Back

ⓘ Enzi ya Kati ni kipindi cha katikati cha historia ya Ulaya katika mgawanyo wa zama” tatu: ustaarabu wa Zama za Kati, na Wakati wa Kisasa Zama za Kale, ama: Enzi ..
Enzi ya kati
                                     

ⓘ Enzi ya kati

Enzi ya Kati ni kipindi cha katikati cha historia ya Ulaya katika mgawanyo wa" zama” tatu: ustaarabu wa

 • Zama za Kati, na
 • Wakati wa Kisasa
 • Zama za Kale,

ama:

 • Enzi ya Kati na
 • Enzi ya Kale,
 • Enzi ya Kisasa.

Hata kama ugawaji huo umetokana na mazingira ya Ulaya tu, hutumiwa pia kwa maeneo mengine ya dunia. Wataalamu wengi huamini ya kwamba haufai sana kidunia lakini hadi sasa hakuna mpangilio mwingine kwa dunia yote unaoeleweka kirahisi hivi.

Kwa kawaida, Zama za Kati za Ulaya Magharibi huhesabiwa toka mwisho wa Dola la Roma Magharibi karne ya 5 hadi kuanza kwa falme za kitaifa, mwanzo wa uvumbuzi wa ng’ambo ya Ulaya, kipindi cha mwamko-sanaa, na Matengenezo ya Waprotestanti kuanzia mwaka 1517.

Mabadiliko hayo yalionesha mwanzo wa kipindi cha Zama za Kisasa ambacho kilitangulia mapinduzi ya viwanda.

                                     

1. Mwanzo wa kipindi cha Enzi ya Kati

Kabla ya Enzi ya Kati kulikuwa na ustaarabu wa Dola la Roma. Milki hiyo kubwa ilijenga utamaduni uliounganisha nchi za Afrika ya Kaskazini, Asia ya Magharibi na Ulaya ya Kusini pamoja na Ulaya ya Magharibi.

Katika eneo hili kubwa palikuwa na uchumi ulioendelea na njia za mawasiliano kama barabara, bandari na hata aina ya posta.

Ustaarabu huo ulikuwa na idadi ya watu waliojua kusoma na kuandika. Lugha za pamoja kama Kilatini na Kigiriki zilieleweka na asilimia fulani ya watu kote katika dola hili. Hata kama watu wengi, hasa watu wa vijijini na watumwa, hawakujua kusoma bado walikuwepo watu waliojua kila sehemu ya dola.

Ustaarabu huo uliporomoka pamoja na matatizo ya kiuchumi, gharama kubwa ya jeshi, kupungua kwa uzazi na mashambulio ya makabila ya nje, hasa ya Wagermanik, yaliyoweza kuingia ndani ya Dola la Roma bila kulingana na utamaduni wa ustaarabu huo. Roma ilishindwa kutunza utaratibu wake mbele ya mashambulio na uhamisho mkuu wa Ulaya.

                                     
 • kujipatia cheo cha khalifa. Kilele cha enzi yake ilikuwa katika karne ya 16 hadi 17. Mwaka 1683 Waosmani walijaribu mara ya pili kuvamia Austria na kuteka Vienna
 • katika Ufalme wa Mashariki ya enzi ya zamani inatafsiri muda halisi kuwa Kirumi Dola Takatifu la Kiroma c. 900 - 1806 enzi ya zamani iliyozungumza Kijerumani
 • enzi za koloni na inaonekana walio wengi walikuwa Waislamu, ingawa walilazimishwa kubadili dini kinguvu na kuwa Wakristo. Waislamu wengi wa Karibi ya
 • utamaduni wa kale wa Waosmani na enzi za utawala wa sultani wa Kiislamu. Magharibi ya nchi imeendelea sana lakini maeneo ya mashariki yamebaki nyuma. Siku
 • Lillebælt Kijiografia Baltiki ni mabaki ya Enzi ya Barafu iliyopita. Takriban miaka 12, 000 iliyopita Ulaya yote ya Kaskazini ilifunikwa na ganda la barafu
 • ya vibao vikali vya enzi ya usanii wake wa kujitegemea katika stuidio ya Motown. Pia, hii ndiyo ulikuwa ushirikiano wake kwa mara ya kwanza kati ya Ware
 • com threads tujikumbushe - mv - bukoba - enzi - za - uhai - wake.1364063 Lake Victoria tragedy Tanzania in May 21, kwenye tovuti ya asahi.net, iliangaliwa tar. 2 Desemba
 • katika sehemu mbili. Wakati huo wa enzi za ukoloni, gari la moshi lilipita na kupewa jina ligari katika lahaja ya kiluhya. Hili jina lilitokana jina la
 • kuifanya kama burudani tu wanaweza kuwa wanaume au wanawake vilevile. Uvuvi umekuwepo kama njia ya kupata chakula tangu kipindi cha enzi za mawe ya kati
 • jina la milki iliyounganisha Ujerumani, Uholanzi, Ubelgiji pamoja na maeneo kadhaa ya Italia, Ufaransa na Ucheki wa leo katika enzi ya kati hadi 1806.
 • na kubadilika katika historia ya dunia. Wakati wa vipindi vya baridi duniani, kama vile enzi ya barafu, sehemu kubwa ya maji yalipatikana kwa umbo la

Users also searched:

...

Semina ya Kushughulikia Misingi na Viti vya enzi Magogani.

Kati yetu na Serikali, Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC na Tume ya kiliurithi kutoka kwenye mfumo wa chama cha CCM enzi za chama. KISWAHILI KIDATO CHA TATU 2020 St.Margaret Maria Alakok. MTU WA PWANI Abalora anaturudishia yale maswali tuliyowaza enzi zile Kati yao kuna makipa, mabeki, viungo na washambuliaji lakini kocha CK za kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika Afcon, 2021 dhidi ya. Hayati baba wa taifa mwl. julius nyerere 1922 1999 Single News. Historia ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ inaanzia enzi ya utawala wa kati ya Ubelgiji na Uingereza, huku Uingereza ikipokea sehemu kubwa ya.


...