ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 68
                                               

Musa Mwarabu

Musa Mwarabu aliishi miaka mingi ya karne ya 4 kama mkaapweke maarufu kati ya Misri na Syria, kabla hajafanywa askofu wa kwanza wa Kiarabu kati ya Waarabu kutokana na sharti la malkia wao, Mavia, kwa ajili ya kusimamisha mapigano yake na Dola la ...

                                               

Yohane Nepomuk Neumann

Yohane Nepomuk Neumann, C.Ss.R. alikuwa Mkristo wa Bohemia aliyehamia Marekani mwaka 1836 ili aweze kupata upadrisho, akapewa baada ya wiki tatu tu. Halafu akajiunga na Waredentori ili kufaidika na maisha ya kijumuia 1840 na hatimaye akawa askofu ...

                                               

Onesimo Nesib

Onesimo Nesib alikuwa Mworomo aliyejiunga na madhehebu ya Walutheri akawa mmisionari nchini Ethiopia akatafsiri Biblia ya Kikristo katika Kioromo. Hivyo amekuwa mwanzilishi wa fasihi ya Kioromo ya kisasa. Onesimo Nesib anatazamwa kama mtakatifu k ...

                                               

Orso wa Aosta

Orso wa Aosta alikuwa mmonaki kutoka Ireland, padri mmisionari nchini Ufaransa, aliyeishia katika Valle dAosta, leo mkoa mdogo kuliko yote ya Italia. Alipinga Uario. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa siku ...

                                               

Pankrasi wa Taormina

Pankrasi wa Taormina alikuwa Mkristo wa karne ya 1. Inasemekana akiwa mtoto alimfahamu Yesu akabatizwa na Mtume Petro ambaye alimtuma Taormina kama askofu wa kwanza wa mji huo. Baada ya kuongoa wengi, aliuawa kwa sababu ya imani yake. Tangu kale ...

                                               

Abba Panteleoni

Abba Penteleoni alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri katika kilele cha kilima Mai Qoho, kaskazini magharibi kwa Aksum, jimbo la Tigray. Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la ...

                                               

Peregrini wa Auxerre

Peregrini wa Auxerre alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian. Mapokeo yanasema kwanza alikuwa padri wa Roma aliyetumwa na Papa Sixtus II huko Galia kwa ombi ...

                                               

Petro-Henri Dorie

Petro-Henri Dorie, M.E.P. ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000. Padri huyo mmisionari aliuawa pamoja na askofu Simeon ...

                                               

Porfiri wa Gaza

Porfiri wa Gaza alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 395 hadi kifo chake. Kutokana na masimulizi ya Maisha yake, yaliyoandikwa na Marko shemasi alipata umaarufu kwa kuingiza katika Ukristo mji huo ulioshikilia Upagani na kwa kubomoa mahekalu y ...

                                               

Raphael wa Brooklyn

Raphael wa Brooklyn alikuwa askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, wa kwanza kupewa hiyo daraja takatifu katika bara la Amerika Kaskazini. Baada ya kusomea Damascus Syria, Konstantinopoli Uturuki na Kiev leo nchini Ukraine, mwaka 1895 alitumw ...

                                               

Saturnini wa Toulouse

Saturnini wa Toulouse alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji huo hadi alipouawa katika dhuluma ya kaisari Decius kwa kutupwa chini kutoka mlimani. Kadiri ya wanahistoria Wakristo. chini ya kaisari Decius 250 BK, Papa Fabian alituma maaskofu ...

                                               

Severino wa Noriko

Severino wa Noriko alikuwa mmisionari katika eneo hilo la Ulaya ya Kati aliyepewa jina la "Mtume wa Noriko". Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Silvino wa Auchy

Silvino wa Auchy alikuwa askofu mmisionari katika Ufaransa kaskazini mashariki anayesemekana kuwa na asili ya Ireland au Uskoti. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Februari.

                                               

Simeoni-Fransisko Berneux

Simeoni-Fransisko Berneux, M.E.P. ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000. Askofu huyo mmisionari aliuawa pamoja na mapa ...

                                               

Fransisko Solano

Fransisko Solano, O.F.M. alikuwa mtawa wa urekebisho wa Wareformati wa shirika la Ndugu Wadogo na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania alifanya umisionari katika nchi mbalimbali za Amerika Kusini na hatimaye kufariki katika mji mkuu wa Peru y ...

                                               

Tikhon wa Moscow

Tikhon wa Moscow alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi. Tarehe 5 Novemba 1917 alichaguliwa kuwa Patriarki wa 11 wa Moscow na Urusi wote, wa kwanza baada ya miaka 300 ya Kanisa hilo kuongozwa na Sinodi tu. Mwaka 1989 al ...

                                               

Tokwato na wenzake

Tokwato na wenzake Sesili, Ktesifoni, Eufrasi, Indaleti, Hesiki na Sekundi walikuwa maaskofu waliofanya umisionari sehemu mbalimbali za Hispania mwanzoni mwa Ukristo. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. Sikukuu ...

                                               

Turibio wa Mongrovejo

Mtakatifu Turibio wa Mongrovejo alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Peru. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Tarehe ya kifo chake, yaani 23 Machi ndiyo sikukuu yake.

                                               

Wamisionari wa Afrika

Wamisionari wa Afrika ni jina rasmi la shirika la kimisionari la Kanisa Katoliki linalojulikana kwa Kiingereza kama White Fathers ", kutokana na rangi ya kanzu yao. Lilianzisha mwaka 1868 na Charles Martial Lavigerie 1825-1892, askofu mkuu wa kwa ...

                                               

Watakatifu Tisa

Watakatifu Tisa walikuwa wamisionari waliochangia sana ustawi wa Ukristo katika Ethiopia ya leo mwishoni mwa karne ya 5. Majina yao ni: Abba Aftse, Abba Alef, Abba Aragawi, Abba Garima, Abba Guba, Abba Liqanos, Abba Panteleoni, Abba Sehma na Abba ...

                                               

Wilibaldi

Wilibaldi alikuwa mmonaki Mbenedikto maarufu kwa umisionari wake katika Ujerumani ya leo. Alikuwa askofu wa kwanza wa Eichstaett akafariki huko. Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa na Papa Leo VII 938. Sikukuu yake ...

                                               

Wilibrodi

Wilibrodi alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Northumbria maarufu kwa umisionari wake katika Netherlands ya leo, uliomfanya aitwe "Mtume wa Wafrisia". Alikuwa askofu wa kwanza wa Utrecht akafariki huko Echternach leo nchini Luxembourg. Anaheshimiwa ...

                                               

Wolfgang Mtakatifu

Wolfgang wa Regensburg, O.S.B. alikuwa askofu wa Regensburg, Bavaria, Ujerumani, kuanzia Krismasi 972 hadi kifo chake. Anatazamwa mmojawapo wa maaskofu bora wa Ujerumani wakati wake pamoja na Ulrich wa Augsburg na Konrad wa Constance. Alitangazwa ...

                                               

Yohane wa Brito

Yohane wa Brito, S.J. alikuwa padri Mjesuiti mmisionari nchini India hadi kifodini chake. Alivuta wengi katika Ukristo kwa kuishi namna ya kitawa ya wamonaki Wahindu. Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Agosti 1853, halafu Papa Pius XI ...

                                               

Yohane wa Shanghai na San Francisco

Yohane wa Shanghai na San Francisco alikuwa mmonaki, padri, askofu na mmisionari wa Kiorthodoksi huko China na Marekani. Alijulikana pia kwa karama ya kutenda miujiza. Alitangazwa na Kanisa lake kuwa mtakatifu tarehe 2 Julai 1994. Sikukuu yake hu ...

                                               

Yosefu wa Leonesa

Yosefu wa Leonesa, O.F.M. Cap., aliishi zaidi nchini Italia na anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Yusto Ranfer

Yusto Ranfer, M.E.P. ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000. Padri huyo mmisionari aliuawa pamoja na askofu Simeoni-Fra ...

                                               

Aleksi Toth

Aleksi Toth alikuwa padri wa Kanisa la Kiorthodoksi nchini Marekani. Tangu mwaka 1994 anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.

                                               

Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia

Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia ni madhehebu ya dini ya Ukristo iliyotawala watu wa jamii ya Waamhara kwa karne kadhaa hadi sasa. Wakristo hao wanaotaka kuzingatia imani sahihi ni sehemu muhimu katika utamaduni wa Ethiopia na Eritrea. Kwa sasa ...

                                               

Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara

Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara ni mojawapo kati ya yale ya Waorthodoksi wa Mashariki. Inasemekana asili yake ni kusini mwa India mwaka 52 BK kwa juhudi za Mtume Thoma. Kihistoria, Wakristo wa huko walikuwa na ushirika na Kanisa la ...

                                               

Marko mkaapweke

Marko mkaapweke ni kati ya Wakristo walioishi vizuri imani yao kwa kutawa katika karne ya 5. Kwa kuwa hayajulikani mengine mengi kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Pia aliandika vitabu vingi kuhusu maisha ya kiroho ...

                                               

Alberiko

Alberiko wa Cîteaux, O.Cist. alikuwa mkaapweke, mmonaki, halafu abati nchini Ufaransa. Ni kati ya waanzilishi wa urekebisho wa Citeaux wa shirika la Benedikto wa Nursia. Ndiye aliyepata kutoka kwa Papa Paskali II hati Desiderium quod iliyoupatia ...

                                               

Alberto wa Yerusalemu

Alberto wa Yerusalemu alikuwa kwanza kanoni, halafu askofu wa Bobbio, halafu wa Vercelli nchini Italia, halafu tena wa Yerusalemu katika Nchi Takatifu. Ndiye aliyewapa kanuni watawa Wakarmeli. Aliuawa kwa upanga na mtu aliyekuwa amemlaumu na kums ...

                                               

Aleksi Falconieri

Aleksi Falconieri alikuwa mmojawapo kati ya waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria. Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 1 Desemba 1717, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu pamoja na wenzake tarehe 15 Januari ...

                                               

Yosefu Allamano

Yosefu Allamano alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia. Baada ya baba yake kufariki mapema, alilelewa Kikristo sana na mama yake, dada wa mtakatifu padri Yosefu Cafasso, halafu na mtakatifu padri Yohane Bosco. Kisha kupata upadrisho, akih ...

                                               

Angela Merichi

Angela Merichi alikuwa mtawa nchini Italia. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 27 Januari.

                                               

Antoni Maria Zakaria

Antoni Maria Zakaria au kwa Kiitalia Antonio Maria Zaccaria alikuwa padri na tabibu kutoka Italia kaskazini. Alianzisha shirika la Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba. Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 3 Januari 1890, ...

                                               

Atala wa Bobbio

Atala wa Bobbio alikuwa mmonaki kutoka Ufaransa wa leo anayetajwa kama mfuasi wa Kolumbani. Baada ya kufukuzwa nchini 612, walianzisha monasteri mpya huko Bobbio 614 ambayo baada ya mwaka mmoja ilibaki chini yake kutokana na kifo cha Kolumbani 61 ...

                                               

Fransiska wa Sales Aviat

Fransiska wa Sales Aviat alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye pamoja na Louis Brisson alianzisha shirika la Masista Waoblati wa Mt. Fransisko wa Sales. Aliongoza shirika kwa awamu mbili, huku katikati likiwa chini ya wakuu wawili waliompinga P ...

                                               

Magdalena Sofia Barat

Magdalena Sofia Barat, R.S.C.J. alikuwa mtawa wa Ufaransa, mwanzilishi wa shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu. Katika kuliongoza kwa miaka 65 masista walifikia idadi ya 3.500, wakilea wasichana huko Ulaya, Afrika na Amerika. Papa Pius X alimtangaza ...

                                               

Beatriz wa Silva

Beatriz wa Silva, O.I.C. alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu wa Ureno, lakini alijiunga na monasteri na hatimaye akawa mwanzilishi wa masista wamonaki wa Shirika la Bikira Maria Kukingiwa Dhambi ya Asili. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakati ...

                                               

Bega wa Andenne

Bega wa Andenne alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa na kuzaa watoto watatu, alipobaki mjane alianzisha monasteri akaiendesha kama abesi hadi kifo chake. Kaisari Karolo Mkuu alikuwa kilembwe wake. Tangu kale anaheshimiwa k ...

                                               

Gaspare Bertoni

Gaspare Bertoni alikuwa padri Mkatoliki wa Verona aliyeanzisha shirika la Wastigmatini ambalo limeenea hata Tanzania. Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 1 Novemba 1975, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 1 Novemba ...

                                               

Karoli Borromeo

Karoli Borromeo alikuwa kardinali na askofu wa Milano nchini Italia. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 4 Novemba.

                                               

Bruno Mkartusi

Bruno Mkartusi alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mmonaki aliyeanzisha shirika la kitawa kwa wakaapweke ambalo linadumu mpaka leo. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Leo X aliidhinisha kwa sauti tu heshima hiyo kwa Bruno tarehe 19 Jula ...

                                               

Frances Cabrini

Fransiska Saviera Cabrini alikuwa mwanzilishi wa shirika la Masista Wamisionari wa Moyo Mtakatifu. Jumuiya hiyo ilianzia Italia na kufanya kazi hasa Marekani kati ya wahamiaji kwa kujenga shule, hospitali na nyumba kwa watoto yatima. Mwaka 1946 M ...

                                               

Fransisko Caracciolo

Fransisko Caracciolo alikuwa padri wa Kanisa Katoliki ambaye, pamoja na Yohane Augustino Adorno, alianzisha shirika la Wakleri Watawa Wadogo. Fransisko alitangazwa mwenye heri na Papa Klementi XIV tarehe 4 Juni 1769, halafu mtakatifu na Papa Pius ...

                                               

Yoana Fransiska wa Chantal

Yoana Fransiska wa Chantal, kwa Kifaransa Jeanne-Françoise Frémiot, Baronne de Chantal, ni maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la wanawake baada ya kufiwa mumewe. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Benedikto XIV alimtangaza mwenye heri tar ...

                                               

Geltrude Comensoli

Geltrude Comensoli alikuwa mwanamke wa Italia kaskazini ambaye, baada ya kushindwa na ugonjwa kujiunga na shirika la Bartolomea Capitanio, Masista wa Upendo wa Lovere wanaoitwa kwa kawaida Masista wa mtoto Maria, aliishi kibikira hadi alipofaulu ...

                                               

Anibale Maria di Francia

Anibale Maria di Francia alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha nyumba kadhaa kwa ajili ya kutunza mayatima na mashirika mawili ya kitawa: Mapadri Warogasyonisti na Mabinti wa Ari ya Kimungu. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri ta ...