Back

ⓘ Papias alikuwa mfuasi wa Mtume Yohane pamoja na Polikarpo. Baadaye akawa askofu au kiongozi wa ushirika wa Kikristo mjini Hierapoli karibu na Pamukkale ya leo k ..
Papias
                                     

ⓘ Papias

Papias alikuwa mfuasi wa Mtume Yohane pamoja na Polikarpo.

Baadaye akawa askofu au kiongozi wa ushirika wa Kikristo mjini Hierapoli karibu na Pamukkale ya leo katika Uturuki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari.

                                     

1. Maandishi

Papias ni maarufu katika historia ya Ukristo kwa sababu ni mtu wa kwanza anayejulikana kukusanya habari juu ya waandishi wa Agano Jipya. Aliandika habari hizo katika vitabu vitano vilivyoitwa "Maelezo kuhusu maneno ya Bwana Yesu".

Maandiko hayo yamepotea lakini sehemu za yaliyomo yake zimehifadhiwa katika vitabu vingine vya Irenaeus wa Lyons "Dhidi ya uzushi" na Eusebi wa Kaisarea ambao walikuwa na vitabu vyake wakati wa kuandika vya kwao.

Papias alimtaja Mtume Mathayo kama mwandishi wa Injili ya Mathayo na "Presbiteri Marko mfasiri wa Petro" kama mwandishi wa Injili ya Marko.

Waandishi wa baadaye katika Ukristo wa kale hawakukubaliana juu yake. Wengine walimsifu, wengine walimwona kama mtu asiye na habari za maana.

                                     

2. Marejeo

 • Charles E. Hill, "Papias of Hierapolis," The Expository Times 117 2006, pp. 309–315
 • Eusebius of Caesarea, The Ecclesiastical History translated by Kirsopp Lake,
 • Enrico Norelli, Papia di Hierapolis, Esposizione degli Oracoli del Signore: I frammenti Milan: Paoline, 2005.
 • Bart D. Ehrman, The Apostolic Fathers: Volume II. Epistle of Barnabas. Papias and Quadratus. Epistle to Diognetus. The Shepherd of Hermas, pp. 92–119.
 • Michael W. Holmes, The Apostolic Fathers: Greek Texts and English Translations, 3rd edition Grand Rapids: Baker Academic, 2007, pp. 722–767. A review of this work, with special attention to Papias, is provided by Timothy B. Sailors, "Bryn Mawr Classical Review: Review of The Apostolic Fathers: Greek Texts and English Translations ". Retrieved on 2009-07-08.
                                     

3. Viungo vya nje

 • Christian Classics Etheral Liberary Fragments of Papias
 • Hieropolis/Pamukkale Archived Septemba 28, 2007 at the Wayback Machine.
 • Early Christian Writings: Fragments of Papias
 • Catholic Encyclopedia: St. Papias, including an explanation of why logia is not to be rendered "sayings" that might not stand today.
 • Chronicon.net Archived Septemba 10, 2014 at the Wayback Machine. Complete Fragments of Papias with new discoveries listed
 • Paul N. Tobin, "The Apostolic Succession: Polycarp and Clement": A skeptical assessment finds inconsistencies in Irenaeus interpretation of Papias apostolic connection, as reported in this article.
 • Patristics In English Project: Fragments of Papias
                                     
 • wa Kaisarea, katika Historia ecclesiastica, iii.39, aliripoti maneno ya Papias askofu wa Hierapoli kwamba Filipo alikuwa na mke na watoto na kwamba alifia
 • Dioscorus, Hero, Hippeas, Horpresius, Horus, Oecomeus, Orion, Pantherus, Papas, Papias Paulo, Pethecus, Pinutus, Plesius, Potamon, Protea, Recombus, Recumbus
 • Yohane Mbatizaji hadi ufufuko wake. Injili yenyewe haimtaji mwandishi wake. Papias mnamo mwaka 130 aliandika ya kwamba Yohane Marko alikuwa mwandishi wa
 • account of their deeds Athanasian Creed Relying on the authority of Papias several Fathers of the first four centuries advanced the theory of a thousand
 • asili la Kigiriki. Ingawa Injili yenyewe haimtaji mwandishi wake, kuanzia Papias mnamo mwaka 130 Mtume Mathayo ametajwa kama mwandishi wa misemo ya Yesu
 • Ndiyo Ndiyo Ndiyo Papia na Mauro Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Papias Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Papias na Donati Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Papia, Theodori na Klaudiani
 • wa Pseudo - Dionysius PG 5: Ignas wa Antiokia, Polikarpo, Melito wa Sardi, Papias wa Hierapoli, Apolonio wa Efeso n.k. PG 6: Yustino mfiadini, Tasyano, Athenagoras

Users also searched:

...

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Kagera.

ME SELIS PAPIAS KAPAPA. KALAMBO. KASOTE. CHISENGA. 7 PS1501041 ​007. ME DANIEL EMMANUEL RICHARD. KALAMBO. KISUMBA. CHISENGA. RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA UJUMBE TOKA. 1317, KAGERA, IHUNGO SECONDARY SCHOOL, M, GABINUS PAPIAS VICENT. 1318, MTWARA, NDANDA SECONDARY SCHOOL, M, GABOS R GABOS. Untitled. Prudence. Pastory. 8118 Mwanza City Council. 252. DATIVA. SIMEO. PASCHAL. 8118 Mwanza City Council. 253. Michael. Papias. 8118 Mwanza City Council. Chuo cha Uhasibu Arusha tuna hali mbaya sanaa sio kwa jinsi. 11 Geofrey Papias Sehemba. S4182 0028 2019 Male. BTCBM. 12 Godfrey Bukelebe Mussa. S5113 0035 2019 Male. BTCBM. 13 John Festo. S3841 0019 ​2019.


...