Back

ⓘ Wanaisraeli. Kwa maana mbalimbali ya jina Israeli tazama Israeli Wanaisraeli ni namna ya kutaja watu wa Agano la Kale waliokuwa wazawa wa Yakobo aliyeitwa pia I ..
Wanaisraeli
                                     

ⓘ Wanaisraeli

Kwa maana mbalimbali ya jina Israeli tazama Israeli

Wanaisraeli ni namna ya kutaja watu wa Agano la Kale waliokuwa wazawa wa Yakobo aliyeitwa pia Israeli, mmoja wa mababu wa taifa la Israeli ya Kale pamoja na babu yake Abrahamu na baba yake Isaka.

Kadiri ya kitabu cha Mwanzo Yakobo alipewa na Mungu jina la "Israeli" baada ya kushindana naye kwenye mto Yaboki.

Alizaa wana wa kiume 12 waliokuwa mababu wa makabila 12 ya Israeli ya Kale.

Katika maandiko ya Biblia ya Kiebrania Tanakh na kwa hiyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo makabila haya mara nyingi huitwa "Waisraeli", "wana wa Israeli" au pia "watu wa Israeli".

Kwa historia yao angalia Israeli ya Kale.

                                     
  • na tamaa zote. Katika Uyahudi, ukombozi ni ule ambao Mungu aliwatoa Wanaisraeli kutoka Misri, halafu kutoka Mesopotamia. Katika teolojia ya Ukristo
  • waliotokana na wana 12 wa Yakobo - Israeli, mara nyingine kwa umbo la Wanaisraeli jina la milki ya kaskazini ya Israeli milki iliyoanzishwa baada ya
  • ya 72 ilitokana na watu sita kutoka kila moja kati ya makabila 12 ya Wanaisraeli ikafupishwa kwa kuikumbuka kirahisi kuwa 70 Jina hilo liliendelea
  • ishirini na saba, na sura zote zinahusu amri na maagizo ya Mungu kwa Wanaisraeli hasa sheria za ibada zenye kulenga utakatifu wa makuhani na wa sadaka
  • Moabu na wakati ni mwezi wa 11 katika mwaka wa mwisho wa matembezi ya Wanaisraeli Hotuba ya kwanza sura 1 hadi 4 yarudia matokeo muhimu ya safari ya
  • wake. Kufuatana na kitabu cha Mwanzo 19: 30 - 38 walikuwa na asili moja na Wanaisraeli maana Moabu anatajwa kama mjukuu wa Abrahamu kupitia Lutu aliyemzaa Moabu
  • Israeli. Pia, kinataja maagizo mbalimbali ya Mungu na hesabu mbili za Wanaisraeli Kadiri ya kitabu hicho, idadi yao wakati wa kutoka Misri ilikuwa ifuatavyo:
  • kwa namna ya pekee Yuda ambaye atatawala moja kwa moja Mwa 49: 8 - 12 Wanaisraeli waliishi Misri kama wageni tu zaidi ya miaka mia nne Mdo 7: 6 - 16 wakiongezeka

Users also searched:

...

Bustani ya Elimu Kitabu cha Kwanza.

Sikukuu hii inakumbukwa na Wanaisrael kutokana utumwa kuwa Musa alitumwa na Mungu kuwaondoa Wanaisrael utumwani nchini Misri ili. Matamshi ya Mwenyezi Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe. Hadithi ya Musa ni njema yenye upendo huruma, kuwajali na kuwathamini wanajamii wenzake Wana Israeli, wakiwa katika dhiki, umaskini,. SPIKA NDUGAI: KUNA NYANI WANAFURAHIA KIFO CHA. Safari ya wana Israeli. Katika kusafiri walianza walawi mbele wakiwa wamebeba sanduku la agano. wakafuatiwa na kabila za mashariki. Mchungaji Gasper Madumla. Bwana Yesu asifiwe… Ilikuwa ni vigumu kwa wana wa Israeli kuiendea njia ambayo Bwana amewaagiza pasipo.


...