Back

ⓘ Karne ya 1 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1 na 100. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1 B.K. na kuishia 31 Desemba 100. Namba zake zinafuata hesa ..
Karne ya 1
                                     

ⓘ Karne ya 1

Karne ya 1 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1 na 100. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1 B.K. na kuishia 31 Desemba 100. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.

                                     

1. Karne ya Ukristo kuanza

 • Dola la Roma linafurahia amani iliyopatikana kuanzia utawala wa Kaisari Augusto
 • 70 Maangamizi ya Yerusalemu na hekalu lake
 • Yesu Kristo, akitanguliwa na Yohane Mbatizaji, anahubiri na kuuawa katika nchi ya Palestina
 • Dini mpya ya Ukristo inaanza na kuenea haraka hadi Ulaya magharibi na labda India kusini
 • 50-100 hivi: Vitabu vya Agano Jipya vinaandikwa
                                     

2. Watu muhimu

 • Yohane Mbatizaji 7 KK-29, nabii wa Israeli katika bonde la mto Yordani
 • Maria wa Nazareti, mama wa Yesu
 • Mtume Paulo, nabii na mwenezaji mkuu wa Ukristo
 • Yesu Kristo 6 KK-30, anayesadikiwa na Wakristo kuwa Mwana wa Mungu
 • Mtume Petro na wenzake 11 walioteuliwa na Yesu
                                     
 • ya Miaka Karne ya 2 Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Miaka ya 300 Miaka ya 310 Miaka ya 320 Miaka ya 330 Miaka ya 340
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK
 • ya Miaka Karne ya 1 Karne ya 2 Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Miaka ya 200 Miaka ya 210 Miaka ya 220 Miaka ya 230 Miaka ya 240
 • Orodha ya Miaka Karne ya 19 Karne ya 20 Karne ya 21 Miaka ya 2000 Miaka ya 2010 Karne ya 21 ni karne ya kisasa kufuatana na Kalenda ya Gregori
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 11 KK Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK
 • Orodha ya Miaka Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1300 Miaka ya 1310 Miaka ya 1320 Miaka ya 1330
 • Orodha ya Miaka Karne ya 17 Karne ya 18 Karne ya 19 Karne ya 20 Karne ya 21 Miaka ya 1800 Miaka ya 1810 Miaka ya 1820 Miaka ya 1830
 • Orodha ya Miaka Karne ya 7 Karne ya 8 Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 800 Miaka ya 810 Miaka ya 820 Miaka ya 830 Miaka
 • Orodha ya Miaka Karne ya 10 Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Miaka ya 1100 Miaka ya 1110 Miaka ya 1120 Miaka ya 1130
 • ya Miaka Karne ya 6 Karne ya 7 Karne ya 8 Karne ya 9 Karne ya 10 Miaka ya 700 Miaka ya 710 Miaka ya 720 Miaka ya 730 Miaka ya

Users also searched:

...

03 MAARIFA YA JAMII coverf NECTA.

Wa Zaidi ya robo karne kuhusu jinsi ya kusimamia vyanzo vyake vya 1. kuongezeka ufahamu wa washikadau kuhusu mipango ya bonde. MWONGOZO KWA ASASI ZA KIRAIA KATIKA Tanzania. Mheshimiwa Spika, pili, katika karne ya 20, kwa kutumia falsafa yake, mbio za Mwenge wa Uhuru zilitumika kumulika hata nje ya mipaka ya nchi yetu ili. Historia Ya Afrika. Kwa hiyo katika karne ya 18 Sultan wa Oman aliimarisha utawala wa waarabu Sina Hakika 0. Haifai Sana 0. Haifai Kabisa 1. Urahisi wa kutumia. x 1 2 3 4 5. MCHANGO, MAENDELEO NA CHANGAMOTO ZINAZOKABILI. Jul 28, 2020. Masalia ya Mji wa Kihistoria wa Karne ya 18 19, Ipo katika Gazeti la Serilaki namba 241 la mwaka 1 Latest News Videos.


...