Back

ⓘ Israeli, maana. Israeli ni jina linalotaja Israeli ya Kale ambayo ni nchi au pia jumuiya ya watu ambao historia yao husimuliwa katika Biblia. Nchi ya Israeli ya ..
                                     

ⓘ Israeli (maana)

Israeli ni jina linalotaja

 • Israeli ya Kale ambayo ni nchi au pia jumuiya ya watu ambao historia yao husimuliwa katika Biblia.
 • Nchi ya Israeli ya kisasa
 • jina la pamoja kwa ajili ya makabila 12 waliotokana na wana 12 wa Yakobo-Israeli, mara nyingine kwa umbo la Wanaisraeli
 • Baada ya maangamizi ya milki ya kaskazini katika vita dhidi ya Waashuri jina lilitumiwa kwa ajili ya watu wa milki ya kusini yaani watu wa milki ya Yuda
 • Kwa kutaja Wayahudi jina latumiwa katika Qurani mara nyingi kama "wana wa Israeli"
 • Baada ya maangamizi ya milki hiyo pia jina lilitaja Wayahudi kama jumuiya ya kidini na taifa lililokaa katika sehemu mbalimbali linganisha matumizi katika Agano Jipya kwenye Waraka kwa Waroma 9.6 na 11.25
 • jina la milki ya kaskazini ya Israeli milki iliyoanzishwa baada ya kifo cha mfalme Suleimani kando ya milki ya Yuda; historia ya hizo mbili kwa jumla hujadiliwa chini ya jina "Israeli ya Kale".
 • Watu wa Biblia wanaotajwa katika Tanakh au Biblia ya Kiebrania; kwa hiyo pia katika Agano la Kale tena katika Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo
 • Yakubu mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu Abrahamu alipewa jina la Israeli baada ya kushindana na Mungu tazama Mwanzo Biblia 32.29 "maana umeshindana na Mungu na watu nawe umeshinda")
 • Kwa watu wanaoitwa taifa teule katika Agano la Kale tazama kwa jumla Israeli ya Kale
 • Israeli ni pia jina la kawaida la mwanamume kati ya Wayahudi hadi leo
                                     
 • kutokana na Kitabu cha Mwanzo kama binti Labano na mke wa pili wa Yakobo Israeli aliyemzalia watoto wawili, Yosefu na Benyamini. Tangu kale anaheshimiwa
 • Nabii Obadia jina la Kiebrania lenye maana ya Mtumishi wa YHWH alikuwa nabii wa Israeli ya Kale baada ya Yerusalemu kutekwa na kuteketezwa na Wababuloni
 • Ee Bwana, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele. Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi maana vitu vyote vilivyo mbinguni
 • Nabii Yoeli kwa Kiebrania יואל, Yoel, maana yake YHWH ni Mungu alikuwa nabii wa Israeli ya Kale, labda katikati ya karne ya 4 KK. Ujumbe wake unapatikana
 • lenye maana ya ng ombe pori katika lugha ya Kiebrania katika kitabu cha Mwanzo katika Biblia. Lea ni dada wa Raheli. Lea aliolewa na Yakobo Israeli na kuwa
 • Iḇsān, maana yake mashuhuri alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia. Kadiri ya Waamuzi 12: 8 - 10 alikuwa wa Bethlehemu akaongoza Israeli kwa miaka
 • ilihesabiwa kati ya namba za pekee au namba zenye maana Tazama matumizi katika Biblia: makabila 12 ya Israeli Mitume 12 wa Yesu. Namba hurejea miaka 12 KK
 • atakayekamilisha ufunuo wao. Wakristo wanapokea ufunuo wa Mungu kwa taifa la Israeli wakiona ujio wa Yesu kuwa ndio kilele chake, ambapo Mungu alijifunua si
 • Amosi kwa Kiebrania ע מו ס, Amos ni mmojawapo kati ya manabii wa Israeli Kitabu chake, kutokana na ufupi wake, ni kati ya vile 12 vya Manabii Wadogo
 • anatajwa kama mwamuzi na kama nabii, naye ndiye mwanzilishi wa ufalme wa Israeli Habari zake zinasimuliwa katika Vitabu vya Samweli. Kanisa Katoliki na

Users also searched:

...

NABII.

96 FENICK ISRAEL. KYANDO. P.O BOX 598, 376 MARY ISRAEL. ZABRON. P.O BOX 567, 481 RAJABU MANA. SALUM. P.O BOX 4719. LIPO KUNDI KUBWA LA WATU WALIOCHANGAMANA NDANI YA. Maana kwake Mwenyezi Mungu kuna fadhili, kwake kuna nguvu kubwa ya kutukomboa. Yeye atawakomboa watu wa Israeli kutoka katika maovu yao yote. Tangazo la kuitwa kwenye usaili tra 24 06 2020 Ajira. Iran Islamic Republic of, Iraq, Ireland, Israel, Italy, Ivory Coast, Jamaica, Japan, Jordan, Kazakhstan, Kenya, Kiribati, Korea, Democratic Peoples Republic of. WASTARA AMEMUONA ISRAEL MTOA ROHO MARA NYINGI. Wayahudi wengine hasa nje ya Israel husherehekea siku 8. kimwili ili kuteswa, kufa na kufufuka Yesu Kristo kuwe na maana iliyokusudiwa.


...