Back

ⓘ Anwani ya posta ni maelezo yanayoandikwa juu ya bahasha au kifurushi yanayotaja mahali mtu anapoishi au anapofanyia kazi na ambapo barua zinaweza kutumwa. Katik ..
                                     

ⓘ Anwani

Anwani ya posta ni maelezo yanayoandikwa juu ya bahasha au kifurushi yanayotaja mahali mtu anapoishi au anapofanyia kazi na ambapo barua zinaweza kutumwa. Katika nchi nyingi kama Tanzania au Kenya anwani ya posta inataja jina la mpokeaji pamoja na namba ya sanduku la posta na mahali pa ofisi ya posta.

Katika nchi nyingine barua zinapelekwa pia nyumbani kwa hiyo bahasha hutaja jina la mpokeaji, mtaa wenye nyumba yake, namba ya nyumba pamoja na mji au mahali anapoishi, pamoja na msimbo wa posta postikodi ya eneo hilo.

Anwani za nyumbani huandikwa pia ukituma kifurushi kwa njia ya kampuni ya binafsi, mara nyingi pamoja na namba ya simu.

                                     

1. Anwani ya baruapepe

Anwani ya baruapepe kwa Kiingereza: email adress ni mpangilio wa habari zinazomwezesha mwandishi wa baruapepe kufikisha ujumbe kwa mlengwa. Kwa kawaida huwa na sehemu mbili:

 • sehemu hizo hutenganishwa na alama ya
 • jina la mpokeaji linaloandikishwa kwenye kampuni ya huduma za baruapepe email provider ; inaweza kuwa tofauti na jina halisi la mtu
 • jina la kampuni linalotoa huduma au jina la kikoa domain kinachobeba anwani.

Mifano:

 • mfano50150 domain.co.tz
 • bahati147 gmail.com
 • horseycrazy yahoo.com
 • larry.smith msn.com
                                     

2. Anwani ya mtandao URL

Anwani ya mtandao au URL ni namna ya kutaja mahali pa tovuti kwenye intaneti.

Mfano:

 • ni URL ya tovuti la gazeti "The Nation" kutoka Nairobi
 • ni URL ya makala hii
                                     

3. Anwani ya kijiografia majiranukta

Anwani ya kijiografia au majiranukta inataja mahali duniani au hata kwenye anga kwa kurejea fomati ya latitudo na longitudo.

Mfano: majiranukta ya 6°10′S 35°44′E digrii 6 na dakika 10 Kusini, digrii 35 na dakika 44 Mashariki yanataja nafasi ya Dodoma kwenye uso wa ardhi. Yanaweza kuandikwa pia hivyo kwa njia ya desimali: -6.166667, 35.733333.

                                     

4. Viungo vya Nje

 • United States Postal Service Address Guidelines
 • ISO TC 154 ISO Technical Committee 154 on Processes, data elements and documents in commerce, industry and administration
 • Universal Postal Union Archived 2009-07-24 at the Portuguese Web Archive Postal addressing systems by country
 • Franks compulsive guide to postal addresses
                                     
 • AJ au aj ni kifupi cha: Kodi ya IATA ya Aero Contractors of Nigeria Kodi ya ISO 639 - 1 ya lugha ya aj: anwani ya kijiografia
 • printa. Karatasi ya barua hukunjwa na kuwekwa ndani ya bahasha yenye jina na anwani ya mpokeaji juu yake. Siku hizi idadi kubwa ya ujumbe inaandikwa kwa njia
 • ni mji mkuu wa nchi ya visiwani vya Vanuatu katika Pasifiki ya kusini. Anwani ya kijiografia ni 17 45 S 168 18 E. Kuna wakazi 29, 356. Port Villa iko kwenye
 • magharibi ya Durban Australia na 1, 300 km upande wa kusini ya Singapur. Anwani ya kijiografia ni 12 07 S, 96 54 E. Eneo lote la nchi kavu ni 14.4 km² na
 • ya wasomaji kwa makala mbalimbali hapa kwenye takwimu za makala fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala hadi makala
 • wa nchi. Mji na mazingira yake una wakazi 50, 000 ni mji mkubwa nchini. Anwani ya kijiografia ni 27 28 00 N, 89 38 30 E. Thimphu iko katika magharibi ya
 • kaskazini ya nchi kando la mto Sava kwenye kimo cha 120 m juu ya UB na anwani ya kijiografia ni 45 48 N 15 58 E. Zagreb ni kitovu cha taasisi za utamaduni
 • pia bara la Afrika ya Mashariki pamoja na uwanja wa kimataifa wa ndege. Anwani ya kijiografia ni 11 45 S 43 12 E. Moroni ilikuwa mji mkuu wa Usultani wa
 • New York baada ya New York City. Mji wa Buffalo uko kando la Mto Niagara. Anwani ya kijiografia ni 42 54 N na 78 50 W. Idadi ya wakazi ni 272, 632 2007
 • katika Pasifiki ya mashariki takriban 3, 526 km kutoka mwambao wa Chile. Anwani ya kijiografia ni 27 09 S 109 25 W. Mji mkuu ni Hanga Roa. Kuna wakazi 5

Users also searched:

...

MWONGOZO WA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI.

Anwani ni maelezo jinsi ya kumkuta mtu au mahali. Dk. Chaula: Mpango wa anwani makazi kurahisisha biashara. Habarini wadau, Kuna kero kubwa sana kwa taasisi nyingi za serikali kutobadilisha anwani zao au anwani za viongozi wake mara. Online michezo Anwani ya Pianist. Kucheza mchezo online kwa ajili. Anwani Nyingine. Boma. Anuani ya Posta: P. O. Box 291 Nachingwea. Simu: 0732 9333112. Simu: Barua pepe: ded@na.tz.


...