Back

ⓘ Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi ilikuwa kitengo kikubwa kati ya jamhuri 15 za Umoja wa Kisovyeti chenye wakazi wengi. Baada ya mwisho wa ..
Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi
                                     

ⓘ Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi

Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi ilikuwa kitengo kikubwa kati ya jamhuri 15 za Umoja wa Kisovyeti chenye wakazi wengi. Baada ya mwisho wa Umoja wa Kisovyeti ikawa Shirikisho la Urusi tangu 1991.

                                     

1. Utawala

Urusi wa Kisovyeti ulikuwa jamhuri ndani ya Umoja wa Kisovyeti. Ndani yake ilikuwa na muundo wa shirikisho. Maeneo yenye wakazi wenye lugha au utamaduni usio wa kirusi yalipewa maeneo ya pekee yaliyoitwa pia Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii halafu kwa jina la taifa au kabila la eneo. Kinadharia jamhuri hizi zilijitawala ndani ya Urusi lakini hali halisi zilikuwa na kiwango fulani ya kujiamulia katika mambo ya utamaduni menginevyo ziliongozwa kutoka Moskva.

Jamhuri hizi ndani ya Urusi zilikuwa:

 • Kalmukia
 • Buryatia
 • Komi
 • Ossetia ya Kaskazini
 • Mari
 • Tuva
 • Karelia
 • Dagestan
 • Mordovia
 • Yakutia
 • Kabardia-Balkaria
 • Chechenia-Ingushenia
 • Tataria
 • Chuvashia
 • Bashkiria
 • Udmurtia

Baada ya mwisho wa ukomunisti 1991 zimeendelea kama majimbo ya kujitawala ndani ya Urusi zikiendelea kuitwa "Jamhuri" zikiwa na kiwango cha kujitawala kikubw zaidi kuliko mikoa ya shirikisho inayojitawala pia kwa kiasi.

                                     
 • sehemu ya Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi ndani ya Umoja wa Kisovyeti. Hapo Krim ilikuwa eneo la kujitawala chini ya Urusi. Mwaka
 • jamhuri kubwa katika umoja huu nao ukaitwa Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi Kikatiba jamhuri hizo zote zilikuwa nchi huru lakini hali

Users also searched:

...

Augustino Law office Sheria ni nini? Sheria kutoka neno la.

Kuna makubaliano ya mfumo kati ya ESA na serikali ya Shirikisho la Aidha, roketi ya Soyuz ambayo imekuwa nafasi ya Kirusi ya uzinduzi na ndege ya ndege ya Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani na ya nchi la nafasi ambayo inashiriki katika kusaidia sera za kijamii, kisiasa na kiuchumi za Ulaya. Shirika la Anga la Ulaya Babel. Sheria ya mali inafafanua haki na wajibu unaohusiana na uhamisho wa jina la mali ya falsafa ya sheria, uchambuzi wa kiuchumi wa sheria au somo la kijamii wa Mataifa ambao ilianzishwa baada ya kushindwa kwa Shirikisho la Kimataifa Mfano mwingine ni katika kesi ya karne ya 19 ya Jamhuri dhidi ya Dudley na. Nguvu ya nyuklia Babel. Wakati wowote Rais Putin anaposafiri - iwe ndani ya Russia au nje ya huu ikaitwa Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi. Ujio wa Rais Putin balaa Gazeti la Jamhuri. Mchezaji wa barafu la nyuklia wa Kirusi NS Yamal kwenye safari ya kisayansi ya pamoja Kuna mjadala wa kijamii kuhusu nguvu za nyuklia.


...