Back

ⓘ La Cristiada ni jina la Kihispania la vita vya Cristeros vilivyotokea nchini Meksiko kati ya wakulima Wakatoliki na serikali ya nchi iliyotaka kutekeleza sheria ..
La Cristiada
                                     

ⓘ La Cristiada

La Cristiada ni jina la Kihispania la vita vya Cristeros vilivyotokea nchini Meksiko kati ya wakulima Wakatoliki na serikali ya nchi iliyotaka kutekeleza sheria dhidi ya uhuru wa dini.

Chinichini maaskofu waliunga mkono juhudi za waumini wao hata walipotumia silaha kutetea haki yao ya kuabudu kwa pamoja. Marekani ilifanya kazi ya upatanisho na mwishoni maaskofu walikubaliwa na serikali idhini kadhaa, hivyo vita vikaisha.

                                     

1. Marejeo

Historiografia

 • Mabry, Donald J. "Mexican Anticlerics, Bishops, Cristeros, and the Devout during the 1920s: A Scholarly Debate", Journal of Church and State 1978 20#1 pp 81–92 online

Filamu

 • Greene, Graham. The Power and the Glory novel. New York: Viking Press, 1940 as The Labyrinthine Ways.
 • Luis Gonzalez – Translated by John Upton. San Jose de Gracia: Mexican Village in Transition ISBN 978-0-292-77571-8 historical novel, Austin, Texas: University of Texas Press, 1982.

Kwa Kihispania

 • De La Torre, José Luis. De Sonora al Cielo: Biografía del Excelentísimo Sr. Vicario General de la Arquidiócesis de Hermosillo, Sonora Pbro. Don Ignacio De La Torre Uribarren Spanish Edition
                                     

2. Viungo vya nje

 • AP article on the 2000 canonizations
 • Catholicism.org: "Valor and Betrayal – The Historical Background and Story of the Cristeros" - article by Gary Potter.
 • Cristeros Soldiers of Christ – Documentary
 • Biography of Miguel Pro
 • Spanish biographies of the saints canonized in 2000
 • Iniquis Afflictisque – encyclical of Pope Pius XI on the persecution of the Church in Mexico November 18, 1926
 • Spanish article on the war
 • Miss Mexico wears dress depicting Cristeros at the 2007 Miss Universe Pageant
 • Ferreira, Cornelia R. Blessed José Luis Sánchez del Rio: Cristero Boy Martyr, biography 2006 Canisius Books.
 • The Cristero Rebellion, by Jim Tuck