee bali ni jambo linaloweza kutokea katika kila kitu. Mawimbi hu ...

                                               

Wimbisauti

Wimbisauti ni njia ya uenezaji wa sauti katika nafasi. Kwa macho ya fizikia "sauti" ni mtetemo wa gimba kwa mfano utando unaoendelea kama wimbi katika midia ulipo. Kwa macho ya fiziolojia na saikolojia "sauti" ni mapokezi ya wimbisauti kwa milang ...

                                               

Asilimia

Asilimia ni njia ya kutaja uhusiano kati ya idadi mbili tofauti. Alama yake ni %. Kiasi kimoja huteuliwa kuwa ni namba ya 100 ya kiasi kingine. Sehemu yake ya mia ni 1 %. Sasa inawezekana kugawa kiasi kingine kwa ile 1% na kuona inashika asilimia ...

                                               

Chamkano

Chamkano ni namna ya kutaja sehemu sawa za jumla fulani katika lugha ya hisabati. Mifano ya machamkano katika maisha ya kawaida ni nusu, theluthi, robo. Tunaweza kutaja theluthi mbili, robo mbili ambayo ni sawa na nusu au robo tatu. Chamkano huan ...

                                               

Chati

Chati za data au jedwali, ambapo taarifa inawakilishwa na michoro ya aina mbalimbali. Chati inaweza kuwakilisha takwimu za data za simu, kazi au aina fulani za muundo wa ubora na hutoa maelezo tofauti. Neno chati kama uwakilishi wa takwimu ya dat ...

                                               

Jaribio la Levene

Katika takwimu, Jaribio la Levene ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu usawa wa muachano wa kibadilika kinahesabiwa katika mbili au zaidi katika makundi. Jaribio la Levene linaitwa pia: Jaribio la hali moja. Hali moja inapatwa kwa hesab ...

                                               

Jaribio la McNemar

Katika takwimu, Jaribio la McNemar ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani mbili. Jaribio la McNemar ni mbadala wa Jaribio T la Mwanafunzi.

                                               

Jaribio la Shapiro-Wilk

Katika takwimu, Jaribio la Shapiro-Wilk ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu ukawaida wa sampuli moja. Jaribu la Shapiro-Wilk linaitwa pia: Jaribio la ukawaida. Ukawaida unapatwa kwa hesabu kama Jaribio la Shapiro-Wilk.

                                               

Jaribio la χ²

Katika takwimu, Jaribio la χ² ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya uwiano mbili. Jaribio la χ² linatamkwa: Jaribio la kipeo cha pili. Linapatwa kwa hesabu kama Jaribio la χ² la Pearson.

                                               

Jaribio Q la Cochran

Katika takwimu, Jaribio Q la Cochran ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu tofauti za uwiano mbili au zaidi. Jaribio Q la Cochran linaitwa pia: Q la Cochran. Q la Cochran inapatwa kwa hesabu kama Jaribio Q la Cochran.

                                               

Jaribio T la Mwanafunzi

Katika takwimu, Jaribio T la Mwanafunzi ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani mbili. Linapatwa kwa hesabu kama Takwimu T.

                                               

Jaribio T la Welch

Katika takwimu, Jaribio T la Welch ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani mbili kwenye muachano tofauti. Jaribio T la Welch ni mbadala wa Jaribio T la Mwanafunzi.

                                               

Jaribio U la Mann-Whitney

Katika takwimu, Jaribio U la Mann-Whitney, Wilcoxon rank-sum test, au Wilcoxon–Mann–Whitney test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke baina ya kati mbili. Linapatwa kwa hesabu kama Jaribio U.

                                               

Jiometri

Jiometri ni tawi la hisabati linalochunguza ukubwa, mjao, umbo na mahali pa eneo au gimba. Tawi la jiometri linalochunguza pembetatu hasa huitwa trigonometria. Maumbo huwa na nyanda dimensioni mbili yakiwa bapa, au tatu kama ni gimba. Kwa mfano m ...

                                               

Kati (Takwimu)

Katika takwimu, Kati ni thamani x inayogawanyika mara mbili sampuli ya data. Kati ni kipimo cha mwelekeo wa kati. Kwa mfano, katika sampuli ya data hii 1.2.3.5.7.8.9.11.12.15.18.27.30 kati ni 9.

                                               

Kilomita ya mraba

Kilomita ya mraba ni kipimo cha eneo; eneo lenye upana na urefu wa kilomita moja Msingi wake ni mita ya mraba m². Kilomita ya mraba hutumika kwa upimaji wa maeneo makubwa duniani kama mji, mkoa, nchi au dunia yote. Kilometa 1 ya mraba km² ni sawa ...

                                               

Kipeo cha pili

Katika hisabati, kipeo cha pili kwa Kiingereza: square ni tokeo la kuzidisha namba mara namba hii. Kwa mfano, 4 ni kipeo cha pili cha 2 kwa hivyo 2*2=4 9 ni kipeo cha pili cha 3 kwa hivyo 3*3 = 9

                                               

Kipeuo cha pili

Katika hisabati, kipeuo cha pili cha namba x ni namba y inayolingana y 2 =x. Kwa mfano, 2 ni kipeuo cha pili cha 4 kwa hivyo 2 =4 3 ni kipeuo cha pili cha 9 kwa hivyo 3 2 = 9

                                               

Kipimo cha mwelekeo wa kati

Katika takwimu, kipimo cha mwelekeo wa kati ni namba moja inaeleza kwa ufupi namba nyingi. Kinapatwa kwa hesabu kama wastani, kati au modi. Kipimo cha mwelekeo wa kati kinapinga kipimo cha tawanyiko.

                                               

Kipimo cha tawanyiko

Katika takwimu, kipimo cha tawanyiko ni namba moja inaeleza kwa ufupi namba ubadilikajibadilikaji wa sampuli ya data. Kinapatwa kwa hesabu kama mkengeuko wastani, muachano au masafa. Kipimo cha tawanyiko kinapinga kipimo cha mwelekeo wa kati.

                                               

Logi

Logi ni namna tofauti ya kuandika namba kipeo katika fani ya hisabati. Kimsingi kazi ya logi ni kujibu swali: "Idadi gani ya namba fulani tunahitaji kuizidisha ili kufikia namba nyingine?" Mfano: Swali: Tunahitaji kuzidisha mara ngapi namba "2" i ...

                                               

Milioni

Milioni au elfu elfu, ni namba ambayo inafuata 999.999 na kutangulia 1.000.001. Inaandikwa pia 10 6. Jina linatokana na lugha ya Kiitalia asili ambapo millione milione katika Kiitalia cha kisasa lina mzizi katika neno mille, "1000", likiongezea m ...

                                               

Mkengeuko wastani

Katika takwimu, mkengeuko wastani kwa Kiingereza "standard deviation" ni kipimo cha kiasi cha tawanyiko ya sampuli ya data. Mkengeuko wastani wa chini unaonyesha thamani za sampuli ya data ni karibu na wastani, ilhali mkengeuko wastani wa juu una ...

                                               

Mlinganyo

Mlinganyo katika hisabati ni kauli inayosema kuwa viwango viwili ni sawa yaani vinalingana. Milinganyo yote hutumia alama ya "=" kama vile 2 + 3 = 5 ambayo inasema "mbili ongeza tatu inalingana na tano". Mlinganyo wa undani zaidi unatumia alama k ...

                                               

Mlinganyo tenguo

Mlinganyo tenguo ni aina ya mlinganyo ambayo yanalinganishwa mabadiliko mawili yanayotokea kwa wakati mmoja. Lengo ni kuona jinsi badiliko moja linavyosababisha au kuathiri badiliko la pili. Milinganyo ya namna hiyo ilitegemea Historia ya kalkula ...

                                               

Muachano

Katika takwimu, muachano kwa Kiingereza "Variance" ni kipimo cha kiasi cha tawanyiko ya sampuli ya data. Kwa hisabati muachano ni wastani ya kipeo cha pili ya pengo toka wastani. Muachano wa chini unaonyesha thamani za sampuli ya data ni karibu n ...

                                               

Nadharia seti

Nadharia ya seti ni somo la seti katika hisabati. Seti ni mkusanyo wa vitu mbalimbali vinavyoitwa memba. Katika kuandika seti, tunafunga memba katika {mabano maua} na kuzitenganisha kwa alama ya mkato: k.mf., {1, 2, 3} inashika 1, 2 na 3; vilevil ...

                                               

Namba asilia

Namba asilia katika hisabati ni namba zinazotumika kwa kuhesabu na kwa kupanga. Katika lugha za Kizungu, maneno yanayotumika kuhesabia huitwa "namba kadinali". Baadhi ya waandishi huanza kuhesabu namba asilia na 0, wakifuatia na namba kamili zisi ...

                                               

Namba halisi

Namba halisi katika hisabati ni thamani inayowakilisha kiasi katika mstari wa kuendelea. Kivumishi halisi kwa mantiki hii kilianzishwa kwenye karne ya 17 na Mfaransa Descartes, ambaye alitofautisha namba halisi na namba changamano. Namba halisi z ...

                                               

Namba kivunge

Namba kivunge ni namba asilia inayopatikana kwa kuzidisha namba tasa. Kwa mfano namba 9 inapatikana kwa kuzidisha 3 kwa 3. Namba 12 inapatikana kwa kuzidisha 3, 2 na 2. Namba asilia zote zinaweza kupangwa katika makundi mawili: namba isiyo tasa k ...

                                               

Siku ya Pi

Siku ya Π ni sikukuu ya kusheherekea namba π. Husheherekewa na wanahisabati na marafiki wa hisabati duniani. Pi inayoitwa pia "namba ya duara" ni namba isiyowiana ilhali thamani yake hukaribia 3.14159265358. au chamkano cha 22/7 lakini haiwezi ku ...

                                               

Tarakimu

Tarakimu zinazojulikana na kutumika zaidi duniani siku hizi ni 0, 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. Alama hizo huitwa mara nyingi namba za Kiarabu au tarakimu za Kiarabu ilhali Waarabu wenyewe wanaziita "namba za Kihindi". Sababu yake ni kwamba Waarabu ...

                                               

Thibitisho la kihisabati

Thibitisho la kihisabati ni njia ya kuonyesha kwa hakika kwamba wazo moja la hisabati ni sahihi. Kwa ajili hiyo ni lazima kuthibitisha kwamba hilo wazo ni sahihi daima. Njia za namna hiyo ni mbalimbali na zinatumia hoja, pengine zikianzia mawazo ...

                                               

Uchambuzi wa muachano

Katika takwimu, Uchambuzi wa muachano ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani tatu au zaidi. Uchambuzi wa muachano unapatwa kwa hesabu kama AOV.

                                               

Uhusiano (Takwimu)

Katika takwimu, Uhusiano ni kiasi cha ongezeko ambacho vibadilika viwili ni vinahusiana. Unapatwa kwa hesabu kama Uhusiano wa Pearson, Uhusiano wa Spearman au Uhusiano wa Kendall. Uhusiano haulingani na sababu causality.

                                               

Upimaji

Upimaji ni kazi ya kutambua tabia za kitu kwa umakinifu. Mara nyingi tabia hizi zinatazamiwa kwa njia ya makadirio lakini kila kadirio hutegemeana na mtu mwenyewe anayekadiria. Pale ambako watu mbalimbali wanataka kulinganisha vitu viwili wakati ...

                                               

Wastani

Katika hisabati, na hasa takwimu, "wastani" ni namba inayotaja tabia ya pamoja ya kiasi cha namba fulani. Wastani unaotumiwa mara nyingi ni ule unaoitwa "wastani wa kihesabu" ing. arithmetic mean. Kuna aina nyingine za wastani. Mfano: Mtumishi kw ...

                                               

Bamba la gandunia

Bamba gandunia ni jina lililobuniwa hivi karibuni kwa mapande yanayounda sehemu ya nje ya dunia yetu. Sehemu hiyo ya nje huitwa ganda la dunia na chini yake kuna sehemu ya dunia ambayo ni ya joto kiasi ya kwamba miamba na elementi zote zinapatika ...

                                               

Bamba la Karibi

Bamba la Karibi ni bamba la gandunia lililopo chini ya Amerika ya Kati na Bahari ya Karibi. Limepakana na mabamba ya Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kusini na Nazi. Eneo lake ni takriban milioni 3.2 km². Mipaka yake na mabamba mengine ni mahali ...

                                               

Bamba la Pasifiki

Bamba la Pasifiki ni kati ya mabamba makubwa ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya bahari ya Pasifiki ikiwa ni bamba la gandunia kubwa kabisa. Maada yake ni miamba mizito ya gumawesi.

                                               

Bamba la Ufilipino

Bamba la Ufilipino ni bamba la gandunia mojawapo lililopo chini ya bahari ya Pasifiki. Liko chini ya sehemu ya bahari iliyopo upande wa kaskazini-mashariki ya visiwa vya Ufilipino. Upande wa mashariki wake Bamba la Pasifiki linasukumwa chini ya B ...

                                               

Bamba la Uhindi

Bamba la Uhindi ni bamba dogo katika ganda la dunia. Bara Hindi yenye nchi za Uhindi, Pakistan, Bangla Desh, Nepal pamoja na nchi visiwa Sri Lanka na Maledivi iko juu ya bamba hilo.

                                               

GeoNames

GeoNames ni jina la hazinadata ya kijiografia kwenye intaneti. Hadi mwaka 2018 ilikuwa imekusanya tayari majina milioni 25 ya miji, vijiji, vitongoji, mikoa, milima, mito, misitu au maeneo mengine. Kati ya hizo ni sehemu milioni 4.8 zinazokaliwa ...

                                               

Hidrografia

Hidrografia ni tawi la jiografia linalohusika upimaji wa magimba ya maji duniani kama vile bahari, maziwa na mito na tabia zao. Neno hidrografia latokana na maneno ya Kigiriki ὕδωρ, "maji" na γράφω, "andika". Kusudi muhimu ya kukusanya elimu hii ...

                                               

Latitudo

Latitudo ni mahala pa mchoro wa dunia au ramani huonyesha kwa mistari iliolazwa ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja umbali wake kutoka ikweta kwa kipimo cha digrii. Mahali penye ikweta kamili kwa mfano Nanyuki katika Kenya ina latitudo ...