ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 52
                                               

Zilipendwa (Matonya)

"Zilipendwa" ni jina la wimbo uliotoka 2012 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Matonya. Wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever katika studio ya Burn Records. Wimbo ulitolewa tarehe 5 Novemba, 2012. Mwaka huu wa 2012, 2013 ...

                                               

Destiny

Destiny ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na kutungwa na msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania - M-Rap. Wimbo huu amemshirikisha msanii wa Ragga Riddim/Bongo Flava Deddy. Maudhui ya kibwagizo cha wimbo huu ni ya Ragga, umeufanya kuwa ...

                                               

Chocheeni Kuni

Chocheeni kuni ni jina la wimbo wa aina ya muziki wa dansi ya asili uliyoimbwa na mwimbaji Mrisho Mpoto kutoka nchini Tanzania. Wimbo ulitoka mwaka wa 2014. Ni muendelezo wa mashairi yenye utata, yaani, utunzi wa hali ya juu katika kufumba maneno ...

                                               

Kipi Sijasikia

"Kipi Sijasikia" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 15 Septemba, 2014 kutungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Professor Jay. Katika wimbo, ameshirikishwa mwimbaji wa Bongo Flava - afisa mtendaji mkuu wa WCB, Diamo ...

                                               

Mwana (wimbo)

"Mwana" ni jina la wimbo uliotoka Disemba 18 2014 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Ali Kiba. Wimbo umetayarishwa na Man Walter ukiwa wimbo wa kwanza kutoka tangu kusimama kutoa kazi za kujitegemea miaka mitatu iliyopit ...

                                               

Aiyola

Aiyola ni jina la wimbo uliotoka tarehe 6 Novemba, 2015 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Harmonize. Huu ni wimbo wa kwanza wa Harmonize tangu ajiunge na WCB. Wimbo umetayarishwa na Max. Wimbo anamw ...

                                               

Chekecha Cheketua

"Chekecha Cheketua" ni jina la wimbo uliotoka 29 Juni 2015 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Ali Kiba. Wimbo umetayarishwa na Abby Daddy ukiwa wimbo wa pili kutolewa tangu kusimama kutoa kazi za kujitegemea miaka mitatu ...

                                               

Nagharamia

"Nagharamia" ni jina la wimbo uliotoka 19 Disemba 2015 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Ali Kiba akiwa na mfalme wa masauti Christian Bella. Wimbo umetayarishwa na Abby Daddy ukiwa wimbo wa tatu kutolewa tangu kusimama ...

                                               

Run DSM

"Run DSM" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 24 Julai, 2015 kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, P the MC akiwa na Young Killer Msodoki na Dully Sykes akiwa katika kiitikio. Wimbo umetayarishwa na Dully Sykes kupitia studi ...

                                               

Aje

"Aje" ni jina la wimbo uliotoka 2016 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Ali Kiba. Wimbo umetayarishwa na Abby Daddy ukiwa wimbo wa pili kufanya pamoja nae baada ya ule wa Chekecha Cheketua. Awali walifanya nyimbo kadhaa ...

                                               

Bado

Bado ni jina la wimbo uliotoka tarehe 29 Februari, 2016 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Harmonize akiwa na Diamond Platnumz. Huu ni wimbo wa kwanza wa Harmonize kuimba na Diamond na wa pili kutoa ...

                                               

Chacun Pour Soi

"Chacun Pour Soi" ni jina la wimbo uliotoka 24 Juni, 2016 kutungwa na kuimbwa na hayati msanii mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Papa Wemba akimshirikisha mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz ...

                                               

Ibaki Story

"Ibaki Story" ni jina la wimbo uliotoka 2 Juni, 2016 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Rich Mavoko. Huu ndio wimbo wa kwanza kutolewa tangu kujiunga rasmi na WCB. Wimbo umetayarishwa na watayarishaji wawili tofauti. Awa ...

                                               

Kipenda Roho

Kipendacho Roho ni jina la wimbo wa R&B na soul na ballad uliotoka tarehe 28 Juni, 2016 kutoka kwa msanii wa muziki wa R&B na soul kutoka nchini Tanzania, Rama Dee. Wimbo umetungwa na Nikki wa Pili na kutayarishwa kwa ushikiano wa Elly Da ...

                                               

Kokoro

"Kokoro" ni jina la wimbo uliotoka 22 Novemba, 2016 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Rich Mavoko akishirikiana na Diamond Platnumz. Huu ndio wimbo wa kwanza kushirikiana na Diamond tangu kujiunga na WCB na wa pili kuto ...

                                               

Nisamehe

Nisamehe ni wimbo uliotoka tarehe 30 Septemba, 2016 kutoka wa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa nchini Tanzania, Barakah the Prince. Ndani ya wimbo ameshirikishwa Ali Kiba ikiwa ndiyo wimbo wa kwanza kwa Barakah kutoa tangu aingie mkataba na Ro ...

                                               

Too Much (wimbo)

"Too Much" ni jina la wimbo uliotoka 15 Julai, 2016 wa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania - Darassa. Wimbo umetayarishwa na Mr. T. Touch. Huu ndio wimbo ambao huhesabiwa kama ujio mwingine au wa kivingine wa Darassa tangu Kama Uta ...

                                               

Watora Mari

"Watora Mari" ni jina la wimbo ulitoka tarehe 12 Agosti 2016 ambao umetungwa na kuimbwa na mwimbaji wa Kizimbabwe, Jah Prayzah. Wimbo umemshirikisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Diamond Platnumz. Ni moja kati ya nyimbo ...

                                               

Amina

"Amina" ni jina la wimbo uliotoka mwaka 2017 wa msanii wa muziki wa afropop kutoka nchini Kenya - Sanaipei Tande. Wimbo umetayarishwa na House of Dillie kwa maudhui ya kusikitisha ili kusindikiza midundo ya ndani. Ni moja kati ya nyimbo za huzuni ...

                                               

Angekuona

Angekuona ni jina la wimbo ulitoka 10 Aprili, 2017 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Aslay. Wimbo umetayarishwa na Zest kupitia studio za Banny Music za jijini Dar es Salaam. Huu ndio wimbo wa kwanz ...

                                               

Bongo Bahati Mbaya

"Bongo Bahati Mbaya" ni jina la wimbo uliotoka 5 Mei, 2017 wa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania - Young Dee. Wimbo umetayarishwa na Mr. T. Touch. Huu ndio wimbo ambao huhesabiwa kama ujio mpya wa Young Dee. Kaboresha zaidi staili ...

                                               

Bounce

"Bounce" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 14 Novemba, 2017 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Vanessa Mdee akimshirikisha Maua Sama na Tommy Flavour. Wimbo unatoka katika albamu ya Money Mondays na wa tatu kutole ...

                                               

Call Mi Yuh Ruler

"Call Mi Yuh Ruler" ni jina la wimbo uliotoka 26 Agosti, 2017 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya- Dabby K. Huu ndio wimbo wa kwanza kutolewa tangu kujiunga rasmi na Dapstrem Entertainment. Wimbo umetayarishwa na Mk2 Records K ...

                                               

Double Double

Double ni jina la wimbo kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Nyandu Tozzy. Ndani yake ameshirikishwa Chin Bees na Young Dee. Chin Bees amesimama kwenye kiitikio, wakati Young Dee ametambaa katika ubeti wa pili. Mashairi ...

                                               

Fire

"Fire" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 21 Juni, 2017 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akimshirikisha Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na wa ...

                                               

Hallelujah

Hallelujah ni wimbo ulioimbwa na kutungwa na Diamond Platnumz akiwa na kundi zima la muziki wa reggae kutoka nchini Marekani, Morgan Heritage. Wimbo umetolewa tarehe 28 Septemba, 2017. Huu ni wimbo wa pili wa Diamond Platnumz kushirikiana na wasa ...

                                               

Marry You

"Marry You" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 2 Februari, 2017 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akimshirikisha Ne-Yo kutoka nchini Marekani. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na ...

                                               

Mdundo

Mdundo ni wimbo uliotoka 9 Septemba 2017 ambao umetungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Msami. Wimbo umetayarishwa na Abby Daddy. Video imeongozwa na Joowzey. Kama kawaida yake Msami kwenye kudansi, humu ka ...

                                               

Ni Wako

Ni Wako ni jina la wimbo ulioimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Norway, Makihiyo akimshirikisha Ben Pol kutoka Tanzania. Wimbo umetungwa na Ben Pol na kutayarishwa na Tiddy Hotter. Huu ni wimbo wa kwanza kutoa kwa msanii huyu ...

                                               

Ondoa Giza Kitaa

Ondoa Giza Kitaa ni wimbo uliotoka tarehe 21 Februari, 2017 kutoka kwa msanii mzuki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Sir Elly Mandella akiwa na Nari MC na Prime Number. Wimbo umetayarishwa na Man DVD kupitia studio za Bokazy Entertainment. Wimb ...

                                               

Seduce Me

"Seduce Me" ni jina la wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Ali Kiba. Wimbo umetayarishwa na Man Walter kupitia studio za Combination Sound za jijini Dar es Salaam. Ukiwa kama sehemu ya usambazaji na kampuni ya "Sony ...

                                               

Waka

Waka ni jina la wimbo uliotoka tarehe 7 Desemba 2017 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akimshirikisha Rick Ross kutoka Marekani. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic kupitia studio za Wasafi Re ...

                                               

Zilipendwa (WCB)

"Zilipendwa" ni jina la wimbo uliotoka 25 Agosti, 2017 wa kundi zima la muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - WCB. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic. Huu ni wimbo wa kwanza kutolewa kama kikosi kizima cha WCB tangu kuanzishwa kwake. ...

                                               

Because of You (wimbo wa Ne-Yo)

"Because of You" ni wimbo wa mwaka wa 2007 uliotolewa na mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B - Ne-Yo. Huu ni wimbo kwanza kutoka katika albamu yake iujulikanayo kwa jina hilohilo la Because of You. Wimbo umeanza kupigwa katika vituo vya maredio ...

                                               

Can We Chill

"Can We Chill" ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu ya Because of You ya mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B na pop - Ne-Yo. Wimbo ulitoka mnamo tarehe 29 Septemba ya mwaka wa 2007. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson. Wimbo umekuwa mmoja kati y ...

                                               

Do You

"Do You" ni wimbo wa 2007 ulioimbwa na mwimbaji-mtunzi wa R&B Ne-Yo. Wimbo unamzungumzia Ne-Yo akiwa anajaribu kumwuliza mwanamke wake wa zamani kuwa keshawahi kumfikiria kabisa. Ni wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya pili ya Because o ...

                                               

Kitu Gani

Kitu Gani ni nyimbo ya Dknob akimshirikisha Q Jay. Inatoka katika albamu ya "Bomoa Mipango". Nyimbo ilirekodiwa katika studio ya Mwamba Production ya Dar es Salaam, Tanzania. Nyimbo hii imekuwa kama utambulisho wa albamu hiyo ya Bomoa Mipango, in ...

                                               

Make Me Better

Make Me Better ni single ya tatu ya msanii Fabolous kutoka katika albamu yake ya From Nothin to Somethin. Wimbo umemshirikisha mwimbaji machachari wa R&B Ne-Yo, lakini alikuwa akipiga sehemu za vibwagizo tu. Wimbo umetayarishwa na Timbaland.

                                               

Walimwengu

Walimwengu ni jina la wimbo uliotoka 2007 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Nuru the Light. Katika wimbo, Nuru ameangalia sana tabia za kibinadamu ambazo rahisi kutokea. Namna watu wanavyokupenda ukiwa na kitu ha ...

                                               

We Takin Over

We Takin Over" ni nyimbo ya hip-hop ya DJ Khaled. Nyimbo ilitoka ikiwa kama single yake ya kwanza kutoka albamu yake ya We the Best. Nyimbo imeshirikisha vichwa ngumu kama Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, Birdman a.k.a "Baby" na Lil Wayne, hao wot ...

                                               

With You (nyimbo ya Chris Brown)

"With You" ni wimbo wa pop na R&B ya mwanamuziki Chris Brown, imetungwa na Johntá Austin, Tor Erik Hermansen, Mikkel Eriksen, Espen Lind na mwisho kabisa Amund Bjorklund. Wimbo ulitayarishwa na Bw. Stargate ambaye pia alitayarisha wimbo wa "U ...

                                               

Watakubali

Watakubali ni jina la wimbo uliotungwa na mwimbaji/mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania - Mbosso. Wimbo umetoka tarehe 28 Januari 2018. Huu ni wimbo wa kwanza kutoka tangu aingie mkataba na WCB Wasafi. Wimbo umetayarishwa na Laizer C ...

                                               

Sogea Karibu

Sogea Karibu ni jina la wimbo wa muziki wa dansi uliotungwa na Kakere Belesa na kuimbwa na Hassan Bitchuka kwa ajili ya Juwata Jazz Band mnamo 1979. Wimbo huu unasifika sana kwa kinanda chake cha huzuni kilichopigwa na mpigaji nguli wa "The Kilim ...

                                               

I Need a Beat

I Need a Beat ni single ya kwanza kutoka kwa rapa, LL Cool J, na ni moja kati ya matoleo mawili ya Def Jam Recordings kuwa na nembo katalogi ya namba, sambamba kabisa na Beastie Boys "Rock Hard". Ilitolewa mnamo mwaka wa 1984 kwa ajili ya Def Jam ...

                                               

Naomba Kwako Bibiye

"Naomba Kwako Bibiye" ni jina la wimbo ulioimbwa na kundi zima la muziki wa taarab kutoka mjini Zanzibar, Ikhwani Safaa Musical Club au Malindi. Wimbo umetoka miaka ya 1980 na kuimbwa na marehemu Maulid Mohamed Machaprara. Wimbo unatoka katika al ...

                                               

I Can Give You More

I Can Give You More ni single ya pili kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, Radio. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 chini ya studio ya Def Jam Recordings na ulitungwa na kutayarishwa na Rick Rubin na LL Cool J. Wimbo ulishika nafasi ya #21 kw ...

                                               

I Cant Live Without My Radio

I Cant Live Without My Radio ni single kiongozi kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, Radio. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 kupitia studio za Def Jam Recordings na zote -litungwa na kutayarishwa na LL Cool J na Rick Rubin. Wimbo huu ulipata ...

                                               

Nightshift

Nightshift ni wimbo maarufu wa mwaka wa 1985 ambao uliimbwa na kundi zima la kina Commodores na vilevile jina la kibao ndiyo jina la albamu Nightshift. Wimbo ulitungwa kwa ajili ya manguli wa muziki Jackie Wilson na Marvin Gaye, wanamuziki maaruf ...

                                               

Rock the Bells

Rock the Bells ni single ya tatu kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, Radio. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 na Def Jam Recordings. Ilitungwa na LL Cool J na kutayarishwa na Rick Rubin. Rock the Bells ilifikia kiwango cha #17 kwenye chati z ...

                                               

Tazama Tanzania

Tazama Tanzania” ni jina la wimbo maarufu ulioimbwa na kutungwa na kundi la wanandugu Varda Arts kutoka nchini Tanzania. Wimbo umetayarishwa na Varda Arts wenyewe na kutolewa mapema mwaka wa 1985. Huu ni wimbo ambao huhesabiwa kama alama kamili y ...