Back

ⓘ Abersi alikuwa Mkristo wa karne ya 2 aliyepata kuwa askofu wa Hieropoli, Frigia, katika Uturuki ya leo. Alifariki gerezani alipofungwa katika dhuluma ya kaisari ..
Abersi
                                     

ⓘ Abersi

Abersi alikuwa Mkristo wa karne ya 2 aliyepata kuwa askofu wa Hieropoli, Frigia, katika Uturuki ya leo. Alifariki gerezani alipofungwa katika dhuluma ya kaisari Marko Aurelio.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba.

                                     

1. Maandishi

Abersi ni maarufu katika historia ya Ukristo kwa sababu ya maandishi aliyoyata juu ya kaburi lake, ambamo aliacha kumbukumbu ya safari zake hadi Roma na Nisibi akisema kote alikuta Wakristo wenzake.

Maandishi yake mengine yamepotea.

                                     

2. Viungo vya nje

  • Bishop Abercius Marcellus
  • Saint Abercius, Equal to the Apostles from the Prologue from Ochrid by Bishop Nikolai Velimirovich
  • St Abercius the Bishop and Wonderworker of Hieropolis, Equal of the Apostles Orthodox icon and synaxarion
                                     
  • Ndiyo Ndiyo Ndiyo Abdel Messih El - Makari Ndiyo Abeluzius Ndiyo Abersi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Abibi na Apoloni Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Abidiani

Users also searched:

...