Back

ⓘ Genseriki alikuwa mfalme wa Wavandali na Waalani kwa karibu miaka 50, akiinua makabila haya madogo kuwa ufalme imara katika Afrika Kaskazini uliotikisa Dola la ..
Genseriki
                                     

ⓘ Genseriki

Genseriki alikuwa mfalme wa Wavandali na Waalani kwa karibu miaka 50, akiinua makabila haya madogo kuwa ufalme imara katika Afrika Kaskazini uliotikisa Dola la Roma Magharibi katika karne ya 5 hata kuteka jiji hilo kwa muda mnamo Juni 455.

Katika historia ya Kanisa ni maarufu kwa kudhulumu kikatili Wakatoliki wa Afrika Kaskazini hivi kwamba Waarabu Waislamu walipoiteka Ukristo ulikoma haraka.

                                     

1. Marejeo mengine

 • Diesner, Hans-Joachim 1966. Das Vandalenreich. Aufstieg und Untergang. Stuttgart: Kohlhammer Verlag.
 • Gibbon, Edward 1896–1902. The History of the Decline and Fall of the Roman Empire. New York: Macmillan.
 • ODonnell, James J. 1985. Augustine. Boston: Twayne Publishers. ISBN 0-8057-6609-X.
 • Nsiri, Mohamed-Arbi 2018. "Genséric fossoyeur de la Romanitas africaine?". Libyan Studies 49 1: 93–119.
 • 1957 The Cambridge Medieval History. Cambridge: Macmillan.
 • Goffart, Walter 1980. Barbarians and Romans, A.D. 418–584: the Techniques of Accommodation. Princeton, N.J.: Princeton University Press. ISBN 0-691-05303-0.
 • Mills, Andrew 2010. The Vandals. John Wiley & Sons. ISBN 978-1405160681.
.
                                     
 • Henchir - Aoudam nchini Tunisia Alipelekwa uhamishoni katika dhuluma ya Genseriki mfalme wa Wavandali. Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita
 • wa Jerba leo nchini Tunisia Alipelekwa uhamishoni katika dhuluma ya Genseriki mfalme wa Wavandali. Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita
 • wa Vita kwa kuchomwa mwili mzima kwa vyuma vya moto katika dhuluma ya Genseriki mfalme wa Wavandali. Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita
 • wa Kanisa Katoliki ambao waliuawa na Wavandali Waario chini ya mfalme Genseriki kwa ajili ya imani yao wakiwa kanisani kuadhimisha Pasaka katika mji huo
 • Huneriki alifariki 23 Desemba 484 alikuwa mtoto wa kwanza wa Genseriki mfalme wa Wavandali na Waalani kwa karibu miaka 50 428 477 ambaye aliinua
 • kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Hatimaye hakuuawa bali alifanywa mtumwa ili afe bila
 • wa Urusi kwa kuchomwa mwili mzima kwa vyuma vya moto katika dhuluma ya Genseriki mfalme wa Wavandali. Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita
 • alikatwa kichwa na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita. Tangu
 • kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Wazaliwa wa Hispania, walikuwa askari wa mfalme huyo
 • nchini Tunisia. Mwaka 439 alikimbia Afrika Kaskazini wakati wa dhuluma za Genseriki mfalme wa Wavandali, dhidi ya Wakatoliki akahamia Napoli pamoja na askofu
 • kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Akiwa mtumwa, aliwavutia katika Ukristo watumwa wenzake
 • kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Wote waliongokea Ukristo kwa njia ya Masima bikira

Users also searched:

...